MZEE MAKAMBA AMJIBU BASHIRU HADHARANI ,AKUMBUSHIA YA MAGUFULI "WAMEAMUA KUMUITA ANAUPIGA MWINGI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 257

  • @lusajoyuda6145
    @lusajoyuda6145 2 ปีที่แล้ว +1

    I LOVE MY PRESIDENT SAMIA LAKINI HILI ZEE LIMEZUNGUA HATARII

  • @hassnsalim5156
    @hassnsalim5156 2 ปีที่แล้ว +22

    Kafa kipenzi cha Mwenyezi Mungu mtume Muhammad

  • @marianablessed6055
    @marianablessed6055 2 ปีที่แล้ว +1

    Kinaitwa Kiburi cha Uzima, Yesu Kristo Umesikia.

  • @noahvan6890
    @noahvan6890 2 ปีที่แล้ว +2

    Rip Julius kambarage nyerere, Rip john Pombe magufuli

  • @frejascompany6094
    @frejascompany6094 2 ปีที่แล้ว +26

    Hapa mama magufuli yupo hapo ,anasikia kwamba watu wazuri hawafi , kinana yupo,kikwete yupo, maana yake magufuli ni ......R I P JPM

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 2 ปีที่แล้ว +1

      Ni Msemo tu huo, kwa akili yako unadhani Mhe Makamba hajui Kuna kifo? Ila Watu wazuri Hawafi ni msemo tu ,watu wazuri huishi nasi milele

    • @aloyceiluminata3650
      @aloyceiluminata3650 2 ปีที่แล้ว +1

      @@ndukulusudikucho_ Acha kutetea ujinga uliingia akili mwake?

    • @pastorgodwinchengula7848
      @pastorgodwinchengula7848 2 ปีที่แล้ว

      Hatari Sanaa...nimeisikia hiyo aisee

    • @anodearsulusi7536
      @anodearsulusi7536 2 ปีที่แล้ว

      @@ndukulusudikucho_ Eti msemo????

    • @geraldtarimo3210
      @geraldtarimo3210 2 ปีที่แล้ว

      Kweli kauli hii ukiitafsiri,huyumzee amemaanisha jambo

  • @bedastusmichael7811
    @bedastusmichael7811 2 ปีที่แล้ว +11

    kujitambua ndio somo no1 duniani,endeleeni kujifurahisha watuWazima tunawachora tu.

  • @mamamdogo409
    @mamamdogo409 2 ปีที่แล้ว +4

    Mzee acha hizo nyinyi ni wajumbe ,jaji tuko tunawaona tu,mungu halali Wala hasinzii ccm mnaharibu wenyewe mna matusi tuite wanafiki mtakua kama aliye sema mungu anakojoa hovyo alipigwa na fimbo ya Musa muache mama ajipambanie sio kumuharibia kuita watu wanafiki😭😭🙏🙏2025

    • @antonywilliama2868
      @antonywilliama2868 2 ปีที่แล้ว

      danganya haohao hatupigi kura wapiga kura ni nyie kwani labda muibe

  • @bahatisamson2324
    @bahatisamson2324 2 ปีที่แล้ว

    Ni kazi sijui mhh

  • @Voice_of_Nzega
    @Voice_of_Nzega 2 ปีที่แล้ว

    HUYU MZEE 😂😂😂😂 hii ndio inaonyesha na wao wanazeeka siyo wenye akili tu

  • @singidaone5628
    @singidaone5628 2 ปีที่แล้ว +11

    Ila Mzee kwa kauli yako hiyo ya watu wazuri hawafi ina maana magufuli alikua mbaya ee duh ya mungu ni mengi hata nyinyi mtakufa tu One day

  • @godfreyibrahimmyagila978
    @godfreyibrahimmyagila978 2 ปีที่แล้ว +8

    Mwaka huu hatuwachagui

  • @salumbujjo2320
    @salumbujjo2320 2 ปีที่แล้ว +11

    Daah inasikitisha sana yaani mzee anaona Tanzania ni sawa na kampuni ya mtu. Mzee zama zimebadilika angalieni kwanza wananchi wana upendo gani na nyie

  • @camontecno691
    @camontecno691 2 ปีที่แล้ว +5

    Ww mzee mshenzi sana Kama mchawi vile

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 2 ปีที่แล้ว +4

    mnafiki sana hata ww utakufa nyau ww, kazi kujishaua na mazuzu yanapiga makofi mabwege

  • @sulimanmzee2310
    @sulimanmzee2310 2 ปีที่แล้ว

    YANI WEWE MZEE SHOGA WEWE MUUAJI

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 2 ปีที่แล้ว

    Kwani huyo mzee bado kiongozi CCM aaah vijana nao wapeni nafasi eti wanzuri hawafi ya kweli hayo ina maana kumbe huyu mzee ni mnzuri na hafi basi sawa Mungu ni mmoja huyu huyu!

