Wafahamu Makamanda 20 wa JWTZ Walioongoza Vita ya Kagera | Historia | Siku ya Mashujaa Tanzania

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 126

  • @thechanzo
    @thechanzo  6 หลายเดือนก่อน +11

    Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105

    • @godfreykejo5209
      @godfreykejo5209 6 หลายเดือนก่อน

      Zdzx 14:25 14:25 14:25 14:25 😊 14:25 14:25 14:25 sd 14:25 😊😊s😊z😊

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 6 หลายเดือนก่อน +9

    Asante kwa makala nzuri na umetukumbusha mbali na kujenga uzalendo, ninachoomba wale walioshiriki vita hiyo ya Kagera yaani wapiganaji wenyewe wanawaenzi namna gani, hata kama alifia vitani au alipata ulemavu walienziwa namna gani, hapa umewataja viongozi, ambao baada ya vita walitunukiwa hayo uliyoyataja lakini waliofia vitani waliokatika mikono , miguu, wengine masikio yaliziba walisaidiwaje, maaana kuna mmoja nilimwona kwenye Tv alipata ulemavu vitani ana maisha magumu sana hata nyumba anayolala ni shida na kutokana na huo ulemavu hata alishindwa kutengeneza familiar. Sasa sijui hao wanajeshi wenzie walimwona na inawezekana wapo wengi

    • @saidbakar-qo6ri
      @saidbakar-qo6ri 6 หลายเดือนก่อน

      Vita yoyote duniani hukumbukwa wote kwa ujumla kama mashujaa lakini kwa walioingoza vita hiyo wana kumbukumbu na sifa maalum kwani kama tanzania ingeshindwa vita hiyo wangelaumiwa makamanda wakuu viongozi wa kijeshi na amiri jeshi mkuu wapiganaji hufuata maelekezo ya wakuu wao mfano kamanda mkuu na mkuu wa majeshi ya Rwanda RPF alikuwa kagame waliposhinda vita sifa zote zikaenda kwa kagame japo wapiganaji wengi waliuwawa

    • @stephanSandika
      @stephanSandika 2 หลายเดือนก่อน

      Ndugu hao ndy wapo wengi
      Baba yangu mzazi
      Wajomba wawili
      Mama yangu mzazi

  • @travesseniorchannel
    @travesseniorchannel 6 หลายเดือนก่อน +7

    Kazi nzuri sana hii. Hatuwezi kusherehekea Siku ya Mashujaa bila kuwafahamu mashujaa wenyewe. 😊👏🏾

  • @fadhilkalembo5676
    @fadhilkalembo5676 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hapo wa kumi na tisa s.s kalembo.mungu aendelee kumpa afya njema baba yetu .

    • @Babylon_Must_Fall
      @Babylon_Must_Fall 3 หลายเดือนก่อน +1

      Yupo wapi kwa sasa? Mhoji upate cha kuandika kesho, ikiwemo na picha! Namtakia Kila la kheri!

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka nimekukubar wew ni mchambuz hodar sana Nyie ndio tunao wataka sio wale mbumbumbu wa kuzushia watu vifo wakat wako hai safi kaka♥️💯📌

  • @tatutumbi4640
    @tatutumbi4640 6 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu Amlaze mahali pema poponi. Mume wangu mpiganaji. Na wengine wote waliotangulia mbele ya haki. Kazi mliifanya. Mpewe Maua yenu.🙏🙏

    • @thechanzo
      @thechanzo  4 หลายเดือนก่อน

      Amina na pole sana

    • @thechanzo
      @thechanzo  4 หลายเดือนก่อน

      Habari, kama utapenda tunaomba tupate simulizi kutoka kwako kuhusu vita ya Kagera na hasa kuhusu shujaa mume wako 0753815105 (The Chanzo)

    • @Babylon_Must_Fall
      @Babylon_Must_Fall 3 หลายเดือนก่อน

      Fanya mpango uandike kitaab!

