UNASEMAJE WEWE ? TRA HAWAJUI HESABU, NJOO HAPA USEME VIZURI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 62

  • @patoojonas8519
    @patoojonas8519 ปีที่แล้ว +12

    Tutamkumbuka magufuli daima milele

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 ปีที่แล้ว +4

    JOHN POMBE MAGUFULII AMMKAAAAAA HUKU WANANCHI MASIKINI WANAKUFAAAAAAA BABA.

  • @PETERBOAZ-u8b
    @PETERBOAZ-u8b หลายเดือนก่อน

    Safi sana huyu mzee Yuko sahihi hususan ngara Kagera ni rushwa tuu

  • @pascarmwatosya5855
    @pascarmwatosya5855 ปีที่แล้ว

    Daaa!! Mjombaa kaongea point Sana Sana serikali yachukueni hayaaa

  • @pascarmwatosya5855
    @pascarmwatosya5855 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubaliki Sana Tena sana waziri mkuu, Chukua pointi hizo hata sekta ya madereva Haina mtetezi bungeni kwenye zile nafasi 10 tukumbukwe madere

  • @stevenemwakasimba-pt8er
    @stevenemwakasimba-pt8er ปีที่แล้ว +20

    Magufuri bado atakumbukwa kwa kuendesha nchi kibabe lakini alikua anasaidia sana upuuzi kama wa hawa wajinga tra

    • @luckygmdegela8477
      @luckygmdegela8477 ปีที่แล้ว +2

      magufuli ndie alikuwa RAIS hawa wengine wezi tu

    • @butungo1
      @butungo1 ปีที่แล้ว +1

      Nilimpenda JPM

    • @FreeGod368
      @FreeGod368 ปีที่แล้ว +1

      @Mohamed Elmi we unaongea kidini peleka mavi huko

    • @Worldunite
      @Worldunite ปีที่แล้ว

      ​@Mohamed Elmi una uhakika wewe??? Labda ulikuwa nje

  • @fnnyanda5993
    @fnnyanda5993 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ila kwa kweli watu wana Uchungu sana,TRA ichunguzwe.

  • @harithimahmoud1577
    @harithimahmoud1577 ปีที่แล้ว +2

    Hamjawapiga shaba tu: ao TRA

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 ปีที่แล้ว +3

    Tutakumbuka, JPM aliwaita wafanya biashara Ikulu na akawasikiliza changamoto zao na vile vile aliwaita wachimbaji madini na kuwasikiliza. inabidi tujifunze kama serikali yetu ni ya wananchi basi vilio vya wananchi lazima visikilizwe. Taasisi za serikali nyingi zina shida wengi wa watumishi wake wao wanaona wameukata! Kitu ambacho kinakaribisha rushwa!

  • @ahmadimbazi5843
    @ahmadimbazi5843 ปีที่แล้ว +3

    Fact

  • @Gidionmbwaga
    @Gidionmbwaga ปีที่แล้ว +3

    TRA wanajua namba siyo hesabu nikwel kabisa.

  • @summanelson5523
    @summanelson5523 ปีที่แล้ว +8

    Ha ha ha!!! TRA wanajua namba hawajui hesabu!!!!!😁😁😁

  • @senyagwadickson9084
    @senyagwadickson9084 ปีที่แล้ว +6

    Huu ni mfumo wa hovyo wa chama cha mapinduzi CCM CCM ilikuwa nzuri wakati wa JPM ,

  • @hamisimsosi6237
    @hamisimsosi6237 5 หลายเดือนก่อน

    Safii. Sana jamaa ameongea pwenti wafanya biashara tuwe na wawakilishi bungeni😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @aaminaasljbgbvf745
    @aaminaasljbgbvf745 หลายเดือนก่อน

    Kimeumanaaaa 😆😆😆😆😆

  • @mashachaney2048
    @mashachaney2048 ปีที่แล้ว +3

    Wanaume wanaumia hawa..wanaongea kwa maumivuuu😢😢

  • @asnathmasegenya9890
    @asnathmasegenya9890 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli wanajeuri mno

  • @philemonbenjamin4225
    @philemonbenjamin4225 ปีที่แล้ว +3

    Kaka nimekuku bali

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 ปีที่แล้ว

    Nhi yote ni walarushea sasa mripuku umekuwa mkubwa hakuna atakayepona maisha yatakuwa magumu sana sifa mbaya kwa serikali na nchinzima jumla 🇹🇿

  • @BarakaKatamba-xm2if
    @BarakaKatamba-xm2if ปีที่แล้ว +4

    Wapo pale mikumi wanatusumbua Sanaa nauli wanajipangiaa wao mkuu tusaidie na hilo

  • @marymwasiga
    @marymwasiga 5 หลายเดือนก่อน

    Maginga' kama,, Maginga,,

  • @senyagwadickson9084
    @senyagwadickson9084 ปีที่แล้ว +2

    Siku ileile wakati wafanyabiashara walipokuwa wanalalamikia kuhusu hawa wajinga wa TRA jpm angewafukuza siku ileile pamoja na huyo waziri wao mwenye kiburi na huyo mama waziri wa biashara hajui kitu chochote

  • @gabrieljohn6422
    @gabrieljohn6422 5 หลายเดือนก่อน

    Daaah hii nchi CCM mlipo ifikisha MUNGU anajua

  • @shabanishemzize5655
    @shabanishemzize5655 5 หลายเดือนก่อน

    Kweli kwa tanga mtihani kweli kweli

  • @juliusryoba3142
    @juliusryoba3142 หลายเดือนก่อน

    Yasemwayo yapo ka hayapo yaja!

