Millard we jamaa unajua sana kufanya presentation aiseee hii habari nimeiona kwenye channel kadhaa but the way unavyoipresent now nahisi sijaiona aiseee
Aliyegundua hii nyumba imejengwa kwa ajili ya biashara agonge like .coz hii nyumba inaweza pangishwa kwa ajili ya matumizi ya presidential na ikamuingizia pesa nyingi tu kwakuwa huyu ni tajiri mwenye kufikiria Sana ,matajiri huwa hawafanyi vitu kwa makusudi .all in all big up kaka umewainspire matajiri na wachacharikaji wengi
Wadada sasa hapo, mmh Mungu aniepushe na tamaa. Ila Mambo kama haya wanayaeeza wenzetu wazungu, wabongo umetangaza Vita. Mungu aendelee kukusaidia. Millard nampenda huyu kaka, Mungu akutunze na akujalie lililo la kheri na familia yako
Mashaallah kinachosikitisha ni siku ataiacha hiyo nyumba na Mali zake zote atakwenda kulala sehemu dhalili Tena ndogo na hata kwenda na chochote na ataacha Kila kitu kwa sekunde moja TU.namuombea kwa Allah ampe afya njema na maisha marefu ya uchamungu.
Nimemwelewwa sana jamaa yuko vizuri sana. Mnyenyekevu, mcha Mungu, ana fikra huru, ana kila sifa ya uzarendo kwa nchi yake, nimeshindwa kumtofautisha na Luge. Big up sana bro. Naomba mawasiliano kuna mambo uweze kunisaidia
Vijana tufanye kazi sana kuliko tulivyowahi kufanya maishani. Hatuna muda wa kupoteza kwenye jambo lolote ,wanawake wapo na wanaume wapo ( Starehe zipo ). Pia tumpe Mungu nafasi ya kwanza kabla ya jambo lolote. Hatujui huyu alipataje mali, tumemjua baada ya mafanikio yake. Tufanye kazi. Asante @Millard Ayo , kwa kuwa jicho letu kuona yanayojili duniani.
🎉🎉nimepitia comments nimegundua saiv wa Tz wamebadilika sana coz ungesikia Freemason …but watu wana struggle …. Ukiwahuna just say sina but some people are really blessed, #Millard ur blessed too en uko na hekima hutafuti kiki ,ur the best 🎉🎉🎉
Millard hapa umeshkuru kwa herufi kubwa sababu ni jina la mama Millard! Big up home boy unafanya poa sana! Super proud of you!❤ Msalimu maza sana chuga tumemmiss sana!
Big up sana kwa kaka yetu Mulokozi!! You really inspired many young people to become successful just like you💯big up sana kwa Mtu mzima the Rude boi’ kaka Millard Ayo!! Ebwana unaweza sana✊🏾
much respect mulokozi halafu anaonekana hana majigambo na ni bilionea tunashukuru sana kutuwakilisha kwenye nchi za watu wajue tz pia wanaweza vipi diamond yuko wapi na vicheni vyake ni machinga
Mimi sisemi kitu Basiii 😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏Nashukuru MUNGU Brother David Mulokozi Uliwahi kuniambia ya miyoni kabisa kuhusu kipaji changu na ukanitia Moyo sanaaa MENGINEYO NAPAMBANA HUKU NIKISUBIRIA WAKATI WA MUNGU....... UBARIKIWE SANA MY FRIEND 💪🎸🎤🎹🎺
Duh!!!🎉🎉🎉🎉 Nimependa sana alivyo humble hasa pale alipowaambia wale wadada sijui ni wadada wa kazi au veep kwamba "samahani tunataka tuje na huku" yaani katumia lugha nzuri sana.
Congratulations to Mr David aka Mulokozi.Ninamfahamu 2015 hivi alikuwa na hustle za kawaida sana Arusha.Ni mkristo pia na mpole kama alivyo! Akiona comment hii lazima atavuta hisia akiwa Arusha hicho kipindi cha kujitafuta.
