RAIS SAMIA ASHIKA KICHWA, MZEE MAKAMBA AKIWACHANA CCM "TUACHE UNAFIKI, TUAMUE LEO"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • RAIS SAMIA ASHIKA KICHWA, MZEE MAKAMBA AKIWACHANA CCM "TUACHE UNAFIKI, TUAMUE LEO"
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 1.1K

  • @jesuspowerfuldevotional
    @jesuspowerfuldevotional ปีที่แล้ว +15

    Kama unayapenda mazuri yote aliyofanya hayati Magufuli weka like zote hapa👍

  • @alinanuswe1704
    @alinanuswe1704 ปีที่แล้ว +65

    JPM was surrounded by wolves in shèeps clothing. RIP Magu.

  • @angelsylvester4795
    @angelsylvester4795 ปีที่แล้ว +82

    Magufuri tutakukumbuka milele baba pumzika kwa amani kipenzi cha moyo wangu💔💔💔😭😭🙏🙏

    • @mamita336
      @mamita336 ปีที่แล้ว +4

      Rest in peace dady

  • @bochchriss1412
    @bochchriss1412 ปีที่แล้ว +15

    R.l.p rais wa wanyonge 😭😭 tulikupenda na tutazid kukupenda daima😭😭 baba yetu

  • @titus_maridhia
    @titus_maridhia ปีที่แล้ว +28

    Wema hufa mapema, Rest in Peace Magufuli

    • @florameza3491
      @florameza3491 ปีที่แล้ว +1

      Mabaya hubaki ili yatubu badala ya kutubu yanabwabwaja tunajiuliza kwa mini Raid wakristo tu huaga dunia??

    • @gideonmhami9589
      @gideonmhami9589 ปีที่แล้ว

      Ndiyo ukweli ndugu pumzikeni salama viongozi wetu NYERERE MKAPA JPM

  • @janechacky3810
    @janechacky3810 ปีที่แล้ว +111

    Rest in peace Magufuli we are always in our hearts 💕

    • @lameckbutanga2325
      @lameckbutanga2325 ปีที่แล้ว +4

      We are always in our hearts ndo nini sasa 🤔🤷🏼‍♂️

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 ปีที่แล้ว +3

      Tafadhali, ungetumia lugha unayo ifaham vizur ili tuelew vizur dhamira yako

    • @chaxpeter5789
      @chaxpeter5789 ปีที่แล้ว

      😂😂😥🙏

    • @mohamedturanardan8871
      @mohamedturanardan8871 ปีที่แล้ว +3

      Yah we missed him because no zanzibar killed yet, no more bullets like for Lissu, no founds peoples died in the sea, no others like Azori and bensanane and Ali Juma...........................

    • @jeremiapeter683
      @jeremiapeter683 ปีที่แล้ว +2

      Hilo Ni kosa la simu ya TECNO..🤣🤣

  • @lilyjones3584
    @lilyjones3584 ปีที่แล้ว +38

    CCM imeshakufa, tunasubiri mazishi yake.

  • @djnnyandboy564
    @djnnyandboy564 ปีที่แล้ว +18

    Achen kujipendekeza kwan mama anatakiwa kuambiwa ukweli, nchi imemshinda kwan hakuna anacho kifanya zaidi ya madudu

  • @linnamlay3643
    @linnamlay3643 ปีที่แล้ว +37

    😂😂😂Wakati wenzangu mnahuzunika na hii kauli mi ni yatima lakini nimejikuta nacheka tuu. Nimejaribu kumtafakari Mungu nikawaza angekuwa ni mwanadamu halafu anasikia kauli jeuri kama hii. Ooh Mungu si wa hasira ni mwingi wa rehema,ametupa utashi tuchague wenyewe. Mungu nakuomba rehema kwa huyu mzee hajui asemalo, mpe uzee mwema, utakaokuwa na tija kiroho utakaokuwa na uwezo wa kujua jema na baya kwako. Kamkumbushe nafasi yako kwetu wanadamu uliotuumba.

  • @jeniphanzeran8231
    @jeniphanzeran8231 ปีที่แล้ว +27

    Huyu mzee ni hatari sana anaweza kuwagawa hata waccm wenyewe

  • @mussathomasdossa4687
    @mussathomasdossa4687 ปีที่แล้ว +47

    Wazuri hawafi nazani mama yerere mama mkapa mama magufuli wamelia Sana kauli hiyo daah mzee huyu mjinga Sana mungu atalifanyia kazi kaulihii

    • @Ndawoo
      @Ndawoo ปีที่แล้ว +1

      kwaiyo walikufa ni wabaya

    • @karaoglan9444
      @karaoglan9444 ปีที่แล้ว +3

      Jamani!!

    • @digitalaffiliatemarketing210
      @digitalaffiliatemarketing210 ปีที่แล้ว +3

      Yaani, Siku zote Mungu hutusikia na hutizama Yale yote tunayomtendea....Huyu Mzee makamba Kwa akili yake hiyoo amemkufuru mungu Kwa kiasi Kikubwa sanaaaaaaa.....Hapo inaonesha kuwa alikuwa hampendi Magufuli

