PART II: MTANZANIA LILIAN ALIYEFUNGWA MIAKA 18 INDONESIA "SIDHANI KAMA NITATOKA NIKIWA HAI MIAKA 18"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024
  • PART 1 ------- • LILIAN, MTANZANIA ALIY...

ความคิดเห็น • 832

  • @millardayoTZA
    @millardayoTZA  4 ปีที่แล้ว +32

    KAMA ULIPITWA NA PART 1.... HII HAPA =====>>>> th-cam.com/video/E9VJBUHzbbU/w-d-xo.html

  • @dusilaabuock8060
    @dusilaabuock8060 4 ปีที่แล้ว +5

    Kila mtu anastaili msamaha , lkn huyu demu boyfriend wake mnaigeria ndo aliyemshawishi, na ndo aliyeuliwa, na aliuliwa airport walikuwa wote,anyway its a long story mtu ukigoole kwenye taarifa za habari indonesia historia yake ipo na uzuri uwa wanachukua na video kwa ushaidi, inabidi tijifunze kwa kupitia story yake,ingawa kuna sehenu anadanganya kinoma,

  • @salminqr7958
    @salminqr7958 4 ปีที่แล้ว +34

    Dah kaka milrad ayo mungu akubariki,tumuombe mungu Dada yetu apate uhamisho my

    • @muniradaudi440
      @muniradaudi440 4 ปีที่แล้ว

      Ss anamuhojii huyo bado andoneshia au vip sielew

  • @pendohumphrey7588
    @pendohumphrey7588 4 ปีที่แล้ว +52

    Mungu sikia maombi ya huyu dada umtoe gerezani, maana hakuna aliyekamilika

    • @ahmadmbuta4138
      @ahmadmbuta4138 4 ปีที่แล้ว +8

      Pendo uko vizuri kwa koment yako ila nawashangaa watu wanarohoo mbaya kama awana makosa ebu kila anayetoa koment mbaya ajalibu kujichunguza maisha alio pitia sio tunakoment tu ss sote dunian njia yetu 1 tunaelekea ukouko

    • @rajabumalupu4184
      @rajabumalupu4184 4 ปีที่แล้ว +2

      Mungu awez kusikia ujinga huo tusimpe uzingo acha mungu atupambanie na hili janga la Corona

    • @pendohumphrey7588
      @pendohumphrey7588 4 ปีที่แล้ว +4

      @@rajabumalupu4184 hata ujinga wako pia itakuwa vigumu kuhusikia na itakuwa ni mkubwa zaidi ya huyu ni bado tu haujaingia mitandaoni, pole

    • @chayogasperi9783
      @chayogasperi9783 4 ปีที่แล้ว +1

      @@ahmadmbuta4138
      Tunaelekea huko huko wapi , njia yetu 1 ipi ??
      Njia yetu moja " kifo " ndio tunajua kwamba wote njia yetu ni hiyo tutakufa .
      Lakini kwenye kubeba madawa NO !!!
      SIE wengine tunaweza kusema na nafsi zetu , hatuna tamaa, tunaridhika na rizki ndogo tuipatayo , nafsi zetu zimekinai ,
      Turidhike na kipato kidogo cha halali kuliko unahaidiwa dola 5,000 ya hatari nawe unakurupuka , acheni mnawatesa wazazi wenu kwa mawazo hasa mama zenu .

    • @geequeen1116
      @geequeen1116 4 ปีที่แล้ว

      Kabisa Mungu amsaidie😭😭😭

  • @pendothomas7258
    @pendothomas7258 4 ปีที่แล้ว +25

    Mwenyezi Mungu uliye mwingi wa rehema, ulimtoa mwanao wa pekee Yesu kristo aliyekufa msalabani ili sisi tuwe huru kutoka katika vifungo mbali mbali, ninaomba kwa mamlaka ya jina la Yesu na damu yake yenye nguvu umfungue Lilian kutoka gerezani, umweke huru kabisa. Amen

    • @joharimbuya8167
      @joharimbuya8167 4 ปีที่แล้ว +1

      Pole sna mwenywezi mungu atakufanyia wepesi nautatoka Tu chamuhimu muombe mungu pia huwe unapenda kufunga kwa naomba zaid

    • @evalenjistasamwel4744
      @evalenjistasamwel4744 4 ปีที่แล้ว

      Daaah axe

    • @anasiamacha2543
      @anasiamacha2543 4 ปีที่แล้ว +1

      pendo thomas
      Amina

    • @joselinejoseph9632
      @joselinejoseph9632 4 ปีที่แล้ว

      Amen 🙏🙏

    • @bernardmallya2967
      @bernardmallya2967 4 ปีที่แล้ว +2

      Pendo Thomas.. omba Mungu akukinge wewe na familia yako... Sio kuomba Mungu amsaidie muuza unga... Mungu Kwanza yuko busy na maswala muhim sio ya kipumbavu kama ya kuwasaidia wauza unga mana wanawaharibu sana ndugu zetu wanakuaa mateja

  • @doctorgames5011
    @doctorgames5011 4 ปีที่แล้ว +60

    Sina usafi wa nafsi wa kuhukum..Nakupa pole MwenyeZimungu akufanyie wepesi

  • @godwinmmari6692
    @godwinmmari6692 4 ปีที่แล้ว +36

    Daaah so sad😭😭 Hadi machoz yamenitoka... Hakika umetambua makosa yako unastahili kusamehewa... Naamini yajapokua tunajanga Covid 19 Serikali yetu Ni sikivu Sana IMEKUSIKIA LILIAN. I belv In🙏🙏

    • @collinsmakanta6898
      @collinsmakanta6898 4 ปีที่แล้ว +1

      gladeness godwin Tumuombee Sana

    • @godwinmmari6692
      @godwinmmari6692 4 ปีที่แล้ว

      @@collinsmakanta6898 kwel kabisa Kaka yang

    • @audifasmassera1289
      @audifasmassera1289 4 ปีที่แล้ว

      Kumwombea ndio muhimu! Kama sikosei bwana mkubwa alishasema kabisa ukidakwa na MADAWA mwanangu! pambana mwyw usiihusishe kwa namna yeyote!😢

