''KIBURI, ANASEMA HAWEZI KUONGEA na WAGANGA'' - WAZIRI MWIGULU AWEKWA KIKAANGONI na MFANYABIASHARA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • ''KIBURI, ANASEMA HAWEZI KUONGEA na WAGANGA'' - WAZIRI MWIGULU AWEKWA KIKAANGONI na MFANYABIASHARA
    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa tayari amefika katika viwanja vya Mnazimmoja Jijini Dar es salaam kwenye mkutano wake na Wafanyabiashara wa Kariakoo leo Mei 17, 2023.
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 60

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว

    BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...

    • @thomastarimo
      @thomastarimo ปีที่แล้ว

      Mwingulu hafai kua wa waziri wa fedha kwa dakika mmoja kwa nzia sasa

    • @kabulukimati
      @kabulukimati ปีที่แล้ว

      Wizara.ya.viwanda.na.biashara.hiyo.wizara.ivutwe.haina.avya.kwa.taifa

    • @kabulukimati
      @kabulukimati ปีที่แล้ว

      Mimi.ningekuwa.huyo.waziri.wa.shekeli.ningerizain

    • @yusufuemauneli9413
      @yusufuemauneli9413 ปีที่แล้ว

      Apo stima waziri iyo ni mpigaji anamuda basi

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 ปีที่แล้ว +4

    Muheshiwa Rais wetu mbona kuna kauzito cha kufanya mabadiliko kwa huyu Mwigulu?

  • @catherinemzurikwao3265
    @catherinemzurikwao3265 ปีที่แล้ว +6

    Mwigulu ni tatizo kubwa, siku akiondoka Tanzania itatulia

  • @totolapastor1314
    @totolapastor1314 ปีที่แล้ว +5

    Safi sana Tanzania tuamke tuisemee nchi yetu love you tunawacheki tuuuuuu

  • @benardsamizi-qo4yp
    @benardsamizi-qo4yp ปีที่แล้ว +3

    Watanzania Mungu anatupenda sana. Hili Jamaal lingepata URAIS Tungekoma. Au anatukomesha WATANZANIA KWA SABABU ALIKOSA URAIS???. NDIYO MAANA MWENDA ZAKE ALIMPIGA CHINI.

  • @goodluckndagile9381
    @goodluckndagile9381 ปีที่แล้ว +4

    Amesahau kusema alituambia tuhamie Burundi 😂

  • @machoguhameri7757
    @machoguhameri7757 ปีที่แล้ว +1

    Wote waliochwa na Magufuri alikuwepo huyu ambaye sasa ni waziri wa viwanda na biashara wakati wa Magufuri alikuwa Naibu waziri wa fedha,akarikoroga magufuri kipindi cha pili akamwacha,Mwiguru alikuwa waziri Magufuri akamtumbua. Awamu ya sita ikawarudisha matokeo yao sasa wamechafua kabisa hali ya hewa ya nchi kiuchumi,kimaisha,hata kisiasa,kwa kuwa siasa ni uchumi,uchumi ni ulinzi pia.Huruma za Rais zitamponza awaondoe kabisa mawaziri hawa.Tunakaribia uchaguzi wao wanachafua hali ya hewa?

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 ปีที่แล้ว +3

    Mwigulu Unatuumiza Watanzania.Jitafakari Ndugu Yangu Hicho Cheo Ni Dhamana Kitapita.Mama SAMIA SULUHU HASAN Ondoa Huyo Kichefuchefu.

    • @alawiali3475
      @alawiali3475 ปีที่แล้ว

      Sio kichefu chefu ni uchafu.

    • @julianaswai7846
      @julianaswai7846 ปีที่แล้ว

      N matapishi. . Hawezikuongea n waganga w kienyeji. Astahil kuwa wazir huyo. Sangakariakoo kumefungwa. Jibul wazir kam kumefungwa n kwahiyar yaooo. Mungu anakuon. Kumbuk wanafamilia zinawategemea

  • @knowledgeispower1118
    @knowledgeispower1118 ปีที่แล้ว +3

    Mwigulu atajulia wap biashara huyo..wanyiramba na biashara wap na wap?

  • @justinomtili9226
    @justinomtili9226 ปีที่แล้ว

    Mwigulu lawama zote kwako tu wewe ndo tatizo,, ni Bora ujiudhuru tu, Kodi zimekuwa nyingi hadi kero

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx ปีที่แล้ว +1

    Mbona hamwambii wanatutesa na kodi halafu hela zinaubiwa na watumishi walioteuliwa na mama halafu bado wako madarakani magereza hawapo?

  • @MarryJulius-o4o
    @MarryJulius-o4o ปีที่แล้ว +2

    Alitumbuliwa na magu kwanini karudishwa...

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 ปีที่แล้ว +2

    Safi Sana Mawaziri Wa Aina Hii Waondolewe Hawatufai iiii Waziri Amekaa Anaongea Anavyotaka Kiburi Cha Mamlaka Hicho.

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 ปีที่แล้ว +3

    Asipotumbuliwa leo basi itakuwa mzigo kwa CCM

  • @yusufuemauneli9413
    @yusufuemauneli9413 ปีที่แล้ว

    Katika watu ambao wana iumiza nnchi hiii kwenyewizi wapesa mwigulu ni namba moja

  • @mrsferuzi7443
    @mrsferuzi7443 ปีที่แล้ว

    Nibora alivyo kuwa waziri wa fedha makamu wa rais hali haikuwa ngumu hivi

  • @ozuabrahamu8079
    @ozuabrahamu8079 ปีที่แล้ว +1

    Kiukwl ukipewa dhamana ya kuwa kiongoz hupaswi kuw na dharau Waziri Mwigulu anadharau na kiburi Cha cheo chake kwakuwa ana elimu kuliko wengine hii sio sawa kabisa

  • @yusufuemauneli9413
    @yusufuemauneli9413 ปีที่แล้ว

    Tunaibiwa mabilioni alafu wana zidi kuongeza kodi ba

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 ปีที่แล้ว +2

    Hakika serekali ya ccm haijali watu wake

  • @hassanrwitita2503
    @hassanrwitita2503 ปีที่แล้ว

    Watu wa ccm hawataki watanzania wasiwe na hela ili tuwe ombaomba kwao.

