Jamani viongozi wa yanga,naomba msimu huu kusiwe na mechi za bure,haiwezekani ukawaone pacome,Aziz,chama,max,aucho dube, bure. Tunajua viongozi mnatupenda Sana mashabiki na sisi tunawapenda,lakini timu inatakuwa iwe na mzigo wa kutosha. Pia wanachama inatakiwa tulipe Ada zetu,kwa wale ambao si wanachama nao wajisajili ili wawe wanachama,na timu itapata hela itakayo saidia kwenye uendeshaji wa timu.
Mimi binafsi nawapongezeni sana KWA Upendo huo,Pacome,Chama na Azizi k mpira ni utalaam kipaji na karama na wala sio Vita,kashma na uhasama! ( One day yes Pacome & Azizi k in SsC may God with him( Bible,Isaiah chapter 41:10 and Yeremaiah 5:12 in name jesus christ) bye!
Hata Bacca pia haonekani, na Jezi yake imevaliwa na mchezaji mwingine,😢 Halaf Ally Kamwe anatuzuga kua jezi za mazoezini wanachangia kitu ambacho HAKIPOGO, Kila mchezaji lazima avae jezi ya namba yake iwe mazoezini au kwenye mechi.. Ngoja tuone
Bacca yupo kavaa jezi namba 4 hapo angalia vizuri,,na pia Ali Kamwe alisema jezi mnazowaona nazo mazoezini sio jezi rasmi hadi ligi ikianza watavaa namba zao🫶🏼
Chama kishaanza kung'ara maan alishapoteza hadi nuru ya uso❤❤wanayanga wenzangu like zenu tu nipate mtaji nawapenda
Ata mm namuona anapendeza sasa mwazo nilikuwa namuona kama babu ila mm😂😂
Yaan kawa kijana kabisa 😂😂
Utafikiri under 20
Khee😂😂😂😂😂
Kweli alikua kama mlevi
Like zenu tafadhali 😢 sijawahi kupata like ata siku moja humu jamn 😢😢
Jamani viongozi wa yanga,naomba msimu huu kusiwe na mechi za bure,haiwezekani ukawaone pacome,Aziz,chama,max,aucho dube, bure. Tunajua viongozi mnatupenda Sana mashabiki na sisi tunawapenda,lakini timu inatakuwa iwe na mzigo wa kutosha.
Pia wanachama inatakiwa tulipe Ada zetu,kwa wale ambao si wanachama nao wajisajili ili wawe wanachama,na timu itapata hela itakayo saidia kwenye uendeshaji wa timu.
Lazima wanachaama tulipie card zetu
Mashabiki/ Mwanachama hai wa timu,, ndo inavyotakiwa
Kwel kabxa
FACTS
Tuelekezane namna ya kujisajili
Wa kwanza mimi leo hahahahaah ❤..Big up yanga
Chama tukikupenda sisi wananchi inatosha kaka we love you 💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛
Yanga tamu
Duh Kuna Timu safari hii itakula 10 😂😂😂
Chama jezi imempendeza
Mimi binafsi nawapongezeni sana KWA Upendo huo,Pacome,Chama na Azizi k mpira ni utalaam kipaji na karama na wala sio Vita,kashma na uhasama! ( One day yes Pacome & Azizi k in SsC may God with him( Bible,Isaiah chapter 41:10 and Yeremaiah 5:12 in name jesus christ) bye!
Safi sana wanajeshi wetu Daima mbele nyuma mwiko 🎉🎉🎉
Alopenda IBRAHIM BACCA Kupewa Jezi namba Nne 4
Tujuane Please😊😊😊
Huyu Jamaa sio Mvivu ni vile walikua hawampi chakula.
😂😂
Khee jaman
😂😂😂😂
Oya punguza sifa😂😂😂😂
😂😂😂😂
Yanga bingwa.jaman Kwan ligi inaanza lini
Chama uzi wa yanga ume mpendwa aseee
Kila got litapigwa acha waje daima mbele nyuma mwiko❤❤❤❤❤
Bado AUCHO na DIARRA jeshi likamilike, ukiangalia vzr utawaona BALEKE na ABUYA kwa mbaaaaaliiiii😂
Bacca na mkude pia
Baka yupo hapo mbona@@adolfmathew9698
Bacca yupo hapo mbona kavaa Jersey number 4
Aaaah wakuu mbn baleke hayupo Sasa??
