Hongera kwa Rubani kupeperusha Air Tanzania. Pongezi pia kwa kuacha Vilevi kwa miaka 4 hata mimi na miaka 4 situmii vilevi. Maisha bila Vilevi ni matamu sana kwanza Pesa inakuwa mingi halafu unapata muda wa kujipangalia maisha
Kweli kabisa, "debe tupu ndiyo hupiga kelele", anayejua hana mapepe, sababu mchakato alioupitia mpaka kujua siyo wa kitoto, umemnyoosha na umemnyenyekeza vya kutosha.
Rubani Brayan,Nimeangalia vizuri mahojiano yako na mwandishi,kwa kweli kila ulicho kiongelea kina maana sana katika maisha ya mwanadam.Nafaham suala la kichapo wapo wengine wataku copy vibaya lakini usijali. kwa kweli umeongelea kuhusu kumchapa mtoto ili alelewe kosa lake hayo ni malezi ya mila na mila zinaleta maadili na elimu pia katika maisha.( kuna msemo unasema teke la mama halimumizi mwana)Mmungu azidi kukupa wepesi wa maisha na akufungulie yote mazuri yaliyo jifunga.Na Ayafunge yote mabaya juu yako na wengine pia.Story yako imenigusa mimi na familia yangu.Hongera sana
Una uhakika. Mi ninasafiri sana na ndege na waislam wako wengi tu. Two weeks ago nimetoka ZnZ to Dsm, Rubani na msaidixi wote walikuwa qaislam, fanya reseaech kwanza kabla ya kuandika.
Mwenyezi Mungu Akutangulie Captain Brian, so proud of you Baba.
Hongera kwa Rubani kupeperusha Air Tanzania. Pongezi pia kwa kuacha Vilevi kwa miaka 4 hata mimi na miaka 4 situmii vilevi. Maisha bila Vilevi ni matamu sana kwanza Pesa inakuwa mingi halafu unapata muda wa kujipangalia maisha
Miaka minne baadae ya hapa nataka nirudi nitoe ushuhuda wa kuacha pombe
Hongera rubani❤❤❤nimependa interview
Safi sana Brian, keep it up chief
❤❤❤ daaaaa mbona Handsome boy ivyo
Paschal
Kwa hii Interview umefanya vizuri sana, Mtiririko wa Maswali yako umekaa vizuri kabisa.
Hongera sana Kaka.
Good my brother, nami na ndoto kama hiyohiyo me mdogo wako kabisa
Ukiwa unasikiliza watu wenye taaluma zao Safi saana hakuna mambo ya kupayuka payuka , shule Ni kitu kizuri Saaana
Kweli kabisa, "debe tupu ndiyo hupiga kelele", anayejua hana mapepe, sababu mchakato alioupitia mpaka kujua siyo wa kitoto, umemnyoosha na umemnyenyekeza vya kutosha.
Mash Allah..Allah akujaalie wepesi...❤
😊😊😊
Our very own Captain Brian, AWB
I love this guy anajieleza vizuri Sana
Hongera kwako
❤🙏🙏👍
Hongera zako
Hongera sana
Congratulations 👏🏾🎉
Your handsome guy 😅😊
Rubani Brayan,Nimeangalia vizuri mahojiano yako na mwandishi,kwa kweli kila ulicho kiongelea kina maana sana katika maisha ya mwanadam.Nafaham suala la kichapo wapo wengine wataku copy vibaya lakini usijali. kwa kweli umeongelea kuhusu kumchapa mtoto ili alelewe kosa lake hayo ni malezi ya mila na mila zinaleta maadili na elimu pia katika maisha.( kuna msemo unasema teke la mama halimumizi mwana)Mmungu azidi kukupa wepesi wa maisha na akufungulie yote mazuri yaliyo jifunga.Na Ayafunge yote mabaya juu yako na wengine pia.Story yako imenigusa mimi na familia yangu.Hongera sana
Jamaa ana point sana
Safi sana safi mno
Hongera sana ila mmefanana sana mama
Mabruk much love from 🇰🇪
Sema Brain we ndio Pilo unaependa interviews mweeeeeeeee😅😅😅
Bravo 👏🏽 captain 👨✈️🔥🔥🔥🔥🫡
Hahah huyu kaka 😂😂
Mzee mm financial Account ilinishinda alafu uniambie physics ni basics 😂😂😂
Hahaha, mambo ya Financial statement, income statement, ledger, cost of sales, 😂😂😂😂trial balance
Captions za kiboya hizi, kuharibia watu heshima zao 😡
Mapenzi na picha mmh badili wafanya kazi wanapotoka sana
Mimi mwenyewe amenichanganya ikabidi nianze kuchunguza kivipi
Baada ya kusikiliza interview mnakimbilia kucomment tu
No 1
Broooo ❤
Nyie hamjamuelewa anasema ameanzq mapenz na picha yan anapenda kupiga picha sio hivyo mnavyofikilia nyie
🤣🤣🤣🤣🤣 mi mwenyewe nilishtuka kwanza...
😂😂😂😂
Mmm happo ni kwalio na neema kubwa 2,?
Shikamoo kumbe mkubwa Kwangu
Mnahoji watu wenye akili safi sana
❤
Milion 200 tuwaachie wenyewe
Kabisa kunaajila km kwenu hamna kitu basi utaziskia tu
Kanitomba huyu kaka 🤣
Wtf😂😂😂
@@dmwaps ndiyo lol you think am joking ? 😅
unaona sifa mwenyewe
@@masalakulwa7601your funny
@@masalakulwa7601 Wewe ni nini unataka kunitomba wewe?
Hii fani wanasomaga watoto wa kishua
Mapenzi na picha!🤔🤦🏿♀️
lakini pesa pia, maana si kombi kama hizo ni pesa
Watoto wa wakubwa nyie hizo ni pesa za vocccha tu
Ni kweli Huyu katokea familia ya kishua
Ila hata wewe unaweza kuwa Rubani na DV 4 yako coz It’s just masomo tu kama ya kawaida
𝐻𝑜𝑛𝑔𝑒𝑟𝑎 𝑘𝑎𝑘𝑎
Hicho kichwa cha habari hakiendani na interview hata km kutafuta view siyo sawa
Ninaye dada yangu awesoma urubani lakini KAZI mtihani, umefikia hatua ya kuanza kukodi kuendesha kufanya safari😂
Ametimiza masaa yanayotakiwa kupata kazi? Au ndo ana Fly time ya 10 hrs🤷♂️
Kwanini marubani wenye dini ya kiislamu wanakuwa hawapewi nafasi wakati wameisha maliza masaa Yao ya kurusha ndege ili waweza kurusha ndege kubwa
Una uhakika. Mi ninasafiri sana na ndege na waislam wako wengi tu. Two weeks ago nimetoka ZnZ to Dsm, Rubani na msaidixi wote walikuwa qaislam, fanya reseaech kwanza kabla ya kuandika.
Brian nasubiri biriani yetu huhuhuu@ from magda
duu nimekata tamaa
Jitie moyo kwa Bwana, lazima tusonge mbele! Utatoboa tu! Focus
Una anza kuleta habar za kijinga tuu bila kujua kua hii chanel yako wanatazama watu wengi wenye heshima zao na tunaojitambua
Habari ya kijinga hapa ni ipi ndugu
Ayo umeanza kupoteza mwelekeo wako sasa
No 1