  • @husseinbachwa8372
    @husseinbachwa8372 ปีที่แล้ว +3

    Mwigulu Kazi ipo

  • @juniorbachelor8296
    @juniorbachelor8296 ปีที่แล้ว +1

    Nchi kama ya mama yake iii nchi ngumu sana

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 ปีที่แล้ว +1

    Mwigulu anasema hawezi kuongea na waganga wa kienyeji muhamie Burundi ana dharau sana .

  • @yusufuemauneli9413
    @yusufuemauneli9413 ปีที่แล้ว

    Oyo nimpigaji hana muda na nyie

  • @mariasmith4301
    @mariasmith4301 ปีที่แล้ว +1

    Mwigulu ni tatizo Sana tunaushi maisha magumu Sana sababu yake

  • @majebelemathis9991
    @majebelemathis9991 ปีที่แล้ว +1

    Mwiguru ni jizi tu la selikali

  • @josephkisoso6648
    @josephkisoso6648 ปีที่แล้ว

    Mheshimiwa mama Samia suluhu Hassan tunakuomba ututolee hiyo mwigulu nchemba maana hafai kuwa waziri wa fedha ,mpeleke hata sekta ya mifugo akaongoze ng'ombe na mbuzi

  • @andrewIzdory-sk4cu
    @andrewIzdory-sk4cu ปีที่แล้ว +1

    Daktari wa uchumi 0-

  • @jonathanakhabuhaya1693
    @jonathanakhabuhaya1693 ปีที่แล้ว

    Katika nchi zenye utawala bora, baada ya sakata hili Mawaziri wa Fedha na Viwanda walipaswa kujiuzuru, na kama wakisita, Rais kuwafukuza. Kwa lugha ya Kikemia ya Form I, hii ndo "litmus test"ya uwajibikaji!

  • @peterjohn1969
    @peterjohn1969 ปีที่แล้ว

    Waziri ajitambui atambui majukumu yake ni kwawana nchi yeye anajua uwaziriwake unafanya KAZI ikulu mwigulu amna anachojua

  • @HumphreyKarua
    @HumphreyKarua ปีที่แล้ว

    Kwa kweli hali ni mbay sana ni jukumu la bunge kuona tattoo ni lipi na nani muhusika. Wayu wengi wanajuwa kazi zsido yako weweta
    Tanzania incestuous million 61

  • @alexsuleiman3795
    @alexsuleiman3795 ปีที่แล้ว +1

    Mwigulu atufai

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta1597 ปีที่แล้ว

    Hii ni shida wapangaji wanawalipia WENYE nyumba kla mwezi ukiweka umeme unakatwa kla mwezi mambo haya ni ya hovyo sana

  • @adriansarara-pg9vv
    @adriansarara-pg9vv ปีที่แล้ว

    kwan mama aon mamb wana ich wanayo sem duu pak anatufany tusimpend pak lais duu

  • @ZagambaMnubi
    @ZagambaMnubi ปีที่แล้ว

    Tatizo teuzi ni zaupendeleo mfano huyo Mwigulu wakati kuna Madaktari wenye akili timamu kama Kimei au mpaka uwe mzungumzaji matendo zero

  • @hanslikecha4786
    @hanslikecha4786 ปีที่แล้ว

    Kusema niswala jengine na kutekerezwa niswala jengine

  • @vintagemusicgroup9236
    @vintagemusicgroup9236 ปีที่แล้ว

    Huyu Mwigulu si ajiuzulu tu, anasubiri nini?

  • @gloriachristian1470
    @gloriachristian1470 ปีที่แล้ว +2

    Ana kiburi sana huyu baba,,watu wanashida wala haoni anasema wanae wanasoma feza mungu fundi wqondoe wote hao

  • @stanleyfocas8250
    @stanleyfocas8250 ปีที่แล้ว

    Sii apigwe chini wapigwe chini

  • @judaspantaleo9779
    @judaspantaleo9779 ปีที่แล้ว

    Lazima mwigulu apigwe nyundo

  • @kutikavu-jk7ue
    @kutikavu-jk7ue ปีที่แล้ว

    Mwigulu hatufai,kiburi dharau si binadamu!!

  • @saidomary3370
    @saidomary3370 ปีที่แล้ว

    Hapa ndooo tunamkumbuka jp

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 ปีที่แล้ว

    Omba ulinzi kabisaa😂😂😂

  • @raphaelmohamed7314
    @raphaelmohamed7314 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 ปีที่แล้ว

    Mwigulu kibri sana....

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 ปีที่แล้ว

    Yaani mwigulu kama atakuja kuwa rais wananchi watapata taabu saana

  • @dottomsuya6597
    @dottomsuya6597 ปีที่แล้ว

    Aondoleww

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 ปีที่แล้ว

    Magufuli alishampiga Left mwenye alimrudisha kwenye uwaziri ana lake jambo

  • @BrianMposindawa-wd8od
    @BrianMposindawa-wd8od ปีที่แล้ว

    Daah!

  • @SanareMollel-wg7nu
    @SanareMollel-wg7nu ปีที่แล้ว

    👍

  • @joshuabartonpolelaab4985
    @joshuabartonpolelaab4985 ปีที่แล้ว +1

    😁😁😁😁duh mwigulu amepigwa vibaya mno