#Live

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 83

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  วันที่ผ่านมา +2

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

    • @charlesnazoro
      @charlesnazoro วันที่ผ่านมา +1

      Nyie globaltv mbona mnakatakata maogioano na majibu shida nini kama makonda ayupo daer msiongope 💪

    • @zabronmdoe4398
      @zabronmdoe4398 วันที่ผ่านมา

      Funza ana ua Tembo,

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 วันที่ผ่านมา +6

    Kiukweli mimi huwa nakukubali sana mh. Lisu na hata kama utashindwa bado nitakuwa mshabiki wako mkuu, ushaur wangu kwa chama changu Chadema ikitokea mh. Lisu akashindwa niko ladhi kumsikiliza atakacho amua, akihama chama nitamfuata isipokuwa chama cha kijani, akihamia chama cha kijani sitamsikiliza tena. Asante

    • @Yangaone-h8j
      @Yangaone-h8j 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Uko pamoja na mimi asilimia 100

  • @ShesheKaoneka
    @ShesheKaoneka วันที่ผ่านมา +2

    Ssfi sana tundu kwa hili jibu siasa ni siasa tu urafiki undugu uko palepale, kongole sana tundu.

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 วันที่ผ่านมา +3

    Lisu anafaa saaaana mpen naye ajaribu 🙏

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw วันที่ผ่านมา +2

    Naona anguko kubwa la chadema time will tell!

    • @elinihakimsuya1673
      @elinihakimsuya1673 วันที่ผ่านมา

      Hakuna anguko hiyondio demokrasia,nachoona hapohakuna ugomv'i

  • @hashimkassim7043
    @hashimkassim7043 วันที่ผ่านมา +1

    KAZS BUTI LISU USILEGEZEE KAMBA MBOWE MUST GOOO

  • @YussufAme-k8z
    @YussufAme-k8z วันที่ผ่านมา +2

    Naliona angukoo la chadema siku za mbelenii ila muungu awe na nyie wana chadema.

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 วันที่ผ่านมา +1

    Aibu sana kuuliza maswali sita

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 วันที่ผ่านมา +1

    Tundu ni mjinga fulani .Uzalendo hana zaidi ya usaliti na usenge .Ana nyumba u b eljiji.Mbowe ni mzalendo.Mtoto wa Nyerere❤

    • @MmohamediSaidi
      @MmohamediSaidi วันที่ผ่านมา

      We utakuwa unafilwa sio bure mzalendo ni mama yako aliyempa kijambio baba yako uyo ndio mzalendo unaye mjua wewe pumbavu

  • @HabibKhamis-b2x
    @HabibKhamis-b2x วันที่ผ่านมา +1

    Doh wenyewe kwa wenyewe😅😅😅

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 วันที่ผ่านมา +1

    Huna mvuto huna ushawishi wa ki siasa ww unachoweza ni kulalamika tuuuuu

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 วันที่ผ่านมา

    Very bright lady, Nipashe safiiii

  • @godfreymasele8853
    @godfreymasele8853 วันที่ผ่านมา +1

    Tundu lisu hujajibu swali . Umeulizwa chana chenu kinaiba kula, rushwa pia kubwa je uhalali wa kuikosoa ccm unautoa wapi? Jibu swari acha kuwayawaya mzrrr😅😅

  • @RichardLyamuya
    @RichardLyamuya วันที่ผ่านมา

    Lisu siasa zako ni za hapa hapa tz tu.Mbowe anakuzidi sana kwa siasa za ndani na kimataifa kaa ksndo ujifunze kwanza .

  • @elinihakimsuya1673
    @elinihakimsuya1673 วันที่ผ่านมา

    Sikujua kama maswali hayoyangejibika vizuri namnahiyo.lisu nikichwa kabisa.

