SICHAGUI SIBAGUI - ZANZIBAR TAARAB

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 331

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 5 ปีที่แล้ว +16

    Zilipendwa hapa kazi kwenda mbele 2019 bado tuna watch tu

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 4 ปีที่แล้ว +2

    2022 tuko wengi

  • @silvestermogaka5126
    @silvestermogaka5126 ปีที่แล้ว +6

    Shairi limetungika mashalla, Nina niasafi sichagui sibagui siku nikafa nitakuepo kweli kujua mwenye alinizika
    Kwangu kutenda mema tu naenda zangu.
    Taaaamu 2023 nipo watu wa mkwiro, wasini Funzi islands kamata ngoma munje pwani subira salamu sikiaza mama

  • @MamytEad
    @MamytEad 4 ปีที่แล้ว +1

    Naamini mola nguzo ya subira Ina malipo

  • @DodoTz-zt5ss
    @DodoTz-zt5ss 9 ปีที่แล้ว +1

    mashaallah enzi hiyo

  • @fatemamudathir6931
    @fatemamudathir6931 8 ปีที่แล้ว +2

    Boya HALIZAMI litabaki kuolea

  • @miss_j224
    @miss_j224 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mjomba kaaga na ametupa uchungu sana nyumbani, baba kaniimbia huu wimbo ndio maana Niko hapa.. Atakaye kuzika humjui.. 🇰🇪🇰🇪...❤️❣️

  • @mwanaherimohamedy6978
    @mwanaherimohamedy6978 6 ปีที่แล้ว +16

    Aiwi baya lifute mema elfu moja aiwi nikipanda mbegu ya wema mnaivunja, wenzangu amshangai nikiwatusi siumii jamani haaa amnisumbui mnayotaka hayawi jamani👌👌👌👌👌👌

  • @nyabisemaro2095
    @nyabisemaro2095 6 ปีที่แล้ว +18

    Viumbe Mnaninieeeee Aaaah nawaasa duniaa niyakupitaa Zuhura Shaaaabani kiukweli ulikuwa unaimba nyimbooo zenyee ujumbee unaoo dumuu Milelee Mfano hiii na ile ya Wema kama wema unaunzwaaa Ubarikiwe sanaaa

  • @ItihamuZaharani
    @ItihamuZaharani 5 หลายเดือนก่อน +4

    Still listening this so 2024 tujuane jmn

  • @rayjay7017
    @rayjay7017 5 ปีที่แล้ว +21

    Jamani wa miaka ya 2000 mpo wapi enzi za abdhallah makame wa sauti ya Zanzibar masaa ya saa nane kwenye mirindimo

    • @RioIpo
      @RioIpo 3 ปีที่แล้ว

      Ilikuwa mida ya chuoni ile dah mida inaenda

  • @carolyneogutu6489
    @carolyneogutu6489 8 หลายเดือนก่อน +4

    2024 🎼📷🎶tamu Sana🥰

  • @yerikazungu1866
    @yerikazungu1866 2 ปีที่แล้ว +11

    Nayabeba yote mabaya na mema,2022 bado zavuma, old is gold 💛👌💛

  • @salumramadhani5566
    @salumramadhani5566 3 ปีที่แล้ว +8

    Ujumbe mzuri, na bado tunaendelea kuburudika mpaka leo hii 2021

  • @ibrahimsuleiman2183
    @ibrahimsuleiman2183 5 ปีที่แล้ว +19

    Laiti nyimbo km hizi zingelitumika kama dua'u mawaidha.
    Basi binaadamu tungelistarehe !
    Ah lkn whapi!

  • @latiphakasimu6481
    @latiphakasimu6481 4 ปีที่แล้ว +23

    Haiwi baya moja lifute mema elfu moja ha hah aaa kaz kwenu sichagui sibagui ataenizika simjui kama bado unasikiliza hili goma kaliii xana 2020 gonga like hapo team sabaha salumu

    • @AmenyeMwampembwa
      @AmenyeMwampembwa 8 หลายเดือนก่อน +3

      Iko poa sana

    • @EmilianaMfinanga
      @EmilianaMfinanga 7 หลายเดือนก่อน

      Namkumbuka sana mama yangu kipenzi marehemu doto rashidi makangamka mpogoro hapo anavua nguo nguo zake❤

