NYUKI - ZANZIBAR TAARAB

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ม.ค. 2011
  • เพลง

ความคิดเห็น • 122

  • @alyaziyaalabri8
    @alyaziyaalabri8 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah nikiwa Dubai pale na pata song la twaarab Mzee wetu marehem ISSA hatuisahau hii nyimb hapa December 2021naisikiliza

  • @fauzirai6638
    @fauzirai6638 5 ปีที่แล้ว +10

    taarab asili, duumisheni hizi taarab, sio kupoteza asili ya taarab kwa kuleta Morden taarab

  • @SaidKawela-qy5wv
    @SaidKawela-qy5wv ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah noma zaidi ya noma huu mziki ni hatari vijana wa Karne ya 20 tupisheni hatotokea mwenye tungo hizi

  • @sambacisse528
    @sambacisse528 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hii inafungua 2024 kwa mitundo na miondoko take ya kufurahisha sana.

  • @AbraJuma-ck4bs
    @AbraJuma-ck4bs 6 หลายเดือนก่อน +1

    Dah!! Zanzibar ❤❤❤❤

  • @monday1278
    @monday1278 7 ปีที่แล้ว +9

    Mungu mrehemu mja wako katuachia hazina nzuri ya kuenzi uttamaduni wa fasihi itakayorithiwa kutoka kizazi hd vizazi

  • @josephmwangi3198
    @josephmwangi3198 2 ปีที่แล้ว +5

    Mzee mhenga huyu, tungo za kusikitisha na kutisha. Buriani Mzee Issa Matona.

  • @mariammsami424
    @mariammsami424 10 หลายเดือนก่อน +7

    Mm hadi elfu 2023 naisikiliza like zenu

  • @salimalmaadi1089
    @salimalmaadi1089 8 ปีที่แล้ว +5

    hongera sana mtumzi wa nyimbo hii maneno matamu kama hiyo asali yanikosha moyo wangu niisikilizapo na hainitoshi kusikiliza

  • @billbuchanan7794
    @billbuchanan7794 6 หลายเดือนก่อน +1

    The best of the best love from Comoros🇰🇲

  • @salimalliy8478
    @salimalliy8478 4 ปีที่แล้ว +10

    Dah nakumbuka kwetu zanzibar 😢

  • @omarysonky
    @omarysonky 7 ปีที่แล้ว +2

    bin seif asante kwa kunipunguzia msongo wa mawazo. ubarikiwe. Nkuomba uweke nyimbo hizi,1 KINYANG,ANYIRO KITAM LAKINI KINAMCHANGA. NA MWENYE KUKICHUKUA HUKITWAA MCHANGANI. 2 WENZIE WANAKUCHEKA AKILI ZAKO NI CHANGA REJEA TENA CHUONI KAANZE TENA ALIFU KWA KIJITI UBAONI. ASANTE BIN SEIF

  • @profharuni217
    @profharuni217 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah huyu mtu alikuwa fundi tena sanaaa

  • @husnaali1610
    @husnaali1610 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mkwewangu alláh akulaze mahala pema amin

  • @banyaihassan6026
    @banyaihassan6026 8 ปีที่แล้ว +6

    Ni kweli ukifikiri sana ASALI NAYO habari nyingine!!!!!

  • @dizoflex
    @dizoflex 11 ปีที่แล้ว +12

    There is brain behind these songs, unlike the modern "shit" Taarab.

  • @raiali5131
    @raiali5131 หลายเดือนก่อน

    Maneno ya staarabu kweli...kabarikiwa babu

  • @rasheedkansimba5839
    @rasheedkansimba5839 5 หลายเดือนก่อน +3

    2024 like zenu

  • @mausseinsheith2235
    @mausseinsheith2235 6 ปีที่แล้ว +8

    Hakika ni vigumu kwa vijana wa sasa na wajao kukufikia kwa Tunzi zenye Ukweli,lugha sanifu ya Kiswahili na ujumbe wenye maana na halisia!”
    Ulale mahali pema peponi