  • @yusufunguruko8080
    @yusufunguruko8080 ปีที่แล้ว +55

    Kumbe uhovyo wa January Makamba karithi kwa baba yake, najua anapalilia ugali wa mwanae ila mama Samia hao wanakudanganya tu piga ua galagaza 2025 CCM lazima ikufie mikononi, kama huamini tuma watu waje huku mitaani wakufanyie utafiti wakawaida ktk vikundi vya watu mbalimbali utapata majibu, kiukweli kila mtu hakukubali kabisa kwani hata hiyo 2025 watu wanaona mbali sana, ila watu wako wa karibu uliowateua watakudanganya tu kwamba usihofu utashinda kwa ajili ya kulinda position zao kiunafiki - Ulichoharibu mama ni kuonyesha waziwazi Ile tu ulivyoingia kumchukia mtangulizi wako Magufuli na kugeuza njia, misimamo na imani (attitudes) zote alizozipandikiza kwa watu ambavyo kiukweli ndivyo vilivyosaidia Tanzania kuanza kung'ara duniani, Kwa misimamo yake, tuliingia uchumi wa kati tukiwa katikati ya janga la korona, watanzania heshima ilipanda duniani, miundo mbinu bwelele kila mahali, hivi Sasa mama tumerudi kulekule mwaka 47 watu wanafanya wanavyotaka, mama watu wa magharibi wakikusifia sana ujue umeshanasa kwenye njia zao Ili waendelee kukunyonya, hakuna mzungu anaetaka eti akusaidie uwe powerfully kiuchumi kama yeye Sasa atamnyonya nani ? Kwa nini Marekani hamtaki mchina au mjapani ? kama kweli wana Nia ya kusambaza upendo wa kwamba kila mtu ainuke kiuchumi ? somo Hilo mama, ndio maana Magu walimchukia kwasababu alishawastukia... RIP JPM.

    • @chacha-255
      @chacha-255 ปีที่แล้ว

      2025 mama ashapita bila kupingwa, Ccm mbele kwa mbele aietaka aende kutengeneza chama chake

    • @fransiskamwinuka4750
      @fransiskamwinuka4750 ปีที่แล้ว

      Sio wote unaowaona wanatembea barabarani ukajua wanaakili timamu, wengine akili zilishakufa amebakiwa na box tupu kichwani.

    • @willykyando5647
      @willykyando5647 ปีที่แล้ว +1

      Miizi mikubwa hiyo bila kubadilisha katiba yataiba nikelo Kubwa hicho chama kipo ajili ya matumbo yao

    • @willykyando5647
      @willykyando5647 ปีที่แล้ว +2

      Mzee umezeeka vibaya hata huyo mamaako Hera nizake ccm muage naakili ndio aliokua anasema bashiru hela Kodi za wananchi

    • @salumsaid1545
      @salumsaid1545 ปีที่แล้ว

      Unajidanganya sana na upuuzi wako, huyo magufuli mnaemsifia aliiba kura na kubaka matokeo Sasa akili kichwani mwako

  • @malimanyanja562
    @malimanyanja562 ปีที่แล้ว +11

    Alie gundua uyu Mzee Amezeeka vibaya amna kitu kichwani..

    • @mammasud991
      @mammasud991 ปีที่แล้ว

      Tena unaambiwa ni mkorofi vibaya 😁😁

  • @josephinemeela9098
    @josephinemeela9098 ปีที่แล้ว +50

    Rest in HEAVENS uncle Magu 😢

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 ปีที่แล้ว +5

    Team magufuri paka kufa mimi namagufuri siangaiki kupiga kula atakae pita ndio huyo mungu nijalie mwisho mwema

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 ปีที่แล้ว +1

      kaka muda ukifika akiwepo mgombea mzuri kampigie kura ndio dawa ya kuyaondoa haya mabuku

    • @jeniphanzeran8231
      @jeniphanzeran8231 ปีที่แล้ว

      acha ujinga hupigi kura!!! Kwahiyo magufuli atakuja kukuletea dawa hispitali au barabara huyu amemaliza mwendo wewe piga kura

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 ปีที่แล้ว +1

      @@jeniphanzeran8231 ukitilia maanani wenye uchungu na imani ya taifa wapo . na watajitokeza hapo mbele . Tanzania inahitaji kukombolewa kwenye mikono ya wezi na walafi walio jimilikisha hii nchi kwa muda mrefu na kuidumaza kimaendeleo

    • @PlatnamzChoma-gl4jw
      @PlatnamzChoma-gl4jw 5 หลายเดือนก่อน

      Umezeka. Vibaya

    • @chusseboywcb2808
      @chusseboywcb2808 5 หลายเดือนก่อน

      @@jeniphanzeran8231 nioneshe mzarendo nikampigie kura 🤣

  • @mwigakatumpula5695
    @mwigakatumpula5695 ปีที่แล้ว +20

    Body language ya kikwete ina onekana kuna sehemu ambayo Mzee ametereza kiasi kikubwa 🙆🙌😄

    • @raulianraphael6853
      @raulianraphael6853 ปีที่แล้ว +1

      Asante coz umeliona hlo

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 ปีที่แล้ว +2

      Wote ni hao hao tu!

    • @bahiyalumelezy3016
      @bahiyalumelezy3016 ปีที่แล้ว +2

      Nimemuona hajui la kufanya tu

    • @bahiyalumelezy3016
      @bahiyalumelezy3016 ปีที่แล้ว

      Jk hakupenda kabisaa anamuona km kachanganyikiwa huyu lopolopo amekuwa.jua limeshazama inaonyesha na gari imeshawaka hiyo.

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 ปีที่แล้ว

      @@bahiyalumelezy3016 asingependa kaur hizo asingecheka bana hivi watanzania huon hata pc kuwa kaur hizo zime mfurahisha kikwete? tazama tena kwa mara ingine uelewe vizur yaani kikwete kafurahiya kweli alivoambiwa yeye ni mzur hafi kacheka sana so wanamtuma nandio maana wanampa hata umwenyekit jana tu wamemchagua tena kuwa mwenyekit wa makatubu sasa sijui mnalionaje hilo anaongea mavi na wanampa cheo

  • @happypius4192
    @happypius4192 ปีที่แล้ว +46

    Huyu mzee anahati miiliki ya dunia ataishi alinde dunia kwahiyo sisi yatima wazazi wetu waliokufa walikuwa watu wabaya 😭😭😭

  • @salumjoka6286
    @salumjoka6286 ปีที่แล้ว +15

    Mama nafikiri ujumbe umeupata ukitoboa 2025 mungu mkubwa

  • @irmgardsamia1827
    @irmgardsamia1827 ปีที่แล้ว +14

    This man should rest "niujinga tu ipo kwa kichwa yake"

