MZEE MAKAMBA AWAVUNJA MBAVU RAIS SAMIA NA KIKWETE AKISIMULIA ALIVYOPATA UPOFU GHAFLA - "ACHA NISEME"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 มี.ค. 2022
  • MZEE MAKAMBA AWAVUNJA MBAVU RAIS SAMIA NA KIKWETE AKISIMULIA ALIVYOPATA UPOFU GHAFLA - "ACHA NISEME"
    Mwenyekiti wa CCM, Samia Suluhu Hassan, ameongoza mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi Taifa, kinachofanyika jijini Dodoma.
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

ความคิดเห็น • 41

  • @adam-saffi211
    @adam-saffi211 2 ปีที่แล้ว +7

    Jizi kubwa hilo, hakuna lolote, nchi inaliwa Kama vitumbua. JPM gone, wote wezi wakubwa wamerudi!

  • @deogratiasmwigulu76
    @deogratiasmwigulu76 2 ปีที่แล้ว +7

    Ccm mliiua ikaja magufuli akaifufua. Leo magufuli kaondoka mmefurahia mnanena yenu mmerudi kwa kasi mnaenda kuiua ccm kama mlivyoiua kabla ya 2015

  • @halimajamaniamekuwamndeme9617
    @halimajamaniamekuwamndeme9617 2 ปีที่แล้ว +1

    Makamba makamba makamba nakupenda sana, yaani naimani iko siku nitapiga hata picha na wewe, pia dada angu jamani samia nakupenda sanaaaaaa, ila iko siku hata nitakushika hata mkono. Nakupenda mama samia Sanaa, piga kasi dada angu samia

  • @khneesajumaa2052
    @khneesajumaa2052 2 ปีที่แล้ว +4

    Maghufuri ndoalifanya ccm isimame sasa subili 2025 mtajua hamjui

  • @gracegrace6200
    @gracegrace6200 2 ปีที่แล้ว +2

    Kama Mungu katuchagulia Samia basi Mungu hatupendi

  • @gracegrace6200
    @gracegrace6200 2 ปีที่แล้ว +4

    Nimeshangaa Huyu mzee kaupata kura 100% Nimeshituka. Bado tuna nchi ama TANZANIA imerudi kwa wenyewe? Na Watanzania tumekubali, KATULOGA nani?. CCM lazima watoke madaraka na legacy ya Hayati Magufuli iendelee. Huyu mama kawadanganya Watanzania. Samia hakuteuliwa kuwa Rais.

  • @Abc-kb4zo
    @Abc-kb4zo 2 ปีที่แล้ว

    Yaani mama napenda sana unavyo cheka...Mwenyezi Mungu akuweke..Ameen Ya Rabbal Alameen

  • @HemediHemedimikole-ez8lc
    @HemediHemedimikole-ez8lc 11 หลายเดือนก่อน

    Waramba asali

  • @lameckgeorge6182
    @lameckgeorge6182 2 ปีที่แล้ว +1

    Chama kinaenda kufa naiona Tanzania mpya yenye chama kisicho cha kinafiki

  • @magnusbugingo7471
    @magnusbugingo7471 2 ปีที่แล้ว

    Great job political by nature

  • @noahlarapho3411
    @noahlarapho3411 2 ปีที่แล้ว

    Ccm oyeee...

  • @citylinkproject9901
    @citylinkproject9901 2 ปีที่แล้ว

    msiongee sana hamjui kesho kitaibuka nini....? , " PALE UNAPOFIKIRI UMESIMAMA , ANGALIA USIANGUKE"

  • @thomasjohn3499
    @thomasjohn3499 2 ปีที่แล้ว

    MAKAMBA NI MTU MZURI SANA YEYE NI MUISLAM LAKINI ANAWAAMBIA SOMENI BIBLIA. SAFI SANA MAKAMBA.

  • @yahayasaidi3951
    @yahayasaidi3951 2 ปีที่แล้ว +1

    Wez wakubwa nyie mnakiua chama icho

  • @rauliandismasi4027
    @rauliandismasi4027 2 ปีที่แล้ว

    Makamba anafuraha sana kumuona kinana maana anajua kazi ya 2025 imeenda kuisha

  • @dodwiedwin3944
    @dodwiedwin3944 2 ปีที่แล้ว

    Nchi imebaki sasa mkononi mwenu mnafanta mnavyotaka! Nanyi mtakufa tu kama ambavyo mmemfanyia Jpm

  • @mainguburemo6186
    @mainguburemo6186 2 ปีที่แล้ว

    Mwigulu unasimama tu ila moyoni unautaka uraisi. 2025 hakuna goli litakaloingia mtafungwa tu tu dakika ya pili

