Sihii tuu vijana waliwahi kuteka ndege baada ya utekaji huu. Ndani ya ndege ile alikuwemo waziristan wa mambo ya ndani Generali fulani simtaji.vijana wale walitumia embe dodo nakudai kwamba ni bomb hatari sana. Rubani aliwahadaa watekaji akairudisha ndege Airport huku akiwaaminisha watekaji kuwa wanatua Nairobi Kenya ndipo wakakamatwa.
Uistoria ya maisha nilikaa na mtekaji mmojawapo nilimwona mchamungu mpole mkarimu mnyenyekevu swalatano safi kule chukwani karibu na kiembe samaki kweli kugundua kilicho ndani ya mtu niuweza mwingine maana jamaa mmojawapo tumekuwa malafiki mpaka pale nilipopata habari yake naye hakunificha alipenda sana filamu ya mwanamke mmoja shineza mnyarwanda wa kike aliye patamatatizo ya mahusiabo nk ---------
Walifungwa jela uingereza. Baada ya kifungo walirejeshwa Tanzania ambako walifungwa pia. Baada ya kifungo waliomba msamaha na baadhi wakawa makada wa CCM. Mfano Yasin Memba.
@@ibrahimgwasma1223aitoe wapi nchi ilifilisika hii kila kitu kilikua kilikuwa,bidhaa adimu kuanzia sukari, mchele,maharage,unga wa sembe na sanda watu walizikwa kwa magunia hapa wewe nadhani ulikua haupo ktk ulimwengu mnamsoma mwalimu ktk vitabu😅😅😅
Hii ni kweli ilitokea na TBC hakuna kilichofichwa na mtambue kuwa wakati huo hapakuwa na TV Tanzania bara bali Zanzibar na huku bara vyombo vya habari vilikuwa ni Radio na magazeti. Kwa tuliokuwa na umri wa kutosha tunakumbuka sana . Hivi unafichaje kutekwa kwa ndege? Jambo ambalo linahusisha nchi zaidi ya moja. Mimi nilikuwa JKT kipindi hicho na wala haikuwa siri kwa mtu yeyote mwenye Radio au anayesoma magazeti. Nahisi aliyeandika makala hii alikuwa hajazaliwa au alikuwa bado mdogo sana na akipata muda aende maktaba ya TBC atapewa na mengine ambayo hajayaongelea kuhusu utekaji huo. Mimi namkumbuka hata Pilot wa ndege hiyo.
Sasa kwa usumbufu huu wote, mtu anafungwa miaka mitatu tu? Ingefaa kama miaka 15 hivi. Adhabu kali kwelikweli. Naona kipindi hicho ahhh Tanzania ni raha kwelikweli.
Walihukumiwa kifungo kule uingereza baada ya kumaliza vifungo vyao walipewa hifadhi ya kisiasa wakawa wakimbizi. Walibakia huko. Kulipoanzishwa vuguvugu la vyama vingi mmoja alirejea kupitia Kenya akiwa lengo lakuja kuanzisha chama cha siasa lkn hakufanikiwa kuvuka Arusha. Akapotea jumla.
Nimefahamu kuwa watekaji hawakuwa na silaha za ukweli ila walikuwa na silaha bandia. Silaha walizipata kutoka kwa wahudumu ambao walikabidhiwa na abiria ambao walizisalimisha wakati wanasafiri. Ila hii habari hawakutuambia mwisho wa watekaji nyara ilikuwaje.
Documentary haijakamilika. Watekaji walipelekwa wapi? Baada ya kurudishwa Tanzania serikali ilichukua hatua gani? Kwanini wakimuhitaji Oscar Kambona? Ndege huyo iliishia wapi baada ya utekaji? Mngefanya utafiti mkaleta kitu kilichokamilika. Hovyo kabisa yaani?
Na hao watekaji walikuwa na fikra za starehe pia kwani sababu za kuiteka ndege na kuilekeza uingereza ili wakapate hifadhi ya ukimbizi walijifanya ni wapinzani wa nyerere na ukizingatia wakati huo nyerere na wazungu walikuwa hawaelewani na walipewa hifadhi ya ukimbizi na familia zao watekaji gani wanateka hku wakiwa na familia zao watoto mke
Baba yang alipenda kunihadithia story hii hakika alinihadithia ukweli RIP my dad John bidya this is your utube account ilove u..
Mmenikumbusha Mbali hongera sana,Nchi ilitaharuki wakati huo
This Muslim brothers will always fight for their rights no matter what ❤
Hao ndio wanaume washoka
Sikuwahi kusikia hii issue, hongera chanzo
Sihii tuu vijana waliwahi kuteka ndege baada ya utekaji huu. Ndani ya ndege ile alikuwemo waziristan wa mambo ya ndani Generali fulani simtaji.vijana wale walitumia embe dodo nakudai kwamba ni bomb hatari sana. Rubani aliwahadaa watekaji akairudisha ndege Airport huku akiwaaminisha watekaji kuwa wanatua Nairobi Kenya ndipo wakakamatwa.