  • @ericron6115
    @ericron6115 ปีที่แล้ว +38

    Shida miaka.mingi huyu mzee akiongea watu wacheka, mzee wetu anahisi yuko Sawa lakini it's high time akosolewe, amenisikitisha Kwa waandishi

    • @saidikasheshe6349
      @saidikasheshe6349 ปีที่แล้ว

      Docƙita.wakala

    • @saidikasheshe6349
      @saidikasheshe6349 ปีที่แล้ว

      Kwanin.uteseke.wakat.dockita.wakala.yupo

    • @ibinyoma8067
      @ibinyoma8067 ปีที่แล้ว

      Magufuli ni rais wa aina yake tofauti na watanzania wengi. Ndiyo maana baada ya kifo cha Magufuli sifuatilii tena habari za Tanzania. I am from Bujumbura

  • @jamessimba749
    @jamessimba749 ปีที่แล้ว +5

    KWAHIYO NYERERE, MKAPA , MAGUFULI, KIJAZI Ndo wabaya waliokufa . KUNA UDINI UKO HAPA

    • @professorwangwande1752
      @professorwangwande1752 ปีที่แล้ว

      Wewe ndiwe mchochezi kaambali tukikuambia Italia yote huja yaona umeona Hilo wakitawala wabaya nchi inalia dhuluma umangi mezaa ngoja nikubakishe hapo

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 ปีที่แล้ว

      @@professorwangwande1752 lini dhuluma imetoweka Tanzania?

  • @josephatnyamageu1046
    @josephatnyamageu1046 ปีที่แล้ว +55

    Mungu atawaonyesha watanzania ukweli, Mzee huyu anakiburi cha uzima " Kweli watu wazuri awafi kwa mujibu wa Mlamba Asali baada ya kifo cha Rais Magufuli" tunapaswa kutafakali vizuri maneno haya yanaukweli Mkubwa ulionyuma ya pazia. Naliona giza zito katika nchi yetu ukweli unaongea daima RIP Magufuli ukweli unaongea daima.

    • @kabojamaluku7894
      @kabojamaluku7894 ปีที่แล้ว +1

      Ina umaa

    • @Desireyakubu
      @Desireyakubu ปีที่แล้ว +1

      Wazuri hawafi maana yake mazuri yao yanaendelea kuwafaa watu hata kama wao wamekwisha kuondoka duniani heroes get remembered &Legends never die🇨🇩

    • @barakajoseph2234
      @barakajoseph2234 ปีที่แล้ว +1

      Kuongea sana jukwaani Kuna kuharibu umeongea kauli tata Hadi watu wameshtuka na kutulia ukumbini uyo mzee cku nyngne asiruhusiwe nafasi Kama iyo Rais tunamuitaji Majaliwa 2o25 Hadi 2o35

    • @elensaid1508
      @elensaid1508 ปีที่แล้ว

      @@Desireyakubu ndomaana Kikwete hajafa

    • @Desireyakubu
      @Desireyakubu ปีที่แล้ว

      @@elensaid1508 hakuna ambae hatakufa

  • @ahamadially8351
    @ahamadially8351 ปีที่แล้ว +18

    Bado tunakazi kubwa sana nchi hii

  • @hamisathadeo4870
    @hamisathadeo4870 ปีที่แล้ว +7

    Unasema hili mwanao aendelee kutumyanyasa hovyo

  • @theophilojohn7331
    @theophilojohn7331 ปีที่แล้ว +15

    Ety wazuri hawafi. Jaman kwelii, kauli hiii inaonyesha kuwa huyu mzee alikuwa hampendi uncle magu kabisa afu anakelaaa kinoma, sie tumemkumbuka rais wetu tuliempgia kura jpm hao wengne mmmh sinajibu walitoka wapi rest in peace jpm nyerere mdgo

    • @jeniphanzeran8231
      @jeniphanzeran8231 ปีที่แล้ว

      Ccm wanajisaha sababu vyombo vya habari vyote ccm watangazaji wote ccm hawawatu wakimbilia ccm kwa sababu gani vyeo au watanzania tunateketea haya mambo si sawa vijana

  • @zanzibamafinga1735
    @zanzibamafinga1735 ปีที่แล้ว +9

    nashindwa wewe mzee nikuweke katika kundi gan

  • @mnyamakambi8468
    @mnyamakambi8468 ปีที่แล้ว +27

    Kafie huko mbele mzee unajipendekeza .mungu yupo rest in peace magufuli

    • @meryshekoloa961
      @meryshekoloa961 ปีที่แล้ว

      Wewe mwenyewe utakufa mbwa ww kwa hiyo wazazi wetu walikua wabaya kipenzi chetu magufuli alikua mbaya kwa sababu kakuinua wewe mwanamke na kumfukuza huyu jambazi makamba kinana na maendeleo tumeyaona mnaiba pesa tu maisha magumu nyie na watoto wenu mnaishi vizuri Bashir u anajielewa sasa 2025 mtaisoma namba tutalinda chama kwa kuweka kichwa tu mikono vidole vyote wapinzani.

  • @mzalendowaasili1727
    @mzalendowaasili1727 ปีที่แล้ว +5

    Makubwa nahama CCM, aibu tupu RIP MAGUFULI

    • @ibrahimkibira9943
      @ibrahimkibira9943 ปีที่แล้ว

      Fanya hivyo na pole kwa kuchelewa kuwajua hawa sio hiki sio chama sasa mzee wa hovyo kama huyu anasema unaogopa katiba??? Seriously 😐 ndio maana samia haifati katiba

    • @allyvuai9762
      @allyvuai9762 ปีที่แล้ว

      You are not a CCM potea tu

    • @ezekielmabwai482
      @ezekielmabwai482 ปีที่แล้ว

      Mzalendo, ilikuwa ccm unafanya Nini? Mbona asilimia 90 ya watanzania walihama siku nyingi tu? Wanaogopa risasi za mapolisi wa CCM tu na ndo maana wamekaa kimya.