    • @bernardmallya2967
      @bernardmallya2967 4 ปีที่แล้ว

      @Gladness Godwin serikali sikivu ? Wangekuwa wanawaachia wa Tz huku wanaokamatwa na madawa huku Tz.... Na Serikali iko busy na mambo muhimu sio ya ujinga huo... Mihadarati ni hatari sio kwamba alikuwa hajui... Biashara hizo faida yake ni vitatu , kifo, jela, uteja... Tamaa mbaya vijana turidhike na kidogo tunachopata ... Madawa sio mazuri hata kidogo Bora nife na kupata Tsh 100 zangu kuliko kuwaumiza watu Kwa uteja... Vuna ulichopanda no shortcut tena ukitoka kamtafute hongera zote n'a ikibid hata ela yule askari aliyekutetea usiuliwe. Mana hata mm ningekuwa raisi au raisi nikiwakamata watu kama nyie ni kuwamaliza tuu mana wavivu kufikiria na mnajiona n wajanja kuliko serikali. Pole Kwa wazaz na Ndugu zako mana wanapata tabu kisa ujinga wako. Na ukitoka utakuwa unakimbizia 41 years pole Dada Bora ungekuwa unadanga Tu.

    • @godwinmmari6692
      @godwinmmari6692 4 ปีที่แล้ว

      @@bernardmallya2967 duuuuu we Kaka wewe hauna hata chembe ya huruma??!! Hata maaandiko yanasema samehee pale panapohitajika.. mtu kakiri na kaomba msamaha amejuta alichofanya na kunakitu kajifunza Hana Budi kusamehewa.

  • @bahatituluka7953
    @bahatituluka7953 4 ปีที่แล้ว +4

    Lily kiukweli roho imeniuma san I wish umuone mama cz akuna mzazi anae taka mwanae apate shida mungu akulinde siku zote za maisha yako mamaang utatoka

  • @malimaeliudy1516
    @malimaeliudy1516 4 ปีที่แล้ว +16

    Dah! Nimeuzunika sana uyo dada liliani miaka 18 mingi kweli na iomba selikal imusaidie yeye pamoja na uyo mtanzania mwingine

    • @audifasmassera1289
      @audifasmassera1289 4 ปีที่แล้ว +2

      Dah! Kwa kweli tumhuzunikie tu! Nakumbuka mzee alisemaga kabisa kabisa UKIDAKWA NA MADAWA pambana kivyako usiihusishe mwanangu! Tena kama unakumbuka alisemaga pia sheria itumike ya huko ULIKODAKIWA! dah!

    • @bernardmallya2967
      @bernardmallya2967 4 ปีที่แล้ว +2

      Malima Niko na Raisi wetu... Serikali gani duniani hapa umeona inawasaidia wauza unga? Iache kusaidia Sekta nyeti ianze tuu kuwasaidia wauza unga... Kila siku sio Tz tuu mpka dunia kote tunaambiwa unga mbaya no either kifo jela au uteja.. Ila mijitu haielewi... Acha avune alichopanda.. $ 5000 imekupotezea dira nzima ya maisha na kwa taarifa yake hakuna Punda aliyefanikiwa n'a hata kama wapo n only 10% wengi wanaishia uteja, kifo au jela kama yeye saivi... $ 5000 = 41 years pole Kwa mama ake na Ndugu zake Ila ndio hivo inauma Ila watazoea

    • @Binti1801
      @Binti1801 หลายเดือนก่อน

      Kabisa, avune alichopanda, tamaa mbaya sana, kila siku tunaambiwa madhara ya madawa alafu we unajiingiza mazima, hawa ndio wanaotuaribia watoto kwa kusambaza madawa​@@bernardmallya2967

  • @zemgotanar5264
    @zemgotanar5264 4 ปีที่แล้ว +5

    Never give up siwezi kukujaji nakuombea mungu akurinde fenes ra. Kupika na ubwabwa makubwa🇲🇿

  • @gracegrace4245
    @gracegrace4245 4 ปีที่แล้ว +7

    Polee sana mungu atakufungulia milango ya gereza utakuwa huru kama walivyoomba Paul na sila milango ya gereza ikafunguka mungu yupo

  • @neemakirita3314
    @neemakirita3314 4 ปีที่แล้ว +19

    Pole Sana Lilian story yako imenitoa machozi, Mwenyezi Mungu akusimamie upate wepesi kwenye Jambo lako.

    • @othumanlorenzo260
      @othumanlorenzo260 4 ปีที่แล้ว +1

      Dada hawa wazoefu kabisa mbona wako wwngi wengi sana ...bali macao taiwani ,malysia,indonesia na sasa wako cambodia wanajibana huko na wanabeba hizo kazi...huyu mzoefu

    • @hadija846
      @hadija846 4 ปีที่แล้ว

      @@othumanlorenzo260 Kabisa

  • @dainesszuber1860
    @dainesszuber1860 4 ปีที่แล้ว +6

    Duuuh!! Aloo pole sanaa huuu umasikini wetu huuu unatuingizaga kwenye tamaa sanaa mwenyezi Mungu akusaidie sanaaa akuepeshe na kifo kiukweli

  • @jamesshao538
    @jamesshao538 4 ปีที่แล้ว +9

    I really i like those pipo with positive comment,mwenyezi Mungu akutie wepesi

    • @jamesshao538
      @jamesshao538 4 ปีที่แล้ว

      Thanks guys for ur understandin

    • @alexandrinadomaino9868
      @alexandrinadomaino9868 4 ปีที่แล้ว

      Jaman sema tu ndo hivyo mpaka serikali iandike barua but isingekuwa hivyo ningejitahidi japo kumtoa akafungwe home Tz coz maisha ya uku mhmh.

