Ridhiwani: Nape, Bashe hawawezi kufukuzwa CCM, hata Kikwete alipinga hoja ya Nyerere

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ส.ค. 2018
  • --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com
    #Dar24 #Dar24Media

ความคิดเห็น • 80

  • @bahishaalexander3641
    @bahishaalexander3641 5 ปีที่แล้ว +5

    safii,endelea hivyo hivyo kaka.nadhani uko vizuri katika kujenga hoja endelea hivyo hivyo.maelezo yako yamejaa uzalendo.wewe siyo mchochezi hata kidogo.

  • @evamacha4599
    @evamacha4599 5 ปีที่แล้ว +7

    Mh Ridhiwan huko sahihi Mungu akubariki kwa busara zako

  • @salamashabani7922
    @salamashabani7922 5 ปีที่แล้ว

    SAFI SANA RIDHIWAN UNA HEKIMA KAMA BABA YAKO NA MUNGU ATAZIDI KUKUBARIKI NA KUKUINUA INSHAALLAH UTAFIKIA NGAZI YA MZEE WAKO KIKUBWA USIWE MNAFKI TU SIMAM A IMARA KATIKA HAKI UTAONA MAFANIKIO YAKO

  • @danielmgonja9906
    @danielmgonja9906 5 ปีที่แล้ว +7

    mtt wa nyoka n nyoka, tunataka vijana mithili ya Magufuli tufike mbali

  • @mathiasrazalo8363
    @mathiasrazalo8363 6 ปีที่แล้ว +8

    ridhiwani uko vizuri geita nakupata vizuri

  • @nanziambaga7092
    @nanziambaga7092 5 ปีที่แล้ว +1

    Uko vizuri sana

  • @charlesmurimi592
    @charlesmurimi592 5 ปีที่แล้ว +5

    Kweli MZEE, mti mwema hutoa matunda mema, na wewe ni mwema kama kikwete, enzi utu kaka.

  • @ricksonmrema1693
    @ricksonmrema1693 5 ปีที่แล้ว +8

    Ridhiwani ww ni kijanaa mdogo ila unayo busara na hekima

  • @alexyjonny970
    @alexyjonny970 5 ปีที่แล้ว

    well said...tunapaswa kuangalia ni vipi tunajikwamua kutoka kwenye huu umasikini sio kugombana wenyewe kwa wenyewe.

  • @abdulinassirmwadini8755
    @abdulinassirmwadini8755 5 ปีที่แล้ว +3

    nyayo za mzee kikwete haswaa . busara zilezile

  • @tanzaniayangu25
    @tanzaniayangu25 5 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana kikwete Jr.

  • @magotikamese7951
    @magotikamese7951 5 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Mhe.Ridhiwani Kikwete,unajibu maswali kikomavu sana. CCM imekujenga vizuri.

  • @noahburton4946
    @noahburton4946 5 ปีที่แล้ว +3

    Liz upo vizuri mkuu

  • @omarmuhammed9655
    @omarmuhammed9655 5 ปีที่แล้ว +8

    Umeangea vzr ila sisi tunataka mandeleo sio porojo half mandeleo sio maji wala umeme barabara tunahitaji tupate afya bora na maisha bora kwasasa tumekosa mtu hata mlo moja hatimizi vizur miaka hasin bado tu huduma za kijamii hazipatikan kiukamilifu dah nyinyi watu wabata sana wataifa hili

    • @rehemadani3600
      @rehemadani3600 5 ปีที่แล้ว

      Uko good,sasa ccm ndala ndefu mmesikia maneno hayo mnaotaman mali kuliko utu, ili msitolewe kwenye nafasi zenu ujumbe umewafikia

