MZEE MAKAMBA ALIPUKA, AMCHANA MAKAVU DKT. BASHIRU WAZI WAZI" WEWE UNA TATIZO GANI?, MAGUFULI..JEMBE"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

ความคิดเห็น • 97

  • @chrithicksambo2287
    @chrithicksambo2287 ปีที่แล้ว +8

    Kizee Cha hovyo katuzalia mtoto wa hovyo HAKI ya MUNGU kazi ipo ✍️

  • @rassanleezedon6861
    @rassanleezedon6861 ปีที่แล้ว +6

    hili Taifa tunapaswa kuomba sana, angalia watoto wa koo moja wakipeana madaraka. hivi lini atakuja mtoto wa mlala hoi akashika madaraka makubwa kama haya. Wema hawadum ila wenye roho mbaya wanadum ktk kutukandamiza...

  • @cafejohn3582
    @cafejohn3582 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi mungu shurika nao wanaoshurika na taifa letu mungu wetu hujawai kushidwa mungu simama na watoto wako

  • @gabjoni4306
    @gabjoni4306 ปีที่แล้ว +3

    Bora ata mzee mpili wa yanga
    Kuliko huyu Mpelumbe

  • @ephraimkalanje7105
    @ephraimkalanje7105 ปีที่แล้ว +2

    "Wabaya hufa...wamekufa!" Duuuh! Cry the beloved country!

  • @clarencehilary5588
    @clarencehilary5588 3 หลายเดือนก่อน

    Komeni kabisaaa

  • @charlesgasper-wo9hc
    @charlesgasper-wo9hc 9 หลายเดือนก่อน

    Nchi haiongozwi kwamisamiati inaongozwa kwa akilinamaarifa ukionavyaelea vimeundwa.

  • @cafejohn3582
    @cafejohn3582 ปีที่แล้ว

    Mungu fundi

  • @hamischuga6320
    @hamischuga6320 ปีที่แล้ว +1

    Ccm tumewachoka sanaa mnalipeleka hili taifa makaburuni kwa tamaa zenu za mali na njaa zenu zizizo Aisha mbwa nyie

  • @daktarimapenzi2022
    @daktarimapenzi2022 ปีที่แล้ว

    Mtu mzuri hafi, maana yake hata akifa ataendelea kukumbukwa kwa mambo yake aliyoyafanya. Mfano J.K. Nyerere

    • @moseshaule586
      @moseshaule586 ปีที่แล้ว

      hajamaanisha hivo.. msikilize alivoendelea baada ya hiyo sentensi..

    • @rahimwaziri6453
      @rahimwaziri6453 ปีที่แล้ว

      Kweli pengine hii ndio ilikuwa tafsiri yake

  • @sasumaadsaihmayombya8145
    @sasumaadsaihmayombya8145 ปีที่แล้ว +1

    Tukisema hatuna viongozi bari tunawapumbavu tu

  • @thomasmallya2972
    @thomasmallya2972 ปีที่แล้ว +2

    Kaaaa akika atuna wazee tenaaaa busara yako iko wapi unafundisha watu kufunja katibaa

  • @MsanangoMwalabu-rx1oo
    @MsanangoMwalabu-rx1oo 7 หลายเดือนก่อน

    Magu aliwakimbiza wakuda wote sasa wamerudi tusubili mateso

  • @barakaemmanuel8871
    @barakaemmanuel8871 ปีที่แล้ว

    CCM msitufanye kuwa wajinga. Kwani Samia alikuwa na mpinzani kwenye kiti hi hicho?????

  • @aloycefrancis6003
    @aloycefrancis6003 ปีที่แล้ว +3

    Daah!! R I P magufuri na msiwe mnawaongea watu ambao waliotutangulia mbele za haki aisee

  • @bertrandniyonkuru8523
    @bertrandniyonkuru8523 ปีที่แล้ว +1

    Mzee uve 2 mmeiba sana na wanao na wana ccm wote lait mngekufa wote.lakn ipo siku watanzania watachoka

  • @FaridaJames
    @FaridaJames ปีที่แล้ว

    Kikwete anachekelea mafisadi makubwa

  • @yasiniswedi8835
    @yasiniswedi8835 9 หลายเดือนก่อน

    Anavyoongeatu unajuwa huyuhana elim ni polojotu

  • @johnjooh4547
    @johnjooh4547 ปีที่แล้ว

    Wana sisi cmm ivi kweli tena mnampa mwanamke tena nchi hii kweli

  • @mahatakitengewamuninga1260
    @mahatakitengewamuninga1260 ปีที่แล้ว

    Mzee Hovyo Sana Huyu .. kwanini mnampa Nafasi

  • @janiaoma7093
    @janiaoma7093 ปีที่แล้ว +1

    Ukiwa mnafiki unapo kuwa mzee wala haipendezi mzee makamba alikuwa ana iba Mali ya ccm na kuchukuwa rushuwa

  • @barakaisiraeli
    @barakaisiraeli ปีที่แล้ว +1

    Duu kweli wameua kufuru kwelikweli

  • @gaspercharles4242
    @gaspercharles4242 ปีที่แล้ว

    Msumeno hukatambelenanyuma sharia umezitunga wewe basi usiende nje ya hizo sheria.

