ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

Taarab Zilipendwa- Tanga- Mkuna na mkunaji muona raha ni nani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 พ.ค. 2016

ความคิดเห็น • 215

  • @ZAMDAHOSSENI-ih2cg
    @ZAMDAHOSSENI-ih2cg หลายเดือนก่อน +4

    Tanga Raha ❤ 2024 nani abado anasikiliza

    • @chachamarwa7286
      @chachamarwa7286 6 วันที่ผ่านมา

      mimi tuu mkurya pekee niliyezaliwa zanzibar

  • @salomeoberd2949
    @salomeoberd2949 2 หลายเดือนก่อน +4

    2024 anaesikiliza agonge

  • @martinkarata1097
    @martinkarata1097 5 ปีที่แล้ว +63

    Kama unasikiliza mwaka 2019 gonga like apa

  • @samuelmwendwa764
    @samuelmwendwa764 ปีที่แล้ว +4

    Taarab kweli ni ustaarabu...2023 na bado kuipenda

  • @saidibinsharifsharifmwinyi497
    @saidibinsharifsharifmwinyi497 3 ปีที่แล้ว +8

    OMG my dads number one much respect and love from UG+256 TUKO PAMOJA

  • @johntendiawo
    @johntendiawo 4 ปีที่แล้ว +11

    2020 bado tupo.
    Kuna nyimbo zilizopendwa natamani;
    1. Haina mjadala hiyoo
    2. Hajatulia ~ ni mapepe

  • @chedichedi2992
    @chedichedi2992 5 ปีที่แล้ว +5

    Dahh hisia zimeshahama kutoka New York hadi Handeni Tanga....Ta’arab za kusisimua miaka mingi sana

  • @hawaahamis5579
    @hawaahamis5579 2 ปีที่แล้ว +5

    Zanikumbxha xana my dear lovely mommy Allah amuhifadhi ampunguzi adhabu ya kabri 😨😨😅

  • @aishaabdulaziz4657
    @aishaabdulaziz4657 ปีที่แล้ว +7

    Its a throwback ting,2023 still listing...Zinanituliza roho hizi ngoma...

  • @thomascharles5299
    @thomascharles5299 4 ปีที่แล้ว +7

    Tanga raha sana mkuna na mkunwaji muona raha ni nani apo sasa mpaka nasinzia taarabu murua

  • @fatmahmwesh128
    @fatmahmwesh128 5 ปีที่แล้ว +10

    wat a lovely Taarab Song... long time while was in Kenya... nice one eid.

  • @dullatawakal1492
    @dullatawakal1492 7 ปีที่แล้ว +19

    Daaah Hisia Zanipeleka Nyumbani Tanga ,,,kipindi hiko ni Twaarab AsiLia ya Pwani #MwanaHeLa #LuckyMuzik_Taarab

    • @anwaryabdallah7782
      @anwaryabdallah7782 6 ปีที่แล้ว

      dulla breezy 😢😢😢

    • @ayshaysh3326
      @ayshaysh3326 5 ปีที่แล้ว +1

      We acha tu. Hata taarabu iwepi waitafuta mpaka waipata🤣. Tanga raha sana asikwambie mtu

  • @matesombitha2654
    @matesombitha2654 5 ปีที่แล้ว +17

    listening to this this once,,,it minds me of my lovely mum,,,,, who rarely finished a day without listening to this song,,,so many years down the line

  • @mariamwakabuta1034
    @mariamwakabuta1034 4 ปีที่แล้ว +3

    Mimi nakumbuka wakati huwo nipo shule ya msingi mgulani, hawo waimba taarabu walikuwa wakiimba pake kambi ya jeshi jkt mgulani najisikia uchungu sana upendo wa nyumbani Tanzania siupati kama ninavyotataka lkn nashukuru nipo mpaka leo nasikia vingi kutoka nyumbani ahasante mungu !!

  • @yarahstaste104
    @yarahstaste104 2 ปีที่แล้ว +4

    Whoooow💥2021 November still listening🔥🙌🏻

  • @chibuplatnumz8373
    @chibuplatnumz8373 3 ปีที่แล้ว +2

    Nawaza hapa muandishi aliwaza nini aiseee...em wahenga na makungwii em njooni mnipe maaana

  • @omaryregga5315
    @omaryregga5315 6 ปีที่แล้ว +5

    taarab ni ustaarab kama nyimbo hii hakuna wa kiduku humo

  • @zackysambo5800
    @zackysambo5800 6 ปีที่แล้ว +4

    how can those generation did it, making songs that are forever hit and liked by all generations.