    • @dachjunior4766
      @dachjunior4766 5 ปีที่แล้ว

      HIVI HIZO HUDUMA ZA AFYA PASIPOKUWEPO UMEME, MAJI UTAZIFANIKISHAJE WAKATI NI VITU VYA MUHIMU SANA?
      UKISHANIPA JIBU LA SWALI HILO JIBU NA HILI PIA ... KAMA HAKUNA BARABARA KABISA AMA HAKUNA BARABARA ZIPITIKAZO MWAKA MZIMA HAO WAGONJWA WATAFIKAJE HUKO MAHOSPITALINI, ZAHANATI AMA VITUO VYA AFYA?
      NA JE DAWA, VITENDANISHI NA VYAKULA KUTOKA MASHAMBANI AMA VIWANDANI AMBAVYO NI MUHIMU KUJENGA NA KUIMARISHA AFYA ZA HAO HAO WAGONJWA VITAWAFIKIAJE?

  • @revocatusmanyama8621
    @revocatusmanyama8621 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi xan

  • @furahamwajeka3708
    @furahamwajeka3708 5 ปีที่แล้ว +3

    uko vzr ridhiwani umeongea vzr sana umekomaa kaka

  • @paull8659
    @paull8659 5 ปีที่แล้ว +7

    Tz inalia😭, wabunge waCCM wmekuwa bubu😷, wako bungeni kutetea matumbo yao, wametishwa na mkuu wao lazima wapitishe kila kitu. CCM na bunge ni dhaifu.Tz inalia😭

    • @ibrahimgwasma235
      @ibrahimgwasma235 5 ปีที่แล้ว

      Nenda Somalia

    • @saimonmanyerezi7169
      @saimonmanyerezi7169 5 ปีที่แล้ว

      Tena huwezi sema ccm na bunge. Bunge linawabunge toka vyama vyote ni muhimu utambue hilo.

    • @paull8659
      @paull8659 5 ปีที่แล้ว

      @@saimonmanyerezi7169 , Bunge na spika ni wa CCM. wabunge wa CCM wana majority kwenye votes. Kila kinachoamuliwa na serikali ya CCM wanapitisha kama mabwege . Hawhoji hawaulizi, wameonywa na mwenyekiti wao( rais) wasihoji....elewa hilo wacha ujinga.

  • @japhetlukumay2778
    @japhetlukumay2778 5 ปีที่แล้ว +3

    Nitasema ukweli Daima fitina kwangu ni mwiko!

  • @gidmpanz9254
    @gidmpanz9254 5 ปีที่แล้ว +4

    Pamoja wanataka kukuua kisiasa uskate tamaa

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 5 ปีที่แล้ว +2

    Una roho safi kama baba yako...mungu awabark...sasa tunamkumbuka jmn

  • @hassanmaganga1544
    @hassanmaganga1544 5 ปีที่แล้ว +2

    Naungana na wewe Ridhiwan shida kuna watu wako ccm hawataki kuambiwa ukweli

  • @jonfredyaverino3863
    @jonfredyaverino3863 5 ปีที่แล้ว +2

    umekomaa kisiasa safi sana

  • @kfastak
    @kfastak 5 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo unaongea wwe Mr.Jiwe hajui hyo..hyo miswada itawasulubisha wenyewe

  • @charlesbarongo6922
    @charlesbarongo6922 5 ปีที่แล้ว +4

    Viva Ridhiwan

  • @saidechokozasaidechokoza3371
    @saidechokozasaidechokoza3371 5 ปีที่แล้ว +9

    Mbona rais hakubali kukoselewa?

    • @medkisalazo3890
      @medkisalazo3890 5 ปีที่แล้ว

      Magu apendi kukosolewa anataka kupigiwa tu makofi

  • @minskbelarus7255
    @minskbelarus7255 5 ปีที่แล้ว +4

    Mh RIDHWAN nakuona Kama HAZINA na kiongozi SHUPAVU wa Taifa letu. ALLAH akuzidishie na akulinde uwe mwenye Afya njema. Wewe ni mwana CCM,lakini ni MZALENDO KWANZA

    • @mbarakaomary3199
      @mbarakaomary3199 5 ปีที่แล้ว

      Du!!! safi sana kaka kwamfumo huo utaongoza mwanzo mwisho katika jimbo lako kwani nivyema kutambua kua hakuna mkamilifu Siku zote

