Kma mtu una akili timamu asaa na unamuamini Mungu huwez kuamini ujingaa kma huu ata kwa bahati mbaya cz hakuna kitu kma hicho kua mtu afe hlf kafufuka agh hakuna kitu kma hicho
Sifa na utukufu zimrudie Mwenyezi Mungu wewe Mungu uliyemrudisha huyu kijana tunaamini utamfungua na kuwa na afya njema na lipo kusudi lako ndani ya maisha yake 🙏🙏
Yeyote anayepitia katika ukulasa huu ni dhahiri anahitaji kujifunza. Bonyeza link hii chini kaangalie hii video kisha nambie umejifunza nini. Asante th-cam.com/video/M4GyEil-nAo/w-d-xo.html
@@abduljaffar875 mpaka uwe ni mwenye kukubali kuwa kuna Mungu mkuu anaewapenda bunadamu wote na kuwarudishia tumaini wanapo dhulumika hakika yeye anauwezo wakufanya jambo lolote asiloweza mwanadamu na yeye sidhalimu wala hako na madhalimu ila upendo wake mkuu hufanya madhalimu waone kama hawajui wala hatambui ila siku yaja....
@Daniel thomas Msigwa dada hii dunia ucje ukasema ety pepo mchafu huyo m2 akupenda awe hivyo,,afu unasema asikae na wa2 sasa ulitaka akae na nani??? Kuwa na akili bax
Yesu ni bwana jina lake litukuzwe ...Nakupenda Mungu wangu maana unaniepusha na mengi ...nakuomba uzidi kumsaidia kijana huyu...aki machozi yanitoka tu
God is good,,he does like God and no one can stop God,,Ndugu zangu Mungu yupoo...Ukifanyia mtoto ya mtu mazigaombwe,jua Mungu anaona na atatenda kama Mungu,let God be praise Forever...

@PHOVY MEDIA Hakika mungu ni muweza kama unaamini yupo usipite bilA kutazama hii th-cam.com/video/bpPm4SzZ_5s/w-d-xo.html PIA USISAHAU KUSUBSRIBLE NA KUKOMENTI

@@nurathissa1422 @PHOVY MEDIA Hakika mungu ni muweza kama unaamini yupo usipite bilA kutazama hii th-cam.com/video/bpPm4SzZ_5s/w-d-xo.html PIA USISAHAU KUSUBSRIBLE NA KUKOMENTI
Nimeshtuka Sana hadi nikakumbuka watoto wangu wawili jameni 😢😢 walifariki kiajabu ajabu Sana mpaka leo mm huwa naamini wako wanatumika. Mwanyezi Mungu halali haki pole sana mamangu 😢😢
@@anastaziuscyriacus5415 Hakika mungu ni muweza kama unaamini yupo usipite bilA kutazama hii videoth-cam.com/video/bpPm4SzZ_5s/w-d-xo.html PIA USISAHAU KUSUBSRIBLE NA KUKOMENTI
Mmmh subhanallha Mungu ashindwi na kitu Pole sana mama Mungu azidi kukupa imani zaidi jamani uchawi upo Ninge Taman is Mungu afanye miujiza kwa mtt wa dd angu aliye fariki 2014 lakini kuna watu wanasema wanamuona subhanallha

@@neemaneema6825 Hakika mungu ni muweza kama unaamini yupo usipite bilA kutazama hii th-cam.com/video/bpPm4SzZ_5s/w-d-xo.html PIA USISAHAU KUSUBSRIBLE NA KUKOMENTI
Haya ni maajabu ya Mungu huyu kijana kutokeza duniani , watu wanajifanya wana ujuzi wa kuchukua misukule wenzao, MUNGU atawalaani wachawi hawataiona pepo kwa nguvu zake MUUMBA kwa kuwatesa na kuwadhulumu viumbe ikiwa kwa makosa au bila makosa .