  • @dullahkhalifa5312
    @dullahkhalifa5312 ปีที่แล้ว +12

    Kweli chawa hata wazee wapo

  • @stevenkuhanwa7819
    @stevenkuhanwa7819 ปีที่แล้ว +1

    KUUPIGA MWINGI
    Kwa mara ya kwanza ndani ya chama na serikali lilitumiwa na nani, wapi, na alikuwa akitoa ujumbe gani ndio tatizo kwa walio wengi linapoanzia!
    Ilikuwa ni kulinganisha viongozi wawili, mtumiaji wa msemo huo alihusisha kadi nyekundu na ya njano pia kwa viongozi husika!
    HOTUBA ni muhimu mno maana humdhibiti mzungumzaji na hupunguza makosa ya kihisia, uropokaji, jazba, nk!

  • @tanzania2559
    @tanzania2559 ปีที่แล้ว +32

    R.I.P Magufuli , tulikupenda na tutaendelea kukupenda daima 🙏🏾

    • @gideonmhami9589
      @gideonmhami9589 ปีที่แล้ว +1

      Umenena kweli kiongozi binafsi hata machozi yananitoka nikikumbuka JPM na watu wanavyomdhihaki kwa jeuri ya uhai waliopewa na MUNGU pumzika salama baba JPM

  • @geofreylucas1877
    @geofreylucas1877 ปีที่แล้ว +1

    Sas hapo Magufuli anafata nn kwenye Chama Mze??? au ndo kujikombakomba Tena kisa mpo huru sawa bhana tukutane 2025 nyambua mkubwa

  • @LumolaSteven
    @LumolaSteven ปีที่แล้ว +18

    Hii dhana ya Rais kuwa ndiye mwenye Fedha ni dhana potofu sana. Inaua morale ya wananchi kulipa Kodi. Ni lazima wananchi waambiwe Maendeleo hayawezi kuja mpaka walipe Kodi. Fedha ni za wananchi na wenye Nchi ni wananchi.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 ปีที่แล้ว +1

      Hayo yalikuwa mawazo ya Magu sio sasa

    • @meryshekoloa961
      @meryshekoloa961 ปีที่แล้ว +2

      Samia anahela kazitoa wapi anauza nini makamba kafe mbele hizo ni kodi za watanzania azokopa mnakula tulipe cc yatima na wajane makamba mtumzima ovyo dashi mkubwa wewe unategemea vya yatima na wajane mpaka kifo chako hutauona ufalme wa mungu na utaadhibiwa hapahapa duniani .

    • @christopherbomola4151
      @christopherbomola4151 ปีที่แล้ว

      Sahihi kabisa nasisitiza kila mara nguvu kubwa iwekwe kwenye kufundisha elimu ya Uraia ,watoto na watu wote waijue historia ya nchi yao,katiba yao,wajibu wao,na nini wajibu wa serikali kwao badala ya kuweka nguvu kubwa watoto wajue kiingereza tu,tunatengeneza msiba mkubwa huko mbele..

  • @muyamoja5023
    @muyamoja5023 ปีที่แล้ว +2

    Mnafiki wa kwanza ni wewe umesema wazuli hawafi maanayako nini? Umejipa uungu umekosea sana na umepoteza sifa

  • @hamisathadeo4870
    @hamisathadeo4870 ปีที่แล้ว +10

    Wewe Mzee hovyo kabisa eti watu wazuri hawafi

    • @joezeno8
      @joezeno8 ปีที่แล้ว

      Huyu Mzee hovyo kweli

  • @hamismabula9934
    @hamismabula9934 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe Samia anaharibiwa na vizee hivi!
    Ndo maana hafurukuti!!!

  • @salmaqueen4382
    @salmaqueen4382 ปีที่แล้ว +5

    InshAllah MUNGU Mwenyezi yupo na ss waTz...2025 nataman tuwaoneshe nguvu ya wanyonge

    • @alexanderkisinini9376
      @alexanderkisinini9376 ปีที่แล้ว

      We mzee mpuuzi wewe mtakuja jutia na hilo genge lenu la mafisadi. MUNGU YUPO ATATOA HUKUMU.

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 ปีที่แล้ว +1

    Mm nauhakika asilimia 95 ccm hawataweza kuingia peponi,Tena Hawa ndo watakuwa kuni kule mbngun

  • @mwanumwanu1513
    @mwanumwanu1513 ปีที่แล้ว +32

    Pole mama magufuli mama yetu jipe moyo maneno hayo tunajua yamelalua moyo wako na sisi pia

    • @digitalaffiliatemarketing210
      @digitalaffiliatemarketing210 ปีที่แล้ว +2

      Yaani Kwa kauli hiyo ya kwamba watu wazuri hawafi na kutoa mfano Kwa Kikwete pamoja na Kinana....hiyo Ina maanisha kuwa John. Magufuli alizungukwa na watu wabaya wengi sana humo humo ndani ya Chama..na waliokuwa wanatamani waone siku amekufa Ili wao wafurahie

  • @alexlazoro3530
    @alexlazoro3530 ปีที่แล้ว +1

    Makamba ccm bila polis hamtoboi kwenye uchaguzi

  • @hamadsaburi3569
    @hamadsaburi3569 ปีที่แล้ว +15

    Hakika mnafiki ata kua katika daraja la chini kabisa katika Moto WA jahannam

    • @dottondege8869
      @dottondege8869 ปีที่แล้ว

      Kumbe kuna wazee hawamjui mungu kabisa eti wazuri hawafi jakaya yupo kwa sisi watanzania tunasema asante kwa kauli yako mungu anakuona mzee makamba

  • @florameza3491
    @florameza3491 ปีที่แล้ว +1

    Acha wabwabwaje in upumbavu kushindana na marehemu

  • @eliudfelix7180
    @eliudfelix7180 ปีที่แล้ว +6

    Nakupenda sana Mama Samia. Nadhani unaona panapovuja... A Lot of pretenders.... Hawatakuweka salama hawa. You better mind what you think and feel, Hii ndio Miruzi ya kumpoteza mbwa. MY CONDOLENCES KWA FAMILIA YA MTOTO WA AFRIKA, OUR FOR EVER BELOVED JPM.

