TAZAMA MELI YA TAITANIC ILIVYOZAMA NA KUUA MAELFU YA WATU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 1.9K

  • @ashney847
    @ashney847 5 ปีที่แล้ว +47

    SubhanaAllah ndo mipango yake Allah anakuepusha na jambo lkn bado unalazimisha....
    Mpk watu wanakufa wakati wanaitengeneza manake wanapewa ishara wasifanye jambo lile.Ndo siku zote tukiepushwa na jambo lina kheri ndani yake, mfano mzuri huo hapo....
    Ya rabb tuongoze waja wako. Amiin

    • @MwanaHeri-cf1eo
      @MwanaHeri-cf1eo 4 หลายเดือนก่อน

      Amina inshallah...koment Yako ni sahihi kabisa

    • @RamadhaniNabli
      @RamadhaniNabli 2 หลายเดือนก่อน

      Amiina

    • @kingsman1713
      @kingsman1713 26 วันที่ผ่านมา

      Hivi unafahamu bila watu kutake risks na kufanya mambo hatari leo hii kusingekuwa na umeme wala smartphone na watu wangekuwa wanaishi mapangoni badala ya maghorofani?

  • @queenwinnie256
    @queenwinnie256 4 ปีที่แล้ว +22

    Hii sauti amazing tumeimiss hadi nimetafuata story ya mda kidogo ili nisikilize, we miss you mtiga, mlejesheni jamaa huyu,

  • @wardamogan440
    @wardamogan440 5 ปีที่แล้ว +44

    Km unamini mungu yupo na Kila lenye kutokea ni kwa rehma zake bc Seema inalilahii wa Inna ilaihi ranjiun 😭😭😭 manaaa si jambo dogo mungu tupe mwisho mwema😢😢

    • @MwanaHeri-cf1eo
      @MwanaHeri-cf1eo 4 หลายเดือนก่อน

      Amina labila alamina

  • @dulertech6284
    @dulertech6284 3 ปีที่แล้ว +15

    Mungu akupe umri mrefu professor Jamal uendelee kutoa vumbi akili zetu

    • @RamadhaniNabli
      @RamadhaniNabli 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@RamadhaniNablisasa wew unacheka nini kwakua sio Jamal au

  • @azizimuhibu7771
    @azizimuhibu7771 5 ปีที่แล้ว +340

    Huyu jamaa anajua kusimulia aysee,,hii ajali itabaki kumbukwa saana,kama unamuelewa huyu msimuliaji like basi twende sawa@@@

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 5 ปีที่แล้ว +6

      Sanaaaa hiv na yy ndio kipaji chake mwingine ukisimuliaa huwez mtu hapat radh 😂😂😂😂😂

    • @mgirikimweusi8534
      @mgirikimweusi8534 2 ปีที่แล้ว +3

      @@faidhamyovela179 chugs
      Das

    • @selestianjoseph6119
      @selestianjoseph6119 8 หลายเดือนก่อน +1

      anajitahidi sana

    • @PendoSasa
      @PendoSasa 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe.nan 0:00 ​🎉 0:00 @@faidhamyovela179

    • @PendoSasa
      @PendoSasa 2 หลายเดือนก่อน +1

      Unapatikana.wapi

  • @AnnaMaganga-d5g
    @AnnaMaganga-d5g 10 หลายเดือนก่อน +343

    Kama tumetazama 2024 😁😁😁😁😁tujuane 👋

    • @KipronoDennis-mx2wd
      @KipronoDennis-mx2wd 9 หลายเดือนก่อน +7

      Hi

    • @kevinmapozi159
      @kevinmapozi159 9 หลายเดือนก่อน +6

      Tuko hpa Team 2024...❤😢..inua mkono

    • @JoyMumbi-q4x
      @JoyMumbi-q4x 8 หลายเดือนก่อน +1

      Hi here we are

    • @kid20-iu5ln
      @kid20-iu5ln 8 หลายเดือนก่อน +1

      Tupo hapa 24.3.2024 nimechelewa eeeh

    • @AnnaMaganga-d5g
      @AnnaMaganga-d5g 8 หลายเดือนก่อน +1

      @@KipronoDennis-mx2wd hi 2

  • @shabanishabani2453
    @shabanishabani2453 5 ปีที่แล้ว +12

    Dah iko Njema sana story jopo kwa upande mwingine ni taku sktisha. Mungu awa pumzishe kwa aman (Amen)