  • @AllyHassan-e2m
    @AllyHassan-e2m วันที่ผ่านมา

    Mabadiliko ya uonqozi na serikali Kwa ujumla ndio Uhuru WA kisiasa huwezu kuvaa nquo moja kila siku

  • @cosmaskusekwa2327
    @cosmaskusekwa2327 วันที่ผ่านมา

    Mimi simwamini ni kigeugeu wandishi wa habari mbona hammhoji kuhusu swala la ushoga akaeleweka mbona wakati wa uchaguzi mkuu uliopita mlimhoji kuhusu ushoga akasema mambo ya faraga hawezi kuingilia hivi hii nchi mna
    ta kuongiza kwa ushonga huyu hafai mtakuja kujuta

  • @ShesheKaoneka
    @ShesheKaoneka วันที่ผ่านมา

    Sio kweli tundu hapo unachapia, aliambiwa tofauti na unavyowaambia, alipewa tahadhali kuwa hao chadema sio waastaarabu na aliamini kweli chadema sio wastaarabu. Usidanganye watu tundu.

  • @AlexAbraham-w9e
    @AlexAbraham-w9e วันที่ผ่านมา +1

    Naona haufai kabisa

  • @7stianPius
    @7stianPius วันที่ผ่านมา

    bwana tundu wewe ni roll mode wangu

  • @SimonKazizwa
    @SimonKazizwa วันที่ผ่านมา

    Nadhani wazo lako lisu lingeazia kamati kuu pia wazo Hilo linge eleweka vzr zaidi wendapo wewe ungejiengua kwenye makamu myekiti kisha usigimbee wenye kiti ili kunesha Nia ya dhati Mimi na mtuu mungini naweza kufikilia unasema hivya kwakutaka kiti cha mbowe

  • @kakawataifa6752
    @kakawataifa6752 วันที่ผ่านมา +1

    Kwa wakati huu tunamuhitaji Petro akate masikio ya wakora

    • @Leocadiakinango
      @Leocadiakinango 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kaka wa taifa 😂😂😂

  • @emmaboy1125
    @emmaboy1125 วันที่ผ่านมา +1

    Lissu Ni mwanaharakati mzr lkn bado kuna kitu anakosa chadema, kwanza kutokujua baadhi ya taarifa muhimu na ni za kifedha af ni mkt msaidiz imekaaje? chama bado kinamwitaji mbowe

  • @temesjames8867
    @temesjames8867 วันที่ผ่านมา

    Jamaa anajibu maswali kwa kujiamini kupita kiasi.

  • @KamalaBuberwa
    @KamalaBuberwa วันที่ผ่านมา

    Unao uwezo wa kuongoza nchi, sasa CHADEMA tumepata kiongozi

  • @deohank5995
    @deohank5995 วันที่ผ่านมา

    Mengine ni ya kuhutubia baada ya uchaguzi, wenye kufikiri wanakutega bosi

  • @EsterChalale-uq4jh
    @EsterChalale-uq4jh 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ❤ lisu

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c วันที่ผ่านมา

    Ccm sasa wajiandae waliyemtaka aja Rais 2025 😊😊

  • @JohnSelelii
    @JohnSelelii 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Na nyie Global tangazo lenu kila wakati upuuzi uo

  • @ShesheKaoneka
    @ShesheKaoneka วันที่ผ่านมา

    Mpeni huyu atawafaa sana sana.

  • @allyjuma6287
    @allyjuma6287 วันที่ผ่านมา +1

    Mbona wakati anaongea kuhusu pesa mmekata icho kipande

  • @japhetmarandi4456
    @japhetmarandi4456 วันที่ผ่านมา +1

    Bima pap wangese 😂

  • @mohamedimuhinga9064
    @mohamedimuhinga9064 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwani chadema kipengele dini amzingatii?