  • @selestinfrancis5904
    @selestinfrancis5904 ปีที่แล้ว +1

    Hapo mzee umetereza,unaposema watu wazuri hawafi ndio maana kikwete na kinana wapo,kwahiyo unataka kuwaambia umma wa watanzania kuwa MH.Magufuri alikufa kwakuwa alikuwa na roho mbaya? Kauli hiyo itakutafuna wewe na kizazi chako

  • @azizamvungi926
    @azizamvungi926 ปีที่แล้ว +31

    Muogope mwenyezi mungu..huo ni ugali unatetea Kwa mwanae..ila mungu atawaona hata nyinyi mtakufa tu.umauti hautamiacha mtu

    • @mashakanassoro3119
      @mashakanassoro3119 ปีที่แล้ว +1

      Hana lolote huyu Mzee anajipendekeza kwa Rais ili Mwanae aendelee kula bata

    • @sistymbombo1616
      @sistymbombo1616 ปีที่แล้ว

      Maana yake ni kwamba magu alikuwa mbaya ndo maana alikufa loooo mzeee hata we ni mzuri saaaaana ndo sababu unaishi bado

  • @peterdeus6093
    @peterdeus6093 ปีที่แล้ว +1

    Ama kweli Magufuli alikuwa amezungukwa na fisi wenye njaa na wanafiki

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 ปีที่แล้ว +8

    Mmmm serekali yetu wacha tuishi tu na tusubili mungu atakapo tuchukua turidhike naviliopo 🙏🙏🙏🙏🙏mungu nipe mwisho mwema

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 ปีที่แล้ว +1

    Ubaya WA magufuli wetu niikuipenda ichi yake pamoja na kupenda wanaichi wake NDIO ubaya WA magufuli hata nyie mtakufa,

  • @musamusa6213
    @musamusa6213 ปีที่แล้ว +7

    Miss you Magufuli kipenzi cha wa Tanzania saivi kukosa maji Umeme ni kawaida na hurusiwi kusema.

  • @jumanassoro1552
    @jumanassoro1552 ปีที่แล้ว +2

    Hapo ndipo inadhairisha walamba asali msoga timu majipu ndio mliomuangusha magufuli damu nzito mnapayuka payuka na kuwafungua watu ninyi ndio wauaji mungu amlaze mahala pema peponi jpm tulimuelewa amina

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 ปีที่แล้ว

      Hata Mimi nawaza hivyo hivyo, wamemuua sasa wanasheherekea kweupe peee bila aibu na kashfa Tele as if wao ni Mungu

  • @justineerenest6172
    @justineerenest6172 ปีที่แล้ว +11

    Rest in peace jpm

  • @azizsaleh9402
    @azizsaleh9402 ปีที่แล้ว +1

    Mzee umeongea pumba nying 😂

  • @machoguhamery3731
    @machoguhamery3731 ปีที่แล้ว +48

    Mzee Makamba anasema watu "wasibanwe na Katiba, wala wasibanwe na kanuni" wavunje tu mradi watimize lengo lao.Anasahau Baba wa Taifa Mwl Nyerere katika hotuba yake mwaka 1995 Kilimanjaro Hotel aliwahi kusema "Mtu asiyeheshimu katiba hatufai" Tena Mzee Makamba nasema wazuri hawafi" maana yake Hayati Nyerere Hayati Mkapa, Hayati Magufuri walikufa kwa sababu walikuwa watu wabaya sana.!!!! Wazuri wakabaki Marais wastaafu walio hai leo na uongozi wa awamu ya sita na yeye mwenyewe mzee Makamba,watu wema sana ndio maana wako hai hadi leo. Hii inaonyesha udhaifu mkubwa wa huyu mzee kupima maneno ya kusema sifa zinamzidia hadi anakufuru. Ndiyo maana Ukatibu Mkuu ulimshinda ccm ikataka kufia mkononi mwake. Mwaka 2025 ni siri ya Mungu Mzee Makamba hajui Hilo??!!!

    • @georgemassebu2083
      @georgemassebu2083 ปีที่แล้ว +1

      Kizee kinafiki

    • @mwanumwanu1513
      @mwanumwanu1513 ปีที่แล้ว +2

      Kweri watu wote tumebaki mdomo wazi kwa kaulizake waliokufa hawana haki? Kunanini hapo??

    • @nicolauslukona2694
      @nicolauslukona2694 ปีที่แล้ว +1

      Dah umenimalizia maneno

    • @felistamwashibanda7764
      @felistamwashibanda7764 ปีที่แล้ว +1

      Mungu amsamehe ila tubaki tikijua "vizuri havidumu"

    • @vibetz9991
      @vibetz9991 ปีที่แล้ว

      Bahasha ndo inaongea apo

  • @imanimbaga3549
    @imanimbaga3549 ปีที่แล้ว +1

    Ila CCM bna, aina hii ya mawazo kwenye karne tuliyonayo tunategemea tufike wapi?

  • @muhidiniabdur2382
    @muhidiniabdur2382 ปีที่แล้ว +33

    Bashiru kweli mwanasiasa mkubwa mzee Ana zeeka vibaya🤣🤣🤣🤣🤣🤣🇹🇿

  • @chimdamianvi752
    @chimdamianvi752 ปีที่แล้ว +1

    Mbn Kama Dr.Philip kadharau vile?