    • @RamadhaniNabli
      @RamadhaniNabli 2 หลายเดือนก่อน

      amiina mbele yao.nyuma yetu

  • @zanabphilip8347
    @zanabphilip8347 4 ปีที่แล้ว +26

    Waaaw simulizi nzuri,sauti tamuuuu,,niachieni like akii

  • @celinamgundoi5601
    @celinamgundoi5601 5 ปีที่แล้ว +16

    Mtangazaji ukae ukijua unapendwa na kula MTU chakufanya ungeza mautamu baba Ahsante kwa simulizi nzuri japo inackitisha bwana alitoa na bwana ametwa jina lake libarikiwe Amina

  • @gaudencemaumba7594
    @gaudencemaumba7594 3 ปีที่แล้ว +9

    What a story!!.. jamaa anasimulia hadi raha aseee.... SIMBA KUNA CROWN ATHLETE INATAKIWA ITOLEWE KWA BRO MTIGA!!! BIG UP MWAMBA UNAWEZA SANA.. BOOM 2021

    • @youngweezy3846
      @youngweezy3846 3 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂CROWN apewe na majizzo

  • @sicac33
    @sicac33 3 หลายเดือนก่อน +2

    Great narrations brother. Titanic ilikuwa na mabalaa kabla hata haijaondoka, ikiwemo:
    1. Siku chache kabla haijaondoka moto uliwaka kwenye boiler room (chumba cha makaa ya moto) ilichukuwa kama siku tatu kuuzima moto huo. Inasemekana kuwa moto uli haribu structure ya meli na ndo upande ambapo ice berg iligonga.
    2. Wakati pia inaondoka meli ili sababisha wimbi kubwa ambalo lili sababisha meli kubwa ingine ya jirani ilikuwa haijafungwa vizuri ilitaka kugongana nayo ila wali manage kuzuia.
    Na pia njian inasemekana walikuwa wanakutana na meli zinarudiudi zina wapigia redio kuwaambia kuwa ice bergs ni nyingi warudi, ila hawakusikiliza.
    Na kampuni iliyo tengeneza Titanic "The Olympics" ilitengeneza meli mbili kubwa zingine "sister ships" za Titanic, moja ni Olympics, , ya pili ilikuwa Britanic na yatatu ni Titanic.
    Olympic iligongana na meli kubwa ingine ikazama.
    Britanic ilikutana na bomu la majini (sea mine) wakati wa vita, ikazama pia.
    Na Titanic ndo ikagonga mwambwa na kuzama.
    Wenye walisema Titanic was unsinkable, maneno yake "Not even GOD can sink it," (Hata MUNGU hawezi zamisha meli hii)

    • @TEDY-MTEMY24
      @TEDY-MTEMY24 3 หลายเดือนก่อน +2

      Mwanadamu hana nafasi yoyote ya kushindana na nguvu za Mungu, Mungu ndiye aliye umba kila kitu hapa duniani kusema hata Mungu hawezi izaimisha ndipo akaamua kujidhihirisha kupitia misukosuko yote kuanzia mwanzo mpaka mwisho,sasa imebakia HISTORIA, Mungu ni Mkuu siku zote

    • @sicac33
      @sicac33 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@TEDY-MTEMY24 Amen, Mungu alishikwa na gadhabu. Ndomana aliamua jidhihirisha, walimdhihaki.