  • @leilashaban3519
    @leilashaban3519 5 ปีที่แล้ว +22

    NASTAMILI VISHINDO NA VIHIMILI MIE KIFUA NINACHO CHA MBELE NA NYUMA NAYABEBA YOTE MABAYA NA MEMA

  • @lovelaynajimilove8096
    @lovelaynajimilove8096 4 หลายเดือนก่อน +3

    2024 kama mpya zamani hairudi❤

  • @NeemaKaifa
    @NeemaKaifa 3 หลายเดือนก่อน +3

    2024 haliwi baya moja lifute mema elfu moja

  • @ferouztell5918
    @ferouztell5918 5 ปีที่แล้ว +117

    Jamani zamani raha sana nani anackiliza hii ngoma 2019 😀

    • @amnemkubwa7353
      @amnemkubwa7353 5 ปีที่แล้ว +2

      Mimi apa😂😂🤣🤣😄😃😉🤗😍😍

    • @tumajuma6917
      @tumajuma6917 5 ปีที่แล้ว +1

      🙋

    • @azizaabdi1265
      @azizaabdi1265 5 ปีที่แล้ว +2

      Nipo hapa nasikiliza saa hii tareh 17 /3/2019 🎧🎵🎵🎵

    • @priscalyimo5804
      @priscalyimo5804 5 ปีที่แล้ว

      Ferouz Tell mie kifua nnacho cha mbele na nyuma nyabeba yote na naamini mola yu pamoja nami ninaesubiri hahaaa yenu nayavumilia maneno hayachubui weee maneno kuntuuu apana chezea zamani weee

    • @yusrayusrat6916
      @yusrayusrat6916 5 ปีที่แล้ว

      Ferouz Tell namm npo

  • @sikuzanibusanya6423
    @sikuzanibusanya6423 3 ปีที่แล้ว +3

    Nani Anasikiliza mwaka mpya tena tarehe 2 January 2021🎶🎶🎶🎵🎵🎵📢📢

  • @saidikivugo960
    @saidikivugo960 4 ปีที่แล้ว +16

    2020 mko wapi picha nnayotendewa haaaa

  • @iamlavalava
    @iamlavalava ปีที่แล้ว +3

    Old is gold

  • @awadhmasud3150
    @awadhmasud3150 5 ปีที่แล้ว +10

    Wema hakupata nyuki mwenye asali nitapata mimi dhalili

  • @iddikessi9300
    @iddikessi9300 ปีที่แล้ว +7

    I'm still listening this song in 2023

  • @simsal8628
    @simsal8628 4 ปีที่แล้ว +9

    Kweli mwana dada hii wimbo imenivutia sana. Ni raha sana.

  • @missmuunasharifu2323
    @missmuunasharifu2323 7 ปีที่แล้ว +34

    "EWE MOLA WANGU NIZIDISHIE IMAANII"

  • @jumaforodha2567
    @jumaforodha2567 5 ปีที่แล้ว +16

    Nyimbo za zamani ndio mnzuri sana

  • @suleimanmohamedramadhan3370
    @suleimanmohamedramadhan3370 3 ปีที่แล้ว +16

    Old never get a crack take me back on 2002 on my childhood memories 🤗🤗🤗

  • @tabiaiddy2863
    @tabiaiddy2863 6 ปีที่แล้ว +5

    Picha ninayotendewa maovu yalostawi kisa sikijui

  • @mariampetro2222
    @mariampetro2222 8 หลายเดือนก่อน +3

    Wimbo mzuri sana 2024

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 7 ปีที่แล้ว +14

    Asante Zuhura kitamu hakiishi hamu.

    • @paulmkude7037
      @paulmkude7037 ปีที่แล้ว

      hizi ni nyimbo ambao zilo kuwa na maadili HUWA hazichuji kabisa nzuli kusikiliza watu ni walikuwa naakili ya kutulia nakifikilia.miziki mzuli hawa wasasa kazi yao kufikilia maungoooo ya wanawake tu hakuna mwanamziki wa sasa atawezakutungamziki kama huuu

  • @ummymtema1750
    @ummymtema1750 8 ปีที่แล้ว +17

    kazi kwenu napata miye ckosi...ewe mola wng nizidishie imani

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 7 หลายเดือนก่อน +2

    Asili haipotei nazikumbuka nazipenda nyimbo zote za East African Melody. Pia nawakumbuka Haji Moh’d, Lamania Shaaban, Zuhra Shaaban, Rukia Ramadhani na wengine nyote mlioshiriki kwenye sanaa hii tamu asanteni sana. 2024.