  • @lameckbalekere1962
    @lameckbalekere1962 ปีที่แล้ว +1

    Kwahiyo wazaziwako walikufa nimafala?

  • @barakaemmanuel8871
    @barakaemmanuel8871 ปีที่แล้ว

    Makamba wewe ni mnafiki

  • @moseshaule586
    @moseshaule586 ปีที่แล้ว

    Wazuri hawafi..Sawa sisi tulio hai ni wazuri sana kuliko waliokufa. Ila sitaki kuamini kama mzee mwenye busara anaweza tamka hivo. busara zenyewe kama ndo hivo mmmm

  • @elliottrahema
    @elliottrahema ปีที่แล้ว

    Wewe kazee utakufa Vibaya kachawi kakubwa na wewe. Samia Sina respect. Na wewe tena

  • @jacsonjosephu8569
    @jacsonjosephu8569 ปีที่แล้ว

    Mtu mzima ovyo
    Yan mtu mzima unasimama mbele ya watu unasema watu wazuri hawafi bila aibu kwaiyo waliotangulia mbele za haki wao ni wabaya sio .yan TZ tuna watu wazima ovyoooooooooooo

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 ปีที่แล้ว

    Kwahiyo mliwakalia vikao so what mnataka kumwondoa Bashiru

  • @bertrandniyonkuru8523
    @bertrandniyonkuru8523 ปีที่แล้ว

    Katakufa vibaya haka kamzee

  • @ibrahimcharlesswaleh
    @ibrahimcharlesswaleh ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂. Eee MUNGU tusaidie sisi wanyonge.

  • @majaliwacosmas3322
    @majaliwacosmas3322 ปีที่แล้ว

    Wazuri hamuwapendi mnawahamishia nchi Tena makamba sikupendiiiii 20 25 upinzani.

  • @samsonmsomi8330
    @samsonmsomi8330 ปีที่แล้ว +2

    Mzee mpumbavu huyu

  • @barakaisiraeli
    @barakaisiraeli ปีที่แล้ว

    Hovyo kabisa

  • @valerianakilumile8517
    @valerianakilumile8517 ปีที่แล้ว +1

    Kababa ndumila kuwili haka

  • @sulimanmzee2310
    @sulimanmzee2310 ปีที่แล้ว +1

    Uyu mzee ajui atendalo

  • @FaridaJames
    @FaridaJames ปีที่แล้ว

    Utamchagua wewe na wanae muunga mkono mtu mzima ovyoo na Samia anamchango gani vijijini,

  • @michaelsanga5681
    @michaelsanga5681 ปีที่แล้ว

    Huyo mzee akiliimechoka

  • @adam-saffi211
    @adam-saffi211 ปีที่แล้ว

    Anaharisha na kutapika mahela waliyoiba, hawa wazee watupwe gerezani wapumbafu sana

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 ปีที่แล้ว

    Mzee hovyo saana tuambie kwa nini Rais Wakristo pekee wanakufa we si una mdomo unajua yote kiboko yako slaa

  • @johncharles323
    @johncharles323 ปีที่แล้ว

    Kwahiyo unatumaanishia kuwa wanaiba Sana et ?

  • @bertrandniyonkuru8523
    @bertrandniyonkuru8523 ปีที่แล้ว

    Ipo siku tanzania itakuwa kama ukrni na rashia.maji nn xaxa aibu hiyo ni mirad inatakiwa kuzinduliwa na watendaji si rais inaonekana wamafka mwisho wa fikra

  • @barakaisiraeli
    @barakaisiraeli ปีที่แล้ว

    Kizee hiki kinafiki kweli

  • @Ucheshi
    @Ucheshi ปีที่แล้ว

    Kavu kweli hili babu linatetea ugali wa mwanae kavu mwenzie

  • @bertrandniyonkuru8523
    @bertrandniyonkuru8523 ปีที่แล้ว

    Wana ccm wenye akili amkeni. Familia moja zinatawala

  • @jamesndora3263
    @jamesndora3263 ปีที่แล้ว +1

    Kwahiyo Kwa Mzee Makamba wote waliotangulia mbele za Haki ni Wabaya kheri yako mzuri

  • @andreaemanuel9487
    @andreaemanuel9487 ปีที่แล้ว

    hichi kizeekimesha poteza kumbukumbu kitaishia pabaya

  • @mgongolwajoseph6901
    @mgongolwajoseph6901 ปีที่แล้ว

    Mj

  • @nixonjohnson4908
    @nixonjohnson4908 ปีที่แล้ว

    Mama samia anahela ..kumbe uzee nao ni ujinga ukiuendekeza ...