  • @mainguburemo6186
    @mainguburemo6186 2 ปีที่แล้ว

    Hapo mtafungwa tu 2025

  • @iddyissa8110
    @iddyissa8110 2 ปีที่แล้ว

    Makamba kachoka mikopo unafuraia unaona ni asali malipo yake inakuwaje

  • @jtheophil5499
    @jtheophil5499 2 ปีที่แล้ว

    Mitambo sasa dah

  • @shambaiddi795
    @shambaiddi795 2 ปีที่แล้ว +1

    Lazimaa tuipendeee nchi yetu tuwe na amaani tuwe wazelendo tuelimikee tuwashinde watu wanafki wanapendaaa matumbo Yao wanatishas watanzaniaa tusiwaoogope tuwajibu vizuri kisiaasaa na kuiiipendaa nchi yetu kwani nchi hii imeshatengenezwa na wazeeee

  • @evarimdecoration4256
    @evarimdecoration4256 2 ปีที่แล้ว

    Kikundi cha Mungiki kimerudi

  • @adenmayala9298
    @adenmayala9298 2 ปีที่แล้ว

    Ha ha ha ha ha mnalamba asali nyuki zimeingia kwenye mzinga wa bibi!!

  • @emmaboka959
    @emmaboka959 2 ปีที่แล้ว

    Ni wakati wa wahuni jmn, tuvumilie jmn

  • @madukaj.j.6999
    @madukaj.j.6999 2 ปีที่แล้ว

    Mnalambaaa?

  • @thobiasmushangaki9470
    @thobiasmushangaki9470 2 ปีที่แล้ว +1

    Unafki mtupu

  • @shambaiddi795
    @shambaiddi795 2 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli siasaa ni kamaa njaa ya Simba kukosa kifarin maaanaa kifaru atamjeruhi Simba lakini Simba hakubali kushindwaaa hivyo watanzaniaa tuelimikee tuwe wajanja tuwe hodari tuwe Makini kuinjengaa nchi yetu siyo malumbano siyo kutafutanaaa na kulipizanaa visasi nchi haitakwenda mbele tuwe tunawajuwa watu waziri na kuwajuwaa watu wabaya waarifu WA nchi yetu

  • @mohamedkimungu2598
    @mohamedkimungu2598 2 ปีที่แล้ว

    Asali aliyoitengeneza JPM.

  • @simonkabuka9170
    @simonkabuka9170 2 ปีที่แล้ว +1

    CCM has lost direction.

    • @abdulkatalango2890
      @abdulkatalango2890 2 ปีที่แล้ว +1

      how

    • @Abc-kb4zo
      @Abc-kb4zo 2 ปีที่แล้ว +1

      Probably you have lost your direction.

    • @mahadshekh398
      @mahadshekh398 2 ปีที่แล้ว

      @@Abc-kb4zo Hawa keyboard warriors waache tu waropoke.Wamebakia matusi

    • @gracegrace6200
      @gracegrace6200 2 ปีที่แล้ว

      @@abdulkatalango2890 yo can see for yourself. All the corrupts are back to the government. Tanzanians are not fools. CCM can’t chose a president for them. The woman does not qualified to lead us. She lied to Tanzanians.

    • @abdulkatalango2890
      @abdulkatalango2890 2 ปีที่แล้ว

      @@gracegrace6200 hao wala rushwa unaodai wamerudi ni kina nani na lini walikamatwa kwa kosa hilo au ni chuki zenu na nyimbo mnazoimbishwa? tuliambiwa lowasa ni fisadi na tuliibishwa hivyo lowasa aliondoka ccm na baadae alirudi na kupokelewa na magufuli sikukuona miss english kushout mifano kama hiyo ni mingi alichofanya magu hata kama wakati mwingine alifanya kinyume na sheria na taratibu kwenu kilikuwa sawa ila akifanya mwingine inakuwa haramu

  • @ramahmdoe2660
    @ramahmdoe2660 2 ปีที่แล้ว

    CCM wote waizitu

    • @zaburonjoshua6987
      @zaburonjoshua6987 2 ปีที่แล้ว

      Mnanenepa kwakodi zetu alafu mnatunyeya mikononi 2025 mtaimba kuru lakini pulesha mtauguwa katiba mpya

  • @edithajoseph7675
    @edithajoseph7675 2 ปีที่แล้ว

    Ccm nayo iona Leo niile nilio ichukia miaka Sita au sabailio pita ambapo mambo mengi sana yamikuwa ya ajabu sana
    Nawaomba watanzania wakrito kwa waisalamu Kila mtu kwa dini yake tuiombee sana Tanzania