  • @lisaildephonce7317
    @lisaildephonce7317 4 ปีที่แล้ว +18

    Inauma sana 😭😭😭😭Mungu akusamehe, akusimamie na akufungulie milango uweze kupunguziwa adhabu Lilian

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 4 ปีที่แล้ว +17

    Jamani😭😭😭😭😭😭😭😭 nimelia mimi jamani tamaa mbaya jamani me mwewe ninatamaa paka bas ila nilivyo sijiliza simulizi hii ya msichana mwenzetu paka nimelia mmmm tamaa kaambali na mimi mungu atakusaidia utatoka

    • @anasiamacha2543
      @anasiamacha2543 4 ปีที่แล้ว

      Amina
      Mi piaa nna tamaaa jamanii

    • @bernardmallya2967
      @bernardmallya2967 4 ปีที่แล้ว +2

      Dotnata na Anisia punguzeni tamaa. Ishindeni nafsi... Hakika nawaambieni wabeba unga , Mapunda hakuna aliyefanikiwa akaenjoy ela yake. Yan hawazid hata 10% . Wengi wanaishia jela, uteja au kifo... Bora hata mdange nawaambieni. Unga sio mzuri hata kidgo na ukikamatwa kila mtu anakublock... Yan hiyo biashara n kama unajitoa kafara Yan. Asa ya nn kuishi bila Amani? Fugeni hata kuku , uzeni hata chips au mihogo ,chapati au hata vitumbua mtaani. Kaeni mbali na unga

    • @anasiamacha2543
      @anasiamacha2543 4 ปีที่แล้ว

      bernard mallya
      Nmekuelewaa sanaa Kakaanguu

    • @elizabethmabula101
      @elizabethmabula101 4 ปีที่แล้ว +1

      Acheni tamaa. Mimi nimekaa Asia . Ndugu zangu tamaa acheni.bora udanfe kuliko unga. Jail za huku unaweza kudungwa sindano ya sumu ufiye huko. Bado huyu dada kifo ya kunyongwa inamsubiri.. Kila mwak.wananyonga

    • @bernardmallya2967
      @bernardmallya2967 4 ปีที่แล้ว

      Elizabeth Mabula, safi sana dada angu. Wanawake kama wewe ndio wa kuoa, hawa wenye tamaa tamaa siku zote mavitu mabaya huwakumba. Lily anajifariji atatoka, anajifariji raisi atamuamisha gereza. Yan huyo akitoka bas akaokoke mana kama wenzake wawili waliuliwa machoni mwake yan hata yey kifo kinamuhusu sema watamuwa kisomi. Pole kwa familia yake

  • @joeljames8420
    @joeljames8420 4 ปีที่แล้ว +8

    Pole sana , Balozi wa huko naye yupo kama jiwe hafai ,mtoto akikosa hasuswi . Watanzania wenye huruma tumchangie Lilian pesa apate wakili mwingine apunguziwe kifungo, au za kujikimu kimaisha humo gerezani daaaaaah huruma bc tu .

    • @chayogasperi9783
      @chayogasperi9783 4 ปีที่แล้ว

      Hawasaidiwi wanafunzi waliopo nje wanapopata shida sembuse mbeba unga !!!!! kila siku tunausiwa madhara ya biashara hii lakini bado watu hawasikii ,
      Watanzania walioko magerezani nje ya Tanzania ni wengi sana , Nadhani mabalozi hili la kuwatembelea na kuwasaidia wafungwa wanaotoka kwenye nchi zao hawalipi kipaumbele .

    • @chayogasperi9783
      @chayogasperi9783 4 ปีที่แล้ว

      Kuchangisha pesa kipindi hiki ni ngumu sana , hali ya kipesa kwa watanzania walio wengi ni ngumu sana , Kwaresma , Ramadhani , watoto wako nyumbani likizo ya lazima ya CORONA , wanatakiwa kula asbh , mchana , jioni , kiufupi maisha yamebana sana kipindi hiki ( mtazamo wangu )
      Ila nawaombea wengine M- mungu awape uwezo mumchangie Mtanzania mwenzetu .

    • @josephatmgoboleni8767
      @josephatmgoboleni8767 4 ปีที่แล้ว

      Msaidie ww dem wako kama umefikwa na hilo

    • @joeljames8420
      @joeljames8420 4 ปีที่แล้ว

      @@josephatmgoboleni8767 josephat au Josephine majibu yako ni km umezoea hiyo hali.

    • @josephatmgoboleni8767
      @josephatmgoboleni8767 4 ปีที่แล้ว

      @joel James Ivi ww unaona akili zako zinakutosha kweli? Ivi unaona ni sahihi kumchangia mtu muuza madawa ya kulevya ambaye ni chanzo kikubwa cha kuleta umasikini kwa vijana pengine hata kuwaua kabsa na hayo madawa, wakati Kuna wengi wapo mtaani kwako wanahitaji msaada wa kupata pesa ya matibabu, pesa ya kula, Ada, wengine wapo magerezani kwa kubambikiziwa kesi yani Hao hauwaoni kuwapa msaada au kuwaombea msaada had uje umuombee msaada puuzi kama huyo daaah aisee broo try to think twice ila kama ni shemeji ok endelea kuomba msaada wenda utafanikiwa

  • @minzagabriel6150
    @minzagabriel6150 4 ปีที่แล้ว +32

    Pole Sana Gift mpaka roho imeniume sana nakuombea sanaa.

    • @mwanalikhamis9875
      @mwanalikhamis9875 4 ปีที่แล้ว +1

      pole mdogo wangu mungu atakusaidieni naumia mimi

    • @salimfea
      @salimfea 4 ปีที่แล้ว

      Minza Gabriel unamjua huyo dada

    • @minzagabriel6150
      @minzagabriel6150 4 ปีที่แล้ว +1

      @@salimfea ndio mpk familia yake naijua vzr sana

    • @salimfea
      @salimfea 4 ปีที่แล้ว

      Minza Gabriel daah inaumiza sana Yaan hakuna namna ya kumsaidia?

    • @minzagabriel6150
      @minzagabriel6150 4 ปีที่แล้ว

      @@salimfea mi niko mkoan na asilimia kubwa ya ndugu zake wako dar na moshi wameshahangaika mpk basi

  • @abubakarzuberabubakar3998
    @abubakarzuberabubakar3998 4 ปีที่แล้ว +5

    Lilian pole sana I know that life lilian mungu atakufanyiya wepesi utatoka tu soon inshallah

  • @farhad4208
    @farhad4208 4 ปีที่แล้ว +5

    Pole sana mdogo wangu Lilian, mwombe sana mwenyenz Mungu atakufanyia wepesi

  • @raimajimoto1122
    @raimajimoto1122 4 ปีที่แล้ว +17

    Dahhhh Allah atakufanyia WEPESI dada angu utatoka😭😭😭

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 4 ปีที่แล้ว +6

    It's very sad kwakweli wazazi wakae na watoto wao kuwaeleza kuhusu maisha... Mungu atakusaidia rais wetu atasikia sauti yako na itarudi nyumbani lilian

    • @dannycosmas7714
      @dannycosmas7714 4 ปีที่แล้ว

      Wapo wengi sana huko wadada wetu hawa watanzania ndio buhashara zao na wengine wamerudi salama

  • @ibrahimrukundo3064
    @ibrahimrukundo3064 4 ปีที่แล้ว +20

    ALLAH abadili hukumu hiyooo ili uachiwe haraka ila tujifunze kwahiloooo.