    • @NancyAmbogo
      @NancyAmbogo 2 หลายเดือนก่อน

      Na ilianza kumeza watu hata kabla haijaanza safari😢

  • @eliasleonard9212
    @eliasleonard9212 4 ปีที่แล้ว +165

    Anaetizama 2021 anipe like zangu

  • @hellyally4395
    @hellyally4395 5 ปีที่แล้ว +7

    1M mungu akubariki mtiga abdallah uzidi kutuletea more story

  • @jaydon3361
    @jaydon3361 8 หลายเดือนก่อน +73

    Wale wote tunao tazama 2024 like hapa

  • @sheilanafulak6081
    @sheilanafulak6081 5 ปีที่แล้ว +6

    Asante Sana kwa mwandishi na msimulizi... At least I have apiece of history this night

  • @faithmwongeli5086
    @faithmwongeli5086 3 ปีที่แล้ว +40

    I really empower this story ...nairudia mara ya kumi😍 thumbs up to the writer

  • @lucalmodric6685
    @lucalmodric6685 5 ปีที่แล้ว +55

    Asante xana nlikuwa natitaka hii Muwe mnaweka huku wengne 2po nje ya nch tunafuatilia xana

    • @pendosammy5984
      @pendosammy5984 5 ปีที่แล้ว +1

      mm naona wanao watch n watu w nje maana kila mtu nipo nje

    • @ramlazuber6038
      @ramlazuber6038 5 ปีที่แล้ว

      @@pendosammy5984 ukiwa njee ya nchi yako unataman hata upate maneno ya lugha yako. Tupo wengi nje

    • @pendosammy5984
      @pendosammy5984 5 ปีที่แล้ว

      @@ramlazuber6038 sanaa

  • @martinmuruo
    @martinmuruo ปีที่แล้ว +146

    Nani anatizama 2023? Like tafadhali..

  • @marrytandu5033
    @marrytandu5033 4 ปีที่แล้ว +9

    Malaika alijitengenezea CV nzuri Sana daaah .. Nimecheka

  • @evancemwaijulu9117
    @evancemwaijulu9117 4 ปีที่แล้ว +2

    Asanteni wasafi kwa ubunifu wa kuleta THE STORY BOOK

  • @focustz4408
    @focustz4408 5 ปีที่แล้ว +19

    .nimekukubali sana kwa kusimulia uko vizur sana agiza soda apo nalipa

  • @ChristinaClement-t4q
    @ChristinaClement-t4q 11 หลายเดือนก่อน +87

    Nani anaangalia 2024 like hapa🤔

  • @set-px8un
    @set-px8un 5 ปีที่แล้ว +92

    Daaah!Nilikuwa cjui story ila nmeipata😍@The story book imetisha👌embu like hapa kama unakubali💪💪

  • @wamboiwamboh
    @wamboiwamboh 4 หลายเดือนก่อน +2

    After listening to this author i miss my history teacher❤❤

  • @ibrahimmungure7493
    @ibrahimmungure7493 5 ปีที่แล้ว +27

    Msimulizi uko vzuri kama vile ulishuhudia tukio zima.ahsante sana.

    • @p.kasongot979
      @p.kasongot979 ปีที่แล้ว +1

      😅😅😅😅😂😂 hapo sasa

    • @DBrownstain
      @DBrownstain ปีที่แล้ว

      Acha tu, yaani nimemuelewa kuliko ata ile muvi yenyewe 😃😃

  • @dekingsforealdee9147
    @dekingsforealdee9147 ปีที่แล้ว +88

    Imebidi nirudi kusikiliza tena!
    Nipee like ili niendelee kurudi

  • @raxhidymono9258
    @raxhidymono9258 5 ปีที่แล้ว +22

    Asante mtangazaj mana ndio nimejuwa Leo kama kapten alienda kulala alafu meli inaenda yenyewe si kwa uzembe huu meli ya kifahali walishindwa darubini kuangalia mbele kama salama kapoteza funguo sikunakuwaga nafunguo za akiba mtangazaji apo umeongeza chumvi bwana yani darubini iwe moja tu meli lote ilo umenichekesha mtangazaji kwakweli

  • @ElisiaUrio
    @ElisiaUrio 2 หลายเดือนก่อน +5

    Story ni zuri nimekubali asante sana naombeni like

    • @ElisiaUrio
      @ElisiaUrio 2 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤❤❤❤

  • @georgeburchard4872
    @georgeburchard4872 5 ปีที่แล้ว +81

    Nimekubali! Umeenda deep sana! Kuna vitu ndio nimevisikia hapa kuhusu hii ajali!! Big up! Kazi nzuri!!