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 2 ปีที่แล้ว

    Wazee wamechanganyikiwa,sio Kwa kujipendekeza huko,jamn usiombe mwanaume ajipendekeze yaaani mpaka anaharibu kabisa,hapa wana ccm mmefungw midomo hakuna kuchukua fomu kaeni kimya mpaka 2010 hio watu wafanye yao watu hawatoi mapovu bure,namkumbuka Magufuli,waziri wangu mkuu Mungu akutunze.

  • @kombedavis4056
    @kombedavis4056 2 ปีที่แล้ว +3

    Kiukwel nataman saana.....Samia asome hiz comments za watanzania wazalendo wengi huku mtaani ambao ukwel na uhalisia ndio huu....hizi kelele na hayo makofi hapo ni uongo mtupu....R.I.P JOHN JOSEPH MAGUFULI.....mzalendo wa kwel na msema kweli daima!

    • @bedastusmichael7811
      @bedastusmichael7811 2 ปีที่แล้ว

      Kabisaa

    • @julianaswai7846
      @julianaswai7846 2 ปีที่แล้ว

      Kamaa unajijuaa wewe n mbunge w jimboo fulani katekeleze uliyoyaahid kwa wananch wako. Kamm uliahid umem, maji n afya bora kwa wananch w jimbo lako tekeleza. Usipotekelez jiandae 2025 . Ikifik 2025 mmbunge wangu aliyechaguliw 2020 Mimi sitamp kurayangu kwasabab umeme sijapat had Leo tulipeleka hela y nguzo , baadae hela tulirudishiw at nguzo zimeisha!!!!!!! Mimi ninachojiuliz mtu akienda kulen hela hongoo Umeme wanamuwekea tena kwa harak lakini watu w vipato vya chini atuwekew kwa harak. Kijiji ambachoo akijapat umeme Ngasene kitongoj cha Neus ambacho kipo rombo user Mashim. Baadhi y hicho kitongoj umeme wanao. Mmbunge w rombo naomb fuatilia Hilo.

  • @andrewkatte2656
    @andrewkatte2656 2 ปีที่แล้ว +13

    Yan wewe Mzee ungejua mwanao anavyokwaza watz usingepata hata hyo jeuri ya kusimama hapo.Mzee wa Busara Insp Haroon

  • @adammalima3408
    @adammalima3408 2 ปีที่แล้ว +9

    Ngoja nicheke kidogo hahahaha,2025 mkirudi wote bungeni kama Sasa hivi ,mnitafute Niko paleee nimekaa

  • @ashuuuaisha9122
    @ashuuuaisha9122 2 ปีที่แล้ว +13

    Yaaaani zee kama hili linasimama na kupngea ukende hivi. Astaghafilullah Yaaaani makamba anasema watu wazuri hawafi inamaa magu alikuwa mbayaa ? Allah atawapaza ktk anga hamtakufa na kuoza

  • @sulimanmzee2310
    @sulimanmzee2310 2 ปีที่แล้ว

    CCM IMEFIKA MWISHO UYO MAMA LUMA NA WEWE MWENYEWE KUMA WEWE MZEE MJINGA SANA

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 2 ปีที่แล้ว

    Njaaa mbaya

  • @Manyara-Jr
    @Manyara-Jr 2 ปีที่แล้ว

    MZEE ANAONGEA SANA MPAKA ANTOKA KWENYE BUSARA

  • @peterdavid4230
    @peterdavid4230 2 ปีที่แล้ว +3

    Kumbuka nawewe apo ulipo ni binadamu na uko chini ya Mungu kua na cheo isikufanye uwezu kumblaspherm Mungu nakuhakikishia Mungu halali ipo siku na nyie mnaotapeli na kututesa watz Mungu atateta na wewe mzee makamba

  • @merinankullua5874
    @merinankullua5874 2 ปีที่แล้ว +13

    Kujipendekeza tu ,wazee wengine ,eti watu wazuri hawafi ,mmekuwa Mungu sasa .