Mr Mlokozi ! Hongera naendelea kutafakari ukuu wa Mungu kupitia kwako kwa uweza wa Mungu naamini najivika imani hio Mungu attendance kwa wkt songe mbele br
Uyu bro looks humble and I liked the way alivyokuwa anajibu..more grace bro . Siyo kama mwijaku, gorofa moja kelele nyingi,,wapo watu wenye pesa kama mulokozi, very simple , and inspiring.
Hongera sana Millard kwa interview yenye tija kwetu sote. Sasa nisaidie nipate namba ya kaka mulokozi anisaidie jambo fulani ktk ushauri. Kaka Millard kwa kweli hakuna anaeweza kuifikia kazi yako you are the number One. More congratulations to you and my brother mulokozi
Mulokozi Hongera sana sana. Ujenge kila Region Hiyo ni Hardwork and Taste of your choice. W nerd Many Brothers like you.God bless you more and more so you Also Give charity in Billions.
Jmn nimependa sanaaaa kuna watu wanaish mwijaku atulie sasa hii ndio nyumb sasa alf amn makelele meng amn sifa nying neno la mwish tufanye kaz kwa bidii 🎉
Alhamdulillah cyo tu kuangalia ila tumejifunza kitu kutoka hapo Allah atujalie umri mrefu wa kuweza kufanya ambavyo atatujaalia kuvifanya na kupata mafanikio.
Brother Mulokozi, safi sana, nyumba nzuri yenye thamani kubwa, furniture zenye thamani ya hatari, vito vyenye thamani ya hatari, security ya hali ya juu, kikubwa zaidi ni kwamba you are very cool huna kelele na mtu. May God bless you, brother.
To me, it looks like luxury resorts & future luxury air BnB, the owner he's a real visionary man. Congratulations & salut for this incredible investment. Thanks, Millard, for this amazing interview. God bless.
Onyoooo kwawotee kuanzia leo.hakuna kutumia neno nfanyabiashara,tena marufuku!! Utakuta mtu hamjaonana sikumbilitatu.unamuuliza mwenzangu unafanya kaziwapi???? Yeye tena,mimi nfanya biashara😅😅😅😅. Unamuuliza biashara gani oooh nipo kariakoo nauza mitumba,pochi,mashuka.weee nyamaza.au mwingine ninaduka lavyakula ndio nipohapo kaeni kimya wote.tunaposema neno nfanyabiashara.tunamaanisha nfanyabiashara nimulokozi peke yake hapa Tanzania.wengine wote tunaganga njaa.maana tusipo tembeza njegele au mbaazi.nyumbani hapakaliki hapaliki😅😅😅😅.lkn tunaposema nfanyabiashara mulokozi yupo nyumbani kwake anaangalia movie za action huku mipesa inaingiatu.ndani kwenyewe kunahamasisha usitoke.jamanii hii yakusema sisi sio milima tutaonana sizani kama nikweli.kama huyu mulokozi mimi nitamuona wapi??hapo si milima tayari haiwezi kuonana!!!! Millad ayo mwenyewe anatembea mule ndani anatamani asitoke .amezungushwa ndani mpaka macho yamekua makengeza chezeawewee.kunawatu wanaishi hii dunia mpaka unajishangaa unajiuliza sasa mimi hapa duniani nilikujaje?? Au nilikuja kufanya nini??? Kumbe uliletwa kwa makusudi tumchekeshe mulokozi atakiwi kukasilika wala kununa😀😀😀😀😀😀😀.haya kaka Mungu aendelee kukupigania.Ameeee
Dakika ya 19-21. Nilikuwa nasubiri kusikia kwa hamu saana kuhusu music aliyonayo na ameikata kiu yangu nakujua kuwa jamaa ni mtu makini. Hii kitu BOSE LIFESTYLE ni zaidi ya muziki. Bei moto lakini sound quality is a such rejuvenating one. Haina mpinzani
Ukiacha "TBC UKWELI NA UHAKIKA" sasa Tuna "MILLARD AYO UKWELI MTUPU"mimi Binafsi nikisikia kuna habari inayotrend mitandaoni kama nisipoiona Kwa MILLARD AYO Wala ata sihangaiki tena kupoteza Bando Langu MUCH RESPECT BRO MILLARD MIMI NI MMOJA WA VIJANA NINAEKUPENDA SANA 🙏🙏