  • @zairesoyosoyohabura7513
    @zairesoyosoyohabura7513 3 ปีที่แล้ว +6

    2020 still hitting ,the best melodies we ever missed, those swts times , be blessed uploader💪🙏

  • @amina2044amin-zv2gh
    @amina2044amin-zv2gh 18 วันที่ผ่านมา

    hierdie inligting om 2024❤❤❤ die 🥰🥰👏👏👏

  • @upendomtambo133
    @upendomtambo133 6 ปีที่แล้ว +9

    Jiwimbo tamuuu....... Tanga tamuuu.... missing korogwe

  • @eddyapspherah2096
    @eddyapspherah2096 3 ปีที่แล้ว +4

    2021 wanaoskiza hii gonga like

  • @ZaituniAmiry
    @ZaituniAmiry หลายเดือนก่อน

    Duh Hadi raha❤❤❤

  • @bakarizema7910
    @bakarizema7910 7 ปีที่แล้ว +9

    Enzihizo mziki ulikua mziki kweli wa taarab

    • @basharpandu7324
      @basharpandu7324 5 ปีที่แล้ว

      Bakari Zema nakumbukanipo mombo dukan isramabad shop

  • @mwambaohealthconsultant
    @mwambaohealthconsultant 4 ปีที่แล้ว +2

    Dah jamani Tanga rahaaaaa!

  • @mwambaohealthconsultant
    @mwambaohealthconsultant 4 ปีที่แล้ว +9

    Beautiful Tanga voice with soft lyrics 😘😍

  • @andrehwickods841
    @andrehwickods841 3 ปีที่แล้ว +1

    Nikiskia hii nakumbika tu maisha kule nyuma 2011 msimu wa kiangazi...

  • @hindukassim8037
    @hindukassim8037 5 ปีที่แล้ว +36

    watanga wenzangu comment km zote

    • @FARIDAHKAKEI-db3vt
      @FARIDAHKAKEI-db3vt 5 หลายเดือนก่อน

      ❤️❤️❤️❤️🤍💚

  • @bashirusaleh8043
    @bashirusaleh8043 4 ปีที่แล้ว +5

    My favorite song

  • @lukaobiri5506
    @lukaobiri5506 2 ปีที่แล้ว +1

    Kinipatacho ni mafumbo yaliyomo katika nyimbo hizi mbali na utamu wao.

  • @moddymakelele3637
    @moddymakelele3637 7 ปีที่แล้ว +19

    nyimbo hizii nikizisikiza umkubuka marehemu babangu

    • @dullatawakal1492
      @dullatawakal1492 7 ปีที่แล้ว +2

      Moddy Makelele yaelekea Alikuwa mpenzi wa Nyimbo Hizi

    • @disha1736
      @disha1736 ปีที่แล้ว +2

      Same here, good old memories mola ampe kaul dhabit marehem babangu

  • @babenealoyce889
    @babenealoyce889 5 ปีที่แล้ว +10

    Nataka watu wa Tanga watunze tamaduni hizi ni muhimu katika mahitahiji

  • @HosenIdi
    @HosenIdi 3 หลายเดือนก่อน

    Naaaaaamh!!hapa nasinzia tu taratiiiiibu!!😂😂

  • @mushken65
    @mushken65 4 ปีที่แล้ว +2

    Hilo ni fumbo kali sana. Tafakari hayo. Wote huridhika mno

    • @ashirunaomari5426
      @ashirunaomari5426 11 หลายเดือนก่อน

      2023 ila naona kama hili ni swali tata ,linamaanisha kweli

  • @issaabdallah7660
    @issaabdallah7660 3 ปีที่แล้ว +2

    Kama 2021 unasikiliza gonga like

  • @zamdajuma7763
    @zamdajuma7763 2 ปีที่แล้ว +1

    Aisee nakumbuka harus yangu.mwaka 95

  • @robertmagubike9318
    @robertmagubike9318 6 ปีที่แล้ว +1

    Daha hapo anaekunwa ndio anaona raha zaidi ila huu wimbo unanitoa roho mimi uwafikie watu wote wa kwakwani Tanga ratco

  • @stephenmuia9699
    @stephenmuia9699 6 ปีที่แล้ว +2

    Mmmmmmmmh...nimetuliaaaa..nafwatilia wim,bo

  • @ramadhanbofu8262
    @ramadhanbofu8262 4 ปีที่แล้ว +4

    2020 bado tupo tunaburudika tu

  • @isayaseme9695
    @isayaseme9695 2 ปีที่แล้ว +3

    Mtunzi alitulia na aliumiza kichwa Sanaa!