  • @lilyg2134
    @lilyg2134 2 ปีที่แล้ว

    Huu sasa ni ubabe!!! Na anawatisha watu wasichukue Form ya Uraisi

  • @lekumolukumay6832
    @lekumolukumay6832 2 ปีที่แล้ว +6

    Kazi bado ipo vijana nendeni shambani

  • @KassimuMbarack
    @KassimuMbarack 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu amlaze mahali pema peponi JPM

  • @ludovickbenjamin6104
    @ludovickbenjamin6104 2 ปีที่แล้ว +1

    WAZEEE WANAFKII HAWAA, KWAIYO NYERERE, MKAPA NA MAGUFULI NI WABAYA

  • @ombenimbise8210
    @ombenimbise8210 2 ปีที่แล้ว +7

    Ndio maana yule jamaa aliwaita chama cha mambuzi

  • @PendoMwitewe-on3hj
    @PendoMwitewe-on3hj ปีที่แล้ว

    Uzuri rais wetu anajitambua na anauelewa .hao wengine njaa zinawafanya walopoke .achaneni nao.

  • @philiplenardsylvester6063
    @philiplenardsylvester6063 2 ปีที่แล้ว

    Samia,kikwete,hawatakufa wao ni wazuri

  • @harrishussein6992
    @harrishussein6992 2 ปีที่แล้ว +2

    2025 yanatokea maajabu hamtoamini

  • @StevenMasunga-f3d
    @StevenMasunga-f3d ปีที่แล้ว

    Kaa kimya, huna lolote huo mwingi uko wapi, bora aache kazi tu maisha magumu

  • @viatoryadam1556
    @viatoryadam1556 2 ปีที่แล้ว +8

    Ee mungu nijalie roho ya subira dhaa! Wazuri awafi akiwa na maana gan? mungu iv tz utuoni onyesha ukuu wako basi😔😌😌

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 2 ปีที่แล้ว +1

      Kwa akili yako unadhani Makamba hajui kama Kuna kifo? Msemo tu huo nyie watu wabara na kiswahili chenu cha darasani, Watu wazuri huwa hawafi maana hutajika na wanaishi nasi kama Mpendwa wetu Magufuli

    • @gosbertbuberwa6198
      @gosbertbuberwa6198 2 ปีที่แล้ว +1

      @@ndukulusudikucho_ Ubongo Wako Una Mavimavi Mkuu! Acha Kutetea Ujinga!

    • @imamuhamisi4421
      @imamuhamisi4421 2 ปีที่แล้ว

      @@ndukulusudikucho_ mim nilimielewa alivosema watu wazuri Hawafi ikimaanisha kua ata akifa anakua anakumbukwa na mazuri yake ndo maana wa huo msimo ila alkuja kunishangaza alivotoa mfano kua ndo maana mzee kinana yupo na mzee jakaya yupo bado , hapo ndo knichangany maana ake akimaanisha watu walikufa ni wabaya., kwaiy hio kaul yake bado sio nzur angeeishia tu kua watu wazur hawafi apo saw ila kaarb alivotoa mifano ya walohai

    • @bulugubujashi6378
      @bulugubujashi6378 2 ปีที่แล้ว

      @@imamuhamisi4421 manaake mpango uliandaliwa kabisa ili kuwamaliza wale walikuwa wanakwamisha mambo yao doh! Nchi ngumu sana hii

  • @sulimanmzee2310
    @sulimanmzee2310 2 ปีที่แล้ว

    WATANZANIA TUAMKE ATUWEZI KUWISHI NA MAJAMBAZI WAUAJI CCM WOTE WAUAJI

  • @afrasausenhofer8117
    @afrasausenhofer8117 2 ปีที่แล้ว +1

    Mkitaka kukosa kiti mrudisheni uyo bimkubwa 2025 🙂

  • @agathajoseph3034
    @agathajoseph3034 2 ปีที่แล้ว +2

    mungu tusimamie Hali mbaya

  • @lucasmanyama2892
    @lucasmanyama2892 2 ปีที่แล้ว +6

    R.p magufuli

  • @abeidramadhani6523
    @abeidramadhani6523 2 ปีที่แล้ว +2

    Mmmmh mzee mbona unafanya kufuru tena dah! R.i.P magufuli no one special like you.

