Cheche za Mzee Makamba Dodoma "Dk Bashiru tulimwambia" awaacha hoi Kikwete, Samia

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ธ.ค. 2022
  • Makamba atoa ya moyoni wanaoupiga mwingi ni wawili, 2025 mgombea urais ni mama Samia

ความคิดเห็น • 45

  • @effarymponzi145
    @effarymponzi145 ปีที่แล้ว

    mzee makamba sijamwelewa hotuba nzima
    kwanza anapenda undugu kazini
    hapo kwenye wazur hawafi
    ameniumiza sana memkumbuka baba
    kwangu mim alikuwa mzur sana

  • @paulnachenga6302
    @paulnachenga6302 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wetu ni mnyenyekevi hawa wanae Mungu wao Mungu wa Dagon

  • @elishajeremiah8240
    @elishajeremiah8240 ปีที่แล้ว

    mama Samia... hajapendezua na speechless ya mzee makamba sema anamheshimu tu...

  • @ignasnyembo1256
    @ignasnyembo1256 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wangu Tanzania. Tumekwisha.miaka 60 ya uhuru bado watz hawajaelewa kinachondelea Tz. watz wengi ni km sokwe ktk vichwa vyao.

  • @maruhe1958
    @maruhe1958 ปีที่แล้ว +1

    Hivi kweli waliokufa ni wabaya mbona mzee amefika mbali, tunaomba atueleze alikuwa na maana gani, Mungu hataniwi jamani. NO, NO. NO

  • @antonyvallerian1718
    @antonyvallerian1718 ปีที่แล้ว

    Mzee kuwa na hofa ya mungu acha unafiki. Pumzika na vijana wafanye kazi

  • @carolinelinja5635
    @carolinelinja5635 ปีที่แล้ว

    Yaani speech ya hovyo kweli kweli haijawahi tokea.... Kwani baba yako na mama yako wapo hawajafa? Inamana walikuwa ni watu wabaya?. Wewe una bima na Mungu, inamana hujui kuwa utakufa? . Mwenyezi Mungu akiamua kuwachukua watoto wako wote leo hii usisahau kuieleze nchi kuwa walikua wabaya. Daah Mungu atusaidie tuache uongo.

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 ปีที่แล้ว

    Mzee makamba hafiki 2024

  • @user-cu2ug6hp8y
    @user-cu2ug6hp8y 8 หลายเดือนก่อน

    WAZIRI MKUU mbona simuoni

  • @ommyzubery8358
    @ommyzubery8358 ปีที่แล้ว

    Huo ndio ujumbe wake kwa wanachama wenzake lakini ukiikariri moja katika sentesi yake kasema neno "NAOMBA -NAOMBA" wanachama wenzangu : hawa ambao sio wanachama yabisi tuangalie mpira madirishani sio uwanjani

  • @maishayapora2745
    @maishayapora2745 ปีที่แล้ว

    Great speech

  • @andrewmmbaga1665
    @andrewmmbaga1665 ปีที่แล้ว

    Mzee kapinda sana!🤣🤣🤣🙌🏾🔥🔥🔥🇹🇿

  • @barnabachonja2238
    @barnabachonja2238 ปีที่แล้ว

    Vijembe vya makamba vinakiua chama chetu..!!!

  • @maruhe1958
    @maruhe1958 ปีที่แล้ว

    Mtu kusema wazuri hawafi ni sawa na kusema wanaokufa ni wabaya, hii ni kweli ndg zangu, mimi ni mwana ccm lakini huyu mzee aah

  • @ommyzubery8358
    @ommyzubery8358 ปีที่แล้ว

    Maendeleo kusema katiba yao wameandika wenyewe hivyo wasiogope kuivunja wenyewe kweli jazba imepanda kama wako tayari hata kuivunja katiba ya basi mambo yamekuwa makubwa hebu kwa amani wapenzi wanachama wengine nao uhuru wa kutoa mawazo yao wasiburizwe tu

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 ปีที่แล้ว

    Mzee anatafuta asali mpaka atakuja kumba hata nyuki 😂😂😂😂

  • @Butondo
    @Butondo ปีที่แล้ว

    Mzee umechemsha pia. Sio Bashiru tu. Watu wazuri hawafi maana yake ni nini?

  • @lameckbalekere1962
    @lameckbalekere1962 ปีที่แล้ว

    Unamuona hata Raisi samia mashavu yamemuvimba anacheka tu wamempanga hayo maneno

  • @georgembise7234
    @georgembise7234 ปีที่แล้ว

    Mijizi mitupu nawatoto wao mnajidanganya sana!

