PART 1: RUBANI MSTAAFU GALWAY ASIMULIA MKASA WA 1988, NDEGE YA TANZANIA ILIVYOTEKWA WAKIWA ANGANI..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @victoriarwerengera4831
    @victoriarwerengera4831 2 ปีที่แล้ว +5

    Askofu Methodius Kilaini anaweza kusimulia vizuri mkasa huu...alikuwa mhanga wa tukio

  • @felixmathias6362
    @felixmathias6362 2 ปีที่แล้ว +6

    Ayo mtafute huyu mzee atupe elimu. Anahistoria nzuri sana kwa kizazi Cha sasa

  • @mussakamando2678
    @mussakamando2678 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii srory angehojiwa na TIK TV ingenoga sana. Jamaa wanajua kuendesha mahojiano sana.....

  • @zacharyanthony6083
    @zacharyanthony6083 2 ปีที่แล้ว +1

    Mzee anajua kusimulia vzur sana. Na mike alitakiwa awe nayo yeye sabab yeye ndo aliebeba kipindi sasa ilo jama sijui alijui linamkatisha..irudiwe na millad ayo

  • @Mc_Chabala
    @Mc_Chabala 6 หลายเดือนก่อน

    Hii story wangehoji SIMULIZI ZONE ingekuwa safi sana

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 2 หลายเดือนก่อน

    Zamaniiiiiiiiii kazi zikikuwa ni rahis sana.
    . kupata .unapata kazi bila ya rushwa... Ikn Sasa hv ni mtihan sana..

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah, hongera sana Babu

  • @azizabdallah585
    @azizabdallah585 2 ปีที่แล้ว

    Asante mpiganaji Capt. Galwei.

  • @JovinaryJuventus
    @JovinaryJuventus 6 หลายเดือนก่อน

    Safi sana mzee

  • @abbasirovya6118
    @abbasirovya6118 2 ปีที่แล้ว +3

    Shida mwandishi hauna weledi wa kazi yako kiasi cha kutosha. Ukiwasikiliza ni mnarap kama MC's wa kwenye sherehe wakati upo kwenye interview na mtu muhimu sana. Mwajiri jaribu kufanyia kazi comments jitahidi kuwajengea uwezo watumishi wako, kuna mapungufu mengi sana. Kwa nia njema tunataka vijana wenu wawe bora zaidi.

    • @one2tell508
      @one2tell508 2 ปีที่แล้ว

      Shukran kama umeliona hilo, yaaan mwandishi kama yupo sebleni na familia yake ni hovyo sana.

  • @MfizoCrypto
    @MfizoCrypto 2 ปีที่แล้ว +6

    Uyo mzee ana story nyingi sana mwandishi unamkatisha

    • @saumusalimuhassan2499
      @saumusalimuhassan2499 2 ปีที่แล้ว

      True

    • @geofreyshaurimoyo5918
      @geofreyshaurimoyo5918 2 ปีที่แล้ว +1

      Mtangazaji hana uwezo wakumuhoji mambo mengi mzee wetu huyo Rubani mstaafu

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 2 หลายเดือนก่อน

      1971 Idd Amini alianzisha vita wapi huu uongo sana😂😂😂

  • @MBATINOFILMS
    @MBATINOFILMS 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwel mzee yuko wap

  • @bojobunton7138
    @bojobunton7138 2 ปีที่แล้ว +2

    Mwadishi anauliza maswali kwa utashi wake binafsi, aulizi maswali ya msingi au kufuata utaratibu unaotakiwa, anamkosea heshima mzee,kwa kumbandika swal kabla hajamaliza

  • @annabadru2352
    @annabadru2352 2 ปีที่แล้ว +2

    Rubani mzuri sn

  • @one2tell508
    @one2tell508 2 ปีที่แล้ว

    Mwandishi mpuuzi sana hajui hata kuhoji, sijui maswali ya hovyo anayatoa wapi

  • @MrMasterMathew
    @MrMasterMathew 2 หลายเดือนก่อน

    Hujui kuhoji

  • @frankmgunjimgunji9261
    @frankmgunjimgunji9261 2 ปีที่แล้ว

    Mtangazi ges unajifanya unajuw nyoooooo

  • @josephbonday8510
    @josephbonday8510 2 ปีที่แล้ว

    Lol,Babu ULIPAMBANA sana kumbe..🤸💪

  • @eshyndibalema1529
    @eshyndibalema1529 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ni mwaka 1982,na ilitekwa ilikuwa mwanza ilikuwa inaelekea London lkn llitua nairobi kujaza mafuta