  • @eustardrwegoshora1683
    @eustardrwegoshora1683 ปีที่แล้ว +20

    Ni ukweli mzeee makamba kakiweka mahapi pabaya chama Cha mapinguzi, hawa wazee wawe wanapewa vya kuongea sio kuongea TU Kisha kapewa mike akakanushe maneno aliyo Sema kuwa watu mazuri hawafi mungu atamwona

  • @Dantaata
    @Dantaata ปีที่แล้ว +2

    yule mzee alikuwa na maadui wengi hadi kwenye chama chake kwa kauli hizi,,

  • @rabomunde3550
    @rabomunde3550 ปีที่แล้ว +10

    Ee Mungu nijalie hekima nakuzuia ulimi wangu wakati wa furaha!
    Maana furaha ikizidi unaweza ukakufuru”
    Huyu Mzee asali imezidi mpaka anakufuru.
    Imebidi Leo niwakumbuke nilio waona wakiniacha nakuelekea akhera😭😭😭😭😭🥲🥲

    • @enockfanueli3008
      @enockfanueli3008 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa yaani Mimi ccm naipenda lakini mzee makamba kaniweka jiapanda mama akajipime watu wanalinda matumbo yao kwa kauli ya mzee makamba sio mara ya kwanza kusema hivo

    • @rabomunde3550
      @rabomunde3550 ปีที่แล้ว

      @@enockfanueli3008 ndugu tuwe pole sana wenzetu asali imezidi mpaka wanakufuru.

    • @richmwaij3368
      @richmwaij3368 ปีที่แล้ว

      mchague wewe mzee sisi atutaki

  • @mosessamwel1179
    @mosessamwel1179 ปีที่แล้ว +1

    Watu aina hii ndio wanaotuaribia Nchi!

  • @malimanyanja562
    @malimanyanja562 ปีที่แล้ว +8

    Alie gundua uyu Mzee Amezeeka vibaya amna kitu kichwani..

  • @gildasnyaki3812
    @gildasnyaki3812 ปีที่แล้ว +1

    Magufuli alikuwa na Hali ngumu kwel

  • @edson2450
    @edson2450 ปีที่แล้ว +41

    "WATU WAZURI HAWAFI, NDIO MANA KINANA YUPO, NDIO MANA KIKWETE YUPO" WE Mzee Hutakufa mana unajiona Mungu mjomba wako

    • @allyhassan7522
      @allyhassan7522 ปีที่แล้ว +5

      Kwa hiyo Nabii Musa,Yesu, Ibrahim n.k ni wabaya? Kwa hiyo King Farao( Firauni) aliishi muda mrefu sana ni Mtu mzuri? Na ndo maana wanatuburuza wanavyotaka coz hatufikilii kwa kutumia kiungo kipasacho

    • @dullahkhalifa5312
      @dullahkhalifa5312 ปีที่แล้ว +4

      @@allyhassan7522 nikwel hawa viongozi wapambe sana hasa watoto wao wakipewa madaraka

    • @ibrahimkibira9943
      @ibrahimkibira9943 ปีที่แล้ว +8

      Hiki chama kimeozaaa wazee wao ndio hawa wanaongea utumbo idea hakuna sisi wananchi hatuwataki hatuwapend mpo muda mrefu madalakani lakin still mpaka leo ...umeme shida maji shida sepen😏

    • @wisperfect5320
      @wisperfect5320 ปีที่แล้ว +3

      Njaa inamsumbua sana

    • @marcokwiyola9107
      @marcokwiyola9107 ปีที่แล้ว

      @@allyhassan7522 to.q...

  • @abuutrikaa35
    @abuutrikaa35 ปีที่แล้ว

    Mzeee hii kauli yako si nzuri hata kidogo ni umemkejeli mwenyezi Mungu ila kwa Mungu ndio anaejua zaidiii

  • @farajishabani9896
    @farajishabani9896 ปีที่แล้ว +7

    Huyu mzee Hana akili

  • @uwesumatitu494
    @uwesumatitu494 ปีที่แล้ว +1

    KWA UFAHAM WANGU WEMA WOTE HUONDOKA MAPEMA NA WABAYA HUDUMU MUDA MWINGI TU KAMA WACHAWI NK SASA HII KAULI YA WABAYA NDIO HUFA HARAKA WAPI KAIPATA DUH HII NCHI SIJUI INAELEKEA WAPI

  • @mohameddikaluka3162
    @mohameddikaluka3162 ปีที่แล้ว +8

    Allah!! Hakulipe hapa hapa Duniani kwa kauli yako,,sisi tulipoteza wazazi wetu walikuwa wabaya na wewe mzuri Endelea kuwepo Alhabdulillah!🙏

    • @janesimonmbironikweli6826
      @janesimonmbironikweli6826 ปีที่แล้ว +1

      Hii kauli kumbe imetuumiza wengi,wazuri hawafi,sie tulio fiwa na wazazi,kaka na wengineo, Mhuuuuuuu

  • @amosfelex3368
    @amosfelex3368 ปีที่แล้ว

    Yaan kila mara hawa watu wanaposimama jukwaani kuhutubia,, nakumbuka JPM,, rip my president 💔💔💔😭😭😭,, ulinifundisha kitu,,, tumebakiwa sas na vituko kwenye MAJUKWA A 😭😭😭💔💔,, NIMEKUKUMBUKA SAN HAYATI JPM😭😭💔💔💔💔

  • @kombedavis4056
    @kombedavis4056 ปีที่แล้ว +18

    R.I.P JOHN JOSEPH MAGUFULI.....mzalendo wa kwel na msema kweli daima!😭😭

    • @safiamohamed635
      @safiamohamed635 ปีที่แล้ว +2

      Kabisa magufuli ni mfanoo

    • @kabojamaluku7894
      @kabojamaluku7894 ปีที่แล้ว +1

      Aisee hata Kama huna hakili lazima uwajuwe wabaya wa magufuli

    • @naomipieter4627
      @naomipieter4627 ปีที่แล้ว

      Wazuri ndio wanakufa Ili wasiendelee kupata visuawishi vya kutenda mema...Mzee tafuta sifa sio usimpangie Mungu usituvunje mioyo sisi tulifiwa na wenxetu.....

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 ปีที่แล้ว

    Hicho ni kielelezo cha kuvunja KATIBA!! Makamba kachemka !! Ujinga mtupu.