  • @josephraphael425
    @josephraphael425 2 ปีที่แล้ว +5

    Ukumbi mzima hapo wanashangilia Kila mtu anajua anavopiga ela upandewake hii nchi bila kucharangana mapanga kwenye maandamano watatutawAla milele 🤛🤛🤛🤛 ndoige mawe rungu mapanga vinaitajika machoko nyie

  • @jituakilimali15
    @jituakilimali15 2 ปีที่แล้ว +1

    Wewe makamba kesho january akitimuliwa kwenye kiti utamgeuka samia

  • @meshack3266
    @meshack3266 2 ปีที่แล้ว +5

    mungu atawanyooosha naa misula iyoooo

  • @ashuuuaisha9122
    @ashuuuaisha9122 2 ปีที่แล้ว +4

    Ndio maaana mgeni yule wa jana ktk mkutano wenu aliwaita chama cha mambuzi

  • @seifhabib5987
    @seifhabib5987 2 ปีที่แล้ว +5

    Inamana Makufuli sio Mzuri ww Mzee rekebisha maneno yako Mungu hapangiwi

  • @godfreybikukana2079
    @godfreybikukana2079 2 ปีที่แล้ว +2

    Makamba unakera mzee wangu mfunze mwanao Anamhujumu mama njaa tu

  • @tausiathumani9408
    @tausiathumani9408 2 ปีที่แล้ว +1

    Mkimsimamisha Samia hatumchagui

  • @bintyommy6310
    @bintyommy6310 2 ปีที่แล้ว +1

    Naupinga vikali msemo wa kusema watu wazuri hawafi hapo si bure wenye akili wameelewa maana na hata wakidunda ipo siku kila nafsi itaonja mauti ni siku yao tu haijafika walikuwepo majemedari lakini leo ni historia tu imebaki Tumuogope Mungu jamani hivi dunia tu tutaiacha tujitahidini tukumbukwe kwa wema na sio kwa mabaya KIZURI HAKIDUMU

  • @jamesmasome359
    @jamesmasome359 2 ปีที่แล้ว +4

    Pumbavu zako.....

  • @Pcmony
    @Pcmony ปีที่แล้ว

    Mmeferi oneni Rana mafuriko kirakona magu atakumbukwa kamanyerere 2025 chadema

  • @rahmahersi6584
    @rahmahersi6584 2 ปีที่แล้ว

    Toboa Mzee Makamba......
    Unanifurahisha..Mungu
    Akupe afya na Umri......
    Ameen!!!!!

  • @nurubituro2839
    @nurubituro2839 2 ปีที่แล้ว +2

    nyie jidanganyeni mmtukane kipenzi cha watu ila tutakutana 2025 hata sisi wana ccm tumechoka

  • @peterbaton5251
    @peterbaton5251 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu hanawaona

  • @abdillahhassan6271
    @abdillahhassan6271 2 ปีที่แล้ว +2

    Kizuri hakidumu

  • @nurubituro2839
    @nurubituro2839 2 ปีที่แล้ว +1

    huyu mzee mnafiki na utakufa vibaya zee zima uvyo

  • @azizakiswili9063
    @azizakiswili9063 2 ปีที่แล้ว +1

    Ukisikia mtu mzima hovyo ndio hili zee.

  • @hamisijuma3276
    @hamisijuma3276 2 ปีที่แล้ว +2

    RIP Alileta ndege mpyaaaaaa!!!!!!!!!!!

  • @shinemakenzi8101
    @shinemakenzi8101 2 ปีที่แล้ว +2

    Unamanisha magufuri alikuwa mbaya wew mzee siyo?hicho kibur chako na waramba asali wezio kina mwisho wake hata nyie mtakufa tu mpuuz mmoja wew

  • @selemanshaban7496
    @selemanshaban7496 2 ปีที่แล้ว +5

    Wazee kama Hawa Kwa nchi hii enheeeee.....! subirini

  • @lucasmanyama2892
    @lucasmanyama2892 2 ปีที่แล้ว +3

    Kweli hiki chama hakina mambo ya msingi, badala tujadili maji na umeme mnaendesha masengenyo, dah!!!!