Hongera kwake billionea. mimi humu ndani napotea, si kwa mazingira tu lkn hata na vifaa vyake. lkn pia, namna ya kumanage hii nyumba mpangilio na usafi! Shikamoo Mulokozi
So nice nimependa Sana mungu azidi kukulinda akupe Afya njema na family yako, nimependa tu unapenda watt wako so nice, mngekuwa wa baba wote kama huyu jamaa mkatunza tu watt wenu mngetupunguzia mzigo ma single mother na sie tu kafanya maendeleo kama tujenga ata nyumba ya viumba 3😢
Haki ya mama nitafute pesa...unyama unyama unyama mara trillion..glass house my dream house kbla sijafa must kutimiza ndoto zangu ntakua naangalia kipande kila asbh kunitia moyo lazima nipambane...mulokozi asante uninistua nianze mapambano
Kaka Mulolozi hongera sana kwa maisha hayo pia umetoa elimu nzuri ya kujiwekea akiba nakushukuru sana, mwenyezi Mungu azidi kukubariki nami natamani sana kuinuka ila ndio hivyo mtaji hautoshi hata! Kila siku kuanguka na kuanza upya! Eeh Mungu naomba nisaidie mimi 😢
Mpka nimetamani baba yake mzazi angekuwa hai,,, naye angekuwa na chumba chake 😢😢,,, Mungu amlaze mahali pema peponi maana kachangia sana kijana wake kufika alipo sasa ❤❤❤
Mwenyezi Mungu azidi kukubariki akuepushe na mahasidi uzidi kufanikiwa zaidi tena na tena akupe na miaka mingi ya kuishi uishi maisha na akujariye uishi maisha ya furaha zaidi
Millard we jamaa unajua sana kufanya presentation aiseee hii habari nimeiona kwenye channel kadhaa but the way unavyoipresent now nahisi sijaiona aiseee
ASANTE SANA MARJEBY
very clear kabisa👌
Ngoja nikusaidie kuitaja ilikuwa global tv nikaavhana kuangalia nikasema mzee Millard akienda ntaichek l.Jamaa yuko serious sio wale wenzake
Kabisa jamaa anajua balaaa
Mwijaku yuko wapi hahha😂😂
Milad na wewe mungu akupe sikumoja tutaona nyumba yako nzuri sana ..hongera kwa kazi nzuri❤❤❤
Aliyegundua hii nyumba imejengwa kwa ajili ya biashara agonge like .coz hii nyumba inaweza pangishwa kwa ajili ya matumizi ya presidential na ikamuingizia pesa nyingi tu kwakuwa huyu ni tajiri mwenye kufikiria Sana ,matajiri huwa hawafanyi vitu kwa makusudi .all in all big up kaka umewainspire matajiri na wachacharikaji wengi
Una Akili sana Mkuu 😅
Kwakweli kwa hili nimejiona mjinga kabisa! Huyu kaka ana aakili jmn 🤣🤣🤣🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Unajidai ndio umefikiliiiiiiiaaaaa acha izo fikilia viwanda na wewe ujenge
This is how the rich stay rich
Hata mwenyewe kasema hivyo hivyo.. itakuwa hukusikia
Mungu amjalie mme wangu na liziki tufike mbali🙏
❤❤
😂😂😂😂unachekesha
Amen
Sema akujalie wewe mwenyewe sio mme wako
Lakini sio hapo
Yaani kuoparate system za nyumba tu lazima IT anaejielewa, Mulokozi ni next level 🎉🎉🎉
Millard Ayo unaweza unaweza unaweza tena, yo the best presenter in Tanzania and Abroad, I do like your work🎉
Wadada sasa hapo, mmh Mungu aniepushe na tamaa. Ila Mambo kama haya wanayaeeza wenzetu wazungu, wabongo umetangaza Vita. Mungu aendelee kukusaidia. Millard nampenda huyu kaka, Mungu akutunze na akujalie lililo la kheri na familia yako
Mungu akuzidishie akupe na afya njema wakwetu akika mungu amejibu maombi yako daaah nimebak mdomo waz kw ela zilizotumika apo kwenye ujenz
Ifike mahali nimshukur mungu kwa hatua nilonayo.. Na nitafika hutua hii InshaAllah.
