WAKILI MADELEKA ''NAWADAI HELA ZANGU WANIPE HELA ZANGU'' WAACHE KUTUMIA JESHI LA POLISI''..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►TH-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

ความคิดเห็น • 34

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu8934 10 หลายเดือนก่อน +3

    Very good bro wakli msomi

  • @mercydirisha8903
    @mercydirisha8903 หลายเดือนก่อน +1

    Madeleka Mungu akutunze unajiamini na Mungu anakuamini na kukuheshimisha

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 10 หลายเดือนก่อน +3

    msomi wa kweli awezi fanya kazi na ccm hao wasomi wa ccm ni wachumia tumbo tu

  • @francisrobert9652
    @francisrobert9652 10 หลายเดือนก่อน +1

    wakili madeleke unajihamini na unatisha sana sikujua kama ni.mtu hatari sanabunajihamini

  • @juliusmartin1839
    @juliusmartin1839 10 หลายเดือนก่อน +1

    Wow! The truth will keep you free😂😂😂

  • @alphoncejmrema7912
    @alphoncejmrema7912 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe hyu mm nilikua cjui kama alikua kwenye Kaz hyo mm nikajua ni Wakili Msomi na kama alikua kwenye ngaz hyo anayosema mh anayajua mengi mno

  • @alphoncejmrema7912
    @alphoncejmrema7912 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera Kiongoz Wakili Msomi

  • @EMANUELMUSHI-kk4df
    @EMANUELMUSHI-kk4df หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa wa moto hahaha

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 10 หลายเดือนก่อน +2

    Wakili hawakuwezi, embu waachane nawe, hawana kazi ? Lazima wafanye kazi kupitia wewe kha embu waone aibu

  • @ramamjema8391
    @ramamjema8391 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana wakili msomi Madereka, wewe ni mtumishi watu mwenye kusudi la Mungu na ni mmoja wa watu wachache wenye uthubutu wakujiuzulu nafasi kubwa kwa kuona mfumo hauko sawa, hongera sana.

  • @altonkanjolonga2380
    @altonkanjolonga2380 หลายเดือนก่อน

    Man and a half

  • @elispiuselias1339
    @elispiuselias1339 10 หลายเดือนก่อน +2

    Pengine umekuwa ukitumika vibaya kwa maelekezo yasiyokupa amani kitaluma sasa wanawaza mafanikio yako😂

    • @pastorysent6586
      @pastorysent6586 10 หลายเดือนก่อน

      Ndio maana aliamua kuandika barua ya kuacha kazi ndan ya masaa 24.

  • @josephmwavangila1633
    @josephmwavangila1633 10 หลายเดือนก่อน +1

    Wakili Msomi ..peter madereka ." Man & a half

  • @tumlakimwaitumule
    @tumlakimwaitumule 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona mnakata kata interview

  • @happinessnicholaus2137
    @happinessnicholaus2137 10 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu jamaa anajua

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kichwa kingine toka kanda ya ziwa

  • @mawazomchape-n4c
    @mawazomchape-n4c หลายเดือนก่อน

    Mh ninaomba mawasiliano Yako

  • @kiatu
    @kiatu 10 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani huyu jamaa ni msomi. Basi tu nchi hii.

  • @asrymohd6690
    @asrymohd6690 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu pekee ndio mwenye haki na kumchagua nani awe mtu fulani sio uwezo wako

  • @TV-se1lf
    @TV-se1lf 10 หลายเดือนก่อน

    Nina mashaka.

  • @thomassenga2526
    @thomassenga2526 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa anadharau

  • @MelchizedekHango
    @MelchizedekHango 10 หลายเดือนก่อน

    Hiki kichwa sio kabisa! 😂

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 10 หลายเดือนก่อน +1

    makaka kwanza kaisadiee family yako kaka yako hana kazi anaweweseka kwa kufukuzwa kazini kwa rushwa anza na kaka yako mbunurie hata daradara ndio kszi yake

  • @kaizambagwa5128
    @kaizambagwa5128 10 หลายเดือนก่อน

    Utakuwa tajili

  • @musa-v3f
    @musa-v3f 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ni kashfa kubwa sana kwa jeshi la polisi

  • @leonadurasa6641
    @leonadurasa6641 10 หลายเดือนก่อน

    Public coments

  • @AleiHadji-js3ed
    @AleiHadji-js3ed 10 หลายเดือนก่อน

    Kuna Jamaa Alikua Kama Uyu kumbe Askari...Hamuaminiki Nchi ngumu hiiii

  • @njanededan9979
    @njanededan9979 10 หลายเดือนก่อน +1

    Acha dharau

    • @furahajames4085
      @furahajames4085 10 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli akikutana na wasiojua, bonge la msomi.
      Miaka hiyo yote kwenye tope asilione!! Halafu hiyo Lk. 3:14 aliijua kabla hajaenda huko .

    • @JohnManyilizu-jz2qu
      @JohnManyilizu-jz2qu 10 หลายเดือนก่อน

      Boya huelea kwenye maji

  • @yuenwilington835
    @yuenwilington835 10 หลายเดือนก่อน

    Kesi yako ya utolo ililipotiwa kituo cha polsi miaka mitano iliyopita ila tumefanikiwa kukutia nguvuni sasa,mambo mengine usiipangie polisi.