MWIGULU AKALI KUTI KAVU "WEWE NI DOKTA WA WAPI?, NIMESHAWEKWA JELA SIKU 10, WANAKULA RUSHWA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 พ.ค. 2023
  • #UhondoTV #Uhondo

ความคิดเห็น • 43

  • @godsonndamgoba8053
    @godsonndamgoba8053 ปีที่แล้ว +1

    Mpaka watu wamefikia hv ,ujue mwamechoka hali sio nzuri.

  • @samwelimarwa5267
    @samwelimarwa5267 ปีที่แล้ว +1

    Mwigulu unatushangaza sana,ondoa hii tozo ya kukatwa hela unapotaka huduma ya NMB mobile bank kwa kutuma hela au kuangalia salio hii si sawa.

  • @malugumachafu9892
    @malugumachafu9892 ปีที่แล้ว

    Asante kwa kutuwakilisha kaka

  • @yassinhamza1969
    @yassinhamza1969 ปีที่แล้ว

    Safi

  • @leonardmwayeya13
    @leonardmwayeya13 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @RajabuJuma-no7cs
    @RajabuJuma-no7cs 9 วันที่ผ่านมา

    mwi guru Ando ke

  • @jackhans7708
    @jackhans7708 ปีที่แล้ว +2

    Ninampa week 2 tu mwigulu nchemba atatumbuliwa.

    • @thomastarimo
      @thomastarimo ปีที่แล้ว

      Na mwingu tunakuakiishia ukiingia tena bungeni labda dunia ipasuke ndipo utaingia bungeni

  • @MbwanaFrances
    @MbwanaFrances ปีที่แล้ว

    Assnte kwa kutuwakilisha❤

  • @zainabismail359
    @zainabismail359 ปีที่แล้ว

    Inaumiza sana

  • @bettykasase1267
    @bettykasase1267 ปีที่แล้ว

    Kabisaaaa

  • @masachihorticultureunitcol711
    @masachihorticultureunitcol711 ปีที่แล้ว

    Mmesahau Hotel levy . Eti 10% ya mauzo

  • @isihakamshare3396
    @isihakamshare3396 ปีที่แล้ว

    Eti sijui mbwai.

  • @godlovefrank8489
    @godlovefrank8489 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jama anajua

  • @geey7893
    @geey7893 ปีที่แล้ว

    Maaninaa Mwigulu angejiuzulu leoo lakin kwa sababu anashare hisa na akina Musoga hatoki

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 ปีที่แล้ว

    Watu wamechoka....Mwiguru ni kibaka sijui!!!!!!

  • @heliudjulias7748
    @heliudjulias7748 ปีที่แล้ว

    Uyu mzee achongewe mnala wake

  • @sanduulemo
    @sanduulemo ปีที่แล้ว +1

    Watu,wanamaumivu makubwa sana,watendaji nishida,hawana huruma!kabisa

    • @FatumaJawa
      @FatumaJawa ปีที่แล้ว +1

      Mama yetu samia makufuli alimfukuza uyo waziri nchemba kwenye uwaziri twakuomba fukuza kamata utajiri wake

  • @rashidimaeda4505
    @rashidimaeda4505 ปีที่แล้ว

    Mama samia ana kazi ya kufanya kubwa sana

    • @FatumaJawa
      @FatumaJawa ปีที่แล้ว +1

      Makuful na mgulunchemba

    • @thomastarimo
      @thomastarimo ปีที่แล้ว

      Ana udoctor wowote uyo labda udoctor wa ujambazi pamoja na rushwa eti doctor kuna doctor mwenye roho mbaya kama mwingulu duniani

  • @emmanuelelam555
    @emmanuelelam555 ปีที่แล้ว

    Mnafer mbna video inaganda

  • @samweljames8947
    @samweljames8947 ปีที่แล้ว

    Funguka kaka

  • @lailalaila8206
    @lailalaila8206 ปีที่แล้ว

    Watu wamechoka jmn maumivu tu kila kona wezi jmn

  • @saimonisichimata8559
    @saimonisichimata8559 ปีที่แล้ว

    Haaaaa watu wameumizwa

  • @saimonisichimata8559
    @saimonisichimata8559 ปีที่แล้ว

    Toa ya moyon kaka

  • @salcle9702
    @salcle9702 ปีที่แล้ว

    Serikali Bado inanuka rushwa tu.wachane makavu

  • @iddyjuma8036
    @iddyjuma8036 9 วันที่ผ่านมา

    Mwigulu atuacheee

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 ปีที่แล้ว

    Dunia I kote ndivyo ilivyo kwakuwa unaruhusiwa kudeduct kwenye fina tax yaani wakati unalipa Kodi ya mapata we acha kudanganya watu ajirini wahasibu vijana wengi wamesoma uhasibu wawatunzie kumbukumbu za mauzo na matumizi

    • @djnotoriuz
      @djnotoriuz ปีที่แล้ว

      Poa zihesabu zote kwa Jumla basi sio issue kuhesabu issue uwingi wa kodi
      25 import duty
      18 vat input
      4 railway development
      Wharphage
      Release
      Maelewano
      Clearing agent
      Rent
      Transport charges
      Utilities
      Workers
      Nssf
      Wcf
      Taka
      Fire
      Business licence
      Tax clearance cerficiate
      Interest on loan
      Then income tax on profit
      Pale pia Maelewano rushwa

  • @marandoruzali1946
    @marandoruzali1946 ปีที่แล้ว

    Hilo ni jipu kabisa tena bonge la jipu

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 ปีที่แล้ว

    Hapo upo na watu wengi wanakusifia lakini nchi hii ukitoka hapo tayari uhuru wako umeisha kinachofuata ni kukupekua hadi ufiisike kama sio kupata kesi ya jinai kuwa na kiasi unapo ongekea mambo binafsi na ya viongozi wa Serikali

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 ปีที่แล้ว

      Mtazamo wako ni wa kuabudu watu, ifike pahala watu waseme tu hata kama watasulubiwa, kwani tayari wamesulubiwa bila hata kusema

    • @simonsadala2386
      @simonsadala2386 ปีที่แล้ว

      @@bcozhenry2698 hakuna aliyekatazwa kusema ila unasema nini Kwa maslahi ya nani na Kwa nini ulisema hayo utayakuta ukiwa kwenye chumba cha mahojiano, tueleze nani alikutuma

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 ปีที่แล้ว

      @@simonsadala2386 hayo maswali huwa yanajibiwa na Mungu inapotokea kuna waliolewa kodi ya taifa na kuhisi wao ni bora kuliko Muumbaji wa hao wanaolalamika!

    • @andemarley2705
      @andemarley2705 ปีที่แล้ว

      ukiona watu wanasema hivyo ujue watu wamechoka hawaogopi na bora wasema kuliko kukaa kimya na binadamu muogope MUNGU tu sio binadamu

  • @mwanamvuasaid9196
    @mwanamvuasaid9196 ปีที่แล้ว

    Amtoe huyo wazili mbona magum ayati magum alimtoa mama mtoe hatumtaki

    • @aliyageorge6794
      @aliyageorge6794 ปีที่แล้ว

      Hawezi kumtoa kwa kuwa ni kundi moja!

  • @mcyudasicqo9610
    @mcyudasicqo9610 ปีที่แล้ว

    Safi wa tanga

  • @mcyudasicqo9610
    @mcyudasicqo9610 ปีที่แล้ว

    Tanga alubadili imeandaliwa