Hongera Sana billionaire Mwenangu Mabilinea Wenzangu tukutane hapa
😂😂😂
Kila mpambanaji Mungu uumpa kadili ya juhudi zake hongera Bilioner umeweza umeweza umeweza tena
Milady watu tunakuamini saana unajitofautisha saana na media online zingine salute BROO🙌 na Uko humble ndo maana hata wanaokupa mahojiano wanakuamini
SHUKRANI MARIAM !! MUCHLOVE
Kipindi nipo chuoni Augustine tulikuwa tunamwiya CR was taifa,tunakupenda na tunakukubali San bro❤
Nilicho kipenda na wewe millard ayo umevurugika tutafte ela😊😊
MashaAllah 🎉🎉🎉tufanye kazi jamani...hatuezi kuwa mabilionea wote,ila tunaweza kuwa na maisha bora
Ma sha Allah, KWENYE vinywaji vya kulevya ....nyie vipi......
Hakika
True
Mashaallah kinachosikitisha ni siku ataiacha hiyo nyumba na Mali zake zote atakwenda kulala sehemu dhalili Tena ndogo na hata kwenda na chochote na ataacha Kila kitu kwa sekunde moja TU.namuombea kwa Allah ampe afya njema na maisha marefu ya uchamungu.
Nimemwelewwa sana jamaa yuko vizuri sana. Mnyenyekevu, mcha Mungu, ana fikra huru, ana kila sifa ya uzarendo kwa nchi yake, nimeshindwa kumtofautisha na Luge. Big up sana bro. Naomba mawasiliano kuna mambo uweze kunisaidia
😅
@@AnethLwaitamasasa mbona unamcheka mwenzako😂😂
Acheni kukimbilia Dar maisha nipopote hongera Mulokozi umetufundisha kitu
Alie ona Millard anageuza maji ya afya,. ili yaonekane vizuri weka like apa
Maji yenyewe hayanywi kudadeki
Roho mbaya hiyo.
Yaani hilo tu ndo umeona kati ya yote yaliyo onyeshwa???
Hongera Billionea mlokozi hakika umepambana, umefanikiwa katika umri mdogo kiukweli ume insipire sana bro. Mungu akupe maisha marefu sana.
Khaaa Tanzania nzima huyu ndo Ananyumba Sasa khaaas❤❤❤❤❤
Shukran Millard ayo na tajiri Kwa kutupa mda wote huo na hajikwez ni mnyenyekevo ishii sana tajiri 🙌
Vijana tufanye kazi sana kuliko tulivyowahi kufanya maishani. Hatuna muda wa kupoteza kwenye jambo lolote ,wanawake wapo na wanaume wapo ( Starehe zipo ). Pia tumpe Mungu nafasi ya kwanza kabla ya jambo lolote. Hatujui huyu alipataje mali, tumemjua baada ya mafanikio yake. Tufanye kazi. Asante @Millard Ayo , kwa kuwa jicho letu kuona yanayojili duniani.
