Dennis Phombeah: Shushushu Aliyevaa Sura ya Mpigania Uhuru | The Chanzo Documentary
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 ธ.ค. 2024
- Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2023 © All Rights Reserved.
Hata siku hizi viongozi tulio nao ni aina ya akina Phombeah.
Naupenda sana ujasusi kiukweli
Nyerere hakumbwagamtu, Nyerere alikua mgeni na alipewa Tu uongozi baada ya wakoloni kuweka sheria kwamba ukiwa MTUmishi usijihusishe na siasa hivyo kina sykes kwakua walikua watumishi na wafanya biashara walikubaliana kwamba wao watafund pesa kwenye harakati za Uhuru na Nyerere awe Sura kwakua ualimu haukumlipa kiasi cha kuweza kufanya kuendesha siasa hivyo kina sykes walimhudumia kilakitu
👊✌👍.
Tanzania tangu ipate uhuru imebahatika kupata viongozi wawili tu