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 ปีที่แล้ว +14

    Makamba Makamba Makamba Iam very sorry 🙏

  • @kabojamaluku7894
    @kabojamaluku7894 ปีที่แล้ว +1

    Nimesha juwa Tanzania niya watu wa pwan na Tanga Kama hujuwi ujuwe

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 ปีที่แล้ว

      Ndo ukweli wenyewe

  • @godwinkubimba6575
    @godwinkubimba6575 ปีที่แล้ว +14

    Wazuri hamfi, walo kufa wote wabaya sio?, mzee tafakari sana ujinga huo ulo ongea,

    • @avitusmichael5
      @avitusmichael5 ปีที่แล้ว +1

      Najua mnamtusi marehemu Magu ila ngoja mtaona

    • @geraldtarimo3210
      @geraldtarimo3210 ปีที่แล้ว +1

      Kwakaulihii,kifo cha Jpm, kinautata,kumbe wanaokufa wabaya

  • @linuspapiasmanywele3414
    @linuspapiasmanywele3414 ปีที่แล้ว

    Mmefeli.25 Tutajua lakufanya.Mzee Yusuph Usijidanganye Tunajua Huu ndio Mwisho Wa CCM.

  • @tinomzungu8070
    @tinomzungu8070 ปีที่แล้ว +5

    jamani njaambaya sana kila nikivuta picha je angekuwa rais wetu ingekuwaje nakuwa majibu sina

  • @unjuinkuganda1991
    @unjuinkuganda1991 ปีที่แล้ว +1

    WAJINGA HUZEEKA PIA' MAVI KWELI MZEE WEWE

  • @mosesmaduhu6603
    @mosesmaduhu6603 ปีที่แล้ว +18

    Huyu Mzee aombe msamaha kabla ya siku ya kesho kma magufuli alikuwa mbaya ndio maana alitangulia sawa lkn kma nia kuu na malengo ya JPM ilikuwa kuisukuma Tanzania mbele ata yy siku zake chache sana.

    • @lilykarim8968
      @lilykarim8968 ปีที่แล้ว +2

      Hili lizee ligwadukaji kila kukicha sijji anaenda wapi apunguze mukali siku za kuishi si nyingj hapa duniani makamba tubu!

    • @mwanumwanu1513
      @mwanumwanu1513 ปีที่แล้ว +1

      Aombe msamaha mapema

    • @festomlunya7538
      @festomlunya7538 ปีที่แล้ว

      Tena zimebaki chache sana namuomba Mungu ata yy asiushuhudie uchaguz 2025

  • @graceessau2034
    @graceessau2034 ปีที่แล้ว +6

    Rest in peace shujaa wetu Magu

  • @prosperjohn2047
    @prosperjohn2047 ปีที่แล้ว

    Yaani mimi, nashkuru siyo Mungu, na Mungu bakia kuwa Mungu Baba,, MAGUFULI WEWE LALA BABA, lakin hakika hutoondoka mioyoni mwetu,,

  • @yuventmpiru7738
    @yuventmpiru7738 ปีที่แล้ว +7

    Nyie watu Mungu na awarehemu ili nchi ipate rehema,

  • @abdibilali4186
    @abdibilali4186 ปีที่แล้ว +1

    Kuna watu ni watu wazima na ni machawa jitu kubwa kichwani zero Kama magufuri ni mbaya Basi mtuue na sisi wewe mzee ni mpumbavu njooni mnikamate fara weww RIP Magufuri

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 ปีที่แล้ว

      kaka hawa watu wanalinda maslahi yao hapo ,. ndio maana wanasema vitu bila kijali .

  • @mafundakhamis3337
    @mafundakhamis3337 ปีที่แล้ว +3

    Makamba pengine ana kinyume chake ss hatujamuelewa,WAZURI HAWAFI😳😳 pumzika kwa Amani mama,R,I,P RAIS WANGU MAGU🙏🙏

  • @fruitfulmpanduji8977
    @fruitfulmpanduji8977 ปีที่แล้ว

    Utopolo mtupu.mtu mzima hovyo.Maghufuli tunakuhitaji jamani .laiti ungekuwepo ,duh sipati picha...kula ni zetu watanzania...

  • @kefamkv3743
    @kefamkv3743 ปีที่แล้ว +16

    Huyu mzee ameamua kumdhiaki mwenzie alie tangulia mbele za haki eti watu wazuri hawafi kwan watu wote wanao kufa ni wabaya sio daah
    Huyu Mungu kama anasikiaga viliyo vya waja wake ninakuomba baba 2025 isiwe ccm madarakan uwaaibishe
    Mana wanajikuta miungu watu
    Nimekasirishwa na hii speech

    • @leticiacyprian7786
      @leticiacyprian7786 ปีที่แล้ว +1

      Sawa Mzee mungu ameskia kauri yako na Imani ataifannyia kazi maana hata hao wabaya aliwaumba yy hata mwl Julius alikuwa mbaya au unajitengenezea mazingira

    • @mwanumwanu1513
      @mwanumwanu1513 ปีที่แล้ว +1

      Namimi pia hatasina lakueleza bali naomba watanzania tufunguke macho

    • @fabianayubu6738
      @fabianayubu6738 ปีที่แล้ว

      tunaweza kufanyaje ili tutimize lengo hilo nipo tayari

    • @kefamkv3743
      @kefamkv3743 ปีที่แล้ว

      Dawa ni kujitokeza sana ktk vituo vya kupigia kura na kumchagua yule kiongozi atakae kuwa sahii kwetu sisi wanyonge
      Hata kama wanaweza kuiba kura lakin zikiwa nyingi watakosa namna

    • @enockfanueli3008
      @enockfanueli3008 ปีที่แล้ว

      Sio ccm tu mungu hata yeye na mwanae wasiwepo uchaguzi huo wa 2025 et mama vunja katiba wao ndio walitunga