Unataka kusema tuache kuomba namba za madem
shida siyo kufanya shida ni kuimiliki pesa na namna ya kuisimamia
@@ackshuba8679😂😂😂😂😂
@@francisthomas1717tuna paswa kuwa na adabu na pesa ase maana bila hivyo haya tutayasikia Kama movie
Hongera kaka ww unaishi🤝mvumilivu hula mbivu 👏👏👏
🎉🎉nimepitia comments nimegundua saiv wa Tz wamebadilika sana coz ungesikia Freemason …but watu wana struggle …. Ukiwahuna just say sina but some people are really blessed, #Millard ur blessed too en uko na hekima hutafuti kiki ,ur the best 🎉🎉🎉
Struggle uone km utafikia hpo haya mambo yanaitaji nguvu za kiroho usidhan atakwambia kila kitu
@@flm1530 kiukweli dont judge too much coz ,, kila mtu ana njia yake ishu nikumuhukumu mtu without knowing 😂😂😂tuishie hapa kwa cku yaleo dear
Milady watu tunakuamini saana unajitofautisha saana na media online zingine salute BROO🙌
ASANTE SANA MARIAM
Millard hapa umeshkuru kwa herufi kubwa sababu ni jina la mama Millard! Big up home boy unafanya poa sana! Super proud of you!❤ Msalimu maza sana chuga tumemmiss sana!
Atukuzwe Mungu milele kwa ajili ya billionaire David Mulokozi. Amina🙏🙏🙏
Wahaya Shikamoo
Wallah hakia MUNGU MUNGU amuweke huyu baba kwakuona tu chumba cha mfanya kazi wa ndani inaonyesha anaupendo na watu wote bila kuchaguwa ❤️❤️❤️❤️❤️
Nawaza hivi na housegirl wa nyumba hio atakuwa msumbufu pia?😢
Mungu amueke atakuwa na maadui Sasa
@@muslimahbossnetworktz😂😂😂😂😂
@@muslimahbossnetworktzsio rahisi hao huwa wanalipwa pesa ndefu mpaka kuacha kazi unaona hasara
...@@muslimahbossnetworktz...Huwezi kujua , anaweza kufikiria kumpindua mama mwenye nyumba..!..🤣🤣🤣
Tajiri Yesu akutunze Mr Mlokozi si rahis tajiri kujishusha jaman uzidi kufanikiwa very inspiring
Millard ulivyosema "hapa ni wapi" , nkamkumbuka mwl wa matheeee. Hongera sana to this guy... good-hearted and very inspirational
Hii nyumba nzuri mwambie anipatie kazi kwenye kiwanda chake
Much inspired by the way the housegirl is being treated in this family. This will give you more payback!
Very true ,In most luxurious home they forget this aspect it was really beautiful to see that .
This is Amazing 👏 🙌 😍
Millard Ayo you're the best Presenter,I salute You.
Nimeipenda hii, Mike Sonko wa kwetu Kenya nadhani hafikii level hii
Hongera sana usisahau kutoa sadaka kanisani
😂😂😂😂
Big up sana kwa kaka yetu Mulokozi!! You really inspired many young people to become successful just like you💯big up sana kwa Mtu mzima the Rude boi’ kaka Millard Ayo!! Ebwana unaweza sana✊🏾
Mpeni salam Yule chawa Mwinjaku anaetupigia kelele kajenga nyumba ya 1.3bilion mwambiye Kuna mwamba huku hatar Masha Allah
Eeeh! Mwenyezi Mungu nikumbuke nami unapowapa wengine ufari mkuu namna hii
Achana na ya duniani
much respect mulokozi halafu anaonekana hana majigambo na ni bilionea tunashukuru sana kutuwakilisha kwenye nchi za watu wajue tz pia wanaweza vipi diamond yuko wapi na vicheni vyake ni machinga
😂😂😂et machinga jmn
Bismillah...Masha'allah ...mngu nijaalie. Na. Mimi siku Moja nipate kile ulichokikusudia Kwangu..❤❤.... tupambane. Vijana..uyu Kaka MNGU ampe afya njema na ulinzi wake. ☑️📌
Vitu vya haramu ndiyo zenye pesa
@@aishamsandawe3029 we ndo umesema
Ndiyo huoni ni biashara ya pombe halafu unasema bismilah
@@aishamsandawe3029umesema hivo sababu unajuwa hauwe yamiliki😂😂😂😂😂
Wahaya gonga like yaha boy umetisha sema umefeli kutoujenga kagera kwenu
Mungu akupe maisha marefu kaka mulokozi ni mtu mwenye moyo safi na unatupa hamasa vijana
Mimi sisemi kitu Basiii 😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏Nashukuru MUNGU Brother David Mulokozi Uliwahi kuniambia ya miyoni kabisa kuhusu kipaji changu na ukanitia Moyo sanaaa MENGINEYO NAPAMBANA HUKU NIKISUBIRIA WAKATI WA MUNGU....... UBARIKIWE SANA MY FRIEND 💪🎸🎤🎹🎺
Hili ni kasri sio nyumba Mungu amzidishie hii ni motisha itasafanya vijana wafanye kazi kwa bidii angalau kuwa sehemu nzuri ya kulala baada ya kazi
Duh!!!🎉🎉🎉🎉
Nimependa sana alivyo humble hasa pale alipowaambia wale wadada sijui ni wadada wa kazi au veep kwamba "samahani tunataka tuje na huku" yaani katumia lugha nzuri sana.