    • @stephanSandika
      @stephanSandika 2 หลายเดือนก่อน

      Pole

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 6 หลายเดือนก่อน +7

    Mungu awalaze mahali pema peponi akiwemo Mume wangu mpigani wa vita hiyo

    • @tuzonyava8306
      @tuzonyava8306 6 หลายเดือนก่อน

      Pole na Mungu awalaze mahala pema pepon

    • @jeremiahmalasusa3997
      @jeremiahmalasusa3997 6 หลายเดือนก่อน

      Mungu amlaze peponi.

    • @magigesabai8674
      @magigesabai8674 6 หลายเดือนก่อน

      wengine bado wapo akiwemo Kikwete

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 5 หลายเดือนก่อน

      @@magigesabai8674 kuna watu wengi hawafahamu kama Kikwete ni mjeda na alipigana hiyo vita💥💥💥💥

    • @thechanzo
      @thechanzo  4 หลายเดือนก่อน

      Pole sana, tungependa kupata simulizi ya vita ya Kagera na shujaa mume wako kama utapenda. Unaweza kuwasiliana nasi kwa 0753815105 (The Chanzo)

  • @jeffmap4038
    @jeffmap4038 5 หลายเดือนก่อน +6

    Brig Gen. M. M Rajabu muhandisi wa Daraja la Kagera mmemsahau.

  • @abdulhajiahmed8735
    @abdulhajiahmed8735 6 หลายเดือนก่อน +9

    Sababu za kumpiga tunayo, uwezo wa kumpiga tunayo, tunataka dunia ituelewe hivyo kazi iliyobaki ni mmoja kumpiga tuu !! Vita si lelemama. Kagera war Mwalimu Nyerere 🇹🇿🇹🇿⚒️🇺🇬🇺🇬

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 6 หลายเดือนก่อน +1

      Matokeo yake uwezo hatukuwa nao tena kila kitu kikawa shida tupu😅😅😅 huyu aliyesema apigwe nduli Amini ningekuwa karibu yake ningemzaba makofi hii vita ilichakaza uchumi wetu 😅😅😅.

    • @abdulhajiahmed8735
      @abdulhajiahmed8735 4 หลายเดือนก่อน

      Kumbuka kuwa hayati mwalimu Nyerere alisema mapema kuwa ni lazima tufunge mkanda na vita si lelemama. Kumbuka hata Marekani ilibidi watoke mbio na kuacha zana zao za vita ikiwemo helicopters na vifaru Afghanistan

  • @Dr_Heart.
    @Dr_Heart. 6 หลายเดือนก่อน

    Mpewe maua yenu, nice story of our own history researched and presented in artistic and fantastic style, Muchas gracias the chanzo

  • @AbinelyBasiri
    @AbinelyBasiri 6 หลายเดือนก่อน +3

    Namkubali sana general mike malwa, aliongoza kikosi nilichopigana Mimi,, aliwai kusema, anaendakumkamata amini Kwa mikono tu , Hana bunduki, we acha tu, huyo . Mwamba,

    • @thechanzo
      @thechanzo  4 หลายเดือนก่อน

      Habari ndugu, tungependa kupata simulizi ya vita ya Kagera kutoka kwako kama utapenda, unaweza kuwasiliana nasi kwa namba 0753815105 (The Chanzo)

  • @isackbilali7927
    @isackbilali7927 6 หลายเดือนก่อน +3

    Rest Easy Uncle Maj Gen. Rowland L. Makunda umewahi kunihadithia mengi sana kuhusu hii vita na leo nimeshuhudia ukitajwa kwny hii simulizi tamu ya The Chanzo

  • @SaidPazi
    @SaidPazi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asanteni viongozi wetu kwa kutupambania wajukuu zenu amiiin