  • @christopherpaulo9490
    @christopherpaulo9490 2 ปีที่แล้ว +2

    Safi mzee

  • @MrBm369
    @MrBm369 2 ปีที่แล้ว

    Big up kubwa sana kwenu global tv hapo bado serikali 2

  • @eligiusvitalis3504
    @eligiusvitalis3504 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa anauliza Maswali mno hadi anamtoa kwenye mazungumzo maalum

  • @aisharamadhani1948
    @aisharamadhani1948 2 ปีที่แล้ว

    Mwandishi kiazi sanaa,,,, kwanini hataki kutulia utafikiri anamuhoji mke wake sebuleni mapepe kibao swali juu ya swali ndio nini ht haachi mwenye anamuhoji akajieleza vizur,,,
    Angekua Millard mbona tungefurahi sana

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 2 ปีที่แล้ว +5

    Mwandishi tulia kidogo, mpe muda ajieleze

  • @fouardsomi
    @fouardsomi 2 ปีที่แล้ว

    Mwandishi next time jipange before kumropokea msomi kiasi iki

  • @sifuelmamuya457
    @sifuelmamuya457 2 ปีที่แล้ว

    milad ayo amtafute huyu amuhoji kwa ustadi mzuri huyu mwandishi ni kiaziiii

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu 2 ปีที่แล้ว +2

    GLOBAL TV Online, tafadhalini muyazingatie malalamiko ya watoa comments za watazamaji. Malamiko yao yanamuelekea muhoji maswali. Naomba mumrekebishe asiwe na tabia ya chura

  • @jameskyando178
    @jameskyando178 ปีที่แล้ว

    Kagera war ilikua mwaka gan??? Sijamwelewa pilot apo kasema 1971??

  • @mhebhoamoskisimple2095
    @mhebhoamoskisimple2095 2 ปีที่แล้ว

    Naomba kupata part tu yake plz 🙏.mnitag ili niipate

  • @irinirinnariss2864
    @irinirinnariss2864 2 ปีที่แล้ว

    Uko vizur

  • @aliomari1439
    @aliomari1439 2 ปีที่แล้ว

    Sauti

  • @khadijaali1168
    @khadijaali1168 2 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji hampi nafasi yakuelezea vizuri anamkatisha ty na maswali akianza kuelezea tu anampiga swali lingine 😃😃😃😃😃😃😃

  • @netlity5532
    @netlity5532 2 ปีที่แล้ว +1

    Kaka mtangazaji umezingua hapa, huyu Mzee alikuwa na mengi ya kuongea kudadeek

  • @HamzaBuchu
    @HamzaBuchu 2 หลายเดือนก่อน

    Mkasa wa 1988 mmeuacha

  • @azizihfarijala5307
    @azizihfarijala5307 2 ปีที่แล้ว +1

    Jifunze kuuliza maswali ya maana siyo ya joking

  • @horacemnyasa5400
    @horacemnyasa5400 2 ปีที่แล้ว +1

    ✈️✈️❤️❤️✈️✈️

  • @maftahanachumatv7017
    @maftahanachumatv7017 2 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji unaharaka ya kuuliza kabla hajajibu vizuri swali unamuuliza lingine ! Jitahidi kutulia akijibu

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 2 ปีที่แล้ว +5

    Na tuliotekwa mtuhoji basi mbona tupo!