  • @omarimwigula3248
    @omarimwigula3248 5 ปีที่แล้ว

    Jiwe hajui hayo

  • @OmariNkalami-nh6fl
    @OmariNkalami-nh6fl 3 หลายเดือนก่อน

    Wezi2

  • @iddydaruwesh8650
    @iddydaruwesh8650 5 ปีที่แล้ว

    Saaaaafi sana bro umekuwa kichama

  • @emmanuelmtemi5574
    @emmanuelmtemi5574 5 ปีที่แล้ว

    Ah, mtu anakosa hata mlo moja kwa siku, imekaaje hiyo. Kijana wa miaka 25/30 analalamika maisha magumu. Vijana wengi kaxi wanayoimudu ni kupiga debe stendi. Sawa, hivi sasa ujenzi wa mji mkuu wa Dodoma unaendelea, ujenzi wa reli std geji unaendelea, ujenzi wa bwawa kubwa huko Rufiji unaendelea, ujenzi wa bomba la mafuta unaendelea, ujenzi wa barabara mbalimbali karibu nchi nzima unaendelea. Ujenzi wa majengo ya wizara mbali mbali huko Mtumba unaendelea. Mtu atalalamika hakuna ajira, ni mawili au vijana wengi wamedekezwa na wazazii wao au hawataki kujiongeza. Kalaga baho.

    • @hindisaidi5097
      @hindisaidi5097 5 ปีที่แล้ว

      Juzi tu Tanzania imepata oda ya kuuza mahindi tani LAKI SABA.hivi hawa wasiokula wanaishi dunia gani?
      Tunapenda kulaumu tuuuu. Serikali inahimiza uhuru na kazi. Katika dunia ya leo mashine ni nyingi ambazo zinaondoa ajira za mikono ivi hatuoni. Sasa mitaro inachimbwa na mashine. Magogo yanarandwa kwa mashine na kadhalika hatujaamka tu

  • @amashakigelulye7632
    @amashakigelulye7632 5 ปีที่แล้ว +1

    vizuri

  • @siasatanzania1193
    @siasatanzania1193 5 ปีที่แล้ว

    Siasa Tanzania

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 5 ปีที่แล้ว +1

    Ridhiwan kikwete

  • @davidkaguru9511
    @davidkaguru9511 5 ปีที่แล้ว +5

    Jiwe halijui hilo

  • @muhidinihassani520
    @muhidinihassani520 5 ปีที่แล้ว +1

    Ninyi ccm hamuambiliki mnataka kutuletea vita na kuua watu kwanini mwakiuka KATIBA? Anaekiuka KATIBA Alaaniwe wote ni walewale hakuna Hirizi Wala makufuli

  • @ismailahmed5133
    @ismailahmed5133 5 ปีที่แล้ว

    we subiri babaako akuadisie ndo utuleteee online huku,,,,

  • @yusufukazamba2391
    @yusufukazamba2391 5 ปีที่แล้ว

    Wenye Neema ya hekima ya kimbingu tunakuelewa vema mh; Ridhiwani

  • @user-oq3dd5xj9m
    @user-oq3dd5xj9m 5 ปีที่แล้ว

    Wapiga KULA kudadeki... 🌈

  • @salmahassan5153
    @salmahassan5153 5 ปีที่แล้ว +4

    Ukovizuri kaka

    • @wazuriwapo6312
      @wazuriwapo6312 5 ปีที่แล้ว

      Mlio ahidi ccm kgm mbona hamuitendei haki? Kgm ilikosea nn ccm

    • @emmanuelndiuni1525
      @emmanuelndiuni1525 5 ปีที่แล้ว

      Excellent buddy

  • @pascalmsechu6874
    @pascalmsechu6874 5 ปีที่แล้ว +2

    Tanzania bila CCM inawezekana.....bn 2020

  • @alexmichael8735
    @alexmichael8735 5 ปีที่แล้ว +1

    hapa nimekuelewa sana

  • @ramadhanihassani256
    @ramadhanihassani256 5 ปีที่แล้ว +1

    iki kichwa nahuyu kafunzwa na mzee wake ustaarabu nimzury anajua kutumia ulimi wake mbelezawatu mungu akuongoze kijana pambanaa