  • @AmaniMfundi
    @AmaniMfundi วันที่ผ่านมา

    Mungu amlaze mahali pema peponi babu yangu canali abedi tumbi

  • @josepharcado
    @josepharcado 5 หลายเดือนก่อน

    Hongereni makamandi wetu tutazidi kukuenzini

  • @benjaminlazaro-o6e
    @benjaminlazaro-o6e 2 หลายเดือนก่อน

    Viva msuguli rest easy dingi

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 6 หลายเดือนก่อน +2

    History to remember.✌️

  • @WariobaMasunga-z9z
    @WariobaMasunga-z9z 24 วันที่ผ่านมา

    waislam huwa hawapendi kuiadisia story hii

  • @IsackIbrahimu-j3k
    @IsackIbrahimu-j3k 5 หลายเดือนก่อน

    Ongera kwa kimbukumbu nzuri

  • @unganivictor817
    @unganivictor817 6 หลายเดือนก่อน +2

    Viva mashujaa wote wa vita vya kagera

  • @lovenessvisent9408
    @lovenessvisent9408 6 หลายเดือนก่อน +5

    Msuguri ni huyu huyu ninaemuita mzee wangu hapa mbezi au ni yupi msaada jamn

    • @petermabada5628
      @petermabada5628 6 หลายเดือนก่อน +1

      Hapo hapo mbezi palikuwa kwake

    • @lovenessvisent9408
      @lovenessvisent9408 4 หลายเดือนก่อน

      @@petermabada5628 alaaaah

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 6 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kwa history

  • @gadielshedaffa3333
    @gadielshedaffa3333 6 หลายเดือนก่อน

    Safi sana

  • @stephanSandika
    @stephanSandika 2 หลายเดือนก่อน

    Namsikia baba mkubwa hapo jems luhanga

  • @Youngchimodzi823
    @Youngchimodzi823 6 หลายเดือนก่อน +1

    That is the time we had had battle hardened, patriotic and highly disciplined soldiers , God bless them for standing against Idd Amin and other foreign infiltrators and Emperialism

  • @msafirially7849
    @msafirially7849 2 หลายเดือนก่อน

    Interested

  • @fahadalismaili6546
    @fahadalismaili6546 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kisha waliporudi wakapewa asante kwa kazi nzuri dadadeki

  • @EdimundKamsonko
    @EdimundKamsonko 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu alinde nchi yet isipate majanga
    Kama haya tena

  • @benjaminlazaro-o6e
    @benjaminlazaro-o6e 2 หลายเดือนก่อน

    Badla waden

  • @AllyMohamed-w5x
    @AllyMohamed-w5x 6 หลายเดือนก่อน

    Viva

  • @VisentJohn-r3r
    @VisentJohn-r3r 3 หลายเดือนก่อน

    Umechapia

  • @georgekimako6840
    @georgekimako6840 6 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥

  • @shadrackmashishangapeter821
    @shadrackmashishangapeter821 6 หลายเดือนก่อน +4

    Tuliopigana vita hiyo hatujawahi kuitwa wala kualikwa na bado tuko hai wanakaribishana wenyewe na kugawana posho

    • @ibrahimomari2458
      @ibrahimomari2458 6 หลายเดือนก่อน

      Iabla vita hivyo havikuwa halal...na vilisababisha leo tuwe hapa kimaendeleo....kwa sababu hizo kwann mkumbukwe...

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 5 หลายเดือนก่อน

      @@ibrahimomari2458 tena walienda kumpiga Idd Amin na kumsingizia vitu vingi vya hovyo

    • @thechanzo
      @thechanzo  4 หลายเดือนก่อน

      Habari ndugu, tungependa kupata simulizi ya vita ya Kagera kutoka kwako kama ukipenda, unaweza kuwasiliana nasi kwa namba 0753815105 (The Chanzo)

  • @lawskuli9876
    @lawskuli9876 6 หลายเดือนก่อน +2

    Natamani ungetuambia kila mmoja kati ya hao makamanda kama yupo hai au ameshafariki.

  • @danstanpanga8490
    @danstanpanga8490 5 หลายเดือนก่อน

    Gen. Silas Mayunga "Jenerali Mti Mkavu".....….Gen Musuguru "Jenerali Mtukula" .... Gen John Walden..."Black Mamba"

  • @momylaviel
    @momylaviel 6 หลายเดือนก่อน

    Viva mashujaaa

  • @DemetriosByabato
    @DemetriosByabato 6 หลายเดือนก่อน +6

    Sijamsikia Meja General Msuya aliyeikamata Kampala.