  • @DALALIMTOTOMPANDAKATAVI9169
    @DALALIMTOTOMPANDAKATAVI9169 4 ปีที่แล้ว +13

    daaaah jamani inauma daaaah ila nampa pole Sana huyo binti kwa kilicho mkuta huko aliko

  • @malaikahansen
    @malaikahansen 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana Lilian, hii itawasaidia vijana wengi sana. Mungu akubariki sana, nakuombea, MUNGU akupiganie. Mimi ni mtanzania naishi ulaya, mara ya kwanza nilikua nasoma Uganda kuna mtu ambae nilikua namheshimu sana, alitaka kunipekeka Germany kutembea innocently hata sikujua mimi kilichonishtua tu alikuja na passport ya Uganda na nilitakiwa niache passport yangu ya Tz. Sikujua chochote zaidi ya kusema siwezi kusafiria passport bandia. Basi baadae ndio nikasikia alikua anatumia watu kwa biashara hizo haramu. Mara ya pili huku ulaya nimefika kuna vijana watanzania walikua wametangulia huku, wao waliniambia wazi kabisa niende nchi ya jirani na ndege ya asubuhi nirudi na ya jioni, na pesa ambayo wangenilipa ilikua inatosha kununua gari niliyokua nimepanga kurudi nayo TZ. Nilikataa kwa sababu ya imani yangu na kumfikiria mama yangu but otherwise ni rahisi sana kutapeliwa na kuingia mkenge.

    • @samirakiango957
      @samirakiango957 ปีที่แล้ว +1

      Wangekuingiza mkenge aseee khaa pole dear

    • @malaikahansen
      @malaikahansen ปีที่แล้ว

      @@samirakiango957 Yaani ni MMUNGU tu wala sio ujanja wangu. Asante sana

  • @alqaasim_a_tz2412
    @alqaasim_a_tz2412 4 ปีที่แล้ว +4

    Kabla Hamjapata matatizo Mnasahauriwa sana Mnakataa Ushauri wetu mnaona kama Tunawaonea Nongwa Mkishaa patwa Matatizo Mnadai Kutoa Ushauri wa Kiutu,
    But Mola wetu ni mwema Maadam Umejutia mimi naomba Watanzania tungelitazama hili mwenzetu Aweze kuokoka na Huu mtihani Arudi Nyumbani
    Lakini nasisitiza ushauri wa Awali muwe Muna ufuata kabla ya kupatwa majanga

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 4 ปีที่แล้ว +2

    Pole Sana may God see you through hao ma Oga Nigerians sio wazuri +254 🇰🇪

  • @mozaummy327
    @mozaummy327 4 ปีที่แล้ว +10

    Allah atakusaidia ndugu yangu yote mitihani tu iyo utatoka kwa uwezo wa mungu

    • @suleymansaid9301
      @suleymansaid9301 4 ปีที่แล้ว

      Allah ndo mpangaji rais wetu ni mwngi wa huruma atakusaidia tu yote mitihani ya dunia ndg yng mungu wetu atakufanyia njia

  • @swaumusadiki8381
    @swaumusadiki8381 4 ปีที่แล้ว +9

    😭😭😭😭😭nimelia jmn daah mungu atafanya njia inshallah upo kwenye maombi yetu😭

    • @rajabumalupu4184
      @rajabumalupu4184 4 ปีที่แล้ว

      Kilichokuliza NI kipi

    • @bernardmallya2967
      @bernardmallya2967 4 ปีที่แล้ว

      Rajabu Malupu, namshangaa hata mm.. unalia kisa nn ? Unaanzaje mimuombea muuza unga? Yan nikipitaga mwananyamala, au hata temeke nikiwaona mateja wanavyoteseka na arosto huwa natamani niwe raisi niwauwe kila muuza unga... Hakuna punda aliyefanikiwa kama wapo basi n only 10% wengi n uteja, kifo, au jela kama Lily... Vuna ulichopanda

    • @bernardmallya2967
      @bernardmallya2967 4 ปีที่แล้ว

      Uache kujiombea mwenyew akubariki au kuwaombea wazaz wako unamuombea eti muuza unga .. Saumu nahisi unachanganikiwa...

  • @daimavlog
    @daimavlog 3 ปีที่แล้ว

    Wadogo zangu tulieni na ridhikeni na kidogo mlichonacho. Hayo madawa yalikuwa yanaenda kuua watoto wa watu, tafuteni kwa jasho kazi halali wadogo zangu. Mungu niwaajabu sana atakuinua siku moja. Endeleeni kusali na kuamini Mungu anatosha. Asante kujitoa kuelimisha wengine.

  • @zainabzantar5440
    @zainabzantar5440 4 ปีที่แล้ว +8

    Kashajutiaa na kuomba msamaha jaman serekal ingiiliee katii... So sad...😭😭😭

    • @audifasmassera1289
      @audifasmassera1289 4 ปีที่แล้ว +2

      Huzuni si kidogo! Naamini Mungu atamsamehe! Ila kama unakumbuka mzee alisemaga kabisa kabisa UKIDAKWA NA MADAWA mwanangu upambane tu kivyako usiihusishe! Tena unakumbuka alisemaga pia sheria itumike ya huko ULIKODAKIWA! Samahani nimekumbushia tu naona wengi tumelisahau hilo!