  • @Oboss_billharvester
    @Oboss_billharvester 2 ปีที่แล้ว +3

    Walimdhihaki Mungu kwa kusema haiwez. Kuzama na wakati Mungu ndie mwenye kumiliki Kila kitu na Mungu hadhihakiwi kamwe maana haonekan Wala hachunguziki

  • @patrickmalyampa9093
    @patrickmalyampa9093 5 ปีที่แล้ว +202

    wasaf mko vzr mb zangu zinaenda kihalali

  • @bravoh2542
    @bravoh2542 3 ปีที่แล้ว +21

    Eeeeish🔥🔥🔥
    #Mtigaaaaa💯💯
    Big Love from Kenya❤️

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 5 ปีที่แล้ว +5

    Unajua mwanzoni nilkua napotezea stori zako ila nakufatilia sana mkuu saiv big up

  • @florencembithe2244
    @florencembithe2244 3 ปีที่แล้ว +41

    Am here 2021 anyone else..... Continue resting in peace 😢😢

  • @edwinelias8554
    @edwinelias8554 5 ปีที่แล้ว +22

    Wasafi mko juu mtangazaji nimekuelewa

  • @MartineShija
    @MartineShija 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ujeutusimulie na Manisha yaviongozi wetu waliotangulia mbeleza mwenyez Mungu unajua Sana kusimulia ndugu

  • @lucasjoseph7522
    @lucasjoseph7522 5 ปีที่แล้ว +34

    Daaah the story waz so hot.....but alie fnya iwe hot ni msimuliajii..kaka safi snaaaaa...

  • @SuzyMatemu
    @SuzyMatemu 6 หลายเดือนก่อน +1

    The problem of this guy's they are not believe that have a God but jamaa unajua mpk unajua Tena nilihadithiw kipnd Niko form 3nikaon teacher n mwongo but is true ...... Niko apa wanaoitazam hii story mwanzon mwa mwz wa sita nipen likes zangu bas❤❤❤

  • @ramaabuu1958
    @ramaabuu1958 5 ปีที่แล้ว +20

    Stori nzuri sana hongereni wasafi!!!

  • @biffonmoogi6710
    @biffonmoogi6710 2 ปีที่แล้ว +12

    i really like your stories as you come up with them bro

  • @Learning_Fora
    @Learning_Fora 5 ปีที่แล้ว +6

    Mie mkenya and really like this guy he his my swahili morgan freeman

  • @chekatv780
    @chekatv780 4 ปีที่แล้ว +17

    aliyeitazama 2021 tujuane hapa😁😁

  • @abdulmtitu7478
    @abdulmtitu7478 5 ปีที่แล้ว +9

    Dah wasafi hambahatishi,,bonge la sauti

  • @nunumohamed1105
    @nunumohamed1105 4 ปีที่แล้ว +2

    Ww ni mtangazaji mziri sana poleni sana wenzetu

  • @monday1278
    @monday1278 5 ปีที่แล้ว +37

    Hongera sana mtambaji.. unasimulia kwa ufasaha na ufanisi wa hali ya juu kabisa.. Hongera kaka.

  • @fatmazullu4933
    @fatmazullu4933 4 ปีที่แล้ว +5

    Daah thank you sana! Nilikuwa naisikia tuu hii story!

  • @jahonetz3580
    @jahonetz3580 5 ปีที่แล้ว +187

    Kama unaamin JAMAA anafaa kuwa mwalimu wa history like apa

  • @piusundisputed
    @piusundisputed 7 หลายเดือนก่อน +3

    Just realised Jamal is a good author,while Mtiga Abdullah is a good storyteller

  • @naomykibona4706
    @naomykibona4706 5 ปีที่แล้ว +12

    mtangazaji hakika upo vzr.RIP wote kwenye hiyo ajali

    • @sadatinikodemas144
      @sadatinikodemas144 5 ปีที่แล้ว

      Inauzunisha kwa kwel maellfu yawatu wamepotea

  • @silivestarmtivike2030
    @silivestarmtivike2030 4 ปีที่แล้ว +1

    Napenda sana mwendelezo w iyo storry sijui nitaipataj msada tafadhar

  • @mst1studio270
    @mst1studio270 5 ปีที่แล้ว +27

    Ooooooyes Good! I congratulating who documented this story. I give you 100%.