    • @samsonmwijage1869
      @samsonmwijage1869 6 หลายเดือนก่อน

      Sawa kabisa kipindi cha vita alikuwa na cheo cha Kanali. Huyu Kanali Benjamin Msuya ndiye aliyeongoza kikosi kilichoteka mji mkuu Kampala. Alistaafu akiwa na cheo cha Meja Generali.
      Mwishoni mtangazaji amesema wazi wapo makamanda wengine wa vikosi asingeweza kuwataja wote ameona awataje hao 20 ambao wengi wao waliongoza Brigedi na baadhi yao waliongoza vikosi. Kila brigade ina vikosi 3 au 4 na kila kikosi kina kombania 4 na kila kombania na Platuni 3.
      Kwa hiyo Brigedi ni pana sana na ina askari wengi kama alivyowataja mtangazaji.

    • @Amosmsechu
      @Amosmsechu 6 หลายเดือนก่อน

      Kabisaaa na aliitawala uganda siku 3

    • @saidbakar-qo6ri
      @saidbakar-qo6ri 6 หลายเดือนก่อน

      amekwambia kulikuwa na wapiganaji wengine na makamanda kwenye taasisi za jeshi walioshirikiana na waliotajwa kuna waliorudi na waliotangulia walikuwa wakipishana pia ndio maana hajatajwa mkuu wa kikosi cha anga

    • @thechanzo
      @thechanzo  6 หลายเดือนก่อน +4

      Msuya wakati wa vita alikuwa na cheo cha Luteni Kanali akiongoza moja ya kikosi, japo badae akiwa Uganda alipandishwa cheo na kuwa Kanali. Pamoja na kutambua historia kubwa ya Msuya, hapa kwenye list yetu tumewataja Makamanda wa ngazi ya Brigedi na Divisheni waliiongoza vita na sio makamanda wa vikosi vilivyokuwa chini ya Brigedi.

    • @anthonygikuri
      @anthonygikuri 5 หลายเดือนก่อน

      Kazi nzuri sana. Historia hii inatakiwa kuandikwa vizuri iwe kumbukumbu kwa vizazi vijavyo!!!!

  • @SubiraLuoga-de1id
    @SubiraLuoga-de1id 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri lkn Sayore alistaafu na cheo Cha luteni jenerali km sikosei

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 5 หลายเดือนก่อน

    Hizi kumbukizi zingekuwa zikifanyika rasmi katika eneo la tukio baada ya wiki nzima ya kusafisha makaburi ya wahanga huko Kaboya pia kuwatembelea mashujaa waliopo na hata familia zao majumbani na kuwafariji/kuwapongeza kwa hali na mali. Hii mara inafanyika Dodoma mara Singida wakati wahusika wala hawajawahi kuyashuhudia makaburi ya mashujaa yalivyopangana huko Kaboya wanaazimisha historia tu, hapana. Watembelee pia mpaka wa Uganda na Tanzania na ikibidi waende Chotera, Masaka, Mbarara washuhudie mabaki ya vifaru na mizinga iliyotumika ktk vita hivyo. Ni ushauri

  • @MohamedKidwaka-y4o
    @MohamedKidwaka-y4o 6 หลายเดือนก่อน

    Ulitakiwa kutupa history nzuri ya john burder Walden black mamba

  • @SaimonMisungwi
    @SaimonMisungwi 3 หลายเดือนก่อน

    ❤tanznia

  • @peterdshekiondo9444
    @peterdshekiondo9444 6 หลายเดือนก่อน +2

    where is Tony Alfred's voice?

  • @israelsimba4954
    @israelsimba4954 6 หลายเดือนก่อน

    Hingereni kwa kutimiza mJukumu yenu.