  • @geofreyjames6088
    @geofreyjames6088 4 ปีที่แล้ว +2

    Polee nmejifunza k2 apo mungu atakusaidia hope dat rais wetu kaskia kilio chako polee polee san😥😥

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 4 ปีที่แล้ว +3

    Duh! Mtihani! Njia rahisi ya mafanikio mtihani!! Masikini binti! Pole sana,

  • @sashaaishajamani1979
    @sashaaishajamani1979 4 ปีที่แล้ว +1

    Duu pole sana mungu yuko pamoja na wewe now nina wafanyakazi wenzangu wa huko huwa ni wabinafsi so l can't trust hata mmoja najitenga all the time so mabint jifunzeni maisha ya mkato yana cost sana

  • @princessmaasai4252
    @princessmaasai4252 4 ปีที่แล้ว +5

    Daaaah,,,, dada pole sana mungu yupo atakusimamia utatoka tu

  • @sumayahfathi9413
    @sumayahfathi9413 4 ปีที่แล้ว

    Pole mamy Utakuwa umejifunza mengi, Allah anasamehe usichoke kumuomba Mungu, Allah Anamiujiza yake unaweza ukatoka kabla yahiyo miaka 18, Jamani hawa watoto wetu tukae nao chini hakuna Life ya short Dunian mamy, nakuelewa mamy usilie futa machozi Mungu anaweza mililie Mungu tu kama anaweza kumuokoa nabii yusuph hashindwi nanyinyi , poleni Sanaa,

  • @ndabarinzesamuel9333
    @ndabarinzesamuel9333 4 ปีที่แล้ว +1

    Wa malesia hawana huruma dada ni kukuombea dua ila kutoka huko ni kugumu, hao watu ni wauaji wakikukamata na madawa ya kulevya ni mpaka kuuwa tu, Mungu akujalie dada.

  • @solomonmpuluma282
    @solomonmpuluma282 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyo wakili Mungu atamhukumu kwa haki. Wewe mwachie Mungu tu mama yangu mpendwa. Jipe moyo utashinda. Ipo siku moja.

  • @jokhaali9187
    @jokhaali9187 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimejiskia nalia tu mn kwa umri alonao nikapiga hesabu miaka 17 haki Kama ni Mimi au mwanangu ndio naona umri wake u meishia jela bila ya mafanikio yyt mungu tuangalie sisi na wtt wetu tuokoe kwenye hizi shida za umaskini na tamaa tutapoteza vijana wetu nguvu kazi 😭😭😭

  • @mariamkadija7764
    @mariamkadija7764 4 ปีที่แล้ว +15

    Ngoja nibaki Oman kwakweli napata pesa yangu halali natumia Nguvu zangu 💪 alihamdulilh namshukuru Mungu 🙏 sas hiyo Miaka 18 Siyo mchezo ukiwa kifungoni siku 1nikama miaka 💯 Mungu 🤲 nusuru vizazi vyetu Pole Sana lakini

    • @shuutahfif2929
      @shuutahfif2929 4 ปีที่แล้ว

      Wallah na Mungu atufanyie wepec ktka kupambana kwetu huk Oman

    • @salimzaidi9203
      @salimzaidi9203 4 ปีที่แล้ว +2

      Kabisa my acha tupambane na pesa zetu za halali mungu atusaidie wafanyakaz wote oman

    • @zenadaudzena2849
      @zenadaudzena2849 4 ปีที่แล้ว

      Kwa kweli acha tubaki huku ni bora kabisa

    • @hassanmugire1497
      @hassanmugire1497 4 ปีที่แล้ว +1

      Mariam Kadija oman mnaliwa na waarabu rudi nyumbn

    • @sweetchowdhury1155
      @sweetchowdhury1155 4 ปีที่แล้ว

      @@hassanmugire1497 hayo ni mawazo yako tu ukweli tunaujua tuliokuwa huku

  • @doreemoshi8707
    @doreemoshi8707 4 ปีที่แล้ว +1

    Daaaaah nimelia sanaaaaa aiseeeee pole Lili wangu mungu wangu akutie nguvu ili nijaribu tuuu na naimani utalishinda tunakuombeea mungu akupe Imani zaidi ujasiri na nguvu ya ushindi,mungu Ni mwema

  • @justami2625
    @justami2625 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana
    Mdada Mungu akufanyie wepesi utoke na mama ako pia namuombea uzima InshaAllah ampe uzima
    Akusamehe ili upate huruma ya Mungu utoke

  • @kenybenjiz7850
    @kenybenjiz7850 4 ปีที่แล้ว +5

    Hivi huuyu Lilian anamjua mzee magu na serikali hii kwenye kupambana na madawa
    Yeye anatafuta huruma

  • @patrickmyala9501
    @patrickmyala9501 4 ปีที่แล้ว +25

    Millard yupo gereza gani uyo dada I need to see her bro

    • @franklyfaustine3880
      @franklyfaustine3880 4 ปีที่แล้ว +2

      Mcheki dm milad ndo rahis kumpata hasa instagram

    • @silverrichard2975
      @silverrichard2975 4 ปีที่แล้ว +2

      Swagg nation Inc tv wewe upo huko indonesia

    • @patrickmyala9501
      @patrickmyala9501 4 ปีที่แล้ว +4

      Nimejaribu kumchek millard sijampata dm hajibu kaka

    • @patrickmyala9501
      @patrickmyala9501 4 ปีที่แล้ว +7

      Silver Richard nipo uku jakarta indonesia so ni bora nimuone mtanzania mwenzangu

    • @silverrichard2975
      @silverrichard2975 4 ปีที่แล้ว +2

      safi sana mcheki ikibid msaidie kumpata huyu mwanasheria aliemtapeli

  • @aliboss2736
    @aliboss2736 4 ปีที่แล้ว +1

    Wanaigeria cwapendi sana wanatumia sana dda zetu na ishu mbovu

  • @sharifabdul6085
    @sharifabdul6085 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimpe pole sana huyu dada maana shida tamaa na njaa ndizo zinazzotuingiza kwenye matatizo,nimegundua huyu dada amefanya hivi kuhitaji msaada na pia kutoa elimu kwa sisi tulio huru kua tusiwe na mtazamo hasi juu ya namna ya kuyaendea maisha,tuepuke hizi ishu maana ni zaidi ya hatari