    • @ilhammshana234
      @ilhammshana234 5 ปีที่แล้ว +1

      Maussein kijana wa sasa hawana la kutuambia lugha hawana tunzi hawana yamebaki mazogo

  • @beastmasteraloha7214
    @beastmasteraloha7214 8 ปีที่แล้ว +7

    Masha Allah
    Thanks Bro Bin Seif
    One Love all the way from Trinidad & Tobago

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 7 ปีที่แล้ว +12

    Maneno Sauti Lugha yako fasaha na muizik waaw""Ukalale peponi

    • @katalayshemndolwa3146
      @katalayshemndolwa3146 4 หลายเดือนก่อน

      Hakuna pepo ya waimba mziki tena kafa akiwa amelewa huku akiwa ana kwenda kuimba pia

  • @asyaomar9673
    @asyaomar9673 11 ปีที่แล้ว +5

    jaman hizi ndio nyimbo sio bata

  • @jumasukari8257
    @jumasukari8257 8 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah Almarhum Issa Matona!

  • @YassirmohdAli
    @YassirmohdAli 2 หลายเดือนก่อน +1

    Leo 2024 nasubr like zenu❤

  • @issaniyongere8792
    @issaniyongere8792 3 ปีที่แล้ว +1

    🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 raha jameniii👌👌👌👌

  • @khamsoeffects4516
    @khamsoeffects4516 ปีที่แล้ว

    PROUDLY ZANZIBARIAN, KISWAHILI ASILI YAKE

  • @mwajabuhamza6942
    @mwajabuhamza6942 ปีที่แล้ว

    Jaman hakika nazipenda hiz nyimbo hasa nikiwa nimetuli napenda kusikilZa

  • @marijanimurshid8039
    @marijanimurshid8039 5 ปีที่แล้ว +3

    True taarab watching this in 2019

  • @amirduale1010
    @amirduale1010 ปีที่แล้ว

    Ya salaam love kutoka Kenya

  • @taoufiksarhiri4117
    @taoufiksarhiri4117 ปีที่แล้ว +1

    تحية من المغرب .
    ما شاء الله

  • @kamgishaally8933
    @kamgishaally8933 5 ปีที่แล้ว +5

    Taarabu ilikuwa zamani sio asahivi ovyo

  • @hamzalema1051
    @hamzalema1051 4 ปีที่แล้ว +1

    Good melody, Inanikumbusha mbali

  • @afrikaminapazi_kifukwe8042
    @afrikaminapazi_kifukwe8042 4 ปีที่แล้ว

    Kiwengwa mpaka unguja ukuu🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦yeleleeeeee mtainyuki🛶🛶🛶🛶🛶🛶🛶🛶🛶🛶🛶🛶🛶

  • @ARFIddy
    @ARFIddy 7 ปีที่แล้ว +7

    mashaallah

  • @dodosan7262
    @dodosan7262 2 ปีที่แล้ว +1

    Love from Egypt

  • @rehemaali8187
    @rehemaali8187 3 ปีที่แล้ว +2

    Wewezz i love the song 😍😍😘😘

  • @abdallaali5467
    @abdallaali5467 2 ปีที่แล้ว +1

    💚💚💚Zanzibar

    • @abdallaali5467
      @abdallaali5467 2 ปีที่แล้ว

      Zanzibar is a specific in Africa, I am now in Rwanda but when I tell people I come from Zanzibar they always give me specific status...love Zanzibar

  • @kennedyodera5018
    @kennedyodera5018 4 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo nzuri jameni

  • @saidsaid9463
    @saidsaid9463 6 ปีที่แล้ว +2

    Asali tamu kuliko maelezo lakini habari zake ndefu nice

    • @alialimohamed1243
      @alialimohamed1243 2 หลายเดือนก่อน

      Asali khabar zake nzito kaka. Na ukitaka kuila sharti ujiandae na uwe msafi 😜

  • @1971march
    @1971march 6 ปีที่แล้ว

    Asali halali yake naomba nijulisheni wooooow

  • @adamboy3865
    @adamboy3865 7 ปีที่แล้ว

    Nijulisheni Nisije ipiga teke, kila leo hujiongoa na mistari ya wimbo huu

  • @hemedibrahim2162
    @hemedibrahim2162 3 ปีที่แล้ว

    Mimi Hadi 2021 namsikiliza nyuki like zenu

  • @abdallahmchomvu8331
    @abdallahmchomvu8331 ปีที่แล้ว

    Hongera sana taarabu haswa

  • @adamboy3795
    @adamboy3795 8 ปีที่แล้ว

    Nikiwa Riyadh hujiskia kama niko nyumbani kwa kujiongoa na na nyuki kila siku,usiipige teke