Saiz tunakufa mala mbili ba ndugu ukute mwenye alikuwa anamtunza alikufa hii kitu waweza isi ni maigizo but kwa sisi wa kazi wa kigoma hasa kasulu si ajabu na ntaamin coz nilimshuhudia uyo jamaa na mwka huu nimeshuhudia wengine 3 katika hospital hiyo hiyo ya mlimani but mmoja inaonekana ni mtu aluetoka familia ya kitajili alikuwa anakunywa maji ya dukani eeee mwenyezi mungu tupe mwisho memaa
Kuna binadamu wanataka kuingilia kazi yamungu waifanye wao!kwenye njia na mipango yamungu hakuna wakuweka ukuta,mungu amemtetea huyu kijana ili aendelee kuishi.
wakenya pia tumrudie Mungu , toa boriti kwa jicho lako kwanza , mbona corona hamna tanzania na kenya iko , inapasa wakenya ndio tumrudie Mungu na kuomba toba rehema na msamaha.
Mungu hayuko hivyo, someni sana maandiko. Siku za mwisho watu wataamini sana miuujiza, Maandiko yanasema shetani atawaaminisha watu kwa miuujiza anauwezo wa kijigeuza . Someni Mhubiri 9: 5-6 . Ufunuo 16: 14 . Je kipindi hicho alikuwa na miaka mingapi ? Ufunuo 13:13 Shetani yeye ni baba wa Uwongo tangu zamani. Ili nami niamini wakafukue kaburi lake?

Hakika mungu ni muweza kama unaamini yupo usipite bilA kutazama hii videoth-cam.com/video/bpPm4SzZ_5s/w-d-xo.html PIA USISAHAU KUSUBSRIBLE NA KUKOMENTI
@@SAMDESIGNS255 Hakika mungu ni muweza kama unaamini yupo usipite bilA kutazama hii th-cam.com/video/bpPm4SzZ_5s/w-d-xo.html PIA USISAHAU KUSUBSRIBLE NA KUKOMENTI

Kupitia video hii nimeamini sasa kilichotokea nchini kwetu CONGO 🇨🇩 nimehakikisha kwamba story tuliyonayo hapa ya Mathieu Badjoko ambae nae pia alizikwa, baada ya miaka mitatu akarudi kumbe ni story ya kweli. Basi mpelekeni kanisani nae pia ataongea. *MUNGU NI MKUBWA !*
Yeyote anayepitia katika ukulasa huu ni dhahiri anahitaji kujifunza. Bonyeza link hii chini kaangalie hii video kisha nambie umejifunza nini. Asante th-cam.com/video/M4GyEil-nAo/w-d-xo.html
@PHOVY MEDIA Hakika mungu ni muweza kama unaamini yupo usipite bilA kutazama hii th-cam.com/video/bpPm4SzZ_5s/w-d-xo.html PIA USISAHAU KUSUBSRIBLE NA KUKOMENTI
God is good. N God's tym is the best.soo torching .blood is thicker the water. May Gods hands n his angels keep on surrounding hm with the blood of Jesus. The God who has brought hm back will c him prosper in Jesus name. SHEDDING TEARS. Love u young boy#prayers #254
Jamani na mm nnamtoto wng kanitoka kwenye mazingira takushangaza nisaidieni labda atarudi nae mikononi mwangu jamani nampenda mwanangu jp bd mdg umri alionitokea mana mwez amefikisha tarehe 4 12 2020 sasa
@@luludaudi6416 oooh km una uhakika aliondoka kwa utata amua kusimama na Mungu sawasawa shirikisha Watumishi unaowaamini guseni pale mlipomuhifadhi bila woga na mseme wewe ardhi tapika mama yetu anaeteseka tunaamuru kwa jina la Yesu
Kama unaamini mungu yupo gonga like hapa uki reply amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen
Amen
Amen
Amina
Maashaallh Mungu ni mkubwa jamani
Kama unakubali kuwa Mungu mtenda miujiza gonga like hapo chini
@Daniel thomas Msigwa 😆😆😆😆😆
Kma mtu una akili timamu asaa na unamuamini Mungu huwez kuamini ujingaa kma huu ata kwa bahati mbaya cz hakuna kitu kma hicho kua mtu afe hlf kafufuka agh hakuna kitu kma hicho
Yesu anaweza
@@ludacrissrangiyabank3737 labda alitoloka warikuwa wanamtumikisha
Name of Jesus
Mungu nipo hapa nasubiri ile siku brayoo wangu anarudi nasubiri kwa imani sana
Natamani na mm Mungu anitendee kwa mwanangu namkumbuk sana mwanangu nelson
Mungu ni yule yule Jana hata leo milele habadiliki......LOVE U LORD JESUS
Kama unaamini yupo Mungu kwaajili yetu gonga like hapa
Mungu ni mwema wakat wote Yani wachawi Jamn Daah utafikili wenyewe awafi daah mungu anawaona na wachukia sana 🤮🤮
Ioo
Mungu atulinde jaman inahuzunisha sana
Kama unaamin kwa mungu kila kitu kinawezekana gonga like yako hapo
Mungu baba tusaidie magufuri tuna kazi nae Tulelee🙏
Aletwe Dar kwa Mtumishi wa Mungu Sunbella Kyando, Ataombewa naamini atakaa vizuri
Mungu alie mleta tena duniani ndie atakae mfungua kinywa tena AMEN
Amena
Amen
Kila kitu kinawezekana kwa uwezo was mungu by marry

@@daudimakima6974 amen
Daah 😥 kwel MUNGU 🙏 ni mkubwa wacha tuendelee kumuomba MW/MUNGU kwa kila Jambo
@@KileleMartin 🙏🙏🙏
@@KileleMartin 🙏🙏🙏
Daaah mungu muweza ya yote
Napaliza sauti Kwa nguvu zangu zote kuwa Mungu yupo na kwake hakuna linaloshindikana hakika Kwa Iman tutashinda Allahuakbar Allahuakbar X1000
Ameeen
Sifa na utukufu zimrudie Mwenyezi Mungu wewe Mungu uliyemrudisha huyu kijana tunaamini utamfungua na kuwa na afya njema na lipo kusudi lako ndani ya maisha yake 🙏🙏
Mungu alietenda kwenye familia hii atende kwa familia nyngne pia
@@scolamsisi9306 0pp
Ukute hata hao wachawi wapo hapo wanapika na kufurahi pia🙌🙌🙌
Inawezekana😆😅😅
Hujakosea binadamu ni nyokooo
Eliza mmmh kweli
Duu Allah ni mueza wa kila kitu.
Mungu anazidi tuonyesha majab. Kama mnamini gonga like zenu apa.
amen
apelekwe maombi jmn atakaa sawa Mungu ni mwaminifu sana tumrudie Yeye
Amen
Yeyote anayepitia katika ukulasa huu ni dhahiri anahitaji kujifunza. Bonyeza link hii chini kaangalie hii video kisha nambie umejifunza nini. Asante
th-cam.com/video/M4GyEil-nAo/w-d-xo.html
Amen
Kabisa
Amen
WACHAWI WOTE MUNGU AENDELEE KUWALAANI LEO KESHO NA MILELE AAAMIN🙏🏻
Eeeh Mungu uliefanya huyu arudi na ewe Mfalme wa wafalme warudishe na hao wengine ..asante Mungu kwa kumfanyia huyu mama muujiza😢😢
Uongo mtupu nyinyi mnaamini t
@@abduljaffar875 mpaka uwe ni mwenye kukubali kuwa kuna Mungu mkuu anaewapenda bunadamu wote na kuwarudishia tumaini wanapo dhulumika hakika yeye anauwezo wakufanya jambo lolote asiloweza mwanadamu na yeye sidhalimu wala hako na madhalimu ila upendo wake mkuu hufanya madhalimu waone kama hawajui wala hatambui ila siku yaja....
