MWIGULU ALIPULIWA NA MFANYABIASHARA MBELE YA WAZIRI MKUU "ETI DOKTA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 37

  • @furahamandai6628
    @furahamandai6628 ปีที่แล้ว +2

    Safi mzee akuna waziri hapo

  • @charleselijah-vq3hq
    @charleselijah-vq3hq ปีที่แล้ว +1

    Afukuzwe kazi pia ashitakiwe

  • @abbas.h.saydy.3991
    @abbas.h.saydy.3991 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana kakaa Mwigulu hana maana fisadi fisi mkuu huyo!!

  • @justinelukumay5308
    @justinelukumay5308 ปีที่แล้ว +1

    Waziri Mkuu Mlinde sana huyo bwana Mkubwa hata ukitoka hapo Mlinde sana Boss Wangu

  • @saimonisichimata8559
    @saimonisichimata8559 ปีที่แล้ว +2

    Umenena mzee🙏

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 3 หลายเดือนก่อน

    Safi sana ukweli una mweka mtu huluuu

  • @afwililenisaidie9597
    @afwililenisaidie9597 ปีที่แล้ว

    Kiongozi nimekuelewa sana Mungu akulinde mama kama anamaskio atasikia

  • @Worldunite
    @Worldunite ปีที่แล้ว

    Hongera babu kwa ujasiri

  • @charleselijah-vq3hq
    @charleselijah-vq3hq ปีที่แล้ว +1

    Huyo hafai Ndio maana Magufuli alimfukazi

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 ปีที่แล้ว +1

    Ukwer ni mzur sema ukwer Baba

  • @amanisaid9863
    @amanisaid9863 ปีที่แล้ว

    Huyu ajihuzulu hana maanaa
    Na namchukia sanaa
    Na ipo siku aondoke

  • @MartinDoctor-m3k
    @MartinDoctor-m3k ปีที่แล้ว +1

    Saf sana

  • @bahatjuma7458
    @bahatjuma7458 ปีที่แล้ว +1

    Mwizi huyoooo

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana mkuu

    • @thomastarimo
      @thomastarimo ปีที่แล้ว

      Ana kiburi sana mwingulu mchemba waziri. Mkuu ondoka naye uyo jama anakiburi sana

    • @thomastarimo
      @thomastarimo ปีที่แล้ว

      Waziri mkuu we we no msikifu sana kaka sasa umesikia vilio vetu tunaomba ufanyie kazi fukuza mwingulu nchemba jambazi mkubwa uyo ata dini ana

  • @aminaasia-jl8fk
    @aminaasia-jl8fk ปีที่แล้ว +2

    Huyo mubunge hta mimi nilimikia alafu nimwana eti mwenye kufungua afungue mwenyekufungua afungue

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 ปีที่แล้ว

    Mwigulu mungu anamuona

  • @kisinza6077
    @kisinza6077 ปีที่แล้ว +1

    Kuna waziri wa tozo na Kodi!

  • @siujisiniorlangu
    @siujisiniorlangu ปีที่แล้ว +1

    Pongezi kwako mzee huna uwoga waambie

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 7 หลายเดือนก่อน

    Watu wamechefukwa sana

  • @salama1113
    @salama1113 ปีที่แล้ว +1

    Uoga kwishasafi sana

    • @mariahmnjeja3524
      @mariahmnjeja3524 ปีที่แล้ว

      Kazi ya magufuli watu wamenyonya maziwa ya baba hatuonewi tena

  • @beriasmasanga6859
    @beriasmasanga6859 ปีที่แล้ว

    Huyo mwigulu ndiye amekwenda kuua watumishi wanastaafu tena wazee waliolitumikia taifa kwa uchungu na mkubwa wakizeeka anawanyang'anya haki yao, ccm hi bwana,basi tu

  • @djkabby739
    @djkabby739 ปีที่แล้ว +2

    Huyu ni mbunge wa wp

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 ปีที่แล้ว

    Kiufupi Hatumtaki Mwigulu

  • @alphoncejoseph5413
    @alphoncejoseph5413 ปีที่แล้ว

    Ila Yule naibu wazili alisema wakufunga afunge akuna waziri pale mkojo mtupuuu

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 ปีที่แล้ว +1

    Huyu hata mseme machafu kuhusu yeye ..............

    • @geey7893
      @geey7893 ปีที่แล้ว

      Anamiliki hisa pamoja na Mwantumu na Musoga wao

    • @anodearsulusi7536
      @anodearsulusi7536 ปีที่แล้ว

      Watu wkichoka nishida sana

  • @josephemmanuel388
    @josephemmanuel388 ปีที่แล้ว

    Rip magufuli

  • @Jumacharlesmadale2958
    @Jumacharlesmadale2958 ปีที่แล้ว

    baba umeongea hoja naomba ugombee Mimi nimekuelewa

  • @mandelasakara-no3bw
    @mandelasakara-no3bw ปีที่แล้ว

    Nishida

    • @OMARMOHAMED-qs3zg
      @OMARMOHAMED-qs3zg ปีที่แล้ว

      Lazima afutwe kazi huyu mwigulu la sivyo mambo yatakuwa hivyo hivyo mbeleni

    • @OMARMOHAMED-qs3zg
      @OMARMOHAMED-qs3zg ปีที่แล้ว

      Fanyeni ma andamano havo wanao zulumu wa tanzania wa futwe kazi vote