A speech with content maana na mathumuni.Hayati Nyerere asante sana kwa kuwa kielelezo na mfano bora kwa wote katika bara letu ?Mwenyezi mungu akubariki
Mwalimu Julius kambarage Nyerere alikuwa ni kiongozi wa kweli na aliyekuwa na maono . Na alikuwa akili , hekima, busara, utu na kipawa kikubwa cha uongozi . Mungu azidi kumpa raha ya milele peponi. Hatuwezi kumsahau
Mungu wetu ingilia kati kusaidia watanzani wako. Mungu ULITUWEKEA nchi hii UTAJIRI MKUBWA sana lakini mbona viongozi wetu hawana akili kubwa za kutosha kugeuza UTJIRI huo WA ASIKI uwe na manufaa kwa watanzania na hata afrika kwa ujumla? Hao Wanasiasa wetu hawaji na sera zenye mashiko ya manufaa kwa taifa hili. Tunawatafuta sana viongozi wenye mitizamo hiyo na tunajua wapo ila ni vigumu kupenya ngome ya CCM. Ee mungu tunaomba msaada wako utusaidie wana wako. Sisi siyo masikini wa mali bali akili.
@fatmakitine7674 usihadalike na maneno ya kisiasa na kumuombea kafiri asamehewe na Allah nakushauri isome Qur an itakuzindua kiakili kwa Allah anasema kwenye surat Muhammad Aya ya 34..kwamba....wale ambayo wamekufuru na kuzuia watu kuelekea njia ya Allah Kisha akafa na ukafiri wake basi hatasamehewa na Allah ....Sasa Nyerere alikufa na ukafiri wake vp wewe unamuombea kwa Allah kuwa amsame na mtie peponi wakati pepo umewekwa ajili ya wachamungu sio makafiri ...
@@OmarJuma-og4kd Acha mtu aombe dua anavyojisikia Mungu mwenyewe ataamua hata Mtume wetu Muhammad alimuombea ami yake kwa sababu Dini ni kati ya mtu mwenyewe na Mungu, utajuwaje kafa na Dini gani.
Napenda Sana kusikiliza hotuba za baba yetu wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Japo sikuwahi mwona maana nilikuwa sijazaliwa au nilikuwa mtoto nanyonya
Tanzania ya wanasiasa wa leo inakumbuka hayo maneno kweli? Au ndio yanaigilia sikio hili yanatokea sikio la pili. Mungu wetu uko wapi? Usituache wenyewe hatuwezi
umesema kweli baba ni kweli nchi hii haipaswi kuwa ya MATAJIRI. Ni nchi ya watu masikini lakini ni nchi yenye utajiri kuliko nchi nyingi duniani. Wanasema ni nchi ya pili afrika kwa kuwa na utajiri mkubwa wa asili. na tutakuwa juu kabisa kidunia kwa utajiri. Swali....kiongozi gani anaamini katika hilo na kulitetea bila woga? Uzalendo huo umeenda wapi? Wanasiasa walio wengi wamekuwa wabinafsi sana wanaangalia maslahi yao binafsi wanasahau maslahi ta taifa. wanasahau kuligeuza taifa hili kuwa matajiri kama ambavyo inavyostahili. Tanzania siyo masikini wa mali asilia bali fikra. Mungu wetu tusaidie Tanzania yako
Baba wa taifa uliwambia lkn hawakusikia yote wameyakanyagia chini hwasikii hata kidogo hotuba zitokzo kichwani kweli zitadumu milele acha hz za wapendwa wa sasa hv za kukopi na kupesti Mungu wetu endelea kuhifadhi hki kiumbe ili cku hyo tukutane nae uso kwa uso tumemkosa kwa mda mrefu.
Baba yetu uliwahi kusema chama kitakachoweza kuitoa CCM madarakani lazima kitoke ndani ya CCM. Tunaamini ukweli huo. Mungu awape ujasiri watu waadilifu wajitoe ndani ya CCM waanzishe chama kipya kitakacholeta matumaini kwa watanzania. Hicho chama kitachukua nchi kirahisi sana. Watu hao wasafi wapo na wanajulikana kwa wananchi. Wajipe moyo wa ujasiri wajiongeze wataungwa mkono.