Mungu wangu anisaidie na mimi
Ukirogwa ahufi, unahamishwa tu na wachawi. In fact, ukifa naturally, uwezirudi tena.
Kweli kabsaa uyu msukulee,. Wanasherekea ujingaa,kizazi chaishaa, unachukua msukulee unaeka ndan? Kitasafisha kizaziii uyu n msukulee
Very true
@Daniel thomas Msigwa dada hii dunia ucje ukasema ety pepo mchafu huyo m2 akupenda awe hivyo,,afu unasema asikae na wa2 sasa ulitaka akae na nani??? Kuwa na akili bax
Huyu alichukuliwa kichawi mbona haongei alikatwa ulimi
Uko sawa waache sanaaa
Yesu ni bwana jina lake litukuzwe ...Nakupenda Mungu wangu maana unaniepusha na mengi ...nakuomba uzidi kumsaidia kijana huyu...aki machozi yanitoka tu
Amena
God is good,,he does like God and no one can stop God,,Ndugu zangu Mungu yupoo...Ukifanyia mtoto ya mtu mazigaombwe,jua Mungu anaona na atatenda kama Mungu,let God be praise Forever...
Daaah 1994 mimi ndyo nazaliwa mpk sasa 2020 nina miaka 26 ni parefu jmn Mungu mwema
Inauma
Saana
Mtangazaji jitahidini R na L kuzitamka.., inawezekana kbsa kazi nzuri ni hayo tu maoni yangu
Akiombewa atafunguka vizuri zaidi , Mungu atukuzwe
Yeyote anayepitia katika ukulasa huu ni dhahiri anahitaji kujifunza. Bonyeza link hii chini kaangalie hii video kisha nambie umejifunza nini. Asante
th-cam.com/video/M4GyEil-nAo/w-d-xo.html
Washamkata ulimi jamani
@PHOVY MEDIA Hakika mungu ni muweza kama unaamini yupo usipite bilA kutazama hii th-cam.com/video/bpPm4SzZ_5s/w-d-xo.html PIA USISAHAU KUSUBSRIBLE NA KUKOMENTI
@PHOVY MEDIA Hakika mungu ni muweza kama unaamini yupo usipite bilA kutazama hii th-cam.com/video/bpPm4SzZ_5s/w-d-xo.html PIA USISAHAU KUSUBSRIBLE NA KUKOMENTI
@@nurathissa1422 @PHOVY MEDIA Hakika mungu ni muweza kama unaamini yupo usipite bilA kutazama hii th-cam.com/video/bpPm4SzZ_5s/w-d-xo.html PIA USISAHAU KUSUBSRIBLE NA KUKOMENTI
God is great mungu atufungue macho tuweze kuona na kufichua hiki kitenda wili cha wachawi. Wame chukua watu wengi tukindanganyika wamekufa
Nimeshtuka Sana hadi nikakumbuka watoto wangu wawili jameni 😢😢 walifariki kiajabu ajabu Sana mpaka leo mm huwa naamini wako wanatumika. Mwanyezi Mungu halali haki pole sana mamangu 😢😢
Pole sana Mungu anajua
Pole sana
Ooh
Pole sana
Maskin pole sana jaman
Pole Sana mamaangu Atukuzwe Mungu aliemrejesha ndugu yetu
Milado ayo wewe ni mziki mnene, mi nakupa Big Up sana
Mungu ulie mrudisha mtoto wako hakika utamfungua knywa chake na vyote walivyo mfunga hakika mungu wewe unaweza asante yesu🙏🙏
Ila nyie Millard ayo mnajua kufatilia mambo mpo vizur ma brother
Jamaa akikuambia story ndo hii kweli ndn panakuwa Hakuna chenga ndani ake
Millard namuita LEGENDI sasa hivi
@@anastaziuscyriacus5415 Hakika mungu ni muweza kama unaamini yupo usipite bilA kutazama hii videoth-cam.com/video/bpPm4SzZ_5s/w-d-xo.html PIA USISAHAU KUSUBSRIBLE NA KUKOMENTI
Mungu anilinde mm na kizazichangu pamoja na familiya yangu japokua bado sijawa na familiya
Daaa! Kweli mungu Mimi umenipendelea Sana kumbe kuna watu wanapitia magumu Asante mungu
Kwa mungu akuna kinacho shindikana mungu kibowao ww kama una ana amini mungu ana tenda miujiza gonga like mungu ata baliki njia za maisha zetu Amina
2020 tutaona mengi ila mung atusaidie tuumalize salama.
