PRE SEASON DAY 1: DUKE ABUYA ANA BALAA/AWAKA MAZOEZINI SIKU YA KWANZA TU/MUONE HAPA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ค. 2024
  • #DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 173

  • @hamisibwanga674
    @hamisibwanga674 22 วันที่ผ่านมา +60

    Kama umemuona BALEKE Kuanzia Sekunde ya 44 Gonga Like Hapa

  • @thomsonleon134
    @thomsonleon134 22 วันที่ผ่านมา +13

    Alie muona baleke gonga like hapa 😂😂

  • @abdulikanga
    @abdulikanga 22 วันที่ผ่านมา +20

    kikubwa nikywaombea tu wachezaji wetu wasipate majeraha naipenda kuliko hata kula 💚💛💚💛💚💛

  • @MzeewaYanga-hm8jq
    @MzeewaYanga-hm8jq 22 วันที่ผ่านมา +7

    Wa kenya button iko hapa weka like zakutosha 🇰🇪 🇹🇿 ❤

  • @MbinyaPeter20
    @MbinyaPeter20 22 วันที่ผ่านมา +17

    Kama unaamini vikimbe hatuachi gonga like apoo 💛💚💚💛💛👍👍👍

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 22 วันที่ผ่านมา +3

    Mpaka waseme. Endeleeni kupambana wanajeshi wetu tuko nanyi kwa maombi. Daima mbele nyuma mwiko 🎉🎉🎉

  • @selasboy3966
    @selasboy3966 22 วันที่ผ่านมา +4

    Hii team nais ipo karibu kuchukua club bingwa africa

  • @nicodemusmemba1402
    @nicodemusmemba1402 22 วันที่ผ่านมา

    Tumeliona Hilo,jezi ya Young Africans mchezaji akivaa hata kama alikuwa mzee aonekana kijana mdogo

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 22 วันที่ผ่านมา +6

    SAFI SANA 👊 SEMA SHUSHENI JEZI MPYA 🎉🎉🎉

    • @emmanuelchilimo
      @emmanuelchilimo 22 วันที่ผ่านมา

      hata hiyo kali sana......pia YANGA ni kubwa la mikakati toa shaka ndugu yangu...

  • @babuumaeda7671
    @babuumaeda7671 22 วันที่ผ่านมา

    Tangu YANGA ianzishwe haijawah kuwa kama msimu huu🎉🎉🎉 BIG UP MANAGEMENT 🎉🎉🎉🎉

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 22 วันที่ผ่านมา

    MUNGU ni mwema hongera Sana Duke karibu Sana Tena Sana kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga

  • @user-iz3hs8jl5p
    @user-iz3hs8jl5p 22 วันที่ผ่านมา +1

    jamani jezi ya yanga ina upako ata mchexaji awe vp akivaa anaonekana tofauti na jezi nyingine sijui mmeliona ilo au mm peke yangu

    • @patridabernard9148
      @patridabernard9148 22 วันที่ผ่านมา

      Uko sahihi mie pia nimeliona hilo yaan nilimuona chama alipoitinga hiyo

  • @AziziKimbeJeradyJR
    @AziziKimbeJeradyJR 22 วันที่ผ่านมา +7

    Tunafanya mazoea wao wanazunguka tu

    • @emmanuelchilimo
      @emmanuelchilimo 22 วันที่ผ่านมา

      hahahahaha

    • @selasboy3966
      @selasboy3966 22 วันที่ผ่านมา +1

      Wameena kuuza unga kaka😂😂😂

    • @emmanuelchilimo
      @emmanuelchilimo 22 วันที่ผ่านมา

      @@selasboy3966 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @emmanuelchilimo
      @emmanuelchilimo 22 วันที่ผ่านมา

      @@selasboy3966 kAZI WANAYOOOO

  • @user-pk4so6gr6q
    @user-pk4so6gr6q 22 วันที่ผ่านมา

    Yanga bingwa in GSM voice😊😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @alfarahfoundation
    @alfarahfoundation 22 วันที่ผ่านมา +9

    Baleke🎉🎉🎉🎉🎉 nmemuona😅😅

    • @axumsharkun924
      @axumsharkun924 22 วันที่ผ่านมา +1

      Nioneshe na Mimi bas😂

    • @salmamlokela1987
      @salmamlokela1987 22 วันที่ผ่านมา

      Amevaa kikoi cha kijani​@@axumsharkun924

    • @amaniomar1755
      @amaniomar1755 22 วันที่ผ่านมา

      Yu wapi?

