WAKILI ANAYEWATETEA MADADA POA PETER MADELEKA AIBUKA MAHAKAMANI WAKISHINDA KESI WALIPWE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 มิ.ย. 2024
  • Our mission is to bring people together,entertain and educate people that's why we create content that does exactly that

ความคิดเห็น • 56

  • @severinimkini4116
    @severinimkini4116 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera sana Madeleka. Haki la wewe ni Mzalendo, wanyooshe hao wanaopindisha taratibu za ufanyaji kazi kwa maslahi ya vyeo vyao.

  • @user-ss6ey3ge1d
    @user-ss6ey3ge1d 7 วันที่ผ่านมา +4

    Tokomeza umayala ayo ya sheria ni yako tokomeza umalaya ndio muhimu kwa taifa hili

    • @edwinalexander1170
      @edwinalexander1170 4 วันที่ผ่านมา

      Wakamatwe pia mashoga na wasagaji ili tuamini tunafuata sheria.

  • @robertzingu9889
    @robertzingu9889 7 วันที่ผ่านมา +4

    Mmh, hii kalikali kwelikweli. Yaani polisi hujui unamkamata mtu kwa kosa gani badala yake unawaburuza tu watu na kuwaweka selo?? Huu ni u - polisi au uhuni na ujambazi tu? Je, ni kwa kuwa tu umepewa amri na Mkuu wa Wilaya? Bongo tuna kazi kwelikweli!!

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 7 วันที่ผ่านมา

      Alafu mnasema police wakenya hawana akili kumbe wanajua Sheria 😂😂😂

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 7 วันที่ผ่านมา

      Nchi hii tumekubali kufanywa hivyo ndio maana tunaburuzwa tu

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 7 วันที่ผ่านมา

      ​@@deogratiusyudatadei5658Wanajua Sheria na wanajua wakiua watu watapelekwa Mahakama za Dunia za Haki za binaadamu kama walizopelekwa wale walioua Rwanda .Kwa hiyo wanajua mipaka yao ,hata hapa Tanzania ni vile hawajadhuru raia la sivyo huwa Dunia inaona .Kumbe Raisi Ruto Jana aliamuru Jeshi liingie barabarani lakini wamegoma maana wanajua wajibu wao na wanajua hatma yao itakuwa ni Jela

    • @mwajabuYusuph
      @mwajabuYusuph 7 วันที่ผ่านมา

      Hii game GG haitoii😮 man

  • @NellyDibaling
    @NellyDibaling 7 วันที่ผ่านมา +2

    Uyu jamaa ni mtu na nusu anajua anacho kifanya

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo 6 วันที่ผ่านมา +1

    Wee wakili
    Subirikdg utavuna ulicho kipanda unatetea zinaa pumbavu bora miye nisiyesoma

  • @user-vl4rz6lf6d
    @user-vl4rz6lf6d 6 วันที่ผ่านมา +1

    Sijaona wakili mjinga Kama huyu unatetea jambo ambalo limeharamishwa na mungu au Hana dini huyu?

  • @BonnyMwajombe-iu7hb
    @BonnyMwajombe-iu7hb 3 วันที่ผ่านมา +1

    Makahaba wanaisaidia sana serikali dhidi ya ubakaji,maana wasiojua kutongoza wanaonyesha hela tu na kupewa huduma ,

  • @PeterMchomvu-gv1bq
    @PeterMchomvu-gv1bq วันที่ผ่านมา

    Hakuna kosa mtu kuuza mwili wake polisi wahamie mitaani wanyoa kiduku😂wakamatwa waondoa plet number

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z 7 วันที่ผ่านมา +1

    TEMBEENI MADADA POWA HAWAJAWAHI KUISHA TAUNI...HAMUYAJUI MACHAKA NYIE

  • @user-vv6ox9xh9k
    @user-vv6ox9xh9k วันที่ผ่านมา

    Nashuhudia Dunia inavyomalizwa na wasomi 😅

  • @SalmaSuleiman-ir7zt
    @SalmaSuleiman-ir7zt 2 วันที่ผ่านมา +1

    Selikali hainakazi yakufanya kwasasa madada powa tokaenzi za

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa 2 วันที่ผ่านมา

      Tunajenga Utamaduni gani kwa taifa kama watu watakuwa wanajiuza kutakuwa na madada watakaokuwa tayari kujenga familia

  • @jamaliddiin9357
    @jamaliddiin9357 7 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe ni ziro pita
    huna akili

  • @Ntabalibabbutuga
    @Ntabalibabbutuga 6 วันที่ผ่านมา

    Kweli kabisa

  • @PeterJustin-ke5mk
    @PeterJustin-ke5mk 4 วันที่ผ่านมา

    Samahn naomba namba za wakiri peter madereka

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 7 วันที่ผ่านมา +1

    Hawa mapolice nao wanatumika vibaya, yaani unakwenda kuwakamata watu bila kujua unawakamata kwa kosa gani, hii ni aibu, nakuomba sana kaka Madereka wanyooshe hao watovu wa nidhamu.