Congratulations to Mr David aka Mulokozi.Ninamfahamu 2015 hivi alikuwa na hustle za kawaida sana Arusha.Ni mkristo pia na mpole kama alivyo! Akiona comment hii lazima atavuta hisia akiwa Arusha hicho kipindi cha kujitafuta.
Mr Mlokozi ! Hongera naendelea kutafakari ukuu wa Mungu kupitia kwako kwa uweza wa Mungu naamini najivika imani hio Mungu attendance kwa wkt songe mbele br
Jamaa yuko very humble aiseee Mungu ambariki...Nice job Millard❤
Uyu bro looks humble and I liked the way alivyokuwa anajibu..more grace bro .
Siyo kama mwijaku, gorofa moja kelele nyingi,,wapo watu wenye pesa kama mulokozi, very simple , and inspiring.
From kenya. This is so amazing. Great Content Millard🙏
bless u karibu Tanzania
PAMOJA SANA FRED
Hongera sana Millard kwa interview yenye tija kwetu sote.
Sasa nisaidie nipate namba ya kaka mulokozi anisaidie jambo fulani ktk ushauri.
Kaka Millard kwa kweli hakuna anaeweza kuifikia kazi yako you are the number One.
More congratulations to you and my brother mulokozi
Tajiri yupo vizuri,angekuwa tajiri mwingine,ungesikia nawahi airport,tutaongea siku nyingine😂😂😂😂🎉
Vocal zenu zimetulia sana Millard hongera kwa kazi nzuri nice presentation camera man fine na billionaire wetu humble sana 😂 amna furniture ya laki😂😂😂
Mulokozi anaonekan si tajir wa Mali tuu hata Moyo mzuri anao the way alivyo humble Mungu ampe zaid na zaid
NI KWELI
Kumbe umeliona?
Hakika
@@millardayoTZAkaka vipi
Mwenyezi mungu akujalie zaidi ya iyo bro✌️ appreciate 🤲🙏 frm 🇿🇦
Mungu awabariki watu wote wanaojituma kwa bidii na kumtegemea yeye,,hongera sana kaka mulokozi kwa kazi nzuri
Mulokozi Hongera sana sana. Ujenge kila Region Hiyo ni Hardwork and Taste of your choice. W nerd Many Brothers like you.God bless you more and more so you Also Give charity in Billions.
Hongera kaka Milard Ayo, wewe ni mfano mzuri kwa vijana wote wanaopambana.Kazi nzuri.
Jmn nimependa sanaaaa kuna watu wanaish mwijaku atulie sasa hii ndio nyumb sasa alf amn makelele meng amn sifa nying neno la mwish tufanye kaz kwa bidii 🎉
😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅
Safi sana kila mtu kapewa na mwenyezi mungu kwa kiasi Apendacho hongera kwa kuwekeza nyumbani TZ
❤ huyu jamaa anaishi kama maraika.vijana tutafute pesa
Alhamdulillah cyo tu kuangalia ila tumejifunza kitu kutoka hapo Allah atujalie umri mrefu wa kuweza kufanya ambavyo atatujaalia kuvifanya na kupata mafanikio.