    • @mustaphahassan589
      @mustaphahassan589 22 วันที่ผ่านมา

      @@axumsharkun924 sekunde ya 44

    • @zainabuhussein
      @zainabuhussein 22 วันที่ผ่านมา +1

      Dk ya 1 angalia kwa umakin utaon kiduku 😂😂

  • @elizabetty-rt7py
    @elizabetty-rt7py 22 วันที่ผ่านมา +2

    Yani hizi silaha zilizo lentwa madhumuni yentu ni ya juuu kimataifa, na kumpiga mganga mvaaa nyekundu ndani inje kama ujuwi kusoma bas tazama hizi picha,

  • @user-ge3yd1tx5e
    @user-ge3yd1tx5e 22 วันที่ผ่านมา +3

    Morning Yanga ❤

  • @VON-NYANGARIKA-149
    @VON-NYANGARIKA-149 22 วันที่ผ่านมา +1

    0:44 BALEKE UPANDE WA KULIA KWAKO

  • @dengahmediatz1230
    @dengahmediatz1230 22 วันที่ผ่านมา +7

    Nimemuona baleke yulee

    • @JumaYusuph-dv3ot
      @JumaYusuph-dv3ot 22 วันที่ผ่านมา

      Nikajua ni Mimi 2

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 22 วันที่ผ่านมา +1

      Kwaiyo camera - man katoka boko ama

    • @amaniomar1755
      @amaniomar1755 22 วันที่ผ่านมา

      Wapi?

    • @mustaphahassan589
      @mustaphahassan589 22 วันที่ผ่านมา

      @@amaniomar1755 sekunde ya 44 na kiduku chake

    • @godfreyvicent355
      @godfreyvicent355 22 วันที่ผ่านมา +1

      Nikajua pekeangu

  • @user-wm4gd5nq1k
    @user-wm4gd5nq1k 22 วันที่ผ่านมา

    Familia 🔰 imeongezeka

  • @qaseemayoub6758
    @qaseemayoub6758 22 วันที่ผ่านมา +1

    Sipo kambini lkn kupitia hizi clips Yao yao ni mchezaji anaejituma sana mazoezin na ana respect sana

  • @davicopaul679
    @davicopaul679 22 วันที่ผ่านมา +3

    😂😂😂 litakufa jitu

  • @mgplustz
    @mgplustz 22 วันที่ผ่านมา

    Nasikia Ahmed Ally huwa anachungulia Yanga TV Mara Mojamoja

  • @axumsharkun924
    @axumsharkun924 22 วันที่ผ่านมา +3

    Kuna mtu atapigwa Kama koko bata elewa neno koko bata😂😂😂

  • @halimasawa611
    @halimasawa611 22 วันที่ผ่านมา +1

    THANK YOU YANGA KWA TULETEA GEN Z WENZETU💚🖤SIS MAGEN Z TUTALIPIAA CARD

  • @user-vj6py9tq9v
    @user-vj6py9tq9v 22 วันที่ผ่านมา

    Baleke nimemuonaaaa😂😂😂

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 22 วันที่ผ่านมา

    Allaah Akbar

  • @user-hy3en6vk5f
    @user-hy3en6vk5f 22 วันที่ผ่านมา

    We zombee🤣🤣🤣humu tuuu🥂

  • @Heniryahaz
    @Heniryahaz 22 วันที่ผ่านมา

    Watafariki tem hii😂😂😂

  • @athumaninyituki7011
    @athumaninyituki7011 22 วันที่ผ่านมา

    Kaziiiii

  • @abuuahmed7059
    @abuuahmed7059 22 วันที่ผ่านมา +1

    Kama kuna mchezaji aliyesajiliwa msimu huu basi huyu jamaa duka buya...watajuwa hawajuwi