  • @lidyarobert8544
    @lidyarobert8544 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akufanyie wepesi mpendwa
    Nimekupenda kwasababu hukutakaa kubaki na hii story peke yako m naamini utapata msaadaa

  • @mackynicky5832
    @mackynicky5832 4 ปีที่แล้ว +1

    Ee Mungu wasaidie watoto wetu, pole sana Lilian Mungu atakusaidia utatoka, haya ni mapito ya dunia

  • @pendodamian9554
    @pendodamian9554 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana dada daaa mungu atakusaidia tatizo litaisha amna lisilo na mwisho mungu ni mtetezi wa wanyonge so ni mapito tu

  • @milkaauma6312
    @milkaauma6312 3 ปีที่แล้ว +2

    Pole dada tufanyeni kazi sina usemi pole sana

  • @givenudandale2946
    @givenudandale2946 4 ปีที่แล้ว

    Dada Pole sana kwa masahibu yaliyokupata.
    Kumbuka hakuna jaribu linalokupata alafu lisiwe ndan ya uwezo wako( Hilo nalo utashinda)
    Jutia kosa
    Omba msamaha kwa Mungu
    Hakika hakuna linaloshindikana chini ya jua.

  • @collinsmakanta6898
    @collinsmakanta6898 4 ปีที่แล้ว +6

    Pole Sana Mwana Mama Imeniuma Aisee

  • @motertzwambula9288
    @motertzwambula9288 4 ปีที่แล้ว +8

    Dah isee Mungu
    Akufanyie wepesi
    Kipenz Lilian ingawa
    Yote ni mapitio lakin hayo
    Nizaid ya maumivu hata kwetu pia
    Miladiayo mpiganie Lilian afanikiwe

    • @bernardmallya2967
      @bernardmallya2967 4 ปีที่แล้ว

      Ye sio wa kwanza.... Na Serikali umeona Lin ikisaidia wauza unga? Millard Acha ajipatie viewers Tu mambo yasonge.. Yeye aendelee na kifungo, avune alichopanda. Yan wauza unga dunian kote haswa Mapunda 10% ndio walifanikiwa Ila wengine wote ni failures na kuingia kwenye kifo, jela au uteja... Ila bado utakuta jinga lingine mtaani sa hv linawaza kubebeshwa eti kisa maisha magumu... Turidhike vijana, bora uokote hata makopo, umenye viazi, au ufanye hata kufagia barabara, au kuzibua mitaro mtaani kuliko kubeba unga.... Poor Lily na ukitoka utakuwa na 41 years hauna hata Mia na wanaweza pia wakakumaliza b4 kifungo... Mwenyew ningekuwa raisi au polisi wa Indonesia ningekumalizia mbali kazi kututia aibu ndio mana tukiombaga visa nchi za watu tunanyimwa au kupata shida kisa nyinyi... Vuna ulichopanda sasa... Na maskin ukitoka hapo omba Mungu madawa yasiwe yamekuathiri utumbo ukapata uteja

  • @k2channel94
    @k2channel94 4 ปีที่แล้ว +17

    Dah pole Sana Dada yang Never give up my Beloved sester

    • @leahtlukindo564
      @leahtlukindo564 4 ปีที่แล้ว

      pole sana lilian Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi

    • @leahtlukindo564
      @leahtlukindo564 4 ปีที่แล้ว

      pole sana Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi

  • @aishajuma8792
    @aishajuma8792 4 ปีที่แล้ว +6

    Subhuhallah mungu akufanyie wepesi

  • @bahatituluka7953
    @bahatituluka7953 4 ปีที่แล้ว

    Pole lily akuna tofaut ya maisha kikubwa mwenyez mung akufanyie wapesi inshaallh

  • @deborarasuli6974
    @deborarasuli6974 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana mdogo wangu hujui mungu anakusudi gan na wewe pia hilo nifundisho kwa wengine ambao wanataka kufanya biashara ya madawa ya kulevya

  • @arnoldschwaristen7916
    @arnoldschwaristen7916 4 ปีที่แล้ว +1

    So Sad wallahy Daaaah nimejisikia vibaya sana Sema kwa Nchi yetu Tanzania wangeangalia jinsi gani ya kumsaidia Ili ikiwezekana afungwe hata kifungo cha nyumbani Dah Wamsaidie tu 😭😭😭😭😭😭😭

  • @abdallahmohamad6991
    @abdallahmohamad6991 4 ปีที่แล้ว

    Allha atafanya wepec wake ameen yarrabil alameen... Dada yetu urudi Tanzania na uweze kuonana na Familia yako.. Dua zetu zpo nyuma yako sister

  • @maryamali9229
    @maryamali9229 4 ปีที่แล้ว

    Pole ndugu maisha haya yanachanganya kweli ,jmn isitoshe km hujatokea kwenye maisha ya kimasikini huwezi kujuwa , mpk uyapitie mie si mlaumu huyu dada zaidi naweza kusema kwamba pole ,maisha haya unakuta asubuhi hamna kitu mpk jioni

  • @nkuba_tz258
    @nkuba_tz258 4 ปีที่แล้ว +16

    Daah inauma...... sikia tu ila yasikukute, pole dada

  • @hassanyussuph4407
    @hassanyussuph4407 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana dada swala la nchi yako kukusaidia sijuwi tuombe mungu hizo nchi kuna wakati huwa zina toa msamaha labda mungu atafanya miujiza yake pole maisha ni safari ktk hutokea ajali ndo kama hivi imeniuma kabisa tena huyo mwanasheria ndo kanitia hasira sana

  • @tausially6866
    @tausially6866 4 ปีที่แล้ว +1

    Serekali yetu jmn iwaone waTanzania wenzetu uko wasaidiwe....ata km wamekosa wawasaidie tyu ...hakuna binadamu mkamilifu wote tunakosa...serekali isaidie😢😢😢😢😢naamini washajifunza

  • @liliansamson674
    @liliansamson674 4 ปีที่แล้ว +1

    Ushauri Wangu kwake ajiunge na shule asome sana akitoka aje na vyeti vyake aje afanye kazi , miaka 18 ni mingi ila sio sana akijiandaa itakuja kumsaidia yeye mwenyewe.