Kumbe kulikuwa na vijana wanajielewa kipindi hicho si saiv wote wamekuwa machawa serikal na viongozi wake wamekuwa washenzi wanafanya watakayo wao
Sababu zilizofanya wateke ndege wakati huo kwa sasa hazipo tena ndio maana memba alirudi na kuwa kada wa ccm,
😂
Nzrhyoo 🎧🎤🌟🇹🇿
Mbona hii issue kwa huku Zanzibar inafahamika kitambo tu.na utekaji wa ndege kwa Tz sio mara moja tu
Akili ya mwalim Nyerere❤allah amifaz
Uistoria ya maisha nilikaa na mtekaji mmojawapo nilimwona mchamungu mpole mkarimu mnyenyekevu swalatano safi kule chukwani karibu na kiembe samaki kweli kugundua kilicho ndani ya mtu niuweza mwingine maana jamaa mmojawapo tumekuwa malafiki mpaka pale nilipopata habari yake naye hakunificha alipenda sana filamu ya mwanamke mmoja shineza mnyarwanda wa kike aliye patamatatizo ya mahusiabo nk ---------
Walifungwa jela uingereza. Baada ya kifungo walirejeshwa Tanzania ambako walifungwa pia. Baada ya kifungo waliomba msamaha na baadhi wakawa makada wa CCM. Mfano Yasin Memba.
Ahaaa kumbe hlf na ukada akapewa duh
Siyo kweli. Hujui kaa kimya.
Uongo huo mmoja ni rafiki yangu yuko uingereza anaitwa MO wala hajarudi bongo
@@MzururajiAbroadhata mimi namfahamu. Yule ambaye alirudi aliuawa arusha hata kabla hajafika dar.
TBC wameificha hii ishu, kumbe kuna mambo mazito yamewahi kutokea Tanzania
Nyerere Ana akili sana
@@ibrahimgwasma1223aitoe wapi nchi ilifilisika hii kila kitu kilikua kilikuwa,bidhaa adimu kuanzia sukari, mchele,maharage,unga wa sembe na sanda watu walizikwa kwa magunia hapa wewe nadhani ulikua haupo ktk ulimwengu mnamsoma mwalimu ktk vitabu😅😅😅
Nna miaka 28 leo ndio nasikia hii mbarangati asee
Duh hatari sana
Haya mambo ni historia kali sana sijawahi kuisikia aseee haisemwi sana
Tanzania mambo mengi ni Siri kaka hata mapinduz ya zanzibar yamefichwa watu wamekaririshwa uongo ila ukwel upo sema kwel upotelee kusikojulikana😅😅
Mmmmmmh nchi ina Siri hii mbona wengine hatujui hii inshu
Walipewa uraia ungereza kuna hawa wengine vijana wakizanzibari mpaka leo wapo uk wakati huo watu walikuwa na hamasa ya kwenda ulaya
wa Zanzibar waliteka ndege
Labd walitaka kwend eu tu hao kula bata kdg Ila vituko kumb toka zama izo daah
Matukio yapo mengii sana TBC ni maviii tuu
Hata sikuzaliwa bado daah
Hii ni kweli ilitokea na TBC hakuna kilichofichwa na mtambue kuwa wakati huo hapakuwa na TV Tanzania bara bali Zanzibar na huku bara vyombo vya habari vilikuwa ni Radio na magazeti. Kwa tuliokuwa na umri wa kutosha tunakumbuka sana . Hivi unafichaje kutekwa kwa ndege? Jambo ambalo linahusisha nchi zaidi ya moja. Mimi nilikuwa JKT kipindi hicho na wala haikuwa siri kwa mtu yeyote mwenye Radio au anayesoma magazeti. Nahisi aliyeandika makala hii alikuwa hajazaliwa au alikuwa bado mdogo sana na akipata muda aende maktaba ya TBC atapewa na mengine ambayo hajayaongelea kuhusu utekaji huo. Mimi namkumbuka hata Pilot wa ndege hiyo.
Kijana wa miaka21 anateka ndege, hivi hawa wa miaka21 leo wanaweza kufanya nini?
Kucheza kangaroo
hawa watu walitakiwa wawepo sasa hivi maana serikali ya huyu bibi wala sielewi
Ala😂😂
Halafu unajiita idris ahmed acha uongo andika jina lako halisi..!
@@hassanmfaume4522 hilo jina alinipa mama yako wakati nampelkea moto
Waengereza mbwa tu
Ahh hii movie sasa
Waliishia Uingereza
HII NCHI IMETOKA MBALI EEHE MUNGU ASANTE KWA KUNIFANYA NIZALIWE TANZANIA EEEHE TANZANIA NAKUTAKIA AMANI NCHI YANGU
Kumbe kuna familia 1 UKOO wa MEMBAA
magreth Tatcher Mfano halisi wa mwanamke nangai
Je hiiiii Ndege asaiv ipo sehem gan
Ndege ilikuwa ni Boeing 737 sikumbuki ilienda wapi kama iliuzwa au imekufa hatujui
.