  • @ashurakambangwa2087
    @ashurakambangwa2087 7 ปีที่แล้ว +10

    mkinitusi siumii wenzangu

  • @khadijagunyu1566
    @khadijagunyu1566 5 ปีที่แล้ว +7

    Hapo sasa sibaghui wala sichagui

  • @aisherkhamis8268
    @aisherkhamis8268 3 ปีที่แล้ว +5

    Piga kelele kwa wazee wa sasa wasichana wa zaman...!kifua nnacho cha mbele na nyuma maneno kuntu km 2po pamoja like

  • @tumajuma6917
    @tumajuma6917 5 ปีที่แล้ว +14

    Aahaa kazi kwenu nategemea Karima....old is gold❤💣🎧🔥

  • @fwzehfwfw1520
    @fwzehfwfw1520 9 ปีที่แล้ว +12

    kweli dunia niya kupita kibri siungwana

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 ปีที่แล้ว +4

    Huu Wimbo wankumbusha nkiwa mdogo 😙😙😙😙

  • @faridwawili4922
    @faridwawili4922 6 ปีที่แล้ว +5

    aaaa kazi kwenu punguzeni ubnfsi nastahamili vishindo navihimili''''''''''''''''hahaaaaaàa.
    ... asante sana zuhura shabani nakumbuka mbali sanaaaaaaaaa

  • @coronakundi8650
    @coronakundi8650 6 ปีที่แล้ว +12

    Zuhura baby,uko wapi now days.sauti yako isipotelee huko.

  • @mwanaidiatieno1260
    @mwanaidiatieno1260 2 ปีที่แล้ว +5

    Old is gold taking me back Babu wangu mzee Ali Alma's alipenda sana Allah amlaze Pali pema

  • @lailahasan2200
    @lailahasan2200 4 ปีที่แล้ว +10

    Hakunaga mfano,, old is gold 2019

  • @leilashaban3519
    @leilashaban3519 5 ปีที่แล้ว +6

    NIZUSHIENI UONGO PEMBENI NISENGENYENI MDOMO SIFUNGUI MOYONI SINA KINYONGO ATA HUKUMU MANANI ASIYEZIDI WA LAI NALIJUA LENU LENGO AMTHAMINI ITHANI MWACHEKA NAMI KWA TUMBO BAYA LENU NI LOHONI

    • @mussaliponda9222
      @mussaliponda9222 4 ปีที่แล้ว

      Asiyepigiwa Ramli

    • @hatibuali7673
      @hatibuali7673 4 ปีที่แล้ว

      Zamani kulikuwa kuna taarabu sio has a hizi

    • @SalimM-g8p
      @SalimM-g8p 4 หลายเดือนก่อน

      Sisemi kitu #

  • @bashirmkambala2407
    @bashirmkambala2407 4 ปีที่แล้ว +5

    Yakale ni zahabu, kama unaikubali hii nyimbo na bado unasikiliza 2020 gonga like yako hapa ili tuwe pamoja

  • @aishayusuf4318
    @aishayusuf4318 8 ปีที่แล้ว +16

    wakat Taarab music ilikuwa taarab kweli👌

  • @georgenjuguna4957
    @georgenjuguna4957 8 ปีที่แล้ว +13

    Nikisha kufa,huzuni kwenu mimi nishapumuzika. Hofu kwenu msiponizika mie shughuli sina.

  • @khadijabeib181
    @khadijabeib181 9 ปีที่แล้ว +8

    Wallah hii nyimbo inanikumbusha mbali Sanaaa sichagui sibagui wallah

  • @bebyrux1224
    @bebyrux1224 7 ปีที่แล้ว +10

    Nambari moja .Baraka fm 95:5 with habiba matano kila jumamosi .i miss those days😍

  • @leylasaid355
    @leylasaid355 5 ปีที่แล้ว +6

    Wallah hii nyimbo haishi utamu duuh!!