  • @sambulugu9988
    @sambulugu9988 2 ปีที่แล้ว +1

    Upumbavu huu ni wakushangilia kweli? Nyinyi sio Mungu!

  • @Elllllllllllly
    @Elllllllllllly 2 ปีที่แล้ว +9

    Huyu mzee ni wa kumsamehe bure,na kumuachia Mungu

    • @elizabethnoel5578
      @elizabethnoel5578 2 ปีที่แล้ว

      Hiki kize kishetan kweli huyo masamia ndo mzuli amefanya kipi

  • @mzalendo9678
    @mzalendo9678 2 ปีที่แล้ว +3

    Upuuzi upuuzi tu

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 2 ปีที่แล้ว +1

    Upuuzi mtupu.

  • @ibrahimkibira9943
    @ibrahimkibira9943 2 ปีที่แล้ว +5

    Hakuna lolote tusubilie tuone msijitape sana ....wanafki wa kubwa nyinyi dunia inawatazama

  • @isackdalushi2255
    @isackdalushi2255 2 ปีที่แล้ว +2

    Taifa likiendlea kuwa na wazee wa aina hii n hatar sana

  • @abuumaisarah6595
    @abuumaisarah6595 2 ปีที่แล้ว

    Umeshamaliza mzee wangu Makamba

  • @manjislogistics6374
    @manjislogistics6374 2 ปีที่แล้ว +1

    Chama Cha wapigaji

  • @mohamedkigwehe3561
    @mohamedkigwehe3561 2 ปีที่แล้ว +1

    Unayo yatamka mzee mngu akusamehe sana

  • @ibrahimkibira9943
    @ibrahimkibira9943 2 ปีที่แล้ว +6

    Wazeee wa hovyooo 😏😒

  • @ashirafukitololi540
    @ashirafukitololi540 2 ปีที่แล้ว

    Mzee wa kuongea pumba,eti wazul hawaf ili zee jinga kweli, chama Chenu kisharud Kule kilipotoka chama cha watu fulan, eti wazee wa chama ndo sisi, jinga sanaa hili zee, hongera mama samia nakupenda hila mimi hili zee naona likualibia tuu kauli zake za kipumbav sanaa

  • @dorisfabian4776
    @dorisfabian4776 2 ปีที่แล้ว +1

    Bahati mbaya zaidii ccm watatawala milele yote tz...nimewachoka kinoma natamani hata azaliwe mtu mwingine tu awapindue haki ya naniii

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 2 ปีที่แล้ว

    Maendeleo Tz ni ngumu sana , hii nchi ije itawaliwe Tena

  • @dianasago9214
    @dianasago9214 2 ปีที่แล้ว

    Yangu macho na masikio

  • @rubeniharuna1874
    @rubeniharuna1874 2 ปีที่แล้ว +3

    hakuna kitu

  • @bulugubujashi6378
    @bulugubujashi6378 2 ปีที่แล้ว

    Basi ngoja tusubilie umemchokoza Mwenyezi Mungu.

  • @MrNibiru2112
    @MrNibiru2112 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwa akili hii kwanini tushangae kukosa umeme na maji?

  • @habaccucisrael5328
    @habaccucisrael5328 2 ปีที่แล้ว +1

    JPM 🎉❤

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mzee punguwan sana maneno mengiii

  • @godlivasanya9173
    @godlivasanya9173 2 ปีที่แล้ว

    Hapo mm kura yangu haipo kbs

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 2 ปีที่แล้ว +3

    Nchi imeingia waramba tukutane 25

  • @denniselly7867
    @denniselly7867 2 ปีที่แล้ว +3

    Ushabiki na upambe ndio unaifanya taifa letu lisiendelee.

  • @laprincevonkingpin2538
    @laprincevonkingpin2538 2 ปีที่แล้ว

    Nyoka mwenye kengeza( CHENGE) HAJASIMAMA

  • @saimonseleka8792
    @saimonseleka8792 2 ปีที่แล้ว

    Kwamba hawa ndo waamuzi wa democrasia tz! Daa! Mungu atusaidie

  • @isamony58
    @isamony58 2 ปีที่แล้ว

    ampe nani kura nyingi uyo mm🙆‍♀️🙄🤫🤫

  • @shukurumbuba5123
    @shukurumbuba5123 2 ปีที่แล้ว +7

    semaaa lazima utafute ulajiii semaa hakuna jembe kama magufuli hata kama amekufaa ..