  • @unclegmihale455
    @unclegmihale455 22 วันที่ผ่านมา

    Naipenda timu yangu Yanga...💚💚💪

  • @emmanuelchilimo
    @emmanuelchilimo 22 วันที่ผ่านมา +3

    WAPIIIIIIII SKUDU WETU, Mchezaji mwenye furaha wakati wooooooote? jamaa apewe maua yake, haoneshi utofauti hata kama akae benchi muda gani, na hii ndio maana halisi ya kuwa matured katika soka....kama niko sawa wana YANGA nipeni maua yanguuuu😆

  • @erastocyprian3555
    @erastocyprian3555 22 วันที่ผ่านมา

    Atari sana

  • @ziidyabdul1011
    @ziidyabdul1011 22 วันที่ผ่านมา +9

    Kama umemuona baleke gonga like hapa 😂😂

  • @matandularamadhani9800
    @matandularamadhani9800 22 วันที่ผ่านมา +1

    Amebaki Baleke kutambulishwa wananchi tufunge usajili wetu halafu tutakutana nao uwanjani 😅😅😅🎉

  • @Mwalimjoshua
    @Mwalimjoshua 22 วันที่ผ่านมา

    Tumesha muona baleke 😂😂

  • @abuu-bakarshaaban6246
    @abuu-bakarshaaban6246 22 วันที่ผ่านมา +1

    Hapa dube pale duke

  • @leahclemence5763
    @leahclemence5763 22 วันที่ผ่านมา

    Nilisema sikusema

  • @mugishamajeba9628
    @mugishamajeba9628 22 วันที่ผ่านมา

    2siishie kufulai 2 tujisajili 2we nakadi za wanachama tuwaunge mukono tim yetu ili fulaa iweze kudumu nawaliyo jisajili tulipie ada fulaa idumudaima

  • @HamisiSeneda
    @HamisiSeneda 22 วันที่ผ่านมา +2

    Ni motoooooo

  • @ntakakasendebayi9992
    @ntakakasendebayi9992 22 วันที่ผ่านมา

    Naipenda yanga peke yake💛💛💚💚🔰

  • @kisinzajohn1805
    @kisinzajohn1805 22 วันที่ผ่านมา +1

    namuona baleke jezi namba 11

  • @ZachariaPetro-gn8qc
    @ZachariaPetro-gn8qc 22 วันที่ผ่านมา +1

    Baleke nae tumemuona

  • @PeterCharles-wi1mk
    @PeterCharles-wi1mk 22 วันที่ผ่านมา +20

    Aliomuona Baleke like hapa

    • @Mary-fs4mc
      @Mary-fs4mc 22 วันที่ผ่านมา

      Kidogo tu nikuombe miwani😂

    • @flavianajohn5250
      @flavianajohn5250 22 วันที่ผ่านมา

      Sjamuona mimi😒😒😒

    • @chrissantkaunda9958
      @chrissantkaunda9958 22 วันที่ผ่านมา +1

      Baleke nimemuona

    • @dayanandama8873
      @dayanandama8873 22 วันที่ผ่านมา

      Nmepambana Hadi nmemuona

    • @TwahaMdaki-ym4nj
      @TwahaMdaki-ym4nj 22 วันที่ผ่านมา

      Cheki pale sekunde ya 44 hivi .
      Kama kibwana ananyoosha mkono​@@flavianajohn5250

  • @luisojr3480
    @luisojr3480 22 วันที่ผ่านมา

    Jamaa alilijua ball huyo no comment

  • @KafrogyPep
    @KafrogyPep 22 วันที่ผ่านมา

    254#🔥🙌🏿

  • @barakaomari3448
    @barakaomari3448 22 วันที่ผ่านมา +4

    Nani kamuona baleke😂

  • @DanielMaksiro
    @DanielMaksiro 22 วันที่ผ่านมา +1

    TUWAFATENI UKO UKO MISR BANA😅😅

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 22 วันที่ผ่านมา

    Karibu 🎉🎉🎉🎉duke

  • @EsterClement-f1c
    @EsterClement-f1c 22 วันที่ผ่านมา +3

    Bareke

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 22 วันที่ผ่านมา +1

      Nimemuona Jean othos Baleke... Wanapita kibwana , faridii mbele unamuona Mwamba mwenye kiduku chakee

