MAPOKEZI YA KIBINGWA! ALLY KAMWE ALIVYOTIKISA MBEYA NA MAKOMBE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ค. 2024

ความคิดเห็น • 92

  • @user-iu2cm5um6e
    @user-iu2cm5um6e 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +21

    Asañte baba mwenyezi kwa kuwasafirisha salama viongozi wetu na wote walioambatana nao pamoja, twashukuru kwa yote Baba, Amina

  • @abednegoLumala-po3zc
    @abednegoLumala-po3zc 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Yanga tutakuja kuua watu kwa presha😅🙌🙌🙌maana hii Sasa sifa yangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa 💚💚💚💚💛💛💛✅

  • @user-nm2jq7xo5f
    @user-nm2jq7xo5f 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +11

    Hawatuwezi ngao ya jamii wanakula saba

  • @msabahamalonda2249
    @msabahamalonda2249 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Asanteni wananchi Mbeya mmetuwakilisha vzr❤❤❤1 Kigoma na 2 Mbeya❤❤❤❤❤

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Ni ngumu kuamini huu ni msafara wa yanga balaa Tisha sana nyanda za juu kusini malafyale,.

  • @upendogidion5167
    @upendogidion5167 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Waaaooooooooh kwetuuuuuu kuzuriiii Yangaaaaa hoyeeeeeeeeee rahaaa tuuu na humuuuuu tuuuuu mwakan Bingwa tena Mungu timiza💛💛💛💛💛💛💚💚💚

  • @PriscaDalus
    @PriscaDalus 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Jamani yanga hii mi naishi nafuraha sana msafara kama wa raisi wa nchi mmhhhhh hongera Aliy kamwe

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kyela yanga mmetisha sana, kazi nzuri sana Ałły kamwe na viongozi wote wa yanga💚💚🇹🇿🇹🇿💛🌻💐

  • @user-vi7ly9zh1q
    @user-vi7ly9zh1q 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    I love you yanga 💋mwaaaaaaaaa💚💛💛💛💛💛💚

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Mungu asante Kwa hii furaha tuliyo nayo

  • @fredyalex8909
    @fredyalex8909 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +17

    Kama na ww umegundua tumefikisha subscribe laki 6 gonga like 💚💛💚💛👍

  • @user-cf2gy9cj4f
    @user-cf2gy9cj4f 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Duh ila yanga hz sasa sifa!.... Eee mwenyezi Mungu ibariki timu yangu pendwa Yanga sc

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Fantastic editing 💚💛💚💛fro Cambridge,UK..home sweet home

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hongera semaji Ali kamwe 🎉🎉🎉

  • @Mudathir-tx1md
    @Mudathir-tx1md 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    600k 🎉🎉🎉

  • @danielshauri6390
    @danielshauri6390 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Salute 🫡 kwa wananchi.

  • @DenisSanga-bj5ud
    @DenisSanga-bj5ud 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nyanda za juu mmetuheshimisha Yanga kwa vibe lenu tuko pamoja sana penda sana nyinyi watu

  • @Evance-op4jw
    @Evance-op4jw 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    atukuzwe Mwenyezi Mungu kwa kutuonyesha haya

  • @johnkirway8862
    @johnkirway8862 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    🎉🎉🎉

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Beautifullly done!