  • @annamushiaminaaa4367
    @annamushiaminaaa4367 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kama mnaanza ujinga nahama cdm narudi nyumbani ccm,labda nikute mko pamoja kwa umoja na mbowe

  • @EsterChalale-uq4jh
    @EsterChalale-uq4jh 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Anauwezo kuliko mnavyodhani

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw วันที่ผ่านมา

    Lissu sio mzalendo akishikwa kidogo tu anakimbia nchi aache uoga mi nafikiri mbowe aendelee maana mbowe sio muoga

  • @AthumaniAbeid
    @AthumaniAbeid วันที่ผ่านมา

    Safi sana maswali mazuri sana

  • @yahayamtonga9762
    @yahayamtonga9762 วันที่ผ่านมา

    Hiyo siyo busara ni udikteta

  • @nestor384
    @nestor384 วันที่ผ่านมา

    Huu ubwege wa kutuwekea matangazo mengi kiasi hichi ni upuuzi

  • @mangenyanyondo8691
    @mangenyanyondo8691 วันที่ผ่านมา

    Tundu❤️❤️❤️💞

  • @adadimohamed2359
    @adadimohamed2359 วันที่ผ่านมา +1

    Tunahitaji watu wa kuthubutu na wasio waoga kama wewe

  • @ChancellorFelix-vm5yp
    @ChancellorFelix-vm5yp วันที่ผ่านมา

    Apa Tundu lisu mwenyekit pale Dkt.Slaa katibu mkuu mgombea urais asimamishwe Mwabukusi ccm at list wataamka

  • @ShesheKaoneka
    @ShesheKaoneka วันที่ผ่านมา

    Mwandishi wa habari asiye na maadili ya uandishi, mama abduli ni nani. Mwandishi gani huyo.

  • @doiabel3793
    @doiabel3793 วันที่ผ่านมา

    Ninataka kuona kama lissu akishinda mbowe ataachia ngazi 😂

  • @ShabanMukose-e1p
    @ShabanMukose-e1p 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Chadema ni CCM msidanganyike?

  • @AllyHassan-e2m
    @AllyHassan-e2m วันที่ผ่านมา

    Hayo maswali au kutumika kusuta na kukebehi

  • @BraisonMeela
    @BraisonMeela วันที่ผ่านมา

    Hivi ukienguliwa kwa kosa la kuanza kampeni kabla ya muda wake utasema je ndg yangu mpendwa Sana Lisu?

  • @oswaldtemba2770
    @oswaldtemba2770 วันที่ผ่านมา +2

    Huu ni mwisho wa chadema.mnakwenda kufutika kwenye ramani ya Tanzania. Tunaomba mpotee kabisa kabisa kabla ya uchaguzi mkuu. Kafieni mbali huko.

    • @oswaldtemba2770
      @oswaldtemba2770 วันที่ผ่านมา

      Wachumia turbo tu. Hakuna jipya na ham uwezo kuiongoza tz.

    • @JumaLitto
      @JumaLitto วันที่ผ่านมา

      Nyie wote maboya tu

    • @agreymbwilo5874
      @agreymbwilo5874 วันที่ผ่านมา

      Hivi kwa mfano chadema ikianguka wewe kama mwananchi unapata faida gani?

  • @alexanderfute4559
    @alexanderfute4559 วันที่ผ่านมา

    Watu wa bima kwa kweli

  • @SimonKazizwa
    @SimonKazizwa วันที่ผ่านมา

    Hivi kwenye kamati kuu imeshindikana nini kutoa mawazo ya ukomo wa uongozi ?

  • @2003hintay
    @2003hintay วันที่ผ่านมา

    Maswali konki sana

  • @VictorMwalulenga
    @VictorMwalulenga วันที่ผ่านมา

    Watanzania tukotayari kwamabadiliko mkivurugana tu tunahamia act wazalendo

  • @josephchaba6007
    @josephchaba6007 วันที่ผ่านมา

    Huyu jambo tv mbona anauliza maswali mengi

  • @ShesheKaoneka
    @ShesheKaoneka วันที่ผ่านมา

    Mpeni huyohuyo ili agombee uraisi.