  • @godfreybikukana2079
    @godfreybikukana2079 ปีที่แล้ว

    Hili taifa linangamia kwakua na viongozi wabovu Kama makamba Wewe Ni njaatu huna mchango wowote

    • @judicalosika7642
      @judicalosika7642 ปีที่แล้ว

      Watu wazuri hawafii!!!!
      Eh! Eh! Eh! -
      Hapa amepotoka
      ....ndiyo maana .... .... .... wapo!!!
      Ina maana hawata.....k!!!!!!

  • @barakaisiraeli
    @barakaisiraeli ปีที่แล้ว

    Kweli ninyi ni mbwa

  • @jessegodson8575
    @jessegodson8575 ปีที่แล้ว

    Serikali hii ya hovyo sana, kuupiga mwingi ni kuwaibia ela za wananchi Nina maanisha Kodi zetu, alafu Jua wewe na huyo unaemsifia hio 2025 hamtofika MUNGU yupo lazima na nyinyi mfe

  • @michaelsanga5681
    @michaelsanga5681 ปีที่แล้ว

    Baba akiwa hovyo mtoto lazima awe hovyo

  • @vitalressgalus6738
    @vitalressgalus6738 ปีที่แล้ว

    kwakupeana kweli uu ni ujinga

  • @ezekielmatondane714
    @ezekielmatondane714 ปีที่แล้ว

    Mafisadi wakubwa

  • @jonhkabwa7849
    @jonhkabwa7849 ปีที่แล้ว

    Makamba ni muislamu haramu.Kwani mtu mzima hawezi kusema eti mtu mbaya anafa haraka na mtu mzuri hafe.

  • @kamulipatrick8933
    @kamulipatrick8933 ปีที่แล้ว

    Binanadamu usiwe nakiburi cha uzima maisha ya mwnadamu hajawaihi kujiongezea uhai haya siku moja hata Kama utaishi miaka mia sio mwema kuzidi waliotangulia mbele za haki mzee acha kukufuru

  • @kabembamartin4489
    @kabembamartin4489 ปีที่แล้ว

    Mzee Makamba anatakiwa apumzike kwani ushauri wake una utata. Asiwavuruge watanzania.
    Kauli ya wazuri hawafi mmmh! Afafanue alichokusudia.

  • @eamsatellite2077
    @eamsatellite2077 ปีที่แล้ว

    Jaman umeme bado shida R.I.P JPM

  • @hamismabula9934
    @hamismabula9934 ปีที่แล้ว

    Mh!

    • @angelaangela5805
      @angelaangela5805 ปีที่แล้ว

      Wezi watupu

    • @angelaangela5805
      @angelaangela5805 ปีที่แล้ว

      Huyo mzee mwehu ccm pekee hawawezi kutoa ushindi tupo na sisi , hatumpi kura mwizi

  • @chrithicksambo2287
    @chrithicksambo2287 ปีที่แล้ว

    Endeleeni kumponda mtu aliye Kaburini ipo siku mtalia Kwa machozi ya WATANZANIA maana mmekwisha kupata Raha yenu ✍️

    • @enocksamwel3146
      @enocksamwel3146 ปีที่แล้ว

      Wazuri hamfii wanakufa wabaya ! He! Sie masikio yetu kusikia !Mh!!Mungu '''

    • @judicalosika7642
      @judicalosika7642 ปีที่แล้ว

      @@enocksamwel3146 kauli mbaya sana sana.