@@jacktanjackson6434 umetisha sana. Nmechek upya nimemuona
Mwaka huu miharisho tyuuuu makolo😅😅😅😅
Timu ya Taifa hii ❤❤❤
Nawaonea huruma watoto wa mo
aisee yanga tuna rahaaa sanaa
Yanga💚💚💚💛💛💛
Baka yupo . Mwenye no 4
mwamba uyu apa aziz kiiiiii
mtashobya josia nikiwa Kenya isibania atari sanaa iki kikosi
Yanga tunawatu watatukoma mwaka huu
Kweli bwana, kocha musa nae kapewa thank you
wachezaji wote🎉🎉🎉
Sasa hivi Chama anatabasamu tu😂
Kachangamka
Amekuja sehemu yenye upendo❤❤❤
Kweli aiseee na dube pia muda wote full tabasamu 😂
Lazima atabasam anajua yupo na mafundi wa ballyy
Anajua yupo na African Classic Players wenzake sio wale madunduka
🎉yanga mbingwa Tena 🎉
Hatariiiiiiii
😊😊 Young Africans
HII COMBINATION INAITWA C P A😂😂😂😂 HAMUOGOPI????
Nyieeee
😂😂kama unaona vile litakavyopigwa jitu nyingi nyingi vile😂😂🙌
Hawa simba na vile vitoto vyao wataleta team uwanjani kweli😅😅😅😅😅😅mbona hii ni hatari aisee
Allaah Akbar
Watu kumi zitawausu mwaka huuu
KICHA WA BOLI master GAMOND
Mkude,Diara,Aucho mbona hawaonekani?
Azizi KI, Chama na Pacome =ACP
Mwaka huu wajipange
Huyu jamaa Now days ANA RAHA
Yanga wanajali wachezaji wanawalea kwa upendo wa umoja pasipo kujali jina la mchezaji
CCC karibu kwenye pitch tilivu sio kule mlikokuwa mknaishi magetoni
Kiukweli mwamba anafulaha mnoooo💚💚
HII NDIYO MAANA YA HALISI YA CHAPAA
*CHAMA
*PACOME
*AZIZI
💚💚💛💛💛💛
Kikubwa msimu huu kusiwe na mechi ya bure watu tulipe viingilio na card za wanachama
Viongoz Chama mpeni miwili tenaaaaaaaaaaaa🤔🤔🫡🫡🔥🔥🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nice
Kama kikosi chetu kitajituma kambe la mabingwa linanukia pongezi kwa eng
Baca Simuoni au macho Yang
Aliyevaa jezi #4 ni nani au nami nimefananisha?!
Ndio yy #4@@josephatn5040
Yupo baca kavaa jezi namba 4
Vitalo fc huko BURUNDI sijui kutakua na stor saivi wakikumbuka tu walichopitia MAMELODI ?
Hatar na nusu aisee
Mbona uku chama anaonekana kama mtoto
kasi imeaza dadeki weka tuweke
Jeshii❤❤
Makolo watakula 8
Nafurqha kumwona azizk
💚💚💚💚💚💚💚
Kumbe yule doctor alikua serious aliondoka duuh nilizan ni kiki za wabongo tu😢
dr yupi ndugu Etutu au?
Yuko wapi kocha msaidizi wa Yanga?
Tunaomba maelezo tafadhali.
❤❤
🔥🔥🔥🔥
Yaan chama anafanya mazoezi huku anacheka nyie hamuogopi😂😂
🎉🎉🎉🎉🎉
Wasipo leta timu tutawafata uko uko mazoezin kwao 😂😂😂
Yanga
Aucho yuko wapi
Chama anapikwa
Kocha Musa yupo wapi?😢
Mussa yupo buana
Ndio kwanza picha la 2024-2025 Linaanza.kaa mkao wa kula.
