Wallahi nimeskitika sana kujua alituwacha, nilkua hata simjui jina lakini nyimbo na mashahiri yake nilizipenda toka udogoni ,😢Inna lillahi wainna ileihi rajiun. Harusi nyingi ningemskia pia nyumbani kulikua na cassettes zake,This man was a National Treasure, his music will forever be classic antiques. We miss you much love frm Kenya 💚💛❤
Mungu akupunguzie adhabu ya kaburi nyimbo zenye mafunzo mpaka Leo bado zinaishi 2023
Amuondoshee sio ampunguzie
Amiin
Wallahi nimeskitika sana kujua alituwacha, nilkua hata simjui jina lakini nyimbo na mashahiri yake nilizipenda toka udogoni ,😢Inna lillahi wainna ileihi rajiun. Harusi nyingi ningemskia pia nyumbani kulikua na cassettes zake,This man was a National Treasure, his music will forever be classic antiques. We miss you much love frm Kenya 💚💛❤
Aitwa Isa
Aitwa ISA MATONA
@Mzee Mzima wakenya ovyo wamekufanyaje hasa
Try again
Allha amueke mahala pema peponi mzee wetu issa matona toka utoto wangu mpka leo mziki wake nimtamu kwangu kwakeli
2021 bdoo ipoo 🔥🔥🔥🔥🔥 si jamviii ni zumbukuku 🤣🤣🤣🤣🤣 kabisaaa hasaa larandishwaa kila panapo shughuliii
2020 tujuane tadhari kwa nyimbo nzuri
Sasa jamvi la wageni mkalien.... I love swahili taarabu😍😍😍
..2021 !!
Ujumbe umenifika kooni !
Hawa wazee walikua mafundi sana
Inna linlah wainna ilahin Raajun issa matonya nakupenda toka utoton na nyimbo zako azichok daima
Utunzi mzuri, lugha sanifuu ujumbe uxio choxhaa R.I.P mzee matona
Jmn huyu mzeee mungu amlaze mahali pema peponi amina
Allahoumma ghfirlahu warahamahu waaqinahu fiy janah Amiiin😢😢😢😢,jamvi la wageni nikama limeibua leo
Old is gold
Si jamvi ni zumbukuku kalio la majahili ......Akhasante Issa Matona mola akulaze pema peponi
S jamvi n zumbukuku kalio la majahir🤣🤣🤣🤣🥂👌
Hakuna Kama yeye Allah akufutie madhambi
Ahhhhh love this song forever ahhhhh
hii tarabu inawahusu wasaliti wa wapenzi
Wallah nyimbo nzuri mno 2021
Maheru kwake tumerithi heshima,busara, na somo kibao kuhusu maisha ya kidunia😢😢😢😢😢
Dawaa moto ni moto 🔥 cyo maji thank you 😂😂👌🎶👍wimbooo mzuri
Kweeli
Mmh jamvi langu lichukueni hata mkililalia msituni
this song is so wonderful. been looking for it for a while now
Ive been looking for it ever since Siku za music fest back in the Shekinah days 😂
Always when I want to hear it.... Every time issa matonna is best
Hizi ndio taarab jmn maneno mazito yamafumbo ya kiistaarab na vinanda vizuri
Tutakukumbuka daima mwenyez mungu akuepushe na adhabu ya kaburi .Amina. pumzika salama
Huyu issa matona hizi nyimbo alikuwa anatunga mwenyewe maana naona maufundi mengi kwel sana
jamvi la wageni sio powa nyie mnao litka lichukuen mkalitandike popote mnapo litaka
2020:I'm listening
Ama upande wangu Ctaki poteza mdaa kwa mtuu alionipija mikuki za moyo💔💔💔😷😢😰
Amazing songs.. no abusive words
2020 naiskiliza hii ngoma
Mimi 2023 August
Repose en paix Maestro
Mmmmh jamani nyimbo yanigusa...