    • @edsonnelson4464
      @edsonnelson4464 7 วันที่ผ่านมา +1

      Watanzania bhana kwa hiyo hamjaona kosa, mawakili Mungu anawaona

    • @ramadhanchenga4606
      @ramadhanchenga4606 7 วันที่ผ่านมา

      ​@@edsonnelson4464 ww onyesha hilo kosa

  • @user-qz2cs5wm5u
    @user-qz2cs5wm5u 3 วันที่ผ่านมา

    Uyo akimu atakua ni ccm asie elewa shelia na aki

  • @jumannentimizi9000
    @jumannentimizi9000 4 วันที่ผ่านมา

    KUNA WAJINGA WANATOA MAONI YA KISHABIKI BADALA YA KUSOMA SHERIA NA NINAWÀSHAUTI WANATOA MAONI YA KISHABIKI WAKASOME SHERIA ZA NCHI.WASOME CLIMINAL LAW,CLIMINAL EVIDENCE,CLIMINAL INVESTIGATON ZOTE WASOME PIA WASOME KATIBA YA NCHI INASEMAJE WASITOE MAONI YA KISHABIKI

  • @azizimtege
    @azizimtege 7 วันที่ผ่านมา +1

    Ivi kumtetea malaya hujui kama ni kumkosea mungu au huyu wakili hana dini? Anajionesha kuwa yey hajitambui Mmmmh

    • @ZawadiHaidary
      @ZawadiHaidary 4 วันที่ผ่านมา

      Usiihusishe sheria na dini

    • @catherinecostantino2034
      @catherinecostantino2034 4 วันที่ผ่านมา

      Je yesu pia alimtetea Malaya??? Hakuna aliyemsafi , Soma kilichotokea Italy mpaka serikari nzima ikajihuzuru

  • @devangandhl2255
    @devangandhl2255 6 วันที่ผ่านมา

    Wakili uanwatetea watanzania wote itakuwa hatari kukamatana kwa mavazi na sehemu na muda ya ulilokuwa

  • @kalebomawande6057
    @kalebomawande6057 7 วันที่ผ่านมา +1

    Kizazi cha rutu yaani Sodoma na gomola kibeliti kinawahusu

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 6 วันที่ผ่านมา

    NLIKUWA NAKUKUBAL ILA KWA HILI UMEJICHAFUA KUNA WATU WA MAANA AMBAO UNGEWEZA KUWA SAIDIA MAHAKAMAN SIO HAO😢😢😢😢

    • @humphreymwihambi4330
      @humphreymwihambi4330 6 วันที่ผ่านมา

      Kajichafua kwa lipi sasa. Nchi inaendeshwa kwa sheria sio unakurupuka tu kukamata watu.

  • @joshuamwambene2874
    @joshuamwambene2874 3 วันที่ผ่านมา

    WAKILI uwe upande wa neno la MUNGU amri ya 6 inasema USIZINI ...Wacha MUNGU wote tunakushangaa

  • @msafirithomas7751
    @msafirithomas7751 3 วันที่ผ่านมา +2

    Kweli nimeamini hizi ni reasoning age wakili na akili zake anatetea upumbavu huu is very sad kabisa mungu wewe atakuhukumu

  • @DaimonMwapelele
    @DaimonMwapelele 6 วันที่ผ่านมา

    Pumbavu kabisa unatetea uovu yaan unaongea ujinga, Hawa mawakil tukae nao chonjo kumbe Hawa makil ndio wanaoharibu maadil shenzi kabisa wakil kenge

  • @SofiaNdundu-ty3jz
    @SofiaNdundu-ty3jz 4 วันที่ผ่านมา

    We wakil taira ww

  • @HussenMkisi
    @HussenMkisi 3 วันที่ผ่านมา

    Huyu hakimu analana

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 6 วันที่ผ่านมา

    YAN KWEL UNATUMIA TAALUMA YAKO KUTETEA UKAHABA

    • @issashekh4726
      @issashekh4726 3 วันที่ผ่านมา

      Hii nchi inahitaji watu makini sana

  • @user-nn2hl1tw3z
    @user-nn2hl1tw3z 7 วันที่ผ่านมา +3

    Huyu wakili na yeye ni malaya vile vile kama hao anao watetea

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 7 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂kumbe na ww umeona eee😂

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 7 วันที่ผ่านมา

      Wewe mwenyewe na mamako malaya umezaliwa mkunduni

    • @mohddelo
      @mohddelo 7 วันที่ผ่านมา +1

      Huyu wakili anatetea machakudoa ni shoga

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 7 วันที่ผ่านมา

      @@mohddelo wewe ndio shoga kenge wewe tena kuma

  • @AbdulmujibAhmed
    @AbdulmujibAhmed 7 วันที่ผ่านมา +1

    Ipo haja police wapewe eleimu zaidi

  • @FredrickMnyakiwele
    @FredrickMnyakiwele 7 วันที่ผ่านมา +1

    Ila kweli tukiwambia mawakili wa chadema mkapimwe akiri mnakataa

    • @makindimbo1851
      @makindimbo1851 4 วันที่ผ่านมา

      Pole kwa ufahamu wako mdgo....hao waliokamatwa ni chadema...

  • @wisebigalaleftfwambo7928
    @wisebigalaleftfwambo7928 4 วันที่ผ่านมา

    😅

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo 6 วันที่ผ่านมา

    Weewe wakili unayetetea umalaya mungu anakuona

  • @abubakarmwasumilwe7070
    @abubakarmwasumilwe7070 3 วันที่ผ่านมา

    Mjinga ww angelifanya mama ako je

  • @athumanbalozi9748
    @athumanbalozi9748 7 วันที่ผ่านมา +1

    Nishoga huyo wakili
    Unatetea umalaya

    • @makindimbo1851
      @makindimbo1851 4 วันที่ผ่านมา

      Mungu akusamehe kwa hujui unachokisema..

    • @ZawadiHaidary
      @ZawadiHaidary 4 วันที่ผ่านมา

      Nyie hamjui nini anachokipigania hapo