  • @salmasaidi2875
    @salmasaidi2875 5 ปีที่แล้ว +6

    Yaani hata kila waacha ukaisikize kwanza.
    Pongezi sana

  • @mamawanyumba103
    @mamawanyumba103 8 ปีที่แล้ว +12

    naipenda sana...kitambo kweli ALLAH marehemu

  • @fahtainahabdulrahman6379
    @fahtainahabdulrahman6379 7 ปีที่แล้ว +8

    nyimbo hii yanikumbusha mbali kweli taarab asili ndokama hizi sikuhizi hamna lolote

  • @naomiwafula2918
    @naomiwafula2918 3 ปีที่แล้ว +2

    This is a very nice song

  • @nassiralwardi1864
    @nassiralwardi1864 6 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah nzuri sana old ni gold

  • @mariamkilomo9473
    @mariamkilomo9473 6 ปีที่แล้ว +6

    Naupenda huu wimbo jamani...unanikumbusha enzi nipo msichana...duh...nitalia mimi

    • @timelyali8037
      @timelyali8037 6 ปีที่แล้ว +3

      mariam kilomo hahaha utalia ili urudi kua msichana ?

    • @chibuplatnumz8373
      @chibuplatnumz8373 3 ปีที่แล้ว +2

      Kwn saiv ushakua mzeee jmn akat bado upo onlinee

  • @twilamtumbi2647
    @twilamtumbi2647 7 ปีที่แล้ว +7

    wewe eddie wewe unatukumbusha mbali sana, jibu hapo labda dada kabby atatupatia

  • @qweewq8486
    @qweewq8486 5 ปีที่แล้ว +4

    D uu wooiiii nyimbo taratiibuuu ukiwa na hobby wako

  • @nasseraisha6002
    @nasseraisha6002 5 ปีที่แล้ว +3

    Inategemea na muwasho wenyewe ni wa aina gani hahahahahhahahah

  • @thesirfrancis4988
    @thesirfrancis4988 ปีที่แล้ว +2

    2023 nilikuwa huku

  • @jaffarmwazecha6826
    @jaffarmwazecha6826 2 ปีที่แล้ว +1

    Anae kunwa anaona Raha zaidi

  • @SheikhMondbinamir26-px4ej
    @SheikhMondbinamir26-px4ej 8 หลายเดือนก่อน

    Nawapongeza Kwa zilipendwa nzuri hongereni sana

  • @jerrjamary2649
    @jerrjamary2649 3 ปีที่แล้ว +1

    Me nimeazisha 10/2/2021....
    Mkuna!!?
    Na
    Mkunwaji !!?
    Muona raha ninan?
    Pale sote akili zinaruka sote sote sawa tu🤣🤣🤣🤣🤣

  • @user-jj4yg7zu5v
    @user-jj4yg7zu5v 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mashairi safi kweli ya kale thahabu

  • @shafiiamani8579
    @shafiiamani8579 5 ปีที่แล้ว +1

    Naam nadhani kula mmoja wetu analo jibu ...kumbuka mbali xana T@A kwetu

  • @samirasamir7734
    @samirasamir7734 7 ปีที่แล้ว +6

    yan leo ninoma hhhh asanteee

    • @NaturalElizabeth5134
      @NaturalElizabeth5134 4 ปีที่แล้ว

      samira samir g hot hippy hop John poi Hogg poi h hop h hi ghpyy tu

  • @waswafedha5154
    @waswafedha5154 6 ปีที่แล้ว +2

    Mungu amurehemu

  • @Paul_Wasonga
    @Paul_Wasonga หลายเดือนก่อน

    Reminds me of my former wife

  • @kichunawayusuf6336
    @kichunawayusuf6336 7 ปีที่แล้ว +10

    Yan nyimbo itulia mpaka raha

  • @wenslauswafula9657
    @wenslauswafula9657 ปีที่แล้ว +2

    Swadakta taarab

  • @dullaxxheavenambassodor4501
    @dullaxxheavenambassodor4501 3 ปีที่แล้ว +1

    Nani yuko apa jan 2021

  • @Mpenzi3
    @Mpenzi3 3 ปีที่แล้ว +2

    long lost songs taarabu found let raha

  • @abubakarkhamishaji2849
    @abubakarkhamishaji2849 2 ปีที่แล้ว +2

    2022 twende woteee

  • @amiribakari8347
    @amiribakari8347 5 ปีที่แล้ว +2

    Wakale walisema vya kale dhahabu TANGA raha jamani zaman itamu

  • @zainabualhinai3934
    @zainabualhinai3934 6 ปีที่แล้ว +3

    daaa adi laaa

  • @augustinojohn9235
    @augustinojohn9235 5 ปีที่แล้ว +4

    Dash I wish I had a time medicine to go back to 80's and 90's.

