Magoli yote 21 ya Aziz Ki NBC Premier League 2023/24
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024
- NYUNDO 21 ZA AZIZ KI: Tazama magoli yote 21 yaliyofungwa na Stephane Aziz Ki kwenye NBC Premier League msimu wa 2023/24
Goli gani lilikuvutia zaidi?
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SokaLetuBambam #SokaLetuDamdam #AzizKi #Magoli #YangaSC - กีฬา
Sema kama vile Wachezaji wa bongo aziz ki sio level zake anawaonea tu
boy you deserve to be in premier league
Kenya naona tukifikia ligi y tz afta twenty yrs😢
True.. tuko chini.
😂😂😂
Wa kwanzaa naombeni likess za tanga❤
Congratulations 🎉🎉🎉🎉
The man with Master Ki
Aziz ki mpira mwingi sana ⚽️
yanga tafadhari tutumie hili dirisha kutafuta mshambuliaji mzuri, timu yetu imepiga hatua kubwa kisoka, tukitaka kupambana vizur clab bingwa msim ujao tutafute mshambuliaji mzuri, pengo la mayele halijazibika tukubali tukatae.. Msim ulopita tungekuwa na mshambuliaji makini tulikuwa tunawatoa sundowns dar wangelala hata goli 3, tulipata nafasi nzuri ila zilipotezwa na ukosefu wa uzoefu na clinicallity ya washambuliaji
Ni kweli pengo lipo lakini kumbuka tulishindwa kufuzu kwenda makundi ya Kilab bingwa alikuwepo na alipata nafasi ya kucheza
@@charlesbalinda4410 kipindi kile tim ilikuwa haijabalance, wachezaji walikuwa wanazoeana, mifumo n.k.. Saiz tim iko vizur shida ni mshambuliaji makini
Aziz ki will deserved to play in Europ
Man U wakimuona Azizi Ki tumekwisha 😢
The struggle was real
Kwani ligi inaanza lini?😅😅nimeimic timu yangu💛💚😊
Leo
Allaah Akbar
Messi wa Bongo 🎉🎉
😂 KAWAPIGA MATOBO 😅
Hivi kuna timu hajaipasua 😅😅😅😅😅😅
Unajua
Kama unakubali mwamba azizi ki alikua hana mpinzani hemu gonga like tujuane wananchi💚💛💚💚
Kaizer Chiefs will regret nothing about buying this boy❤
Tulienjoy sana hii game ya mwisho
Chapao🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Na bado Ki Aziz ni moto
Yanga tamu
Ki Aziz master