  • @deusdickson
    @deusdickson ปีที่แล้ว

    Wanajua namba nn!!

  • @JewsJews-c8w
    @JewsJews-c8w หลายเดือนก่อน

    Hao hawakusikiliza

  • @MjuniLaulian
    @MjuniLaulian 5 หลายเดือนก่อน

    Mwelekeo mzuri kwani chama kitawanyosha na kuwafunza jiongeze wafanya bihashara wageuka wasomi na wasomi wageuka wezi na wanyanganyi ukiona mchanganyiko hio jua umefika Tanzania

  • @shabansumaiya4770
    @shabansumaiya4770 ปีที่แล้ว +1

    Hao t.r.a wafuatiriwe mali wanazomiliki zilinganishwe na mishahara wanayolipwa

  • @MngwaliAllykizangwa
    @MngwaliAllykizangwa 5 หลายเดือนก่อน

    Wametengenezewa mfumo wa kudai rushwa,na kweli rushwa wanasomba

  • @Imanaiwachu
    @Imanaiwachu 5 หลายเดือนก่อน

    Wezi hao waache kuiba tufukuze washenzi hao kenge kbs wanaendesha magari mazuri na family zao nikuchoma izo nyumba na magari

  • @jeremiamsuya1820
    @jeremiamsuya1820 5 หลายเดือนก่อน

    Ndio vizur chadema wpate chans

  • @EmmanuelLupoja
    @EmmanuelLupoja 5 หลายเดือนก่อน

    Tunakoelekea tz tutakuja kuwa Kenya

  • @rashidkihunga2938
    @rashidkihunga2938 ปีที่แล้ว

    kama kar limebalishwa maumbile je mabint wakibadilisha makaliyo .wanalipa tra .pret nomba imendondoka je nikilidisha no zile zile ni kosa

  • @chombasimon
    @chombasimon ปีที่แล้ว

    Kiongozi unatakiwa kustaafu kwa Hali hii, utachafuka. Watu wanyonge tulikuamini sana pamoja na jpm.

    • @swedinjaidi4658
      @swedinjaidi4658 ปีที่แล้ว

      Sasa ye na TRA anahusikaje hapo mwigulu ndio muhusika na waziri wa biashara na viwanda

    • @Maalim_Samatta
      @Maalim_Samatta ปีที่แล้ว +1

      @@swedinjaidi4658 asa we Kwa fikra zako unadhani Kwa nn ameitwa waziri mkui?????

  • @GreceMwalende
    @GreceMwalende 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu waziri wa wafanyabiashara msenge

  • @jeremiamsuya1820
    @jeremiamsuya1820 5 หลายเดือนก่อน

    Hawa sasa tutawa shughulikia hatakwa mapanga

  • @SmilingApron-zw6ne
    @SmilingApron-zw6ne 5 หลายเดือนก่อน

    MBONA HUYU MUONGEAJI HANA ADABU KATIKA KUONGEA KWAKE?

    • @ngasalagambi6585
      @ngasalagambi6585 หลายเดือนก่อน

      Mpumbavu wewe hao tra wanapochukua rushwa wanatumia ustarab ipi

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 ปีที่แล้ว +2

    TRA inanuka Rushwa tupu

  • @CharlesMhindi
    @CharlesMhindi 5 หลายเดือนก่อน

    Hii nchi inatakiwa umafia wa kufa mtu Yani mtu akikuonea kwenye biashara yako ni kumpoteza tu

    • @emmanuelndahan9815
      @emmanuelndahan9815 5 หลายเดือนก่อน

      Piga ndumba2

    • @CharlesMhindi
      @CharlesMhindi 5 หลายเดือนก่อน

      No way hapa mwendo wa kuwapiga utamaduni tu ( kama utakumbuka yule askari aliye zuia gari ya samaki hadi wakaoza, kilichomkuta

  • @ennyngalawa2809
    @ennyngalawa2809 ปีที่แล้ว

    Hawakutii mamlaka

  • @JohnMuhoza-sf5xg
    @JohnMuhoza-sf5xg 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂

  • @yohanasimoni
    @yohanasimoni 4 หลายเดือนก่อน

    Utamu kunoga

  • @hassanmasoud8167
    @hassanmasoud8167 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @JacksonMolely-kd7lr
    @JacksonMolely-kd7lr ปีที่แล้ว

    @

  • @DaimaNyakunga-jb6do
    @DaimaNyakunga-jb6do 5 หลายเดือนก่อน

    Tanzania raisi hayopo

  • @chombasimon
    @chombasimon ปีที่แล้ว +1

    Kiongozi unatakiwa kustaafu kwa Hali hii, utachafuka. Watu wanyonge tulikuamini sana pamoja na jpm.