  • @khakeemafro6274
    @khakeemafro6274 8 ปีที่แล้ว

    dahhhh kwa kweli Ni suala gumu

  • @assaasharif963
    @assaasharif963 ปีที่แล้ว

    Anatukumbusha mbali Sana wakati huo Mambo hayakua na pupa

  • @mohammedomar2865
    @mohammedomar2865 2 ปีที่แล้ว

    Wimbo mzuri sana naupenda,lakini haiendani na video yake.

  • @lucysteven715
    @lucysteven715 5 ปีที่แล้ว

    love

  • @salimallnighthussein8159
    @salimallnighthussein8159 8 ปีที่แล้ว

    Taarab naipenda sana

  • @saidmohd8772
    @saidmohd8772 2 ปีที่แล้ว

    Jina la wimbo nyuki

  • @mrspetty4345
    @mrspetty4345 7 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @shamsamohammed6386
    @shamsamohammed6386 11 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @fatinamtenukila5005
    @fatinamtenukila5005 8 ปีที่แล้ว +3

    mashallah

  • @saidmzezele4702
    @saidmzezele4702 ปีที่แล้ว

    sio asari muijuayo nyinyi

  • @apocalypsething8088
    @apocalypsething8088 5 ปีที่แล้ว +5

    nice song wish to visit your Zanzibar
    can anyone help me with his or her contacts for tour packages

  • @mamujally3814
    @mamujally3814 7 ปีที่แล้ว

    akhery Zzamaan.💜Ukiila kwa kikiri waeza ukasinzia duh! asali

    • @abdallahmuhammad4729
      @abdallahmuhammad4729 6 ปีที่แล้ว

      wako wapi Leo hii waimbaji km hawaa??nnachokiomba kwa waimbaji wakileo plzz tupumbazeni kwa wimbo km hizi c zamatusi mupooo

    • @alialimohamed1243
      @alialimohamed1243 2 หลายเดือนก่อน

      Hatari 😅😂

  • @kidaumtumbwi1128
    @kidaumtumbwi1128 8 หลายเดือนก่อน

    Wa alopita chuoni haina haja ya kuuliza kwa sababu quran ishaeleza faida ya asali surat Nahl 68 mpaka 69.
    Tena ni dawa kwa mwanadamu.

    • @alialimohamed1243
      @alialimohamed1243 2 หลายเดือนก่อน

      Kaka Asali hilo ni Fumbo😜

  • @nyaamajengo5861
    @nyaamajengo5861 5 ปีที่แล้ว

    Ungelinifahamisha kuila nisingeweza rip isa matonya

  • @ahmedronga7583
    @ahmedronga7583 4 ปีที่แล้ว

    Jina la wimbo

  • @makamemakame2032
    @makamemakame2032 2 ปีที่แล้ว

    Mzuri sana

  • @zizuboy233
    @zizuboy233 2 ปีที่แล้ว

    Marridad

  • @mwanamvuamshiriri4726
    @mwanamvuamshiriri4726 2 ปีที่แล้ว

    taarabu zaman bwana

  • @waheedoman4560
    @waheedoman4560 3 ปีที่แล้ว

    💗💗

  • @SaidKawela-qy5wv
    @SaidKawela-qy5wv ปีที่แล้ว

    Hatari

  • @khakeemafro6274
    @khakeemafro6274 8 ปีที่แล้ว +1

    Sijui Kama utamaduni wa kutunga mashairi bado upo znz

    • @al-bsaidykhalef6897
      @al-bsaidykhalef6897 4 ปีที่แล้ว +3

      Utamaduni uliobakia ni ccm kupiga wenziwe tu uchaguzi ukifika.