  • @Munyama675
    @Munyama675 3 หลายเดือนก่อน

    Wakati wa Vita Musuguri alikuwa Brigedia na sio Meja Jenerali, sambamba na akina Walden wote walikuwa mabrigedia. Twalipo na Sarakikya walikuwa na cheo cha Meja Jenerali kabla ya baadae kupandishwa vyeo. Tuweke kumbukumbu hizi kwa usahihi kidogo

    • @babengarutta44
      @babengarutta44 2 หลายเดือนก่อน

      Na wewe record zako hazipo sawa

  • @111dudi
    @111dudi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Vita iliirudisha Tanzania nyuma miaka 50. Kulikuwa na haja ya vita?

  • @christiankambuga9338
    @christiankambuga9338 6 หลายเดือนก่อน

    Safii

  • @BakarAliy
    @BakarAliy 6 หลายเดือนก่อน

    Wazanzibari ukitutajia nyerere .tunaumia

    • @LucyNgowi-m5z
      @LucyNgowi-m5z 6 หลายเดือนก่อน

      Kwanini?

    • @bahiyalumelezy3016
      @bahiyalumelezy3016 6 หลายเดือนก่อน

      Meza panadol tu

    • @BataNamichongo
      @BataNamichongo 5 หลายเดือนก่อน

      Wazanzibar ndo akina nani kwenye nchi moja Tanzania

    • @bahiyalumelezy3016
      @bahiyalumelezy3016 5 หลายเดือนก่อน

      @@BataNamichongo hawa wengi wao hawajizambui asil zao kwakweli,kuna wamakonde,wanyamewezi,wamatumbi na wengi kutoka bara,sasa kutokujitambua na kulazimisha uarabu ndy wanajikuta arabuni hawapo Africa wapo lkn wanajizima data,ni wakuwaacha km walivyo maisha yaendelee kwa amani tu,ardhi ipo Africa unforced iwe arabuni?kuwapotezea tu huku watu wanaendelea na kazi zao.muungano daima🇹🇿🇹🇿👍💯

    • @Wachoraji
      @Wachoraji 2 หลายเดือนก่อน

      ​​@BakarAliy😢 TUNAKUSHANGAA UNAETAKA KUTUGAWA, WAZANZIBAR NI WAKINA NANI, SISI TUNAWAONGELEA MASHUJAA WATANZANIA, HAO UNAOWAITA WW WAZANZIBAR SISI TUNAJUA NAO NI WATANZANIA, PLEASE USIIGAWE NCHI YETU UTAISHIA PABAYA NA KAULI ZAKO, TUTAILINDA TANZANIA YETU, KUMBUKA ZANZIBAR NI SEHEM YA TANZANIA, USIRUDIE KUTULETEA UZANZIBAR KWENYE MAMBO YA NCHI, USIJARIBU KULETA KUTUGAWANYA, TYTAKUGAWANYA. KUWA MZAKENDO WA NCHI YETU YA TANZANIA,KAMA HUNA COMMENT NI BORA UTUKIE KIMYA😊

  • @musamwafongo3430
    @musamwafongo3430 5 หลายเดือนก่อน

    Nilifanikiwa kuwa na Silas Mayunga/ na nilirudi SALAMA

    • @thechanzo
      @thechanzo  4 หลายเดือนก่อน

      Habari Musa Mwafongo, tungependa kufanya mahojiano nawe kupata simulizi yako kuhusu vita ya Kagera kama utapenda. Unaweza kuwasiliana nasi kwa namba 0753815105 (The Chanzo).

  • @DeusMbuge
    @DeusMbuge 6 หลายเดือนก่อน

    Sayole Alistaafu Lt General sio Meja General

    • @thechanzo
      @thechanzo  4 หลายเดือนก่อน

      Asante

  • @WallaceMakunda
    @WallaceMakunda 6 หลายเดือนก่อน

    Ooh mbona picha ya brig mnauye sio hiyo , ni picha ya brig makunda

    • @thechanzo
      @thechanzo  6 หลายเดือนก่อน

      Hiyo picha tuliyotumia, ilitumika kwenye tukio la kumbukizi ya kifo chake Nnauye. Sasa labda kama familia ya Nnauye ilichanganya picha. Ila nadhani umemfananisha na Makunda kwa sababu wote walikuwa wanavaa miwani.

