Uungwana sina Shaka nimesafi yangu nia yangu yote yamenyoka wewe watanga n'a njia, wala sitoadhirika kama ulofikiria nazidi babul'baraka . Mungu kanijaaliya
Yangu yote yamenyoka wala sitoadhirika kama ulofikiria sasa kazi wajinata majuto yanakujia nyumba unaitafuta, njia imekupotea , nimeshajenga ukuta vigumu kubomowa whaooouuu♥️
Usijipe uungwana hunazo hizo tabia ukweli hujaunena watu wakausikia vipembeni wanong'ona maovu kunizulia kwa mimi khabari sina bukheri nimetulia saddaqta uncle maneno mabrouk love home zanzibar💕❤️
Yangu yote yamenyoka wewe watanga n'a njia wala sitoadhirika kama mulo fikiria heko maneno kibao sasa kazi wajinata majuto yanakujia nyumba unaitafuta njia yimekupotea weéeee jamani kiswahili hicho
Bin seif naomba wimbo wa sef Salim akiwa nad ikhwan safaa jina nimeusahu ila unasema hivi nakuasa macho yangu ufanyavo ni vibaya waponda Maisha yangu mwenzio naona haya
Uungwana sina Shaka nimesafi yangu nia yangu yote yamenyoka wewe watanga n'a njia, wala sitoadhirika kama ulofikiria nazidi babul'baraka . Mungu kanijaaliya
Yangu yote yamenyoka wala sitoadhirika kama ulofikiria sasa kazi wajinata majuto yanakujia nyumba unaitafuta, njia imekupotea , nimeshajenga ukuta vigumu kubomowa whaooouuu♥️
Nakumbuka mbali sana Mimi
Wasiojua kuogelea ,wanazama uncle whaouuu nyimbo zako mubara'k👏👏👏
Mimi ndie muungwana kwa sifa nimetimia heko💕
Mashaallah napenda sana hii nyimboo😍😍😍
Usijipe uungwana hunazo hizo tabia ukweli hujaunena watu wakausikia vipembeni wanong'ona maovu kunizulia kwa mimi khabari sina bukheri nimetulia saddaqta uncle maneno mabrouk love home zanzibar💕❤️
Sauti Yako uncle inatosha tuù♥️👏👏may Allah bless you
Wallah uncle sichoki kusikiliza nyimbo zako♥️
Ahsante uncle hizo ndizo nyimbo tamu za ki asili❤
Napenda nyimbo za zamani sana zaid ya sana
Muungwana sina shaka nimesafi yangu nia yazidi baraka mola ameniongezea 🙏🏻
Maashallah Maashallah Maashallah nimeshakutoa maanani wala sitokurejea 👌👌👌mimi ndiye muungwana kwa sifa nimetimia👌👌👌💃
L
nyimbo zake Mohd Iliyas zinatukumbusha mbali sana.kwa kweli tunaomba tuburudike nyoyo zetu.Inshaallah.
Saa 8 mchana STZ :D
Muungwana sins shaka nimesafi yangu nia yazidi yangu baraka mola aniongezea
sauti tamutamu!!! its a rare one to find!!!! Big up Ben Seif!!!
😢hiz ndo nyimbo kwel jaman
Mimi ndiye muungwanaa kwa sifa nimetimiya
Ilike this song iam from Somalia kismayo calinley and marexan
Waaawwww maneno mazuri
Professor Mohd Ilyas huyu ndo Znz one
maashallah sauti kama ya father Christmas yule Jim reeves sauti ya kimataifa hii
😂😂😂
Mm huwaga sichoki kusikiliza hizi nyimbo maana nazipenda sana na zimetulia hazina tafran
Qa
Qa
mungu amekujalia sauti ya ajabu. mashalah mohd ilyas
Mimi baada ya kuckia nyimbo tiktok nimekuja kuangalia wimbo
Mungu akuweke Mohd Ilyaaas.Zanzibar yetu iwaaaaaaaapi leo.