  • @robertmagubike9318
    @robertmagubike9318 6 ปีที่แล้ว +1

    Dah hii kali sana yani kama imetoka leo

  • @user-vz5bw1gm5g
    @user-vz5bw1gm5g ปีที่แล้ว

    Wote wasikia rahaaa

  • @user-du6lk8kr8n
    @user-du6lk8kr8n 11 หลายเดือนก่อน

    Amakweli yakale ni dhahabu Tanga oyeeeee

  • @shh5844
    @shh5844 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli yako mama

  • @josephinejoseph5193
    @josephinejoseph5193 3 ปีที่แล้ว +4

    touching song

  • @khanniebaraka1515
    @khanniebaraka1515 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakumbuka home tanga 2021

  • @tomi4055
    @tomi4055 4 ปีที่แล้ว +2

    Tanga yetu jamani Mwanahela

    • @ayshaysh3326
      @ayshaysh3326 4 ปีที่แล้ว +2

      Kabisa. Kimji chetu cha kiungwana. Allah atulinde na maradhi Inshallah

  • @dula7991
    @dula7991 3 ปีที่แล้ว +2

    Mambo yao akina zuchu haya

  • @fatmaabiwaqas1131
    @fatmaabiwaqas1131 5 ปีที่แล้ว +3

    Old is gold

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว

    Waswahili wenyewe hao hatari sana

  • @ramadhanially5678
    @ramadhanially5678 5 ปีที่แล้ว +6

    Wooote

  • @randanomar2914
    @randanomar2914 7 ปีที่แล้ว +8

    Asante Eddie za zamani but ni kaa imetoka leo.wote raha tupu.

  • @silaskengere1686
    @silaskengere1686 5 หลายเดือนก่อน

    reminds me of my girlfriend from Ukunda♥️♥️

  • @user-le6xc6ei5x
    @user-le6xc6ei5x ปีที่แล้ว

    Mzigi bila jasho

  • @khalidvova6601
    @khalidvova6601 7 ปีที่แล้ว +14

    kunani tanga jaman?

  • @funnypandy
    @funnypandy 3 ปีที่แล้ว +1

    2021 Kama upon acha like Napa

  • @makaveliAhmadi-ri9qr
    @makaveliAhmadi-ri9qr 11 หลายเดือนก่อน

    Tam hiyooo

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 6 ปีที่แล้ว +3

    Wote ila mkunwa ndio zidi si utani ni kweli.

  • @ibrahmikhala5512
    @ibrahmikhala5512 2 ปีที่แล้ว

    Freedom is coming tomorrow

  • @osman92salim6
    @osman92salim6 5 ปีที่แล้ว +4

    Acha nikusaidie kujibu dadangu, mkuna na mkunwaji muona raha ni nani? Mkunwaji aona raha zaidi😀😀

    • @caroleosako3129
      @caroleosako3129 4 ปีที่แล้ว

      Exactly

    • @mushken65
      @mushken65 4 ปีที่แล้ว

      Siamini. Mkunwa huona raha zaidi. Ila methali za kitanga ni za undani sana

  • @abdulkarimmulwa8042
    @abdulkarimmulwa8042 2 ปีที่แล้ว +1

    Albuma iliyo na ngoma CHURA yaitwaje

  • @mamaanuary4686
    @mamaanuary4686 5 ปีที่แล้ว +1

    Tupo watt watanga tarabu zamani bwana wala utoki jasho ukicheza

  • @hawaahamis5579
    @hawaahamis5579 2 ปีที่แล้ว +1

    maashaallah

  • @omarimmbaga9384
    @omarimmbaga9384 5 ปีที่แล้ว +4

    Ahsante sana

  • @user-mq7ob1ky9j
    @user-mq7ob1ky9j 9 หลายเดือนก่อน

    Tanga mojaa,😂😂

  • @victormulama
    @victormulama ปีที่แล้ว

    Nasikiliza 2024 😂😂😂😂

  • @elizabethnyamwela9508
    @elizabethnyamwela9508 6 ปีที่แล้ว +3

    Hizi ndo taarab sasa!!

  • @mohammedikitambulio2621
    @mohammedikitambulio2621 2 ปีที่แล้ว

    Tanga Raha. Ila Vitu Hivi Vimekua Adimu Tanga

  • @francismakoyo5708
    @francismakoyo5708 6 ปีที่แล้ว +2

    wote lakini mkunwa ni sana

  • @ritarama2116
    @ritarama2116 5 หลายเดือนก่อน

    2024 am here guys ❤

  • @rashidnassor2230
    @rashidnassor2230 3 ปีที่แล้ว

    Mkuna na mkunwaji

  • @khadijaamour7654
    @khadijaamour7654 4 ปีที่แล้ว +4

    2020

  • @ALILO067
    @ALILO067 ปีที่แล้ว +1

    Nakumbuka my ex wakati tukiwa pamoja tukila tunda la Adam

  • @santyhassan4186
    @santyhassan4186 5 ปีที่แล้ว +1

    Hizi ndio taarabu siyo manyimbo ya sasa niufusuka mtupu