Chama kapendeza jmn mpk raha
😢😢😢😢
Shekhani sio poa hayo macontrol walioyopiga apo na chama
Wap msond'Aucho,Diara na Bacca
YANGA kama ile REAL MADRID ADRID yakina ZIZU, RONALDO , BEKHAM, ROBERTO CAROS, LUIS FIGO nk.
Kwa mazoez ya yanga chama na dube tutegemee kuwaona wakiwa fit mara mbili zaid ya walikotoka
Chama hadi namhurumia maaan Avic Town sio poa😂😂😂atakimbia hata kwa viboko,monster mode😮
Timu tunayo na tuna tamba nayo
ikiwa huna taruma ya mpira unahisi wanapoteza mda tu
Mbna kama chama kawa mkubwa uku
Kama nawaona makolo 😅😅 hawapat usingiz
champions TPL & CAFCL
Hata Bacca pia haonekani, na Jezi yake imevaliwa na mchezaji mwingine,😢
Halaf Ally Kamwe anatuzuga kua jezi za mazoezini wanachangia kitu ambacho HAKIPOGO,
Kila mchezaji lazima avae jezi ya namba yake iwe mazoezini au kwenye mechi..
Ngoja tuone
Bacca yupo kavaa jezi namba 4 hapo angalia vizuri,,na pia Ali Kamwe alisema jezi mnazowaona nazo mazoezini sio jezi rasmi hadi ligi ikianza watavaa namba zao🫶🏼
Diarra , aucho musonda mbona hawapo
Musonda tp mazembe
Mkude pia umemuona
Nenda app
Mwamba siku tatu tu anang'ara 😂😂
😅😅😅😅nakwambia kawa mweupee😂😂😂😂😂😂😂😂
Kule alikua hapewi chakula😂
Coast union,Yanga,Azam Bado ni saizi moja wote wanaanzia chini 😂😂😂
We hebu Kaa kimya ukiendelea kupiga kelele ntakupiga 10 msimu huu😅😅😊
moyo tulia mjini kuna vya watu
Beki kisiki wetu yuko wapi jamani!!!!!
Jezi namba 4
ilitakiwa tupate msaidizi wa aucho
Mbn kiungo wang aucho cmwoni
Wapi musonda na diara
Simuonii mkudee jamani
Mkude out
Sio kweli@@peterfestor822
Kocha Ana para Kama tako😂
Tako la kike au kiume
Ukosefu wa adabu tuu harafu hii yanga Tv Debora umefata nini😊
😂😂😂😅😅😅@@JeniphaRobert
Utopolo ni utopolo tuu .Simba nd club kubwa Tanzania 🇹🇿,Caf mnaanzia chini hukoooo ,Mnyama anaanza Raundi ya pili
Chama atakuwepo round ya pili uko?
We kolo
Ukubwa gani kwenye kombe la wa mwisho😮😮😮😊😊😊😂😂 aibu kwenu.
Mbona beki kitasa baka haonekan
Yupo jezi no.4
𝑺𝒂𝒔𝒂 𝒉𝒊𝒗𝒊 𝒚𝒂𝒏𝒈𝒂 𝒕𝒗 𝒏𝒊 𝒃𝒖𝒓𝒖𝒅𝒂𝒏𝒊 𝒌𝒘𝒂 𝒘𝒐𝒕𝒆 𝒉𝒂𝒕𝒂 𝒖𝒌𝒊𝒘𝒂 𝒉𝒖𝒌𝒐 𝒎𝒊𝒔𝒓𝒊 𝒖𝒕𝒂𝒊𝒚𝒐𝒏𝒂 𝒕𝒖 𝒎𝒊 𝒗𝒊𝒅𝒆𝒐 𝒚𝒂 𝒄𝒉𝒂𝒎𝒂 𝒅𝒂𝒅𝒆𝒌𝒊 𝒉𝒂𝒌𝒊𝒎𝒃𝒊𝒍𝒊𝒌𝒊 𝒑𝒊𝒄𝒉𝒂 𝒎𝒏𝒂𝒛𝒊𝒐𝒏𝒂 𝒉𝒖𝒎𝒖 𝒕𝒖😂😂
Raha wananchi
Raha tupuu ona umoja upendo nidhamu jinsi vilivyotanda😂