  • @HeboniBabu
    @HeboniBabu 3 หลายเดือนก่อน

    Vita ilikuwa aituhusu obote alikuwa lafiki wa nyerere

  • @tulipotokazamani
    @tulipotokazamani 6 หลายเดือนก่อน

    Wapi Brigadier Martin Mwakalindile?

    • @kwelimohamedtrueman1282
      @kwelimohamedtrueman1282 6 หลายเดือนก่อน

      Siotu brigadier ni major general Martin Mwakalindile Mungu amlaze mahali pema, nadhani mwandishi arudie tena kupanga

    • @samsonmwijage1869
      @samsonmwijage1869 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@kwelimohamedtrueman1282:- Sahihi kabisa pamoja na kwamba hawezi kuwataja wote lakini kuna ambao haiwezekani kusaulika katika simulizi hii akiwemo Kanali Benjamin Msuya aliongoza kikosi kilichoteka mji mkuu Kampala.

    • @thechanzo
      @thechanzo  4 หลายเดือนก่อน

      Mwakalindile wakati wa vita kwanza hakuwa Brigedia, alikuwa Kanali, badae ndipo alipandishwa vyeo mpaka kufikia Luteni Jenerali. Kwenye orodha hii hatujamuweka sababu, hakuwa kiongozi wa Brigedi au vikosi vilivyokuwa mstari wa mbele. Mwakalindile alibaki makamu makuu ya Jeshi kufanya kazi za uratibu wa vita.

    • @thechanzo
      @thechanzo  4 หลายเดือนก่อน

      @@kwelimohamedtrueman1282 Tatizo itakuwa hujasikiliza wala kusoma hii orodha imelenga watu gani, hebu tusaidie hapa Luteni Jenerali Mstaafu Mwakalindile aliongoza Brigedi au Vikosi vipi wakati wa vita?

  • @abelmbijima4324
    @abelmbijima4324 5 หลายเดือนก่อน

    Kimario kamanda mbogo

  • @PauloKanoni-nu2bl
    @PauloKanoni-nu2bl 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wherebos Ben Msuya

    • @thechanzo
      @thechanzo  6 หลายเดือนก่อน +2

      Alikuwa Kamanda wa Kikosi, hawa tumewataja ni wale wa kuanzia ngazi ya Brigedi. Historia kubwa ya Msuya ni kwamba Kikosi alichokiongoza ndio kilichoanza kuingia Jijini Kampala na yeye ndio alipewa maagizo ya kusimamia Uapisho wa Rais Mpya wa Uganda baada ya utawala wa Idd Amin kuanguka.

    • @samsonmwijage1869
      @samsonmwijage1869 6 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@thechanzo:- Lakini pia umewataja ma - Kanali ambao waliongoza vikosi na siyo Brigedi na ndiyo sababu ya baadhi ya wafuatiliaji wa makala yako kuuliza Kanali Benjamin Msuya mbona hakutajwa.

    • @thechanzo
      @thechanzo  6 หลายเดือนก่อน +1

      @@samsonmwijage1869 Makamanda wenye vyeo vya Kanali tuliowataja ni wale waliokuwa na madaraka kwenye ngazi ya Brigedi na Divisheni, na sio ngazi ya vikosi. Mfano, tuliowataja walikuwa Watendaji wa Kivita wa Brigedi, Divisheni na Kanali Tumbu alikuwa Mkuu wa Mizinga wa Divisheni.

  • @herilello4
    @herilello4 5 หลายเดือนก่อน

    Msuya alitoka BN 19 alivuka mtoo na Mashua mpaka kuuteka mji wa jinja

  • @mpegesaaswile6581
    @mpegesaaswile6581 6 หลายเดือนก่อน

    Sijamwona PIUS MPEGESA

    • @thechanzo
      @thechanzo  6 หลายเดือนก่อน +1

      Hapa tumeweka orodha ya makamanda wa ngazi za juu za Brigedi na Divideni.