21ndoo hatar mpaka marekan utasikia wamefufuka
Kigoma mwisho wa reli utaikubali
Sikuizi watu wanafufuka😂😂😂Yesu mwenyewwe alifufuka kwa siku tatu lakini siku hizi wanafufuka bahada ya mika 20 😂😂 kuja ujione Yesu
🤣🤣🤣👍
Kweli
Haleluya jina lako Bwana lihimidiwe nakusihi Bwana na Mimi nirdudishie baba yangu arudi maana kifo chake kilikuwa na mkono WA mtu
Kama unamwamini Mungu. Gonga like cz Mungu ni muweza
Mmmh subhanallha Mungu ashindwi na kitu Pole sana mama Mungu azidi kukupa imani zaidi jamani uchawi upo Ninge Taman is Mungu afanye miujiza kwa mtt wa dd angu aliye fariki 2014 lakini kuna watu wanasema wanamuona subhanallha
Mungu amlejeze kijana huyu kila kilichopotea
Amina mtumishi
Amen da Tumaini napenda sana kazi yako 🥰🥰🥰🥰 nyimbo zako huwa zina nijenga sana
Ameen
Dear God please nipo nasubiri zamu yangu....❤
Kigoma hiyo aisee hakika Mungu simama na kigoma
Sana sana mmmh
Vp mp
😉😈😬
Jaman polen san kwa familia mungu atamfanyia wepesi inshaah
⚘🥰...All thanks and Praise be to God forever. Amen
Yeyote anayepitia katika ukulasa huu ni dhahiri anahitaji kujifunza. Bonyeza link hii chini kaangalie hii video kisha nambie umejifunza nini. Asante
th-cam.com/video/M4GyEil-nAo/w-d-xo.html
Lord is great for all and are loved every their people ooh this it's so nice miracle...by janeth.
Ee MUNGU tusaidie vizazi vyetu na watoto wetu. Amen
Hakika mungu ni muweza kama unaamini yupo usipite bilA kutazama hii th-cam.com/video/bpPm4SzZ_5s/w-d-xo.html PIA USISAHAU KUSUBSRIBLE NA KUKOMENTI
Ameen
Is
Mungu Azidi Kumpa Afy njema
Mungu yu mwema kila wakati ....gonga like twende saw
Mungu atende miujiza wachawi wote waokoke 🙏
Inawezekana hata ndugu zake wapo huko wamegeuzwa misukule 😢 ee mungu nilinde mja wako na kizazi changu epusha haya yasijetokea' ameen.
Amina
@@neemaneema6825 Hakika mungu ni muweza kama unaamini yupo usipite bilA kutazama hii th-cam.com/video/bpPm4SzZ_5s/w-d-xo.html PIA USISAHAU KUSUBSRIBLE NA KUKOMENTI
Haya ni maajabu ya Mungu huyu kijana kutokeza duniani , watu wanajifanya wana ujuzi wa kuchukua misukule wenzao, MUNGU atawalaani wachawi hawataiona pepo kwa nguvu zake MUUMBA kwa kuwatesa na kuwadhulumu viumbe ikiwa kwa makosa au bila makosa .
Amina mungu tusaidie tuepushe na haya majaribu
@@merikizedeckmwaniwe5358 Wala hatukunusurika, mungu mkubwa tu. Itafika siku tutawaona waliolaanika.