  • @rashidyally8715
    @rashidyally8715 3 ปีที่แล้ว +23

    Halafu nimesikia mmiliki wa meli hii alipouliulizwa kuhusu usalama wa meli yake alijibu kua hiyo meli hata mungu hawezi kuizamisha 😄😄 angalia kilichotokea sasa

  • @zamanjohn4612
    @zamanjohn4612 5 ปีที่แล้ว +82

    Nimekipenda kipindi cha the story book..kazi nzuri

    • @evaben2527
      @evaben2527 4 ปีที่แล้ว

      Ht mm pia

    • @aishayahya5772
      @aishayahya5772 4 ปีที่แล้ว

      respect brother this is the best amazing fun

  • @jumamngazija-pw9yz
    @jumamngazija-pw9yz ปีที่แล้ว +5

    Anaye angalia na kusikiliza hii simulizi 2023 gonga like hapa tujuane

  • @brayanluswe5194
    @brayanluswe5194 4 ปีที่แล้ว +54

    A talent guy may God add you more years so that we enjoy your stories

  • @mahirmustafa4439
    @mahirmustafa4439 3 ปีที่แล้ว +20

    Nimeipenda sana jinsi ilivyoelezewa hii story ya titanic simple and clear as well as understandable. Thank you WASAFI TV for bringing the story book show. May God bless you all.

  • @deebrown7908
    @deebrown7908 5 ปีที่แล้ว +89

    Vizuri sana kweli
    Kwa story hiyo
    Kujuwa ilivyo tengenezwa
    Kamanawew humemuelewa weka like ilitwende

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 4 ปีที่แล้ว +17

    Jamaa unakipaji sana cha kusimulia sauti nzuri, matamshi fasaha, unajiamini yaani raha ndani ya utamu.

  • @hamiswawa5872
    @hamiswawa5872 5 ปีที่แล้ว +12

    story tamu sana , umetisha kamanda 💣💣💣

  • @IsmailAbuuFx
    @IsmailAbuuFx 26 วันที่ผ่านมา +2

    Kama umetazama novemba 2024 weka like yako hapa❤

  • @misswamboh9585
    @misswamboh9585 5 ปีที่แล้ว +22

    Woow,napenda unavosimulia una sauti nzuri pia

  • @muthoka6628
    @muthoka6628 3 ปีที่แล้ว +30

    "Even God couldn't sink it," Now people can understand How God is never Mocked

  • @alvisprincetz1120
    @alvisprincetz1120 4 ปีที่แล้ว +6

    Mtangazaji nakwamini sana bro nice voice 🥰🥰

  • @piusundisputed
    @piusundisputed 7 หลายเดือนก่อน

    Leo nimepata lesson,huko nyumba nlkuw napata ukakasi Sana,thanks Jamal

  • @NajimOne12
    @NajimOne12 5 ปีที่แล้ว +665

    Kama Umemueelewa Mtangazaji Gonga like hapa

  • @CarolyneAnthony-lx8ms
    @CarolyneAnthony-lx8ms 7 หลายเดือนก่อน +11

    N wangapi wanatazama mwezi wa tano 2024??🤔🤔🤔

    • @WIKIMOJATEAM
      @WIKIMOJATEAM 6 หลายเดือนก่อน

      Wengi tupo hapa

  • @maguoshao1300
    @maguoshao1300 5 ปีที่แล้ว +174

    Huyu jamaa wa #wcb anatishaaaaa
    Goodvoice
    Wangap Wana amini Izo video alizotumia zinatokana na muviii ila wakatii asiliaa wenyewe haupo
    Yule aliyeenda kulala ndo aliyeandika kitabu cha maut ya titac lazimaa wafeee Tu lazimaaaaa
    #wcb
    #for life