CCM yake ilikua #1 Bada yake kumekuja CCM kabambe kuliko yake haijui hata kuendesha Uwanja 😢wake😢Kiya Kilimanjaroo airport 😢😢😢 Masikini baba wetu wataifa . CCM yako hayo ndio mabadiliko yao yanadhihirisha kwenye Ripoti ya Mkaguzi waserekali...😢😂😂
Tatizo linaonekana hao hao wapiga kura wenyewe wengi wao ndio wala rushwa wakubwa sasa watamchagua vipi mtu atakayeenda kinyume nao? Hiyo itakuwa ngumu sana baba labda kama angekuwepo mwenyewe
Nyerere na Aristotle wanatofautiana kwenye utumwa tu. Lakini, Hatuna wasomi wanaenzi mawazo ya Nyerere sawa na wanavyotunza ya Aristotle. Siku Nyerere akipewa heshima yake kama Mwanafalsafa, Tanzania itaongoza umoja wa afrika mashariki (political federation) na kisha ya afrika nzima.
jamani watanzania tujiulize hivi tunasogea mbele au tunarudi nyuma? Hii hotuba ni mwanga na kipimo kizuri sana cha kujipima. RIP mwlimu wa enzi zote. Tunakukumbuka sana baba wa taifa letu
Rusha imekuwa ugonjwa ambao ni sawa na ukoma ,Tatizo, tena sasa linaonekana kua kero kwa jamii haki inanunuliwa hasa wakati wa uchaguzi unafanyika sasa wa chama
Nimerudi kuangalia Tena BABA WA TAIFA HOTUBA ZAKE KUUU❤❤❤❤2024
Gonga like Kama unamkubali huyu mwamba
Jigongee mwenyewe
Baba wa taifa Mungu azidi kukukirimia mwema Yako hakuna wa kufanana nawe 🙏🙏🙏🙏 Amen
Dahh hotuba nmeixkia mwaka nazaliwa mm mbona haziachan najinsi dk jn pombe maguful alivokua anatuogoza mung aziweke roozao mahala pena pepon aamin
I can't get enough of this GUY!
Daaaaaaaaah hakika baba wa taifa alikuwa ananena ya kwel tutayatafuta nje na sio ndan tutakukumbuka daima
A speech with content maana na mathumuni.Hayati Nyerere asante sana kwa kuwa kielelezo na mfano bora kwa wote katika bara letu
?Mwenyezi mungu akubariki
Huyu ni mtu
One of the most popular and the best speakers in Africa and the world. Miss you Mwalimu.
❤i
Dah yaani kama kaongea Jana kama unakubaliana Nami ginga like hapo chini
Niambie nimekosea
🎉❤@@ChalesMatelu
@@ChalesMatelu
❤🎉
Kweli Mzee ❤ tulipenda sana mpaka leo tuna kukumbuka mungu atusaidie kutupatia kiongozi bora sii bora kiongozi hapana😂
Greatest speech ever by former excellency
Asanter kwa kuturetea uhuru ktk taifa letu na sasa tunaishi kwa amani na tunakukumbuka sana ,mungu ailaze roho yako kwa AMANI mahari pema peponi AMINA
Mwalimu Julius kambarage Nyerere alikuwa ni kiongozi wa kweli na aliyekuwa na maono . Na alikuwa akili , hekima, busara, utu na kipawa kikubwa cha uongozi . Mungu azidi kumpa raha ya milele peponi. Hatuwezi kumsahau
Mungu wetu ingilia kati kusaidia watanzani wako.
Mungu ULITUWEKEA nchi hii UTAJIRI MKUBWA sana lakini mbona viongozi wetu hawana akili kubwa za kutosha kugeuza UTJIRI huo WA ASIKI uwe na manufaa kwa watanzania na hata afrika kwa ujumla?
Hao Wanasiasa wetu hawaji na sera zenye mashiko ya manufaa kwa taifa hili.
Tunawatafuta sana viongozi wenye mitizamo hiyo na tunajua wapo ila ni vigumu kupenya ngome ya CCM.