  • @mariethajohn1433
    @mariethajohn1433 ปีที่แล้ว +20

    mmmmm wazuri hawafi wewe mzee akili hazikutoshi nyooo umetukwaza sana mzee mzima hovyooo pole mama Magufuli nadhani umeumia sana hapo ukumbini R.I.P Magufuli 😭😭😭

    • @mwanumwanu1513
      @mwanumwanu1513 ปีที่แล้ว +5

      Jamani tumekwazika sasa mama magufuli amelia tena pole mama yetu

    • @digitalaffiliatemarketing210
      @digitalaffiliatemarketing210 ปีที่แล้ว +1

      Yaani kweli aisee, Mama Magufuli ameumia sanaaaaaaaaaa, nahisi hata atakuwa ametokwa na machozi mengi na atakuwa amekumbuka mbali sana

  • @josephezekielmasolwa8283
    @josephezekielmasolwa8283 ปีที่แล้ว

    "Wazuri hawafi" Duh!!
    Haki ya Nani HUYU SAMIA AKITOBOA 2025 MNIITE MBWA NIMEKAA PALE.

  • @violethbosha1666
    @violethbosha1666 ปีที่แล้ว +15

    Magu pumzika kwa amani tulikumpenda mno ndo mana mungu alikuvuna Mapema. Amina

  • @hotapple9861
    @hotapple9861 ปีที่แล้ว +1

    Слава Украине ✨🇺🇦✨

  • @peterkuwelo7603
    @peterkuwelo7603 ปีที่แล้ว +9

    😂😂😂wna ccm punguzeni unafiki na kiki

    • @geofreydamas1697
      @geofreydamas1697 ปีที่แล้ว +1

      Huyu mzee cjui Mungu amsamehe kwa kweli.ujinga si ujinga kweli wametukomoa

    • @peterkuwelo7603
      @peterkuwelo7603 ปีที่แล้ว

      @@geofreydamas1697 anatafta ulaji na kiki jaman hamuon au hii nchi ili ije ikae sawa tuombe mungu atokee tena mkristo rais hapo ndo itakaa sawa tena ila hawa kina swara tano hawa aaapana royal tour royal tour royal family 😂🏃🏃🏃🏃🏃

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 ปีที่แล้ว

    CCM VIPI UJINGA WOTE ANAONGEA HUYU MZEE WATU WANASHANGILIA????HIVI WAAFRIKA KWELI TUKO VIZURI KICHWANI???

  • @ilungasalle
    @ilungasalle ปีที่แล้ว +15

    Vizee vinafiki sana hivi

  • @michaelmfanga3084
    @michaelmfanga3084 ปีที่แล้ว

    Tunaomba Mh January Makamba, umshauri baba yako ajitokeze hadharani aombe watanzania radhi.... Mungu yupo na hadhihakiwi kwa kazi zake. TAFADHALI, FANYA HIVYO

  • @shaameshaame9721
    @shaameshaame9721 ปีที่แล้ว +9

    Kwendraaaaaa

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 ปีที่แล้ว

    Huyu mam kichfuchi 2 wabiye sio haondo mafisadi wazury ndowanatangulia allah amrehm president makufuli 💔😭😭

  • @josephatnyamageu1046
    @josephatnyamageu1046 ปีที่แล้ว +29

    Hakuna fikra mbaya kama kujiwekea umilele, kwa jeuli ya mafanikio ya matumbo yenu. Kama kweli Mungu yupo tusubiri tuone matokeo ya wazuri awafi. Asante Mungu jiziilishe mwenyewe na liokoe Taifa letu. Ukweli unaongea daima RIP Magufuli.

  • @magdalenamaganga4791
    @magdalenamaganga4791 ปีที่แล้ว

    Huyumji nga,anaesema eti,ninakupenda,mama,etihawa,hawatakuacha,salama kubwa jingabumpende,umgo"nge" kazikwako, hautamachasalama,mwenyewe wazalendo,wajpm,hatuna,roho,mbaya kamahizo

  • @marianan.bundala9557
    @marianan.bundala9557 ปีที่แล้ว +3

    Nasiku zote wazuri hawadum😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @julianamasanja8301
    @julianamasanja8301 ปีที่แล้ว

    Acha tu tunyamaze maana maneno mengine mmhh 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

  • @johnpesambili4806
    @johnpesambili4806 ปีที่แล้ว +51

    Maisha ni zawadi kutoka kwa mungu, kauli ya kwamba wazuri hawafi ni kumukufuru mwenyezi mungu. Kwa hiyo hao jakaya na kinana wataishi milele kwa kuwa wao ni wazuri na wewe utaishi milele kwa kuwa wewe ni mzuri hongera Mzee wetu tumejifunza kwenu tutakuwa wazuri ili tuishi milele. Ndugu watanzania wenzangu na wanaccm wenzangu tuzidi kuwaombea viongozi wetu , kwani uongozi ni msalaba. Mungu bariki nchi yetu wabariki viongozi wa dini na serikali. Amina.

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 ปีที่แล้ว +8

      mwehu weee. viongozi gani hawa , wakati nchi ina kila majanga hivi sasa

    • @bakariomari8758
      @bakariomari8758 ปีที่แล้ว +3

      Mzee kateleza ulimi kibinaadamu

    • @benjaminjoseph1747
      @benjaminjoseph1747 ปีที่แล้ว +5

      Mzeee mshenzi sana huyu. Wana uzuri gani. Wauwaji tu na wala nchi. Mfyuuuuuu

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 ปีที่แล้ว +6

      @@benjaminjoseph1747 vuri hawana kaka tazama nchi walivyo ifanya , kama tambara bovu lililo jaa matundu , halafu wapo kupeana sifa za kudanganyana

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 ปีที่แล้ว +5

      @@bakariomari8758 hakuteleza ulimi wale ni wizi na wanasherekea kurejeana kwao kuitafuna nchi , na ndio jeuti inapo anzia

  • @Mr.P382
    @Mr.P382 ปีที่แล้ว

    Huo ushindi 2025 labda mjipigie kura wenyewe