Daah mung nimwem jmn tumuabud mwenyez mungu ndiye anaeweza kilakit
mmh!dunia hii,basi tu,Acheni Mungu aitwe Mungu.
Yeyote anayepitia katika ukulasa huu ni dhahiri anahitaji kujifunza. Bonyeza link hii chini kaangalie hii video kisha nambie umejifunza nini. Asante
th-cam.com/video/M4GyEil-nAo/w-d-xo.html
Wallah
Nashauri wakapime DNA kabla Ili tuishangaze dunia
Walimchukua msukule
Saiz tunakufa mala mbili ba ndugu ukute mwenye alikuwa anamtunza alikufa hii kitu waweza isi ni maigizo but kwa sisi wa kazi wa kigoma hasa kasulu si ajabu na ntaamin coz nilimshuhudia uyo jamaa na mwka huu nimeshuhudia wengine 3 katika hospital hiyo hiyo ya mlimani but mmoja inaonekana ni mtu aluetoka familia ya kitajili alikuwa anakunywa maji ya dukani eeee mwenyezi mungu tupe mwisho memaa
Watu tunadhambi nyingiii sana..Mungu aliachilia Corona ili kutupunga ila bdo hatukomii tu jmn..wachawi wanatesa watu jmn duuuh 😥😥😥😥😥😥
Juju juju juju juju juju juju juju juju juju I
Askofu Gwajima anarudishaga hii misukule huku watz mnampinga tu....Gwajima is real.
Kweli kabisa
Kuna binadamu wanataka kuingilia kazi yamungu waifanye wao!kwenye njia na mipango yamungu hakuna wakuweka ukuta,mungu amemtetea huyu kijana ili aendelee kuishi.
Am a Kenyan..bt nyinyi watanzania mumrudie Mungu.mumezidi na uchawi.
wakenya pia tumrudie Mungu , toa boriti kwa jicho lako kwanza , mbona corona hamna tanzania na kenya iko , inapasa wakenya ndio tumrudie Mungu na kuomba toba rehema na msamaha.
Eeh mungu nataman ungemludisha mama angu😭😭😍😍
Pole sana
Mungu hayuko hivyo, someni sana maandiko. Siku za mwisho watu wataamini sana miuujiza, Maandiko yanasema shetani atawaaminisha watu kwa miuujiza anauwezo wa kijigeuza . Someni Mhubiri 9: 5-6 . Ufunuo 16: 14 . Je kipindi hicho alikuwa na miaka mingapi ? Ufunuo 13:13 Shetani yeye ni baba wa Uwongo tangu zamani. Ili nami niamini wakafukue kaburi lake?
Labda boss wao alikufa Sasa wakakosa mtu wakuwapa chakula Mumgu anawaona wachawi 😭😭
Yeyote anayepitia katika ukulasa huu ni dhahiri anahitaji kujifunza. Bonyeza link hii chini kaangalie hii video kisha nambie umejifunza nini. Asante
th-cam.com/video/M4GyEil-nAo/w-d-xo.html
@PHOVY MEDIA Hakika mungu ni muweza kama unaamini yupo usipite bilA kutazama hii th-cam.com/video/bpPm4SzZ_5s/w-d-xo.html PIA USISAHAU KUSUBSRIBLE NA KUKOMENTI
Sure inawezekana alichukuliwa na wachawi
Dunia hii simama nishuke 🙌🙌🙌🙌
Kwa uwezo wa Allah wote waliokufa kwa nguvu za giza watarejea
Mie pia mtoto wa mama yangu mdogo naisi kabisa wala ajafa ila wanga ni watu wabaya sana 🥲
Amin 😢
Amin
Mungu nde ajuaye kilicho tokea siri ya mungu binadamu hatujui
Mimi nimkazi wakigoma wilaya ya Kasulu mjini matukio kama haya nimengi sana mungu atusimamie 🙏
Yeyote anayepitia katika ukulasa huu ni dhahiri anahitaji kujifunza. Bonyeza link hii chini kaangalie hii video kisha nambie umejifunza nini. Asante
th-cam.com/video/M4GyEil-nAo/w-d-xo.html
Ameen
Maaajabu gani yadunia MUNGU atuponye🙏🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Subhannallah 94 nipo shule ya msingi darasa 3 hd sasa nina watoto 3 duh
Allahu Akbar, Allahu yaalam
Me ndo nilikuwa nazaliwa
Allahu Akbar! Allahu Akbar! Allahu Akbar! Mungu ni Mkubwa kwa hakika.