Fuzo safi kabisa wazee wetu walikuwa mahodari xana ❤❤❤❤
Daaah, Tungo Kwa Moyo Zarindima 😅😅
2021❤️.. September
Mungu akuweke malapema
Akusame makosayako ulifanya unaju naye ajuwi akupanuliye kabulilako Amina
2021 nipo hewani
2022💥👊
2019 bado naiona mpya kabisa
Sana
"2021 nasiikiza nyimbo hii mashallah"
JAMAn MUNGU ni mweza huyu jamaa mashair yake ni mazur hayana kifan utadhan ametunga Malaika Viva ISSA Matona umekufa lakn Bado hekima yako inanena
Hakika kina mzee Yusuf wameharibu taarab imebaki mapasho na matusi
Tarehe/06/03/2023
very nice napenda sana hii nyimbo
Daaah nakumbuka mbali sanaaaa 2005😭
Namsikilza mzee Issa
Allah amrehem na amuweke pema peponi
zamani zamani hazina wa kurithi kabisa
kwa wasio juwa lugha yetu ya kizanzibari ni ngumu kuelewa ila kuna maneno ya maana sana kwenye uu wimbo
Daimond hungi ndani hapa nyimbo zako matus matupu
Kweli Kabisa mafumbo mazito
Kweli kabisa nyimbo zenye heshma
Mmh
ah iko wapi zamani
2021 naipenda bado
Mashaallah mashairi mazuri
Any 1 2021
Jamvi lawageni lalieni popote
Issa Matona kibambe wa kiswahili
sie wa pwani tunalike apah.√
Nimekumbuka mbali xana miaka ya 1890 nikiwa mitaa ya mbinguni
ah wp hairud tena zaman
Santa isaa😀👍
Jamvi la wageni,
My favorite song
Daah janv la wagenj kumbe
Allah yarhamouk
Wazee wetu walikua mafund kwel sio Kama wakina zuchu
your inciting violence
2021🔥🔥🔥🔥
hatuwezi kuona tena hata kama ukitaka asubuhi ya leo huwezi kuooo
2022 October with ❤
2023 tujuane.....
mungu akupe kauli thabiti daima tutakukuka
Bakari Shabani n
Natural taarab
Waze wazani wamekuwa waimbaji kabisa sio wakisa kama wakina diamond
Diamond na ufreemason wake wanaomba nini
super, philosophical.
wengine hapo hamjazaliwa
miaka sana hii
Hahaaaa 😂😂😂😂 langu baba nalikunja nkalitatiya sawa sawa niko NAyo kapwaNi kher nimpee mtuu mwenye nidhamu nafahamu cyoo wewe mtuu usijielewaa 😜😜😜😜😜😜
Utjiju
Issa matano amepanga sambamba mistari,wapenzi was kiswahili mpo?
Issar Omar ndio ulicho kiona sio
na ww je
rip best of zanzibar
Sikiliza ladha na sikiza ujumbe unaogusa mahala pake,hatuja pata mrisi mpaka leo
Jamani mungu akuweke mahala pema peponi
Yaan kumbusha mbali eeeeeh eeeh wacha we
2024 wimbo pendwa
Yule niliemthamini ameniweka pembeni 😢😢😢
hilo jamvi limenunuliwa ulaya hapa halipatikani kwa dola wala rupee
sasa majirani wamelitia kwapani!
Shikamoo babu yangu kipenzi
Bado nayiona 2020
daaah bado naiona mpya
Tartiiiiiiiiiiiibu 👌
2023
Nitakukumbuka daima Issa. R.i.p.
Quite entertaining
Mashallah
Jamvi la Wageni
Mashahiri mazuri 💚💛❤
R,i,p
Kweli
Nikweli 😍😍😍😛😛😛😥😥
MashaAllah innalillahi wainaleyhi rajiun
We miss you 😢
For sure
🔥🔥🔥🔥
Me too
Tumuombee dua