  • @azizahamed4037
    @azizahamed4037 4 ปีที่แล้ว

    Mkamilifu ni Mungu peke yake!! umekosea na naamini umejifunza...Namuomba Mungu akufanyie wepec na amsaidie mamaako pia!! Natumai serikali yetu itawasaidia kwa njia moja au nyengine..

  • @ruthmdamo7661
    @ruthmdamo7661 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah! Maisha haya pole sana mamy mwenyezi mungu atakuepusha na . mabalaaa

  • @kemyphilip4000
    @kemyphilip4000 4 ปีที่แล้ว

    Duu vijana tusipende maisha ya mkato tufanye kazi zilizo halali. Pole sana dada angu nitakusaidia kwa chochote nilicho nacho inshallah u will be alright🙏🏾

  • @neemaruta316
    @neemaruta316 4 ปีที่แล้ว +6

    Oho mungu wangu msahidie Lilian roho imenihuma ameishajutia na kutubu

  • @mariammbughi2702
    @mariammbughi2702 4 ปีที่แล้ว +1

    Wali na supu ya ukwaju aisee pole dear mungu akufanyie wepesi

  • @theblessedone7526
    @theblessedone7526 4 ปีที่แล้ว +1

    Maskini hadi michozi dada atia huruma kweli. Mungu akusamehe dada

  • @salmawage7259
    @salmawage7259 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana sana mitihani mungu atakusaidia utatoka utarudi nyumbani salama

  • @ashaally6662
    @ashaally6662 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akufanyie wepesi na ukikosea ukajuwa makosa ukimwomba msamaha anakusamehee kazana kuswali na kumwomba mungu utatoka hata kuhamishiwa gerza la nyumbani ya mungu ni mengi Allah akufanyie wepesi inshaallah

  • @sm5tv
    @sm5tv 4 ปีที่แล้ว +2

    Serikali imwache akae kwanza maana angepata hizo hela angetusumbua sana huyo anavyoonekana tuuu
    Afu alikuwa hatumii Instagram,twitter au fb tumuone alivyokuwa akipost picha akiwa Airport na kwenye ndege alivyokuwa anawatambishia followers Wake jaman ,
    Millard Fanya mpango akutajie AKaunt yake ya Instagram tumuone ili tujue anastahili kusaidiwa au laaaah

    • @juliusfelister894
      @juliusfelister894 4 ปีที่แล้ว +1

      NgoniBoy online 😂😂😂🤣😂😂daaah nimechekaa
      ila pole lilian ndo kutafuta huko

    • @gemmygamah7683
      @gemmygamah7683 4 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Duh

  • @tinamnzava4593
    @tinamnzava4593 4 ปีที่แล้ว +21

    Miladi nimelia aiseee.

    • @euniceeunice7680
      @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว +1

      Kisa?

    • @rajabumalupu4184
      @rajabumalupu4184 4 ปีที่แล้ว +2

      Kilichokuliza nn unajua mungu apendi mnafik hata Rais wetu alishasema mtu akikamatwa na madawa ya kulevya Sheria za nchi hizo zitumike dhidi yke yaan hpo hata balozi asogei hpo

    • @amriyaaziz2199
      @amriyaaziz2199 4 ปีที่แล้ว

      Jaman kukosea sio kuwa ndio hufai katika jamii....kalia imemgusa

    • @vanessamagezi6986
      @vanessamagezi6986 4 ปีที่แล้ว

      @@rajabumalupu4184 Una roho mbaya kaka du!!?halafu eti umefunga nyoooo.

    • @getmotivated3619
      @getmotivated3619 4 ปีที่แล้ว

      @Rajabu Malupu.... ni bora kunyamaza kuliko kuongea ujinga.... yeye leo.. wewe kesho... utayakumbuka haya maneno... as long as unapumua.. safari yako ya maisha haijesha... kaa hapo!

  • @gililwise
    @gililwise 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana mwanangu .hayo ni mapito tu.hao watu wanaotumia watoto kufanya uhalifu Mungu atawahukumu.

  • @jackyluns8224
    @jackyluns8224 4 ปีที่แล้ว

    Nimeumia sana nimejifunza kaka millard ni kher mtu anicheke nauza
    Ata ubuyu ilimradi mungu ipo siku nitatoka kimaisha kwa kujituma kwangu

  • @estergodfrey4126
    @estergodfrey4126 4 ปีที่แล้ว

    Ningekuwa na uwezo ningekusaidia ila Sina, Mungu akutangulie na akuepushe na Mabaya Lilian. Inauma sana. Mungu wangu tenda miujiza watanzania wenzetu wanateseka,

  • @loshilulukumay7203
    @loshilulukumay7203 4 ปีที่แล้ว

    Aisee Bila shaka Imeniuma sana tena zaidi ya kuniuma Kweli Huyo Dada amenigusa kwakweli Mungu amsaidie Atoke jamani na balozi wetu jamani mjaribu kuwatetea watanzania hawa mnawawakilisha huko.Daaaaaaaaa

  • @masoudmasco8380
    @masoudmasco8380 4 ปีที่แล้ว

    millard hiyo story imeniumiza sana naomba serikali iwasaidie ndugu zetu maana tayar wamejutia kwa walichofanya na hata mungu anasamehe saba mara sabini

  • @jumamgaya9779
    @jumamgaya9779 4 ปีที่แล้ว

    Kaka miladi ayo mwambie azidi kumwomba mungu mungu anasamehe mlad awe na imani Dada anguuu

  • @winnermariah
    @winnermariah 4 ปีที่แล้ว +8

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭EEEH YESU..MAISHA HAYAA😭😭😭😭MPIGANIE HUYU BINTI UMSAMEHE

    • @ashaabdallah9254
      @ashaabdallah9254 4 ปีที่แล้ว

      Ameen

    • @lilyrapha1498
      @lilyrapha1498 4 ปีที่แล้ว

      Dah kweli asamehewe wajina wangu nami namuombea 😱😭😭🙏

  • @mayilahamisi3730
    @mayilahamisi3730 4 ปีที่แล้ว +4

    Millard ungemuuliza huyo mwenzake aliyemkuta huko gerezani, nae alikamatwa na kesi gani?