Hello
Msekule hakunq anaekufa mara2 lbd kama sio muisilam
Wachawi jamanii..!! Basi Ni wengi wamekufa lakini hawajafa
Wengi mno wamechukuliwa misukule asee inauma mno, unadhan mzaz wako amekufa kumbe yupo sehemu anatumikishwa na kuteswa huko
Hahahaha wamekufa lakini hawajafa hahahaha umetisha
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nimeogopa sana
Mungu anawez then sawaa na ni sha Allah mungu athafungua kauli yke..soth tyumuamin mungu na anatenda
Kama uliskiliza hii story kwenye radio twende pamoja apo
Ndio
Daa pole mama mungu akupe subra
Mungu ni mwema Kama unamwamini yesu wambinguni gonga like
acha mhgu aitwe mhgu yeye habadiriki razima urimwehgu ujue yesu Ni jibu by much isaya jerad mwahza
Mungu yupo ndugu zang mama endelea kuomba wote watalud
kiukweli iyo familiya mkazane kumpigania MUNGU bado anawapenda sanamno mugu awabaliki kumpokeya huyo kaka Amina
Jamani kamupeleke kwa pastor Gwajima ufufuo na uzima. Please, take him to pastor Gwajima so he could be prayed for.
Unaongelea gwajima yupi?
Gwajima ni tapeli kama matapeli wengine alie Mungu pekee alie mrudisha ndio atamulinda
Ahhh gwajima mbunge ndio aombe eh
wampeleke kwa mwamposa!!
Eheee Mungu nirudishie Mamaangu😢😢😢🙏🙏
Mungu ni yeye yule jana leo na milele,hakika matendo yake ni makuu.
Amen
Ameeeen
Alikuwa gamboshi,huyo Hana kivuli
Mtafuteni zabroni C. Mwita, Hana kivuli
@@geraldtarimo9960 🙄🙄🙄🙄🙄😳😳😳
I wish hii issue angeisimamia boss kubwa miradayo tungejua mengi sana ila huyu repoter ameshindwa kuchimba kiundani
Huu mwaka wa maajabu ni mwaka ambao utakumbukwa kwa mengi sana
Si huu tu bdo inakuja mibaya zaidi
Siku za mwisho hizi
Hakika mungu ni muweza kama unaamini yupo usipite bilA kutazama hii videoth-cam.com/video/bpPm4SzZ_5s/w-d-xo.html PIA USISAHAU KUSUBSRIBLE NA KUKOMENTI
@@SAMDESIGNS255 Hakika mungu ni muweza kama unaamini yupo usipite bilA kutazama hii th-cam.com/video/bpPm4SzZ_5s/w-d-xo.html PIA USISAHAU KUSUBSRIBLE NA KUKOMENTI
Amina
Mungu ulie tenda muujiza huu nitendee namim Baba yangu arudi Haman😭😭😭😭😭
Amen Mungu amfungue huo ulimi
Hakika mungu ni muweza kama unaamini yupo usipite bilA kutazama hii th-cam.com/video/bpPm4SzZ_5s/w-d-xo.html PIA USISAHAU KUSUBSRIBLE NA KUKOMENTI
Uhimidiwe Mungu wetu
Jamani mwache mungu abak ii kuwa mungu. Matendo yake yashangaza sana
Allahu Akbar...subhanallah walhamdulillah lailahaillallahu Allahu Akbar ..husbunallah waniimal wakeel
Yeyote anayepitia katika ukulasa huu ni dhahiri anahitaji kujifunza. Bonyeza link hii chini kaangalie hii video kisha nambie umejifunza nini. Asante
th-cam.com/video/M4GyEil-nAo/w-d-xo.html
Wamefanana sana
Nataman na mtoto wa dada yangu arudi mungu wa muujiza Fanya na kwetu
Kupitia video hii nimeamini sasa kilichotokea nchini kwetu CONGO 🇨🇩 nimehakikisha kwamba story tuliyonayo hapa ya Mathieu Badjoko ambae nae pia alizikwa, baada ya miaka mitatu akarudi kumbe ni story ya kweli. Basi mpelekeni kanisani nae pia ataongea.