  • @rashkillertz9001
    @rashkillertz9001 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwa story hizi nakubali kabisa kazi nzuri Sana Wasafi History Book

  • @elraysugarboymasb9535
    @elraysugarboymasb9535 5 ปีที่แล้ว +103

    ahsante sana ndugu mtangazaji , r.i.p ndugu zetu

  • @emmaemzy3443
    @emmaemzy3443 9 หลายเดือนก่อน

    Let's give a story teller his flowers,amesimulia vizuri sana 👏👏

  • @twalibuchilumbe7751
    @twalibuchilumbe7751 5 ปีที่แล้ว +33

    Ninacho kiona mm mwandishi wa kitabu aliangalia majira ya baridi kalin na barafu kwenye bahar ndomana alionekana n mtabir

    • @tantwistar1042
      @tantwistar1042 5 ปีที่แล้ว

      Hapana ndo atabiri mpaka jina la merry

  • @leylahbillah4876
    @leylahbillah4876 4 ปีที่แล้ว +1

    Aisee mtangazaji yaan hujutii kumsikiliza kbs daah hongera sana na wcb yotee

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 5 ปีที่แล้ว +396

    Mtangazaji unasimulia vizuli sana had raha.....rest in peace ndugu zetu mliotututoka kwa ile ajali

    • @kudoja_fish_shop9592
      @kudoja_fish_shop9592 5 ปีที่แล้ว +6

      Vincent Auxerbius mkuu acha uongo ulikua na ndugu zako kwenye meli wahaya achen sifa

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 5 ปีที่แล้ว +1

      @@kudoja_fish_shop9592 😄😄😄😄😄 hata Mimi mhaya lakini sikuwa na ndugu huko. Mabepari hao hawana ndugu

    • @gayumummalinda7225
      @gayumummalinda7225 5 ปีที่แล้ว +1

      ni nzuri

    • @manmusictiger379
      @manmusictiger379 5 ปีที่แล้ว +1

      Pole sasa watu

    • @dismasbundi5977
      @dismasbundi5977 5 ปีที่แล้ว

      Dama ija

  • @janetwambua5277
    @janetwambua5277 2 ปีที่แล้ว +6

    Well narrated,thankyou 👏👏👏

  • @MalegesiMakunja
    @MalegesiMakunja 5 ปีที่แล้ว +21

    Mtangazaji una sauti nzuri ya kutangaza ila una dharau ktk matamshi ya uongeaji ukijua ni tukio la kusikitisha

  • @gladysmghoi5918
    @gladysmghoi5918 3 ปีที่แล้ว +2

    I always enjoy ur narration uko vizuri

  • @reggie868
    @reggie868 5 ปีที่แล้ว +20

    A Superb narration, not boring at all, fascinating..

  • @funzonechannel1
    @funzonechannel1 3 ปีที่แล้ว +12

    Charles Jugini 🥃🥃 would have never hate alcohol in his entire life

  • @tonythadei9608
    @tonythadei9608 5 ปีที่แล้ว +27

    Yani huyu jamaa anae tuadisia anajua kweri tena sana bigap brother

  • @sapnaabdallah1084
    @sapnaabdallah1084 4 ปีที่แล้ว +56

    Anaetizama 2020 anipe
    Like 😁😁

  • @wilbertalfred7388
    @wilbertalfred7388 5 ปีที่แล้ว +205

    We mcmuliaji nipe no yako nkupe ya soda upo vzur sana mzee una bonge la kipaji yaani

  • @whizzkidmaate9575
    @whizzkidmaate9575 3 ปีที่แล้ว +27

    Thanks wasafi,rip beautiful souls!

  • @majaliwapili2928
    @majaliwapili2928 5 ปีที่แล้ว +25

    Wasafi FM juu sana ama kweli kila binadamu ana nafasi yake katika dunia bila diamond platnumz tusingekuwa na wasafi

  • @zuu__95
    @zuu__95 4 ปีที่แล้ว +6

    duh elfu 1912 ata babu wa babu yangu babu yake na alomzaa babu yake hajazaliwa 😢😢😢😢 rest in peace wote.