  • @abdulkhamis1170
    @abdulkhamis1170 ปีที่แล้ว

    Pumzika sasa uwombe toba

  • @everever2807
    @everever2807 ปีที่แล้ว

    Hawa umbwa tu

  • @idimbezi8379
    @idimbezi8379 ปีที่แล้ว

    Huyu mzee hafai kimbembele sana hafai kwenye siasa hajui watanzania wanapata taabu sana

  • @sulimanmzee2310
    @sulimanmzee2310 ปีที่แล้ว

    CCM wote wezi tu majambazi wazee kama Hawa hawajui kama waliwaongoza miaka ya nyuma million 10 lakini sasa tuko milioni 70 tungamana wewe

  • @benitopilla3145
    @benitopilla3145 ปีที่แล้ว

    Hovyooo hamnakitu mpaka wanajiita familia moja ipo siku isiojulikana

  • @idimbezi8379
    @idimbezi8379 ปีที่แล้ว

    Hii nchi uongoz unaenda kifamilia

  • @robertlazaro9951
    @robertlazaro9951 ปีที่แล้ว

    Utumbo kabisa

  • @Ahdall
    @Ahdall ปีที่แล้ว

    Maneno makubwa hayo CCM oyeee

  • @jameskapela2075
    @jameskapela2075 ปีที่แล้ว

    Mnacheka tu wawakirishi wa wananchi wa Tanzania Magufuri kufa ana maana hakuwa mtu mzuri??????.

  • @vanessapita8787
    @vanessapita8787 ปีที่แล้ว

    Achakumja mtume katika sehemu ya kishetani rudiza toba

  • @manilabonalumanula9210
    @manilabonalumanula9210 ปีที่แล้ว

    Watu wazuri hawafi!!

  • @sulimanmzee2310
    @sulimanmzee2310 ปีที่แล้ว +1

    Ujui usemalo wewe mzee mbwa tu wewe na mwanao data yenu inachemka

    • @judicalosika7642
      @judicalosika7642 ปีที่แล้ว

      Mbona mwanae alikuwa anasaidia gas Kwa wamama wasitumie tena Kuni??
      Wamama walishamgilia sana, na kushangilia kule nadhan mtungi ule mdogo utadumu miaka 51 ndipo uishe gas ndani.
      Nadhan gas ikiisha hao hawatauziwa watajaziwa buuuure, hawatalipa shs 21,000!!!!🤣🤣🤣🤣🤣
      waTanzania hasa viongozi, tuna tatizo kubwa, Huwa tunadhani TUTAISHI PASIPO MWISHO.
      Tunajilimbikizia kujilimbikizia kujilimbikizia kujilimbikizia, lakini kama ni za Halali si dhambi lakini kama ni dhulma ohooooooo! S H.

  • @stevenmwanisawa5611
    @stevenmwanisawa5611 ปีที่แล้ว

    Ni ujinga mtupu

  • @akidajulius8397
    @akidajulius8397 ปีที่แล้ว

    Huyu mzeee, anapoteza uwezo wa kuongea Sasa,anacho kiongea analikua mwenyewe

  • @bertrandniyonkuru8523
    @bertrandniyonkuru8523 ปีที่แล้ว

    Kuupga mwingi ni kuiba sana watu si wajinga et

  • @sidodeni3468
    @sidodeni3468 ปีที่แล้ว

    Mh unashauli kuvunja mlichokiandika

  • @nixonjohnson4908
    @nixonjohnson4908 ปีที่แล้ว

    Hii chama kumbe bado giza .. maana kuteseka kwa walipa kodi huyu aoni . Wazuri hawafi ..anaondoka huyu hana muda ... mswahidi ujinga

  • @lameckbalekere1962
    @lameckbalekere1962 ปีที่แล้ว

    Angalieni ukuleni nao walikua wajinga kama makamba saivi wanajuta

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 ปีที่แล้ว

    Watu wazuri hawafi sijaelewa.

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 ปีที่แล้ว

      Mandela yuko hai... Nyerere yuko hai... Martin Luther King yuko hai... Watu wazuri hawafi... Wanadumu... Wanaendelea kuishi milele...

    • @makelemohuya2723
      @makelemohuya2723 ปีที่แล้ว

      Lizee la hovyo hovyo sana hili na mtoto wako wa hovyo hovyo kabisa

  • @jeniphanzeran8231
    @jeniphanzeran8231 ปีที่แล้ว

    anataka chama chake kivunje katiba

  • @الزغويالزغوي-ض3ن
    @الزغويالزغوي-ض3ن ปีที่แล้ว

    MZEE WETU MAKAMBA MZEE WA HEKIMA!
    MBONA MEMBE ALIPO TAKA KUSHINDANA NA MAGUFULI HUKUSEMA MANENO MAKALI KAMA HIVYO ? AU NI KWA KUA ALIMNYIMA MWANAO UWAZIRI?!

    • @amenyemwansile6919
      @amenyemwansile6919 ปีที่แล้ว

      Hata sasa mwanae asingepewa uwaziri asingekuwa anaongea kwa bashasha hivyo

  • @elliottrahema
    @elliottrahema ปีที่แล้ว

    Jamani lini tutapata wapinzani angaliene Haya gangster