  • @GASHFALIVINGSTONE-yy4zc
    @GASHFALIVINGSTONE-yy4zc 22 วันที่ผ่านมา +1

    Mm nmemuon balekeeeee au mach yangu

  • @amanilubisha524
    @amanilubisha524 22 วันที่ผ่านมา

    Wooow balek kavaa jezi 11

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 22 วันที่ผ่านมา

    Duke abuyaaa

  • @husseinkombo-3447
    @husseinkombo-3447 22 วันที่ผ่านมา

    Yani uyu abuya ndo mtu hatari zaidi hapa yanga mtaniambia

  • @B.M-ix4rz
    @B.M-ix4rz 22 วันที่ผ่านมา +1

    Nimemmicy moloko muda wake huu wa kukaribisha wageni

  • @josepeter8033
    @josepeter8033 22 วันที่ผ่านมา

    Nimemuona BALEKE😂

  • @peterjairours7194
    @peterjairours7194 22 วันที่ผ่านมา

    Nondo mkorofi Sana😂😂😂😂😂

  • @Enock-sy2en
    @Enock-sy2en 22 วันที่ผ่านมา

    Oa baleke huyoooo!!!😮

  • @sulehamad8700
    @sulehamad8700 22 วันที่ผ่านมา

    mm nimemuona baleke akiwa nabibzi ya zambarau

  • @hashimurashidi6573
    @hashimurashidi6573 22 วันที่ผ่านมา

    Yanga nitishio africa

  • @user-yo4wt5op2e
    @user-yo4wt5op2e 22 วันที่ผ่านมา

    Nimemuona baleke😅

  • @ismahafidhi1756
    @ismahafidhi1756 22 วันที่ผ่านมา

    ko musonda ndo baba jeni bye bye

  • @OscarStar-iq1zj
    @OscarStar-iq1zj 22 วันที่ผ่านมา

    da iyanga mbona inanipa iman kubwa sanaa?

  • @yussufyusesa4611
    @yussufyusesa4611 22 วันที่ผ่านมา

    Baleke yule

  • @ThuwaibaMkana
    @ThuwaibaMkana 22 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉🎉

  • @babuumaeda7671
    @babuumaeda7671 22 วันที่ผ่านมา

    Kama si shabik wa YANGA anza kuandaa dozi dawa ya presha maana msimu huuu ni maumivu tu 😂😂😂😂

  • @zakayomaendeleo
    @zakayomaendeleo 22 วันที่ผ่านมา

    Hatari

  • @mustaphahassan589
    @mustaphahassan589 22 วันที่ผ่านมา

    waliomuona Baleke

  • @zainabuhussein
    @zainabuhussein 22 วันที่ผ่านมา

    Nmeona watu wanacomment wamemuon baleke 😂 imebid nirud niangalie ten kwa umakin kweli bhan camera man ametoa boko😂😂 dk ya 1 angalia kwa umakin 😂😂

  • @BasuleBasule
    @BasuleBasule 22 วันที่ผ่านมา

    Bareke Mmemficha Wapi Jaman

    • @ShaibuMkullu-ck6sl
      @ShaibuMkullu-ck6sl 22 วันที่ผ่านมา

      Angalia vizuri kuanzia sekunde ya 44 utamuona mbele ya FARIDI MUSA , kanyoa kiduku.

  • @user-ql6hg7fy9p
    @user-ql6hg7fy9p 22 วันที่ผ่านมา

    Ikawe heri kwake

  • @user-jv2zw3jo3b
    @user-jv2zw3jo3b 22 วันที่ผ่านมา

    Baleke yupo apo bhn

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 22 วันที่ผ่านมา

    Duuh alwatan unatakiwa upigwe fain mtu ajatambulishwa unamchukua video 😂😂nimezoom mpk nikamuona baleke mwanzo nilijua ni boka

  • @Adrianolaurian
    @Adrianolaurian 22 วันที่ผ่านมา

    Baleke na yeye ndani

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 22 วันที่ผ่านมา +2

    HIVI WACHEZAJI WÈTU WASHAPEWA SEMINA NA MALENGO YA YANGA YA MSIMU HUU??

