kuweka ahadi au kumaliza ahadi inataka muungwana ambaye anajua nini miadi, jamani si kila mtu ndo anajua hayo kwa sababu uungwana ni vitendo, lakini si sura nzuri wala rangi nzuri. we miss home zanzibar ishaallah tutafika tena.
Habibty wetu huyu Asha Simai Keshatangulia lakini atuekea mauwa na nyota moyoni hawa ndo waimbaji tarab ya kweli znz.Wapi leo znzi mekufaaaaaaaa na watazidi kuidandamiza.
Hiyo basi ndiyo inaitwa taarab original(asili). Mtindo na sauti nyororo hiyo pamoja na uchapaji gita ama piano wa weza komoa mapenzi pale yalikuwa yamekwamilia. Mapenzi juu,taarab juu, kenya juu,Watu wapendane na ahadi zitimizwe.Wimbo nzuri sana.
d ont mind ahadi ni ya muungwana kuna wanosura za kibinaadamu na ilhali ni wanyama kwa hivyo mungu yupo na sote niwaja wake lakini ina bidi wajue kuwa ahadi ni kitu muhimu wanakimbia mvua wanananguka kenye mamo
I LIKE THE SONG VERY MUCH, HAS GOOD MEANINGS OF TRUE LOVES OR FAKES LIES LOVES SO NEED THE ANSWERS!? OF IT!??FOR U! THE 2 LOVERS TO REPLY!👌YES! OR 😫 NOT!
Hii taarab ahhh wacha tu! inaingia hadi kwa mishipa ya damau yangu na kunilemeza kwa sauti na mpangilia mzuri ajabu. 🇰🇪
2024 Itoe yako kauli mpenz wangu tamka nijuwe lipi la kweli
Mashallah nyimbo zilikuwa na ujumbe sio hizi za rusha roho
Enzi hizo nimerud chuon nimeshatandika mkeka nimeshaleta chakula Wali juu Kuna matandu tuna subiria baba kiredio kimefunikwa kitambaa
kuweka ahadi au kumaliza ahadi inataka muungwana ambaye anajua nini miadi, jamani si kila mtu ndo anajua hayo kwa sababu uungwana ni vitendo, lakini si sura nzuri wala rangi nzuri. we miss home zanzibar ishaallah tutafika tena.
I'm a kenyan but will forever cherish old zanzibar music
Ur welcome
Ninakumbuka saa nane nimetoka Skuli naenda chuoni kipindi chetu cha Taarabu za Znz WALLAHI ZNZ kwetu subhanallah penda
Mimiiii
Na ubwabwa unanukia
Daah Wacha tuu
Napenda vya Kale had leo kwakwel vinadum
Si kikubwa asilani kitu nnachotaka, pendo lako la moyoni wapi unalipeleka aaaaaaaaaahhhhhh
Naihurumia kizazi cha 2000s , sihaba tufaidi kidogo mashairi ya wazee wetu, Kiswahili kimepotea sana
Kina hasara kabisa
Na hakijui vitu vizuri,ni fujo tu na kelele
The old Zanzibar Taarab songs were the best Taarab Songs ever.
Mohammed Said Al Sulaimani
Liya tu habibty usione haya hizo ndizo taarab
2020....Hunipi mimi kwa nini?
Habibty wetu huyu Asha Simai Keshatangulia lakini atuekea mauwa na nyota moyoni hawa ndo waimbaji tarab ya kweli znz.Wapi leo znzi mekufaaaaaaaa na watazidi kuidandamiza.
Suley J Nadia ruins
wallah hatuna lakufanya ila ALLAH atatusaidia wazanzibar suley
Aliimba Asha simai..
Ila hio unayosikiliza imerudiwa na Faudhia Abdallah with Nadhii ikhwaan Safaa
Hii ndio taarab ya yenye mahadhi ya Zanzibar
Safi sana hii
natamani ningekuwa wa kizazi hiko! music with flavour
hizi ndizo nyimbo za kuburudisha, hazishi ladha
Hizi ndio nyimbo za taraab asilia zina raha hadi basi
Ipo nyimbo inaitwa kiporo aliimba Hiba Ally naomba ututafutiye
Asante Asha Simai ujumbe muruaaa
Ni Fauziyyah Abdallah huyo. Allah amrehem. Allah amsameh!
Ameen
Aamin
Amiin
Sio Asha Simai
Hiyo basi ndiyo inaitwa taarab original(asili). Mtindo na sauti nyororo hiyo pamoja na uchapaji gita ama piano wa weza komoa mapenzi pale yalikuwa yamekwamilia. Mapenzi juu,taarab juu, kenya juu,Watu wapendane na ahadi zitimizwe.Wimbo nzuri sana.
mumo mutinda ppppppppp
Jaazi morden taarabu ,mkuku kwa ngurue
HACHIMIA 🇰🇲 : IWAPI ILE AHADI WEWE ULIONIWEKA
umenigusa moyoni naupenda sn
I love zanzibar m'y lovely country
Masha Allah, upumzike kwa amani
d ont mind ahadi ni ya muungwana kuna wanosura za kibinaadamu na ilhali ni wanyama kwa hivyo mungu yupo na sote niwaja wake lakini ina bidi wajue kuwa ahadi ni kitu muhimu wanakimbia mvua wanananguka kenye mamo
Wimbo uliniombeya maràdhi
Sakina ABD akhsantee
iwapi ile ahadi wewe uliyoiweka
umeitupa baidi hutaki kuikumbuka
au wafanya kusudi nipate kuadhirika
kudanganywa mwenzio nnateseka
pendo lako nalitaka nipate kufurahika
Iwapi ile ahadi wewe uliyo iweka? Umeitupa baidi hupendi kuikumbukaa
I LIKE THE SONG VERY MUCH, HAS GOOD MEANINGS OF TRUE LOVES OR FAKES LIES LOVES SO NEED THE ANSWERS!? OF IT!??FOR U! THE 2 LOVERS TO REPLY!👌YES! OR 😫 NOT!
Sikikubwa ni pendo la moyoni safi
Au wafanya kusudi
Hunipi mm kwa nn
Pendo lako bado nalitaka nipate kufurahika
Nice
mbona ndo zangu hizi tangu Pemba.
VERY FEW FELLOWS HAVE TRUE LOVES! BUT MOST! HAVE FAKE N LIES LOVES! BEC. OF MONEY N THINGS ONLY! CALL IT: MONEY LOVES! NOT REAL N TRUE! LOVES!😫😔
Dis 4 all who lov mwambao msic
Mashallah
Sweet song
Hizi ndio taarab za kusikiliza unasikia rahaa
Itoe yako kauli
very nice song
love music
oy
nice wallah
Hehee sisemii
Hbbty Said hii .ahadi iko poa kabisa
Imenikosha moyo nimesuuzika...
nice song
Simply is the best, long last.
Home sweet home
♥️♥️♥️♥️
Iwapi ile ahadi...🤔
Nice song
nice
Hivyo vyombo vikipigwa kwenye taarab asilia,moyo wabgu huhisi niko peponi
Sijui ukiwa unaona live inakiaje
Raha zilikuwa zamani
YES!?? OR NOT!??
shola napenda
Ahh Asha Simai.. Mungu akurehemu nakumbuka ulipokua ukipita.. Mfenesi mazizi ukiimba Nyimbo hii Njiani
YES!? OR NO!? EXCEPT IT!? OR REFUSED IT!? N THAT'S IT!!! (😔)!!! (😄)!!! AND NO! MORE FURTHER DISCUSSIONS!! N THAT'S IT!!! THAT'S IT!!!!!!!!
pendo nalitakaaa
penda sana