*MUNGU NI MKUBWA !*
Mungu aendelee kutenda miujiza
Gwajima akihubiri misukule ipo mnapinga, Aya oneni wenyewe, jamani uchawi upo na misukule ipo
Misukule ipo na ndo wanaowafanyia kazi wafanyabiashara kariakoo madukani mwao
Amen
@@elicegeorge9991 Amen
I receive it in the name of Jesus amen wapo
Huyo alikuwa gamboshi, mtafuteni zabroni C,mwita,akarudishiwe kivuli
wachawi ni watu wabaya Sana..wamechukuwa watoto watano bila huruma ..Mama poleeeee saaaaana.Mungu yupo..
Akika Mungu yupo na anatenda kwa wakati🙏
NIMETUMA- UJUMBEHU LEO TAREHE 29/ 9/ 2021. MREJESHO PLZ
Duuh mjomba sio poa ,
Katika awamu hii mengi tutayaona
Mpakaa wafu wana...
Great
Yeyote anayepitia katika ukulasa huu ni dhahiri anahitaji kujifunza. Bonyeza link hii chini kaangalie hii video kisha nambie umejifunza nini. Asante
th-cam.com/video/M4GyEil-nAo/w-d-xo.html
@PHOVY MEDIA Hakika mungu ni muweza kama unaamini yupo usipite bilA kutazama hii th-cam.com/video/bpPm4SzZ_5s/w-d-xo.html PIA USISAHAU KUSUBSRIBLE NA KUKOMENTI
Eee! Maajabu jamani
God is good. N God's tym is the best.soo torching .blood is thicker the water. May Gods hands n his angels keep on surrounding hm with the blood of Jesus. The God who has brought hm back will c him prosper in Jesus name. SHEDDING TEARS. Love u young boy#prayers #254
Kigoma hiyo noma sana aisee
Sijui tunapoelekea ni wapi
Allah atunusuru in shaa Allah
Mungu ni mwema ata mm yalini kutaayo ndugu zangu
Subhaana Allah
Amen Amen Amen mama yagu barikiwa sana na Bwana Amen
Eee mungu wakumbuke na wengne walikufa kifo Cha dhuluma watoe huko waliko kwa uwezo wako ww ni mungu usieshindwa jina lako libarikiwe
Ameen ameen
Tuwaombeeni wote waliodhulumiwa
Amen mpendwa lkn mda mwingine ukumbuke Mungu kuanza kwa heruf kubwa co mungu
Ameen
Kwel kbsaa km bimkubwa bdo nayey yup hai
Jamani na mm nnamtoto wng kanitoka kwenye mazingira takushangaza nisaidieni labda atarudi nae mikononi mwangu jamani nampenda mwanangu jp bd mdg umri alionitokea mana mwez amefikisha tarehe 4 12 2020 sasa
Kama unaamini uchawi upo gonga like
Hatari
Mungu atamfungua katka jina la Yesu
Natamani ingekuwa dada yangu ndo arudi
Tuombe Mungu na kufunga ukimaanisha inawezekana hasa km alikufa kwa utata
Mi nataman mama angu alud jaman

Kama mimi