Ee mungu tunaomba msaada wako utusaidie wana wako. Sisi siyo masikini wa mali bali akili.
Innallah Wainaillah Rajuun. Mwenyezi Mungu amrehem amsamehe makosa yake inshallah ampe pepo
@fatmakitine7674 usihadalike na maneno ya kisiasa na kumuombea kafiri asamehewe na Allah nakushauri isome Qur an itakuzindua kiakili kwa Allah anasema kwenye surat Muhammad Aya ya 34..kwamba....wale ambayo wamekufuru na kuzuia watu kuelekea njia ya Allah Kisha akafa na ukafiri wake basi hatasamehewa na Allah ....Sasa Nyerere alikufa na ukafiri wake vp wewe unamuombea kwa Allah kuwa amsame na mtie peponi wakati pepo umewekwa ajili ya wachamungu sio makafiri ...
@@OmarJuma-og4kd Acha mtu aombe dua anavyojisikia Mungu mwenyewe ataamua hata Mtume wetu Muhammad alimuombea ami yake kwa sababu Dini ni kati ya mtu mwenyewe na Mungu, utajuwaje kafa na Dini gani.
Napenda Sana kusikiliza hotuba za baba yetu wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Japo sikuwahi mwona maana nilikuwa sijazaliwa au nilikuwa mtoto nanyonya
Nimejaribu kufuatilia hotuba zake ni nzuri San ❤❤❤❤❤
Hotuba za baba wa Taifa Mwalimu Julius Nuerere ni uhai wa Taifa letu na kwineko duniani.Zidumishwe Kama urithi wetu.
Mungu wangu nisaidie kumuenzi Baba Wa Taiga Langu LA Tanzania!! Hayati MwL. Julius Kambarage Nyerere.
Mungu ampe makao ya milele baba yetu wa taifa hili la Tanzania wapo wawili 2 wote atukonao
mwenyezi mungu hakufanyie wepesi mwalimu Baba wa taifa letu
ndugu kwa muislam haifai kumuombea dua mtu aliekufa hali ya kua si muislam
@@mrmuba7330ila kukuombea wewe shoga ni sahihi
Heeh! Kumbe uislam ndio uko hivyo. Basi hapo hakuna dini ni ushenzi tu.
@@amazing_life696 Dua umuombe ndugu yako, na hakuna undugu wa Muislam na asiyekuwa Muislam. Ni HARAM kumuombea pepo asiye Muislam.
Hotuba iliyojaa utajiri wa kifikra na uzalendo wa ukweli👏👏 👍
Asante sana kwamuongozo
Tunakukumbukeni watetezi wa nchi yetu bad tunawakumbuka😭😭😭
Mt Nyerere ulikuwa ni baba kweli na Kila aliyepita kwenye nyayo zako alifanikiwa Kwa haraka zaidi, pumzika kwa amani, msalimie JPM
nikweli
Tanzania ya wanasiasa wa leo inakumbuka hayo maneno kweli?
Au ndio yanaigilia sikio
hili yanatokea sikio la pili.
Mungu wetu uko wapi? Usituache wenyewe hatuwezi
Hiindiyo ilikuaga mashine ya Tanzania , Mungu akubaliki akutie wepesi na laha ya milele
Nyerere ulikiona hichi kitu Kuna Nyerere mwingine alitokea ila amekufuata huko mungu awaweke mahara pema!!
Yule msukuma alikuwa mwenda wazimu
Unaweza kufananisha Magufuli mnyonyaji na huyu Mzee magu alikuwa fisad
Huwezi kumlinganisha. Huyu wa pekee zaidi
The real father of Tanzania and Africa by general
umesema kweli baba ni kweli nchi hii haipaswi kuwa ya MATAJIRI. Ni nchi ya watu masikini lakini ni nchi yenye utajiri kuliko nchi nyingi duniani. Wanasema ni nchi ya pili afrika kwa kuwa na utajiri mkubwa wa asili.
na tutakuwa juu kabisa kidunia kwa utajiri. Swali....kiongozi gani anaamini katika hilo na kulitetea bila woga? Uzalendo huo umeenda wapi? Wanasiasa walio wengi wamekuwa wabinafsi sana wanaangalia maslahi yao binafsi wanasahau maslahi ta taifa. wanasahau kuligeuza taifa hili kuwa matajiri kama ambavyo inavyostahili.