    • @deneagrofarms5884
      @deneagrofarms5884 2 ปีที่แล้ว

      Wewe ulikuwa abiria enzi hizo🤣🤣🤣

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 2 ปีที่แล้ว +3

      @@deneagrofarms5884 ndiyo nikitoka mwanzo nikafika mpaka Athens na mateso yote tulipata

    • @deneagrofarms5884
      @deneagrofarms5884 2 ปีที่แล้ว

      @@fatmaabdallah7709 🤣🤣🤣🤣

  • @d.a.t3383
    @d.a.t3383 2 ปีที่แล้ว

    Galway mwanafunzi wa baba Mwl Aloisi Ravasco Maisaka

  • @omarmkendwa1254
    @omarmkendwa1254 2 ปีที่แล้ว

    Dah Naikumbuka hiyo siku na watekaji nawafahamu maana hao watekaji walikuja mitaani kwetu

  • @sigifridaloyce7116
    @sigifridaloyce7116 2 ปีที่แล้ว

    hatare

  • @AsiaMkusa
    @AsiaMkusa 2 ปีที่แล้ว

    Ebu hii stori irudiwe mwandishi anatuangusha Af Galway ana madini mengi sana irudiwe irudiwe irudiwe

  • @azizaj776
    @azizaj776 2 ปีที่แล้ว +4

    Siyo mwaka 1988 ilikuwa kati ya mwaka 1982 - 1983

  • @momoyusufu3424
    @momoyusufu3424 2 ปีที่แล้ว

    weee mtangazaji unaboa sana badala ya kumuacha mzee aongee wee ndio maswali kibao unamkatisha sana mzee,mpaka hata yeye anakushangaa next time jiangalie.

  • @fatmasayid8895
    @fatmasayid8895 2 ปีที่แล้ว

    Wewe muandishi una kiherere

  • @josephmandelapenet4587
    @josephmandelapenet4587 2 ปีที่แล้ว +1

    MillardAyo mtafute huyu mzee mana hawa jamaa wameharibu interview hii.

  • @mussakamando2678
    @mussakamando2678 2 ปีที่แล้ว

    Mwandishi ameharibu mahojiano kwa kuuliza maswali ambayo sisi watazamaji anataka tumwone anajua masuala ya ndege.🤣🤣🤣🤣
    Huu ni ujinga kabisa.
    Kama na yeye anataka jamii imwone anaijua aviation industry au ijue kuwa ameshapanda ndege mara nyingi atafute chombo cha habari kimuhoji ili ajibu ili tumwone ameshapanda sana ndege....😒😒😒

  • @janegeogre3234
    @janegeogre3234 2 ปีที่แล้ว +1

    we mtangazaji mbona kenge ivoooo??... hujui kuhoji kilaza wewe!

  • @glorydenis5111
    @glorydenis5111 2 ปีที่แล้ว

    ninyi global
    punguzeni sauti mwanzo wa matangazo yenu

  • @angelkapimba2434
    @angelkapimba2434 2 ปีที่แล้ว +2

    mtangazaji hajatulia kabisa, babu hajamaliza kuongea kabandika swali. atulie kaka mtangazaji

  • @benjaminibirama6664
    @benjaminibirama6664 2 ปีที่แล้ว +1

    Inchi imetoka mbari

    • @gooddeeds162
      @gooddeeds162 2 ปีที่แล้ว +1

      “ Nchi imetoka mbali” 😊

  • @TheKigosi
    @TheKigosi 2 ปีที่แล้ว

    Mwandishi ana haraka mno

  • @benntanga2966
    @benntanga2966 2 ปีที่แล้ว

    Huyo Rubani nafahamu tulikuwa naye jeshini kikosi cha Anga.

  • @robertmosha6801
    @robertmosha6801 ปีที่แล้ว

    Mwandishi deshii unakosa detail muhimu..infantry unajua ni nini

  • @kipigapasilisungu2581
    @kipigapasilisungu2581 2 ปีที่แล้ว +4

    Muandishi una boa ndio tatizo la waandishi vilaza mzee ana madini mengi sana lakini uwezo wako wakuhoji mdogo umeharibu interview idea ni nzuri but poor credibility

  • @bigjizee4130
    @bigjizee4130 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwandishi Bogus kabisa, hata hakuna consistent ya interview

  • @hasyno9805
    @hasyno9805 2 ปีที่แล้ว

    Akielezea kitu muache aeleze unaturudisha nyuma mtangazaji

  • @peterandrew2795
    @peterandrew2795 2 ปีที่แล้ว +2

    Baba lawo'' lari

  • @kipigapasilisungu2581
    @kipigapasilisungu2581 2 ปีที่แล้ว

    .