  • @kwelimohamedtrueman1282
    @kwelimohamedtrueman1282 6 หลายเดือนก่อน

    Umetulisha matango pori, embu rudia tena upange list yako upya

  • @andrewdavid9461
    @andrewdavid9461 6 หลายเดือนก่อน

    Acha uwongo

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 6 หลายเดือนก่อน

    Mejor Gen Msuya YUPO wapi KTK Idadi YAKO?

    • @thechanzo
      @thechanzo  6 หลายเดือนก่อน

      Msuya wakati wa vita alikuwa na cheo cha Luteni Kanali akiongoza moja ya kikosi, japo badae akiwa Uganda alipandishwa cheo na kuwa Kanali. Pamoja na kutambua historia kubwa ya Msuya, hapa kwenye list yetu tumewataja Makamanda wa ngazi ya Brigedi na Divisheni waliiongoza vita na sio makamanda wa vikosi vilivyokuwa chini ya Brigedi.

  • @khalilyjuma813
    @khalilyjuma813 6 หลายเดือนก่อน +1

    Benjamin Msuya alikuwa nani?

    • @thechanzo
      @thechanzo  6 หลายเดือนก่อน

      Alikuwa Kamanda wa Kikosi, hawa tumewataja ni wale wa kuanzia ngazi ya Brigedi. Historia kubwa ya Msuya ni kwamba Kikosi alichokiongoza ndio kilichoanza kuingia Jijini Kampala na yeye ndio alipewa maagizo ya kusimamia Uapisho wa Rais Mpya wa Uganda baada ya utawala wa Idd Amin kuanguka.

    • @tulipotokazamani
      @tulipotokazamani 6 หลายเดือนก่อน

      @@thechanzo Umemuacha mtu muhimu sana sana. Kanali Ambrose Bayeke, yeye ndio alikuwa Mkuu wa mbinu za vita kwenye Vita hiyo ya Kagera. Baadaye wakati vita ikiendelea alipanda na kuwa Brigadia. Kwenye moja picha za video hapo anaonekana Bayeke akitembea na Mwalimu Nyerere huku akimpa maelezo fulani. Luteni Kanali Benjamin Msuya aliongoza Battalion namba 21 iliyouteka mji wa Kampala. Baadaye wakati vita ikiendelea alipandishwa na kuwa Kanali. Kwanini Maafisa walipandishwa vyeo wakati vita ikiendelea? Ni kuwa Brigedi kadhaa ziliunganishwa na kuwa Divisheni kwahiyo Brigadia Mwita Marwa alipandishwa na kuwa Meja Jenerali akaongoza Divisheni mojawapo, pia Brigadia Silas Mayunga nae akapandishwa na kuwa Meja Jenerali akapewa Divisheni nyingine. Ikabidi pia Makanali kadhaa wapandishwe kuwa Mabrigadia wakiwemo Kanali Takadir Kitete na Kanali Ambrose Bayeke. Pia Maluteni Kanali kadhaa wakapandishwa na kuwa Makanali akiwemo Benjamin Msuya.

  • @hamisikitwana7957
    @hamisikitwana7957 6 หลายเดือนก่อน

    Umekosea kuhusu Mayunga akuwakuwa barozi Kongo bali Ethiopia

    • @thechanzo
      @thechanzo  4 หลายเดือนก่อน

      Ingia kwenye website ya Wizara ya Mambo ya Nje utaona orodha ya vituo vya kazi alivyofanya. Tumetumia taarifa ya Wizara.

    • @MorganMwaipyana-tz9vc
      @MorganMwaipyana-tz9vc 3 หลายเดือนก่อน

      Nigeria

  • @tosh7671
    @tosh7671 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kati ya vita ambavyo havikuwa na sababu yoyote ya maana. Mpaka leo miezi 18 ya kufunga Mikanda na umaskini inaendelea

  • @petermogha7025
    @petermogha7025 6 หลายเดือนก่อน

    Kwa msuguri umekosea kusitafukwake

    • @thechanzo
      @thechanzo  6 หลายเดือนก่อน

      Ingia kwenye website ya JWTZ uone wameandika alistaafu lini kisha urudi tena tujadili.