Tanzania siyo masikini wa mali asilia bali fikra.
Mungu wetu tusaidie Tanzania yako
Mungu ailaze loho ya baba yetu mahali pema pema peponi na apumzike kwaamani
Mungu akulipe kwa mazur ulio tupigania kwenye nchiyetu heshima nyingi kwako mwalimu daima hatuta kusahau 🙏🙏🙏
Mwaka 2024 speech za mwalimu zinaishi milele ❤
Baba yangu huyo! Nampenda sana baba, na JPM....hawa ndio waasisi wapenzi wa watanzania, walitupenda kwa mioyo yao yote.
Nyerere kama Jpm
mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi amini
Amina mwl na Baba wa taifa letu ulikua na maono mema ya nchi yetu Tanzania Mungu ailaze mahali pema peponi pumzika salama
He inspires me all the time
Mungu awabariki na viongoz wetu
Viongozi gani hawahawa waliopo au waliotangulia mbele ya haki?
Wabarokiwae watendao kwa haki wanaofata msingi wa Baba wa Taifa. Tofsuti na hapo Mungu Baba Aseme nao .
This is how leadership is
Mwl. Akirudi leo atashangaa sanaa
this speech my roll mode
Asante sana baba YETU mpendwa hakika baba wewe mtetezi wa wawanyonge
R.I.P BABA WA TAIFA TUNAKUKUMBUKA SANA ALWAYS WEARE WITH YOU HONGERA TEACHER
Ni kweli , uhalisia rushwa ni adui ya haki.
Asee kweli mwalim mungu akulinde utabaki kuwa baba wa taifa Bado tyupo msalimie mjomba JPM denger ist Africa
Sawa sawa babu. Tukutane november. CCM daima.
Kwa yanayoendelea sasa ? Sidhani kama yanayofanyika sasa yanaendana nsa Baba wa Taifa
Hutuba inayotoka kichwani sio ya kuandikiwa na still hotuba inayoishi hata miaka milioni ijayo
Baba wa taifa uliwambia lkn hawakusikia yote wameyakanyagia chini hwasikii hata kidogo hotuba zitokzo kichwani kweli zitadumu milele acha hz za wapendwa wa sasa hv za kukopi na kupesti Mungu wetu endelea kuhifadhi hki kiumbe ili cku hyo tukutane nae uso kwa uso tumemkosa kwa mda mrefu.
Unakumbukwa Baba wa Taiga, may your soul continue resting in peace
kweli BABA LA TANZANIA alikuwa mbunifu sana
Safi alikua akionambalisana mwalimu
Mungu akusamehe makosa Yako akupokee mbinguni.
Such a brilliant mind that went so soon! Before we harnessed all of it! Tunaomba Rais ambaye atakuja kupindua nchi ya Tanzania kwa falsafa ya Nyerere!
Baba yetu uliwahi kusema
chama kitakachoweza kuitoa CCM madarakani lazima kitoke ndani ya CCM. Tunaamini ukweli huo.
Mungu awape ujasiri watu waadilifu wajitoe ndani ya CCM waanzishe chama kipya kitakacholeta matumaini kwa watanzania. Hicho chama kitachukua nchi kirahisi sana. Watu hao wasafi wapo na wanajulikana kwa wananchi.
Wajipe moyo wa ujasiri wajiongeze wataungwa mkono.
❤😂mungu akurudishe
Mmesikia
Babu baraka za Mungu zilikuwa nawe na
Nilikupenda sana
Mungu amlaze mahali pema peponi wanaharibu nchi yetu washindwe
Kweli
Kweli kabisa mungu atulinde
Mzee......upo.....sahihi.....kbs......lkn......leo.......ndoyanayo.......ishiiii.......hapa......tz.......watu.......Wana......kula......tuuuu......hakuna.......ranqi.......tumeacha.......kuona..........Asante........mwandishi........Mambo.......ya.......msinqi......kwelikweli.....ubrkw.....Sana..."""!