  • @zuleikhaahmed7220
    @zuleikhaahmed7220 2 ปีที่แล้ว +4

    Sichagui sibagui atakaye ni zika simjui!!! 💖💯💖

  • @khadijanyevu5866
    @khadijanyevu5866 2 ปีที่แล้ว +3

    Nyimbo zilizokua na maadili sio hizi za sasa fujo tu...niliipenda na bado naipenda

  • @latifayash3679
    @latifayash3679 5 ปีที่แล้ว +2

    nia safi siondoi sababu nimekinaiii

  • @stephenchasia45
    @stephenchasia45 2 หลายเดือนก่อน +1

    Haiwi nikipanda mbegu ya wema mna😂😂😂

  • @abdulrashidi9110
    @abdulrashidi9110 5 ปีที่แล้ว +11

    kitu hichooo wacha weee ....always old is gold ....mamy zuhura Shaaban I miss u mom its long time bt still sweet song

  • @sebastiansalamba8236
    @sebastiansalamba8236 6 ปีที่แล้ว +3

    Watoto was Zanzibar bwana si haba

  • @milhatbela7306
    @milhatbela7306 8 ปีที่แล้ว +4

    sichagui cbagui atakae nizika cmjuii ❤naa amini mola yuko pamoja namii

  • @sabuhassabah7636
    @sabuhassabah7636 5 ปีที่แล้ว +1

    Nikweli Cjui Nani atanizikaa mm lazma nikuwe mzuri tabia Roho safi cz nikifaa mm najuwa kila mtuu atanikumbuka mm aunty mzur clean heart 👍😊😂😘

  • @mwanaidymussa8937
    @mwanaidymussa8937 5 ปีที่แล้ว +2

    Good #haijunzwi tazwil lil walmwengu nimefudhu sinun tabia yangu

  • @mariampembe604
    @mariampembe604 3 ปีที่แล้ว +1

    Tunaoskiliza 2021 tujuaneeeee

  • @fwzehfwfw1520
    @fwzehfwfw1520 9 ปีที่แล้ว +6

    kweli dunia niya kupita

  • @issakidundo9454
    @issakidundo9454 9 หลายเดือนก่อน +2

    2024 😊😊

  • @allycantara3873
    @allycantara3873 4 หลายเดือนก่อน +2

    2024🔥

  • @latiphakasimu6481
    @latiphakasimu6481 4 ปีที่แล้ว +1

    Wa pwani wenxangu

  • @Mhg-p5h
    @Mhg-p5h 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nyimbo nzuli sana

  • @konamiboyfool
    @konamiboyfool 2 ปีที่แล้ว +2

    Hiyo instrumental iko sawa sana

  • @nyabisemaro2095
    @nyabisemaro2095 7 ปีที่แล้ว +3

    Jamani kusema kweli Miziki ya Zamani ilikuwa miziki naipenda Sana hiiii Miziki ya Zamani

  • @alizaidi7075
    @alizaidi7075 4 ปีที่แล้ว +2

    Maneno matamu Mashallah baya moja lìsifute mema elfu moja

  • @salmamasoud6055
    @salmamasoud6055 7 ปีที่แล้ว +8

    Asante mamy zuhra shabanii hiyo sauti ya kumtoa nyoka pangonii

    • @fatmamajora7230
      @fatmamajora7230 5 ปีที่แล้ว

      maneno kuntu yanaishi miaka mia aaa kazi nategea karima

    • @hamza89945
      @hamza89945 5 ปีที่แล้ว

      salma masoud whatsapp +447507409996

  • @leilashaban3519
    @leilashaban3519 5 ปีที่แล้ว +2

    Nia safi ziondoei sababu nimekinai

  • @fadhilkibwana4512
    @fadhilkibwana4512 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dah siomchezo iyo

  • @hadijawere2789
    @hadijawere2789 6 ปีที่แล้ว +2

    Cbagui c chagui atakaenizika c mjui ,swafi

  • @fahadabubaker7007
    @fahadabubaker7007 8 ปีที่แล้ว +5

    Haiwi baya moja lifute mema elfu moja

    • @fatumaathumani6676
      @fatumaathumani6676 3 ปีที่แล้ว

      Naamini molanguzo ya subira ina malipo ndy maana ndugu zangu mkitafuta shari kwanguhaipo

  • @لمىالرشيدي-ب4ل
    @لمىالرشيدي-ب4ل 4 ปีที่แล้ว +1

    ,aamnalenu ambalo linawachoma dah kitambo sn lkn aiishi hamu nakupenda sn zuhura shabani

  • @khadijaahmed6420
    @khadijaahmed6420 ปีที่แล้ว +1

    2023
    Naamini Mola yuu pamoja nami ninayesubiri!!!swadakta

  • @mwajumaally2918
    @mwajumaally2918 4 ปีที่แล้ว +2

    Yani hii nyimbo naweza nikailudia atamalakumi kwasiku

  • @saadashaabani2953
    @saadashaabani2953 8 ปีที่แล้ว +24

    mie kifua ninacho cha mbele na nyuma nayabeba yote mabaya na mema

  • @abuudhabi8949
    @abuudhabi8949 7 ปีที่แล้ว +19

    Peace and love usichague ucbague atakae kuzka humjui

  • @silasodongo9334
    @silasodongo9334 7 ปีที่แล้ว +8

    Inanikumbusha mwaka wa 2006 tukiwa na ndugu wangu jamu , na marehemu Omari.