  • @abdallahiddy6333
    @abdallahiddy6333 5 หลายเดือนก่อน

    ndio maana nape amelithi propaganda za baba ake

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 6 หลายเดือนก่อน +3

    Lakini IDI AMIN alikimbilia SAUDI ARABIA na akfarik huko na akazikwa uko, sasa kama ww muislam jiulze kulikoni!! Wakat nyerere tunajua alikua kafiri.

    • @edsonnelson4464
      @edsonnelson4464 6 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe nae unaleta mambo gani! Dah!

    • @irineemanuel9749
      @irineemanuel9749 6 หลายเดือนก่อน

      Pole sana kwa kudumisha udini.ila uko nchi ambayo aliipigania ambaye una muita kafiri.katafute nchi ya watakatifu ukaishi huko

    • @samsonmwijage1869
      @samsonmwijage1869 6 หลายเดือนก่อน

      Wewe ni mpumbavu mkubwa na ni kafiri sawa na kafiri mwenzio dikteta muuaji Id Amin ambaye hata hakupewa heshima kwenye KIFO chake hata nchi yake Uganda walishangilia KIFO chake.
      Lakini Mwl Nyerere alizikwa kwa heshima zote za KITAIFA na DOLA na dunia ilisimama. Anaheshimika Africa nzima muasisi wa Taifa letu.
      Miji mikuu yote Afrika utakuta barabara au mtaa unaitwa Nyerere huyo Amin hata Uganda kwao hatambuliki.
      Usituletee udini hapa. Mtoa makala anazumgumzia mambo ya msingi kuhusu mashujaa ambayo huadhimishwa kila Julai 25 halafu wewe unatuchanganyia habari za dini. Mbona waislamu wengi Wana akili timamu na busara ila mpuuzi kama wewe unawatia doa kama ni kafiri ni wewe. Idiot.

    • @samsonmwijage1869
      @samsonmwijage1869 6 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@irineemanuel9749:- msamehe Bure huyo ni mwehu na kafiri mwenyewe. Alivyo mjinga anadhani dini yoyote ile ni kigezo cha kwenda mbinguni !!!!

    • @samsonmwijage1869
      @samsonmwijage1869 6 หลายเดือนก่อน

      Wewe mwenyewe kama mwenzio muuaji dikteta Id Amin ni kafiri na mpumbavu mkubwa.
      Mtangazaji katoa makala ya mashujaa ambayo huadhimishwa kila Julai 25 halafu wewe unatuchanganyia habari ya udini. Mbona waislamu wengi wana akili timamu na busara wewe mpuuzi unawatia doa.
      Baba wa Taifa Mwl Nyerere anaheshimika barani Afrika miji mikuu ya nchi karibu zote Afrika utakuta barabara au mtaa unaitwa Nyerere huyo Amin hata Uganda kwao hatambuliki hata hakumbukwi kwa unyama aliowafanyia raia wake.
      Mwl Nyerere alizikwa kwa heshima zote za KITAIFA na DOLA na dunia ilisimama na kila mwaka kuna kumbukizi yake.
      Huyo Id Amin hata kwao Uganda watu waliingia barabarani kushangilia kifo chake 2003. Amin baada ya kushindwa vita 1979 alikimbilia Libya kwa rafiki yake Gadafi lakini baada ya mwaka na kidogo Gadafi akagundua huyu mtu SIYO AKAMFUKUZA. Amin akakimbilia Saud Arabia alikofia.
      Changia hoja za msingi usijivunie dini. Matendo ya kumpendeza Mungu na kumcha MUNGU ndiyo kigezo cha kuona ufalme wa Mungu. Dini pekee haimpeleki mtu Mbinguni.

  • @AbirahIssa
    @AbirahIssa 4 หลายเดือนก่อน

    Mwongo wewe

  • @AllyMohamed-w5x
    @AllyMohamed-w5x 6 หลายเดือนก่อน

    Viva