Baba wa TAIFA ALIKUWA anaona mbali Sana. RIP
CCM yake ilikua #1 Bada yake kumekuja
CCM kabambe kuliko yake haijui hata kuendesha Uwanja 😢wake😢Kiya Kilimanjaroo airport 😢😢😢
Masikini baba wetu wataifa .
CCM yako hayo ndio mabadiliko yao yanadhihirisha kwenye Ripoti ya Mkaguzi waserekali...😢😂😂
Hutubahii imetoa machozi uhakika Baba wa Taifa alikuwa chuma
Mzee ana hotuba nzuri sana
Great speak
Rest easy legend of Africa
Tatizo linaonekana hao hao wapiga kura wenyewe wengi wao ndio wala rushwa wakubwa sasa watamchagua vipi mtu atakayeenda kinyume nao?
Hiyo itakuwa ngumu sana baba labda kama angekuwepo mwenyewe
Mwarimu nyerere umojauriotujengea vijana sasahakuna viwandaurivotujengea vijanasasa vimekufa umojawavijana sasa umekuwa umoja wawazetu
Nyerere na Aristotle wanatofautiana kwenye utumwa tu. Lakini, Hatuna wasomi wanaenzi mawazo ya Nyerere sawa na wanavyotunza ya Aristotle. Siku Nyerere akipewa heshima yake kama Mwanafalsafa, Tanzania itaongoza umoja wa afrika mashariki (political federation) na kisha ya afrika nzima.
Eee mungu ibaliki Tanzania ayangu nawatuwake
Vocation et mon aspirations
Ccm waisikilize kwa makini hii hotuba.
Kweli neema hairudii marapili😢😢
Mungu amlinde
Batsman mungu akurudishe
Wanasiasa wa Kenya yetu na wakasie hili ,ukabila kisiasa ndo inatumaliza
Hiyo Ni Tanzania yazamani sio ya sasa ya sasa imejaa ukabila
Namkubal sana baba yetu wa tanzania ,,,,,,nyerere
Nami kazi ulio fanya
awesome
jamani watanzania tujiulize hivi tunasogea mbele au tunarudi nyuma? Hii hotuba ni mwanga na kipimo kizuri sana cha kujipima. RIP mwlimu wa enzi zote.
Tunakukumbuka sana baba wa taifa letu
Thank you for educating African continent. God help us.
wewe ni mtu mwema sana baba.
Uyu nyelele alikua nimutu wapekee sasana
A great leader...
ungekuja ungeona upuuzi wanaofanya na kwa ninavyokujua we we unavyochukia upuuzi apo ungekata ata shingo ya mtu
Tunakukumbuka babawataifa kwakutureavizuri vijana ambao reotumeterekezwa vijana
Mungu akuuepushee namoto wajehanamu
Nimemkubali
his philosophy will exist forever
**Rushwa, Umasikini (hivi kweli viongozi wa sasa wamebeba mioyo ya hawa wazee?, Udini (mawazo ya kipumbavu), na Ukabila**
Tutakukumbuka mwalimu
Viongozi wetu mjifunze kupitia hotuba za baba wa taifa
Huyu jamani alikuwa fundi sana
Nimemkumbuka baba wataifa"
Pumzika kwa aman baba
Nivema kuyakubali maneno ya baba wa taifa ni ya kweli
Mungu ibariki Tanzania
Rip baba wa taifa😢😢
Tumuenzi kwelikweli kwa kututoka rohoni lakini viongozi wa ccm walio we gi hawana hofu ya mungu kwa kuzingatia aliyoyasema Baba wa Taifa.
Baba yetu huyo uliyempigia debe hakiyajai hayo uliyosema alijenga mahotel ughaibuni na hata kusahau kwao Ntwara
Yaani lilikuwa ni bomu… yaani alituuza kabisa
Hakika baba wa Taifa, uliyosema yanatendeka. RIP baba.
Rusha imekuwa ugonjwa ambao ni sawa na ukoma ,Tatizo, tena sasa linaonekana kua kero kwa jamii haki inanunuliwa hasa wakati wa uchaguzi unafanyika sasa wa chama
ALLAH Kareem