  • @joshuaswai8203
    @joshuaswai8203 ปีที่แล้ว

    Huyu mzee amezeeka sana ndo sababu anasema Katiba ivunjwe

  • @hamismabula9934
    @hamismabula9934 ปีที่แล้ว

    Sidhan kama Samia atakuwa na ubavu wa kumuadabisha Januar Makamba hata akiboronga vipi, akijitahid sana atamhamishia Wizara nyingine! Kwa vizee hivi, Samia hana sauti! Vinafanya vinavyotaka tu! Mpaka matamshi ya ovyo mbele yake!

  • @drkalokola5861
    @drkalokola5861 2 หลายเดือนก่อน

    Hekima Hana hekima huyo ni Chawa TU.

  • @masungamashauri4070
    @masungamashauri4070 ปีที่แล้ว

    Mzee Makamba 😭😭

  • @agapelema
    @agapelema ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭🇹🇿, n huzuni kwa kweli

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 ปีที่แล้ว

    Mganga wa Kienyeji anaitwa Rajabu kachaguliwa wapi mzee??

  • @mwalimumstaafu8529
    @mwalimumstaafu8529 ปีที่แล้ว +1

    Watanzania sio wajinga (JPM) Siku itafika.

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 ปีที่แล้ว +1

    Mzee katoboa tobo

  • @khamisminshehemafumbi1882
    @khamisminshehemafumbi1882 ปีที่แล้ว

    Wazuri hawafi ndio maana jk yup ndio maana kinana yupo mbaya aliyekufa ni nani ? Nyoosha maneno mzee tumekufahamu !

  • @lameckbalekere1962
    @lameckbalekere1962 ปีที่แล้ว

    Wazuri hawafi anauzuri gani kumuzidi yesu

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 ปีที่แล้ว

    Wenye chama chao wakishusha mistari..

  • @charlessafari4148
    @charlessafari4148 ปีที่แล้ว

    Amekufa membe makamba hajasema kafambaya mwingine sisi tumasema kafa lafiki dawa na nguluwe

  • @kinigarm8239
    @kinigarm8239 ปีที่แล้ว

    Watu wazuri hawafi???? SMH.

  • @alisonimpaji615
    @alisonimpaji615 ปีที่แล้ว

    Babu

  • @muddymuddy4129
    @muddymuddy4129 ปีที่แล้ว

    Mzee mnafiki huyu hatari

  • @kiatu
    @kiatu ปีที่แล้ว

    Mzee anaudikteta.

  • @frankngoloka2589
    @frankngoloka2589 ปีที่แล้ว +1

    Wenyechama chao hao

  • @azavelilwaitama1975
    @azavelilwaitama1975 ปีที่แล้ว

    Chama kilicholewa madaraka ni kile ambacho viongozi wake ni kama huyu anayesema eti hakuna wakuwauliza kitu na kanuni na Katiba si kitu cha kuwazuia kuzimia wanachotaka. Wenye hekima ndani ya CCM jiulizieni mlifikaje huko?

    • @azavelilwaitama1975
      @azavelilwaitama1975 ปีที่แล้ว

      Eti waazimie sasa hivi hata kama kanuni na Katiba haviruhusu. Sasa bila kuheshimu kanuni na Katiba huo ni uongozi wa aina gani? Viongozi wa aina hii hawajukubushi misingi kwa kusoma kajibu ka Mwalimu Nyerere kautwako TANU na RAIA kalikochapishwa mwaka 1962

  • @saimonwatanzaniatanzania1436
    @saimonwatanzaniatanzania1436 ปีที่แล้ว

    Muongo mkubwa

  • @adam-saffi211
    @adam-saffi211 ปีที่แล้ว

    Huyu mzee retire, no wonder bado tuko maskini, huyu eti alikuwa kiongozi. Typical bongo imbecile.

  • @erickdioniz8277
    @erickdioniz8277 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mzee anadhani anaongea na wapumbavu

  • @japhetnzunda99
    @japhetnzunda99 ปีที่แล้ว

    Mzee Makamba

  • @barutiabuu9492
    @barutiabuu9492 ปีที่แล้ว

    Kwani chama pinzani kiko wap kwanini msifanye juu chini hiki chama kikatoka madarakani jamani tumekichoka hiki chama