Sasa kwa usumbufu huu wote, mtu anafungwa miaka mitatu tu? Ingefaa kama miaka 15 hivi. Adhabu kali kwelikweli. Naona kipindi hicho ahhh Tanzania ni raha kwelikweli.
Walifungwa Uingereza na hawajarudi mmoja alikuja kuwa lawyer mkubwa nchini UK mwamba anaitwa Yusuf Membe
Kwanini
Hujatuambia watekaji wamechukuliwa hatua zipi za kisheria.
Walihukumiwa kifungo kule uingereza baada ya kumaliza vifungo vyao walipewa hifadhi ya kisiasa wakawa wakimbizi. Walibakia huko. Kulipoanzishwa vuguvugu la vyama vingi mmoja alirejea kupitia Kenya akiwa lengo lakuja kuanzisha chama cha siasa lkn hakufanikiwa kuvuka Arusha. Akapotea jumla.
Mm nimeshafika uingereza nirudi tena kufanya nn hapa bongo wakati watekaji wanenisaidia kufika London..!
Hata mm ningeomba ukimbizi kwani njaa iliyokuwepo kipindi hicho ilikuwa si ya kitoto..!
Ndiyo hivyo majina yametajwa
wa zanzibar waliiteka ndege wanakaa pale magomeni kwa najim walitaka wapelekwe ulaya
Watekaji ni vibaraka wa Uengereza kutokan na nyerere alikuw mtu wa kufuat Soviet sio magharibi
Itakua walitaka aachane na ukoministi, it makes sense.
Mtafuteni hata muhanga mmoja mumuhoji atuhadithie ulivyokuwa
Huo mdhiki naupenda Kuna watu wanajua kuchora.
Nawajua
Watekaji wakaishia wapi?
mbna hii siku ya 26 february huwa haizungumziwi hata kwenye kalenda, au ndo inaweza kuhamasisha wakereketwa?
Kumbe unamajibu tyri
Gharama za kuweka mafuta katika hivyo viwanja mbalimbali zilikuwa zinalipwa na nani?
Hata mim najiuliza hili swali
Hii inaonesha ilikuwa dili ya uingereza hii
Mafuta yalikuwa yanawekwa kwa sharti la watekaji ya tisho la kutokuilipua ndege.
Tanzania ililipa hata chakula
Kama watekaji hawakuwa na slaha hao wLio wapiga risasi walizipata wap
Nimefahamu kuwa watekaji hawakuwa na silaha za ukweli ila walikuwa na silaha bandia. Silaha walizipata kutoka kwa wahudumu ambao walikabidhiwa na abiria ambao walizisalimisha wakati wanasafiri. Ila hii habari hawakutuambia mwisho wa watekaji nyara ilikuwaje.
@@omarcarlos4595 p
Buu sijawahi sikia history Hadi nazeeka sasa
Documentary haijakamilika. Watekaji walipelekwa wapi? Baada ya kurudishwa Tanzania serikali ilichukua hatua gani? Kwanini wakimuhitaji Oscar Kambona? Ndege huyo iliishia wapi baada ya utekaji? Mngefanya utafiti mkaleta kitu kilichokamilika. Hovyo kabisa yaani?
Ongeza umakini kidogo utapata majibu ya maswali Yako video imeeleza vyote..
Kwahy majambazi ni wote ni waisilamu
Walikuwa watanzania sio waislamu vita ya uganda walipigana watanzania japo kuna mchanganyiko wa dini ondoa fikra za kidini jailing hoja
Kwani kuna jambazi hapo?
Number hazikutosh
😅😅😅😅
😂😂😂
😂 haaa haaa!
👏🏼👏🏼👏🏼
Na hao jamaa walienda wapi?
Walipewa hifadhi na serikali ya uingereza baadae wengine wakarudi nyumbani
wa Zenj washazeeka
Hivi Kwa nini watekaji Huwa ni waislamu?
N wajasir sana
@@arunarashid8306
Kweli hapo nakubali maana Kuna wale wanajilipuaga wanajitoa muhanga yaani hawaogopi
Sio mabwege
Aha sasahivi watu anachezewa akili kwa starehe😂
Na hao watekaji walikuwa na fikra za starehe pia kwani sababu za kuiteka ndege na kuilekeza uingereza ili wakapate hifadhi ya ukimbizi walijifanya ni wapinzani wa nyerere na ukizingatia wakati huo nyerere na wazungu walikuwa hawaelewani na walipewa hifadhi ya ukimbizi na familia zao watekaji gani wanateka hku wakiwa na familia zao watoto mke
@@saidbakar-qo6ri😂😂😂