Mm nahitaji link zako mzee
@@saheelameir4313 Abu Layth Oman Muscat kitovu changu zenji asli..Hamdulilah. Vipi upo au? Bro vingapi???😅😅😅😅😆
Kawaida roho safi tupo au umesahau Karibu Muscat utakarimishwa sisters poa roho safii 🥰💯💯💯💢
Amrehemumu
Mashallah maneno makali kwa wale wajuao maana,what a marvellous song❤️
Rahma Salum h
Kitu roho inapenda ❤
Zilipendwa haziozi
Eid 3 nilikuwa Zenji Haile Salase na huyu mwamba aliimba huu wimbo
Kweli?
Usîjipe uungwana hunazo hizo twabia vipembeni mwanong. onna maori kunizulia l'akini habari sina wala sitoathirika kama mulofikiria maneno kibao sana
Nimeshajenga ukuta vigumu kubumoa heko uncle maneno poa
Nimeshajenga ukuta ni vigumu kubumowa nashindwa kufurukuta kwa anri kanipokeya .
MA SHA ALLAH
Merci pour le vrai twarab 👍
mimipia muungwanajamani meja sina baya namtu
raha ilioje mungu mkupe maisha marefu ilyas
Weee hadi raha
Ufasaha wahali ya juu wa kiswahili hiyo ndio zenjbar....wapiiiiii alfola imekufa imebakia nini ?.......
naomba kama mwaeza eka wimbo waitwa Sijitambuinliko
Bien valable pour nous accorde la longévité et beaucoup plus de bonheur 🖒⛺🌒🌓
ook oo
@@jaffaralimakame1533pl0⁰ppp1t
Sauti yako mashaallah
❤
Yangu yote yamenyoka wewe watanga n'a njia wala sitoadhirika kama mulo fikiria heko maneno kibao sasa kazi wajinata majuto yanakujia nyumba unaitafuta njia yimekupotea weéeee jamani kiswahili hicho
Ukweli hajaunena kweli vipembeni ananongona maovu kunizulia
Muhamin mungu allahuma aslatu nafs illaika MPE mungu yako maisha her funding can kulemba more a erthing .try believe tu
Niiiiiiiimeshajenga ukuta viiiiiiigumu kuubomoa nashindwa kufurukuta kwa ari kanipokea
Costume kushukuru mungu bs ZR bays inatosha ndo dunia.naona meng.
Ahsantee Mohd ilyasa
Very good song may Allah bless zanzibar
Very good song, may Allah bless Zanzibar.
Ameen yarrabi ❤
Mashallah
old is gold
tuwekeeni pendo lawasikitisha linawakata maini tunaomba ya Moh'd iliyas tuaiomba sana studio. cc wazee wa zamani huwa tuna penda kukmbuka ya zamani.
Utamu huu watakajuzi
Nimeshajenga ukuta vigumuu kuubomoa
Sohoar to nani samili! Fara tu lile .linajua nn linabuluzwa na abdala shu.akiamua dct mid imbo hr ana voice or asmat na snek loin an sneckng
Bin seif naomba wimbo wa sef Salim akiwa nad ikhwan safaa jina nimeusahu ila unasema hivi nakuasa macho yangu ufanyavo ni vibaya waponda Maisha yangu mwenzio naona haya
macho yang nakuasaa
marshallah mhd ilias
Wala sitoadhirika kama ulofikiria saddaqta uncle
👑
Mombasa Raha.... Zanzibar Starehe.
Bin Seif🤗
Nice song
Mashaallaah
👏
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
👋❤️🌴
👌
Uyo ndio Mohd Ilyasa
bonge la wimbo dah
No darngr out me lisent her cantry evrthing to we kamil gado to subbuhana watahalla
Nimeshakutoa maana wala aitokurejea ni heri kufarakana tafuta mtowezana anomuudu uzia mimi ndie muungwana kwa sifa nimetimia
Nice
Outstanding!
2022🥰
bin seif tuekee pendo lawackitisha linawakata maini
Tuma Omar ok
hivi hawa walio'dislike' tuwaeleweje sasa.
4 real
EBUSSSS
Mjm
mashaallah good songs
Nostalgic. I meant that the fact that this was made with Windows Movie Maker.
Nbona me no sogop wapi Soho. Or Soho nyingi dunian so me tu out wolrkng at world au intanert seen me my simply no anybad.