  • @alijafar8887
    @alijafar8887 5 ปีที่แล้ว +1

    Chama cha mapinduzi kilikua hakipo wakati wa uhuru

  • @manenolugendo6396
    @manenolugendo6396 5 ปีที่แล้ว

    Dogo kaiva sana anaongea yupo Smart sana hongera

  • @sethstiven3393
    @sethstiven3393 5 ปีที่แล้ว

    Mi nikikumbuka China nakata tamaa gas mtwara, wema ni akiba chalinze jitasimini

    • @franklyne2977
      @franklyne2977 5 ปีที่แล้ว

      Kwel huyu jamaa alikuwa noma sana siyo mtu Nzr kabisaa kipindi cha awamu ya nne cha baba yake huyu dogo hasa gesi na ngada ni dhambi nyingi alifanya jmn

  • @sadickwaziri3182
    @sadickwaziri3182 5 ปีที่แล้ว

    Maendeleo ya mtandaoni yapo mbunge wetu wa chalinze

  • @revocatusmanyama8621
    @revocatusmanyama8621 5 ปีที่แล้ว +2

    Uongoz ni hekima yes sio kukurupuka

  • @ggmaths9636
    @ggmaths9636 5 ปีที่แล้ว

    Kiongozi uko vizuri

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 5 ปีที่แล้ว

    HE,S SMART

  • @raphaelsamwel2640
    @raphaelsamwel2640 5 ปีที่แล้ว

    Nyerere si kama haya majoga mapoyoyooo!!!

  • @alexanderndayishimiye924
    @alexanderndayishimiye924 5 ปีที่แล้ว

    Fukuzeni hao mafisadi!!! JPM chapa kazi dunia nzima iko nyuma yako!!!

  • @juniorbayyo6540
    @juniorbayyo6540 5 ปีที่แล้ว

    Busara kamaa baba ake big up mh

  • @ashymsigwa8380
    @ashymsigwa8380 5 ปีที่แล้ว

    Wewe utatutoa kwenye umasikini kama baba yako natamani uwe raisi hata leo

    • @davidjosephmsuya1929
      @davidjosephmsuya1929 5 ปีที่แล้ว

      Ashy Msigwa alaf ww ridhiwani mbona unaeleweka bila rushwa jamani big up sana kk

  • @tereseamasawe8111
    @tereseamasawe8111 5 ปีที่แล้ว +1

    KKNGU RIDHIWANI KAMA HAO KINA BASHE NA NAPE WANALETA SHIDA KTK CHAMA KWA NINI WASITOLEWE CCM?

    • @abdyickarimabdyickarimnurr5020
      @abdyickarimabdyickarimnurr5020 5 ปีที่แล้ว +1

      Wewe teresea masawa akina bashe watolewe ndani ya chama mbona wewe unaiba mme wa mtu mwenye mme anakuvumilia au tukuseme

    • @yasinshaban4933
      @yasinshaban4933 5 ปีที่แล้ว +1

      Umeambia hawaja fanya kosa isipokuwa wapo ktk moja ya majukumu yao..!!!

    • @babarenee4797
      @babarenee4797 5 ปีที่แล้ว

      @@abdyickarimabdyickarimnurr5020 sio vzr kuumbuana bana!!

    • @lissack8903
      @lissack8903 5 ปีที่แล้ว

      Sijui kama umemuelewa

    • @richardnzenga4795
      @richardnzenga4795 5 ปีที่แล้ว

      Sijajua Kama mwanachama akikikosoa chama chake pale kwenye kasoro ni utukutu. Kwa wenye mtazamo huo wako kinyume na katiba ya chama hicho.