  • @AthumaniAbeid
    @AthumaniAbeid วันที่ผ่านมา

    Mnafiki shoga anapemda mashoga anaunga mkono ushoga hafai

  • @MwazoaMwazoa
    @MwazoaMwazoa 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tundu Anao uwezo mkubwa sana.Anahitajia tu kuonyesha Busara upole kidogo na Hekima.Ukali wake na Maneno makali yanamfanya kuogopwa sana na viongozi wenzie.Wawe wa upinzani Au chama Tawala.

  • @MabelaBahati-m6e
    @MabelaBahati-m6e วันที่ผ่านมา

    Chadema katika mtego mkubwa,last card ya Lisu au Chadema?

  • @OttoChiduo
    @OttoChiduo วันที่ผ่านมา

    Wewe ni mtu royal endelea hivyo

  • @isaya9613
    @isaya9613 วันที่ผ่านมา

    Si aondoke jamani aende ccm unajiabisha unaloga chama

    • @asamwklkw
      @asamwklkw 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      akili zako pimbi

  • @AndrewMapesi
    @AndrewMapesi วันที่ผ่านมา

    Upo vzur mwamba uez ukaongoza chama kwa Hera za mfukon, unakuta mtu no katbu w hata baisker hna, je uyo amipewa million moja awez uza chama?

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 วันที่ผ่านมา

    Mh. Lisu akishindwa naamini ndio itakuwa anguko la chaðema, sisemi kwa ubaya ila naamini mh. Lisu ni mpango wa Mungu kuwepo hapo mpaka sasa.

  • @hamismkenga3031
    @hamismkenga3031 วันที่ผ่านมา

    Punguzeni matangazo

  • @ShabanMukose-e1p
    @ShabanMukose-e1p 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wananchi. mfaham Chama cha chadema, caf, ni vilianziswa na CCM kwa madhumuni yake ili nchi ipate mikopo kutoka nnje za nchi Muda tulipo toka vitani Kati ya nchi yetu na Idi amini? Kwa hiyo msitegemee mabadiko ya Chama kingngine?

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 วันที่ผ่านมา

    Siyo kung'ang'ania madaraka sema Ungurunzinza

  • @yoshuajuma4952
    @yoshuajuma4952 วันที่ผ่านมา

    Kwamuonekano huu na mvurugano huu nyinyi kwanyinyi ccm oyeeeeeeeee 2025 Samia anachukua Tena CCM oye

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 วันที่ผ่านมา

    Low knowledge of journalis, inakuwaje uulize maswali lingana matano, wandishi wa habari poleni.

  • @EsterChalale-uq4jh
    @EsterChalale-uq4jh 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mh

  • @estachengula3902
    @estachengula3902 วันที่ผ่านมา

    Huyo kaka mwenye maswali mengi anamatatizo ya akili ataulizaje maswali kama mtoto mengimengi hataaliko anzia hakueleweki

  • @travellahmsafirihiphop5325
    @travellahmsafirihiphop5325 วันที่ผ่านมา

    Mzalendo nchi hii ni hili jembe

  • @AllyHassan-e2m
    @AllyHassan-e2m วันที่ผ่านมา

    Siku zote mabadiliko ya kisiasa ndio democrasia

  • @BraisonMeela
    @BraisonMeela วันที่ผ่านมา +1

    Hivi ukienguliwa kwa kosa la kuanza kampeni kabla ya muda wake utasema je ndg yangu mpendwa Sana Lisu?

    • @cosmaskusekwa2327
      @cosmaskusekwa2327 วันที่ผ่านมา

      Tundu list mkumbusheni ya nyuma ktika uchaguzi mkuu uliopita kuhusu swala la ushoga alishindwa kuitetea nchi swala la ushoga Hawaii huyo mpaka sasa nguvu anazotumia hiza ni za kutumwa na mashoga mtakuja kujuta tu sasa hamioni hilo