ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Issah wimbo wako ni poa na ni mafundisho kwa asiyejua....pongezi Saaaana naizipenda taarab zote zako
❤❤mzeewetu mungu ailaze lohoyako mahali pema peponi namwanga wamilele akuangazie aamin
Daaaaaahhh, aiseeee nimekumbuka mbali sanaaaa
Kama upo 2021 pitisha Like , twende sawa
O
One of the best song's Issa Matona aliimba
🎉hamna anaye mfikia huyu Mzee Kwa waimba taarab wote
Mzaliwa wa kisiwa hiki cha marashi sauti nzur ktk moja ya nyimbo bora kuwahi kutokea
Pumavu sana aliyetoa wimbo og
Eeeh bhn wameutoa eti nimechukia sana
Nakumbuka siku hii naskiliza nyimbo hii mwkaa1993 kaka zangu wanatiwa jando dah ilikua raha sana
Mmmmmmh Mimi ndo nazaliwa ww
Saa hii umeirudia mwaka gani twambie,
Daaah 😭😭 tunakukumbuka taarabu zako haziishi hamu.
Shamba limekushinda wanalilima wenzio pambeeee hahaha😁😁😁😁
Wenye bado wanaskiza huu wimbo 2020 mko wapi
Nipo kwakweli yani Kuna mcongo hanapenda izo nyimbo hatari mie na kumbuka mama wakambo halikuwa anaskiliza sna
Old is gold im telling you 👍👍
mashalahh Mzee Issa matona ulikua poa
Amazing...2023...
Maashaalhah❤
Shamba limekushinda kulima wanalilima wenzio nomaaa!
Still my favorite song 🤗
Jamaa kaharibu huu Wimbo.umefuta wimbo mzui umeweka upumbavu huu kwenda
Nani yupo hapa 2019???
Limi Cornel I'm here
Ndo nimefika now sbr kwnza nipumue mana natoka mbali jamani .
Ni kweli shamba likikushinda wenzio watalilima😂😂😂😂
Kama Kuna mwenzangu wa 2025 agogeeee like hapa 🙏
Mpunga bila kutwanga hupati mchele wake..........Ahsantum 😎
Mafumboo mashaa Allah
Huu wimbo sio og kabisa
muziki mzuri sana
Kali sana na funzo kwa wengi
2024 here we go ✌️✌️✌️✌️✌️
Nlisikia msomali au toto la kimanga. Sielewi Swahili vizuri. Hepu mtu anisaidie. Huyu Mzee ametutusi ama
Mtt kalembwa mpka kamchnaga issa akazan msomalii au mmanga kumbe nywele kaweka kalii na sura yake inambeba mwalii mzaramo wa msangaa 😂😂😂 daaah
Old is gold, penda sana
Nawezaje kuupata huu wimbo? Sijui namna ya ku download jmn. Nisaidieni!!
Mzee wa kipwani
Very nice
A very nice song ! Mimi nimefurahia wimbo huu kbs! Lakini nimekosa wimbo "Chozi la damu" Nani mtungaji jameni? Anae jua aniarifu pia anitumie link.Asanteni
Nilijua msomal au Toto la kimanga kumbe ameweka Kali mzaramo wa msanga
mungu akurehem
Ameen!!!
umegombea mwanamke ukashinda lakini wenzio wamesha mtia mimba.yani
Hahaaa umeligombea fupa limekung’oa meno….
Huzuni kubwa kushindwa kulilima shamba lako ukalimiwa na wenzio pasipo kujua. Ihali wajifanya mkulima na majembe
Niöimiona kwa mbali nikadhani Msomali ama toto la kimanga.
Shairi hatari. Vinanda vitamu ajabu. Unaweza kukesha kwa nyimbo hii moja. Nani waloipiga hii?
Kwa mara ya kwanza naskiza huu wimbo mtamu ajabu.
Old is god
Hii
2024🔥
Tam sana
So nice
shamba limeshakushinda wanalilima wenzio .
Nakumbuka mwaka 1988 pale chamazi kwa bi K
Uko wapi wimbo wa Zanzibar taarab umebebwa hubebeki?
Ulijidai waweza kimekujalia choyo hizi nyimbo ni raha tupu
Sanaaaaaa yani mm nataman zilud ss hiv ziwe fudisho lakin talabu zasasahiv matusi nafujo kibaoo
"Nilipomuona mbali moyo wanigongagonga nilidhani mspmali au toto la kimanga, kumbe ameweka kali mzaramu wa msanga"
2023 nasoma text yako bro
Hiii kali kajua kutia shairi
Da huu ndio burudani
Niko 2020
Mpunga bila kutwanga hupati mchele wake, tafakari kwa hayo
Hamisi Ramadhan najaribu kuling'amua...
Hamisi Ramadhan.. hahahahaaaaaa
Bila ya kukishuhulikia huwezi kikakuvutia kweli eee nimepatia au kma nimekosea nijbu najrbu tena
Babu jinga werevu wamzungukia mkeo
R I P
Still commenting about the song
Nanipo 2020
nice song
Virgin british sexy
Issa matona nilikushuudia kwa macho yangu dah! Siku zimeenda! Hakika wewe ni mwimbaji mwandamizi watu wanakufa na vipaji vyao!
Zilipendwa ndio nyimbo sio Sasa ivi Mimi kwa upande wangu napenda Sana nyimbo za zamani mngenitafutia nyimbo ya njiwa no 2 ya patricia
Unapota taka kutwanga kinu namchi uweke
Nyimbo ina mafumbo ya kutosha..
watu wa zamani walijuwa kuandika
NA WASEME WASEMAO SITOJALI PINGAMIZI
hahahaaaaaa hadiraha
Naungana hadira nami kombo
so good
2021
Shamba limekushinda wanalilima wenzio safi
Mziki ni asili,walibalikiwa sana enzi hiz
r.i.p
👌👌👌👌
Ohaaa
Za kitambo aina jeje wala iyo...
25/02/2021
2022
slow music
R. I. P
teo Ngonyani nina
R.I.p.
28/3/2022
Rip
dooh
Tarraabb tamu
hatariiiiii 👌👌👌👌
Isa matona
Kila mgombea fupa humng'oa meno
Nmeburudika