  • @mzalendo_mwenye_mapendo
    @mzalendo_mwenye_mapendo 22 วันที่ผ่านมา

    🔰

  • @DatyVena-ph3sz
    @DatyVena-ph3sz 22 วันที่ผ่านมา

    mmeshaanza kuwachangany wachambuz jmn hawaelewi huku

  • @kisinzajohn1805
    @kisinzajohn1805 22 วันที่ผ่านมา

    aucho na 😂diarra wako wapi

  • @OmaryKihimbwa
    @OmaryKihimbwa 22 วันที่ผ่านมา

    Aucho mbona ayupo?

  • @AllyMasangaluka-bm5ib
    @AllyMasangaluka-bm5ib 22 วันที่ผ่านมา

    Aondio wachezaji wameshiba na walefu tukutane kwankapa

  • @gharibbilal9180
    @gharibbilal9180 22 วันที่ผ่านมา

    Malengo kuingia makundi

  • @user-vv5vq6dy2i
    @user-vv5vq6dy2i 22 วันที่ผ่านมา

    Nani kamuona baleke 😂😂😂😂

  • @seifmsabah4384
    @seifmsabah4384 22 วันที่ผ่านมา +1

    Yan cjafaham yanga haswa wamedhamiria nn mara hii? Naona usajili kwakweli ni shuhuli haswa, huyu Duke Abuya nahic alikua star kweny timu yake na yule goli kipa wa ihefu ni balaa jengine na chama ndie staring wa simba kwa miaka yote yan bado nawaza kama mzee Said itakuaje hii move

    • @ismailkiwawas5982
      @ismailkiwawas5982 22 วันที่ผ่านมา

      Ujuee mi mpaka naiogopa 😂😂

  • @maryaugustino8716
    @maryaugustino8716 22 วันที่ผ่านมา

    Jamani musonda bado sijamuona

  • @manaseyona9260
    @manaseyona9260 22 วันที่ผ่านมา

    Mh mbona haonekan baleke?

  • @TechMuba-lt5nk
    @TechMuba-lt5nk 22 วันที่ผ่านมา

    💚💚💚💚💚✅

  • @ghostempiretv504
    @ghostempiretv504 22 วันที่ผ่านมา

    Yuko wapi aucho???

  • @gidoalfred8460
    @gidoalfred8460 22 วันที่ผ่านมา

    Hivi doctor wa mpira anarudi lini???

  • @VIVIANMUKULU-kr8xp
    @VIVIANMUKULU-kr8xp 22 วันที่ผ่านมา

    Bacca huyooooo

  • @fahmijuma8191
    @fahmijuma8191 22 วันที่ผ่านมา

    Mbona mara hiii hamna interview na wachezaji wapyaa

  • @ShauriBaruti
    @ShauriBaruti 22 วันที่ผ่านมา

    Kila la heri chama langu

  • @user-ce4id1ko8q
    @user-ce4id1ko8q 22 วันที่ผ่านมา +1

    Vizoez kidogo mshachoka 😂mtawezana kweli na rasta nyie wazee

    • @amaniomar1755
      @amaniomar1755 22 วันที่ผ่านมา

      Tusubiri dakika 90' ndugu yangu ndio tutajua wataweza ama wanashindwa

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 22 วันที่ผ่านมา +2

      Rasta za jobe au za Deborah

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 22 วันที่ผ่านมา

    Nani kamuona Moses phiri😅

  • @agrirelieftanzania561
    @agrirelieftanzania561 22 วันที่ผ่านมา

    Zoom sekunde ya 44

  • @user-qm5un9yc8r
    @user-qm5un9yc8r 22 วันที่ผ่านมา +1

    Nkbl

  • @markcossenaji8092
    @markcossenaji8092 22 วันที่ผ่านมา

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ephraimgasper5795
    @ephraimgasper5795 22 วันที่ผ่านมา

    Baleke

  • @allyhemedi9980
    @allyhemedi9980 22 วันที่ผ่านมา

    Musonda Ako wapi simuoni mimi

  • @emmanuelchilimo
    @emmanuelchilimo 22 วันที่ผ่านมา

    YANGA NI KAMA TIMU YA TAIFA YA IVORY COAST ndani watu, SUB watu tyuuuu