  • @خسنموس
    @خسنموس 5 ปีที่แล้ว +118

    Itabaki stori waliofariki n wengi sana..mungu ashindwi na kitu.

  • @seffsamwel5649
    @seffsamwel5649 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante kaka kweli we ni mtu mwenye akili zaidi

  • @maryamammar1488
    @maryamammar1488 5 ปีที่แล้ว +52

    Mtangazaji napenda sauti yko🤣🤣🤣🤣✨💖😍

    • @saidibambo4339
      @saidibambo4339 5 ปีที่แล้ว +5

      Ichukue iwe ringtone 😂 😂 kwenye cmu yko

    • @maryamammar1488
      @maryamammar1488 5 ปีที่แล้ว

      @@saidibambo4339 🤣🤣🤣🤣Umenishinda tabia😅😅😅😅

    • @aishahindoabdallah3122
      @aishahindoabdallah3122 5 ปีที่แล้ว

      @@saidibambo4339 toba roho yangu 😂😂😂

    • @johnsilima6789
      @johnsilima6789 4 ปีที่แล้ว

      Aisha Hindo Abdallah imekuwaje

  • @MegomeBand-w8s
    @MegomeBand-w8s 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki umefanya. Jambo jema uani inasikitisha sana maana. walikufa watu wengi sana

  • @paskokisabo5156
    @paskokisabo5156 5 ปีที่แล้ว +10

    Niatali sana hizi story ni nzur mana nizaukweli, kabsa, MUNGU aziweke roho zao mahali pemaaa.

    • @angelahmoraa5472
      @angelahmoraa5472 5 ปีที่แล้ว

      Mtu mmoja Tu alipakia,yeye ndie alitoa hii story

    • @paskokisabo5156
      @paskokisabo5156 5 ปีที่แล้ว

      @@angelahmoraa5472 ok

  • @brintenbranice8466
    @brintenbranice8466 ปีที่แล้ว +3

    I like the way you brought out the details that was nice for an investigation journalist

    • @blandinamanongi8818
      @blandinamanongi8818 ปีที่แล้ว

      Kwa kweli inahuzunisha hii movie nikiangalia huwa nalia

  • @mussamussa9174
    @mussamussa9174 5 ปีที่แล้ว +5

    1.5M views hongera mtiga Abdallah

  • @rogerfederer3436
    @rogerfederer3436 4 ปีที่แล้ว +14

    My best story book ever titanic 🤩

    • @zubedasultan9585
      @zubedasultan9585 3 ปีที่แล้ว

      🙏 NAKUOMBA BONYEZA HAPA 👇
      th-cam.com/video/m7FXfhJotT0/w-d-xo.html

  • @jairosmnahi1218
    @jairosmnahi1218 5 ปีที่แล้ว +38

    Noma saana mtangazaji uko juu

  • @mcblodney1462
    @mcblodney1462 ปีที่แล้ว +1

    Mtiga dah 🙌💥unajua mpaka kero

  • @slayingtee6044
    @slayingtee6044 5 ปีที่แล้ว +226

    Safi sanaa we need this kind of Content 👏👌👌..upload kila week the story book its interesting

  • @iddikibwana9185
    @iddikibwana9185 3 ปีที่แล้ว +6

    This guy is good at narrating the story.

  • @gerrykate
    @gerrykate 5 ปีที่แล้ว +631

    Kama unakubali the story book dondosha like hapa

  • @faimagulam9142
    @faimagulam9142 2 ปีที่แล้ว +2

    Vzuri sana kaka,,,nimeikubali sana kazi yako

  • @bonnybernad
    @bonnybernad 5 ปีที่แล้ว +6

    Brother.. Sifa ziende kwako! hubaatishi hata kidogo!! bali you certainly know what you doing kwanye hii tasnia. "'am intrigued"

  • @kingkenya......2k225
    @kingkenya......2k225 3 ปีที่แล้ว +4

    The story book is interesting so much we need such books smart working keep it👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