  • @loveleasamson7952
    @loveleasamson7952 3 ปีที่แล้ว +1

    2021 taraabu moja Kali hatari

  • @salmaxalmesaid2251
    @salmaxalmesaid2251 4 ปีที่แล้ว +11

    This song's are sweet than the present songs

    • @mudyboko2567
      @mudyboko2567 4 ปีที่แล้ว

      ppppp0000000p6plp0pp0ppp0ppp0pppppppp000poppppppppppppp0000000p6plp0pp0ppp0ppp0pppppppp000popppppppppppppppppppppp6p5ppppppp5ppppp55pp5popppo7ppppp55opppppppp5p55pp5p555ppp5p5pp5p55p5pp5p5p5pp5pp5556

    • @mudyboko2567
      @mudyboko2567 4 ปีที่แล้ว +1

      5

  • @aishanjama8971
    @aishanjama8971 7 ปีที่แล้ว +3

    Kama ndio nimefika bongo

  • @chenzhen7772
    @chenzhen7772 5 ปีที่แล้ว +9

    Ma best of all time ameen

  • @nellyndowa5642
    @nellyndowa5642 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu niwekee mie hili jimbooo tulicheze tarehe hyooo 👌👌👌

  • @taturamadhani6776
    @taturamadhani6776 3 ปีที่แล้ว +1

    2021 twende sawa kama mnasikiliza

  • @ahmednjemba329
    @ahmednjemba329 9 ปีที่แล้ว +3

    ikifikia hapo sisemi kitu

  • @SamuelTsuma-l1t
    @SamuelTsuma-l1t 2 หลายเดือนก่อน +1

    N mmi samuel

  • @hamidumpiga6283
    @hamidumpiga6283 ปีที่แล้ว +1

    Mungu amlaze shem wangu maali pema pepon amin,mama mosi alipenda sana wimbo huu.

  • @kadirialmas3428
    @kadirialmas3428 4 ปีที่แล้ว +1

    Hizi ndio taarabu sio za siku hizi manyanga matupu

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 4 ปีที่แล้ว +3

    2020 I'm here.

  • @JonhMashin
    @JonhMashin 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @asmaramadhani6107
    @asmaramadhani6107 7 ปีที่แล้ว +3

    nastamili vishindo na vihimili

  • @MuhamedKivindu-xo5gc
    @MuhamedKivindu-xo5gc หลายเดือนก่อน

    iyonikweli,,ukifa uwezijua mwenye kukuzika,,,,,,,,,,,

  • @mwisakihaji3782
    @mwisakihaji3782 3 ปีที่แล้ว +4

    Hizi ndizo nyimbo bora kabisa hazina matuzi hutokwi jasho ukitaka kucheza ni mwendo wa ku enjoy tu hakuna karaha 2021

  • @rizikicharles6113
    @rizikicharles6113 7 ปีที่แล้ว +25

    izi ndizo nyimbo za kusikiliza sasa

  • @dallatode8295
    @dallatode8295 2 ปีที่แล้ว

    Kuna mistari ilikua inasema changanya Ma sabuni uso kupiga deki bado natafta hio taarab sahii mwaka 9 sjapata kama. Kuna anajua ani reply plz

    • @aishaminah1549
      @aishaminah1549 ปีที่แล้ว

      Utaishia kunawa by Khadija kopa

  • @azzaalmaamry76
    @azzaalmaamry76 6 ปีที่แล้ว +2

    Nastahimil vishindo navihimil

  • @martinlutalala4010
    @martinlutalala4010 4 ปีที่แล้ว +4

    Hapo ndio mwazo wapenzi.mtaelewa.

  • @khadijaahmed6420
    @khadijaahmed6420 ปีที่แล้ว

    Nalijua lenu lengo hamthamini khisani