    • @michaelashery3444
      @michaelashery3444 2 ปีที่แล้ว

      Mtu akizeeka akili inapungua si unaona anabwabwaja.kisa raisi kampa mwanae uwaziri.eti watu wazuri awafi Ina maana waliokufa wote wabaya? Kama siyo utahila Nini? Wacheni kujipendekeza Kwa kuwa familia zenu Zina nehemeka.huku Kuna watu mlo mmoja unawatoa jasho.alafu viongozi walio wengiwapo Kwa manufaa Yao si Kwa kuwatetea wanannchi walio wachagua.alafu kwani mtu akitoa maoni yake kuuelezea uongozi basi anakuwa mbaya.kwahiyo viongozi wapi Kwa ajili ya kusifiwa akikosolewa ni kosa? Viongozi wetu wa ngazi zote kubalini kukosolewa.kama Kuna ukweli jilekebisheni ili nchi isonge mbele.mungu ibariki Tanzania.

  • @aroneymarjr9676
    @aroneymarjr9676 2 ปีที่แล้ว

    Sasa tunaamini kifo Cha Magufuli inashangaza sana kuona mnaongea kwa furaha maana hitaji lenu limetimilika lkn nawaambia hamko juu ya mungu, tupo hpa haiwezekni sasa mnajitokeza wazi kabisaaah mchna kweupe wanga wakubwa mnarudisha nchi nyuma ili familia zenu zineemeke 😭😭😞😞

  • @barakastive2447
    @barakastive2447 2 ปีที่แล้ว +1

    wa2 wazuri hawafi noma sana

  • @jameswilliam619
    @jameswilliam619 2 ปีที่แล้ว +1

    ccm tumechoka

  • @filipomatondo4040
    @filipomatondo4040 2 ปีที่แล้ว +1

    Kumbka kila nafsi itaonja mauti! Hakika ww Mzee haujielewi" Kama si laana,basi.....

  • @silaskojwando2450
    @silaskojwando2450 2 ปีที่แล้ว +2

    Makamba anapotosha katiba ya chama cha mapinduzi,enzi za mtu na kivuli zimepitwa na wakati,acha watu washindane, usijiweke ngao

  • @kijokombao5345
    @kijokombao5345 2 ปีที่แล้ว

    Pamoja na kwamba amezeeka lakini hayo maneno yana chuki ndani yake

  • @Pcmony
    @Pcmony ปีที่แล้ว

    Watuambie vizuri wabaya wakina naniwamekufa nyie mjozime data tutaona serazamagufuri zitapo waburuza ccm wakizitumia wapinzani kajenga kirakitu ata kipofu anajua Samia kafanya nn wazuriawo awafi watanzania tukiichaguaccm tutaendere kum weka rais Arie. Inje Kama kivu ira sautoyake ndio inaongoza nnchi ccm wakweri wanasabika majariwa bashiru porepore bashungwa jafo makonda bashi mwagama ndugayi mpina wariobaki mafisadi navibaraka was mstafu

  • @sulimanmzee2310
    @sulimanmzee2310 2 ปีที่แล้ว

    WATANZANIA MNAMSIKIA UYU BABU KACHANGANYIKIWA NA DAMU ZA WATANZANIA WALIOWAUA

  • @allytv1714
    @allytv1714 2 ปีที่แล้ว

    Ipo siku mpizani atashika nchi na iyo siku mafisadi wote mtakimbia nchi Mungu yupo mtatoka kwenye icho kiti wote wala nchi

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 6 หลายเดือนก่อน

    Hili zee linawaza hela tu Sasa wawapigie kampeni wabunge

  • @chrissmichaelmashouda1726
    @chrissmichaelmashouda1726 2 ปีที่แล้ว +2

    Unafiki unawasumbua tuu

  • @salha8799
    @salha8799 2 ปีที่แล้ว +2

    Fisa kikwe linafurahi

  • @abdillahhassan6271
    @abdillahhassan6271 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mzee jipu kati ya majipu alioyacha jpm