  • @florrakimemeta4850
    @florrakimemeta4850 4 ปีที่แล้ว +1

    Daaah pole sana, Millard ayo msaidie aweze kurudi huku

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana jamaniii,hata cha kusema sina😭😭😭wali kwa fenesi na supu ya ukwaju😭😭,asante liliani tumejifnza kitu

  • @juniorcantona4040
    @juniorcantona4040 4 ปีที่แล้ว

    Usijali Lilian Kessy. Pole Mungu Atakufanyia wepesi katika kipindi hicho kigumu ulichokutana nacho.

  • @focuseric4109
    @focuseric4109 4 ปีที่แล้ว +2

    Achen makundi yakihuni,lilian toka yupo tabata tanzNia alikua namaisha yakihuni sn,kama alivojieleza,inaonekana alikua changudoa dar ,lkn mungu akusamehe. Akuokoe.

    • @dorcassgeophrey3454
      @dorcassgeophrey3454 4 ปีที่แล้ว

      Haya we mkamilifu ujafa ujaumbuka

    • @focuseric4109
      @focuseric4109 4 ปีที่แล้ว

      Lilian Kessy we lilian kama ungeshauriwa mwanzo acha makundi na kuzurura kwenye mabar eti huduma ya pesa bar uliona wapi!!utatoka lkn achen maisha kihuni wapo wadada poa wengi kwenye mabar yatabata pale the geat,forty forty,kb bar,nakweingine awashaurik nawamekua wengi sn sn

    • @focuseric4109
      @focuseric4109 4 ปีที่แล้ว

      Lilian Kessy lilian utatoka lk uokoke alafu tafuta namba yoyote nitakutumia ata elfu ishilin amin hili nitakua nakutumia mm naishi tabata. Savanah.

  • @rukiamwakinyo5324
    @rukiamwakinyo5324 4 ปีที่แล้ว +5

    Duh mtihan huu tamaa mbele umaut nyuma duh pole sana aise

  • @jackyluns8224
    @jackyluns8224 4 ปีที่แล้ว

    Kaka Millard Mungu akupe amani ya roho akuongoze kwa kazi yako tunakuombea kaka utafute na part3

  • @ElimikaTz
    @ElimikaTz 4 ปีที่แล้ว

    inasikitisha sana. i hope vijana wengine tutajifunza kupitia janga hili la lilian na mungu amsaidie apate msaada anaohitaji.

  • @aminabakary7938
    @aminabakary7938 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akufanyie wepes mpenz' uzuri umexhajua kosa lako na umejifunza kutokan na makosa, nakuombea kwa mungu utoke salama mpnz

  • @ashaally6662
    @ashaally6662 4 ปีที่แล้ว +2

    Dada bora ungeendaga hata Oman tu ukafanye kazi kwa warabu laki 4 au lak 3 kwa mwez ungetunza familia yako kuliko hii biashara ya dawa za kulavya jamani si nzuri ..... Bora ukatumikishwe na warabu mwisho wa siku kila mwez pesa inaingia kuliko hayo madawa mana ungetunza mama ona sasa umeangukia gerezan

    • @ashaally6662
      @ashaally6662 4 ปีที่แล้ว

      @@user-rd7jt1vi5x ni jambo nzuri mateso lakini umjuwekea zako mipngo unarudi unakuwachamana na ndiyo changamoto za maisha dawa za kulevya ni kujichimbia kaburi unajionea , kuliko huku tz tuliko maisha magumu ndo hivo lakini dawa zakulevya hapana kwa kweli hapana

    • @user-rd7jt1vi5x
      @user-rd7jt1vi5x 4 ปีที่แล้ว

      @@ashaally6662 ndio nakuwa niko huku omani miaka miwili kisha narudi nyumbani japo huku nako nikifunguni ila kina afadhali kuliko hicha cha dawa za kulevya aisee mungu atunusuru na hili janga

    • @ashaally6662
      @ashaally6662 4 ปีที่แล้ว

      @@user-rd7jt1vi5x bora hivo ulivojichangulia japo utapitia magum lakini ipo siku utarudi nyumbani

    • @user-rd7jt1vi5x
      @user-rd7jt1vi5x 4 ปีที่แล้ว

      @@ashaally6662 ndio bora changu cha halila kuliko kikubwa cha haramu ndugu mungu yupo tu na ipo siku nitarudi salama salimini japo huku hakuna uhuru ila mimi sjali ninacho jali ni mwisho wa mwezi ufiki nipokee changu na maisha mengine yaendelee

    • @butondodavid2105
      @butondodavid2105 4 ปีที่แล้ว

      Hongera vp lakin wanawapa pesa zenu

  • @mrpromise4823
    @mrpromise4823 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole Sana mungu akufanyie wepesi.

  • @juliaayieta2578
    @juliaayieta2578 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana dada.......Mungu akupe nguvu na akuwezeshe uwachwe uhuru hivi karibuni 🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @hadija846
    @hadija846 4 ปีที่แล้ว +2

    Nimeangalia sehemu mbili tofauti. Na maelezo yote hayafanani ❌

  • @rehemaaithumani3076
    @rehemaaithumani3076 4 ปีที่แล้ว +6

    Pole sana Lilian 😭😭 machozi yalitoka najua uchungu wa mwana vizuri wengine wajifunze

    • @mohamediiddi704
      @mohamediiddi704 4 ปีที่แล้ว

      Dah ndo ttz la Dada zetu tamaa ndo inawaponza

  • @ireneelias3851
    @ireneelias3851 4 ปีที่แล้ว

    Dah! Pole sana lilian mungu awapiganie rais asikie kilio chenu

  • @ahmedadan1915
    @ahmedadan1915 ปีที่แล้ว

    Kaka yangu millard ayo nakuomba ndugu yangu msaidiye huyo mtanzania mwenzetu na hunajulikana serekalini kaka inasikitisha sana hlf mtoto mdogo huyo amedanganywa tu masikini ya mungu hajui lolote

  • @neemamahusho6193
    @neemamahusho6193 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu atakusaidia muombe Mungu maana ndo muweza wa yote

  • @deboramrema2861
    @deboramrema2861 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi Mungu akulinde akusamehe akujalie uweze kutoka ukiwa hai

  • @brinadallo2652
    @brinadallo2652 4 ปีที่แล้ว +2

    Wali na fenesi duh