    • @bikomboali7342
      @bikomboali7342 4 ปีที่แล้ว

      @@al-bsaidykhalef6897 umenifurahisha ndugu yangu wapiga weziwao tu CCM.hawana imani

    • @aishwaryaaishu5522
      @aishwaryaaishu5522 4 ปีที่แล้ว +1

      khakeem afro
      Kidogo tu

    • @mushken65
      @mushken65 3 ปีที่แล้ว

      @@al-bsaidykhalef6897 hapo kasema ukweli mtupu

    • @allymusira2153
      @allymusira2153 3 ปีที่แล้ว

      Kina mzee Yusuf wameharibu

  • @abdulazizkhamis367
    @abdulazizkhamis367 3 ปีที่แล้ว

    Good

  • @mwnaharustwaha2631
    @mwnaharustwaha2631 6 ปีที่แล้ว

    hakuna tena

  • @ramakipepe8673
    @ramakipepe8673 8 ปีที่แล้ว +1

    asali siyo asali tena

    • @mushken65
      @mushken65 3 ปีที่แล้ว

      Kwanini? Kwani hapa kuna fumbo siielewi?

  • @fridajoshua9274
    @fridajoshua9274 7 ปีที่แล้ว +1

    Woow music wa kweli

  • @aseliboaz
    @aseliboaz 2 ปีที่แล้ว

    nzuri sana

  • @anthonymasule4899
    @anthonymasule4899 7 ปีที่แล้ว +1

    Enzi hizo

  • @m.rashidally6056
    @m.rashidally6056 7 ปีที่แล้ว

    nice

    • @mohamedmgwami5987
      @mohamedmgwami5987 4 ปีที่แล้ว

      lugha ya ndani sana aliyoitumia neno kikiri hadi leo baadhi ya watu hawalifahamu hakika tumepoteza hazina kubwa sana leo wapo wapi watunzi?

  • @cissejr7840
    @cissejr7840 8 ปีที่แล้ว +8

    love it till now

  • @wahabysharif5223
    @wahabysharif5223 4 ปีที่แล้ว +1

    2021 like

  • @pokeildmvelo580
    @pokeildmvelo580 4 ปีที่แล้ว

    Bees.

  • @yohanamasibayikija397
    @yohanamasibayikija397 8 ปีที่แล้ว

    nyimbo naisikiliza kwa hisia had nataka kuzimia

  • @kaspsanduiabdulkarim6669
    @kaspsanduiabdulkarim6669 4 ปีที่แล้ว

    2020?

  • @chididayo8976
    @chididayo8976 4 ปีที่แล้ว

    Wallah rahaa maneno kuntuu

  • @SaidKawela-qy5wv
    @SaidKawela-qy5wv ปีที่แล้ว

    Duu

  • @salumnassor9181
    @salumnassor9181 9 ปีที่แล้ว +1

    Si mchezo

  • @hamidamohammed6293
    @hamidamohammed6293 2 หลายเดือนก่อน +1

    🇲🇬🇲🇬🇲🇬🫶🏻👌

  • @amirudeenhalidi9168
    @amirudeenhalidi9168 2 ปีที่แล้ว

    888

  • @saidmohd8772
    @saidmohd8772 2 ปีที่แล้ว

    Hapo umekusudiwa uke wa mwa namke solio asali habari ndio hio

  • @mushken65
    @mushken65 3 ปีที่แล้ว

    Asingeipiga teke akaitoa thamani maana yake nini?

    • @zombiebalal842
      @zombiebalal842 ปีที่แล้ว +1

      Usimvamie mwanamke unatakiwa ufanye taratibu wewe

    • @leeban
      @leeban ปีที่แล้ว

      @@zombiebalal842😂 you don’t mean THAT?

  • @muhammadmangury4956
    @muhammadmangury4956 7 ปีที่แล้ว +2

    mashaallah

  • @abdulazizkhamis367
    @abdulazizkhamis367 3 ปีที่แล้ว

    Good