MUNGU ambariki mulokozi, nimejifunza kitu ngoja tupambane inawezekana Amen
Umejifunza nn
Brother Mulokozi, safi sana, nyumba nzuri yenye thamani kubwa, furniture zenye thamani ya hatari, vito vyenye thamani ya hatari, security ya hali ya juu, kikubwa zaidi ni kwamba you are very cool huna kelele na mtu.
May God bless you, brother.
Na mimi nitjenga nyumba nzuri zaidi ya hii siku moja
Amen and Amen 🙏🙏
Inshallah
In Shaa Allah
Inshallaha ndugu yangu inawezekana kabisa ,usife moyo pambana na hakika Mwenyezi Mungu yu pamoja na wewe daima
InshaaAllah
He is so blessed, baraka zimepata mtumiaji.. Mungu unikumbuke na Mimi🙏
To me, it looks like luxury resorts & future luxury air BnB, the owner he's a real visionary man. Congratulations & salut for this incredible investment. Thanks, Millard, for this amazing interview. God bless.
Ma Shaa Allah
He already mention that
Airbnb babati huko porini😂
@@ahz6907 huko ndo sehemu za kupumzika haswa.
Mulokozi unashi Jamani hongera sana kaka yani natamani japo nifike Robo ya hatua uliyofika mungu ni mwaminifu 🙏💪
Daah, yaani kungekua hamna kufa watu wangekula maisha sana, hiyo tv tu mimi ningekua kwangu
hahaha 😅 lasima watu wakufe na wache via ndunia
Mungu nipe uvumilivu 🙏🙏🙏niepushe na tamaa najua nitafika tu
Utafika wapi, labda mbinguni!
@@marceljohnkimaty4986 sawa Mungu
It's the David I know... Bravo bravo Bro! Glory to GOD.
Onyoooo kwawotee kuanzia leo.hakuna kutumia neno nfanyabiashara,tena marufuku!! Utakuta mtu hamjaonana sikumbilitatu.unamuuliza mwenzangu unafanya kaziwapi???? Yeye tena,mimi nfanya biashara😅😅😅😅. Unamuuliza biashara gani oooh nipo kariakoo nauza mitumba,pochi,mashuka.weee nyamaza.au mwingine ninaduka lavyakula ndio nipohapo kaeni kimya wote.tunaposema neno nfanyabiashara.tunamaanisha nfanyabiashara nimulokozi peke yake hapa Tanzania.wengine wote tunaganga njaa.maana tusipo tembeza njegele au mbaazi.nyumbani hapakaliki hapaliki😅😅😅😅.lkn tunaposema nfanyabiashara mulokozi yupo nyumbani kwake anaangalia movie za action huku mipesa inaingiatu.ndani kwenyewe kunahamasisha usitoke.jamanii hii yakusema sisi sio milima tutaonana sizani kama nikweli.kama huyu mulokozi mimi nitamuona wapi??hapo si milima tayari haiwezi kuonana!!!! Millad ayo mwenyewe anatembea mule ndani anatamani asitoke .amezungushwa ndani mpaka macho yamekua makengeza chezeawewee.kunawatu wanaishi hii dunia mpaka unajishangaa unajiuliza sasa mimi hapa duniani nilikujaje?? Au nilikuja kufanya nini??? Kumbe uliletwa kwa makusudi tumchekeshe mulokozi atakiwi kukasilika wala kununa😀😀😀😀😀😀😀.haya kaka Mungu aendelee kukupigania.Ameeee
Wanaosemaga wahaya wanajidai naisi mmeona hasa maana alisi ya muhaya ❤ni lazima uwe na pesa kama mlokozi ❤ nimekufuraia kaka yangu big up ❤
Namisifa kwani lazima aonyeshe mali zake wangapi wana utajiri kuliko yeye mbona hawaonyeshi mali zao wahaya sifa nyingi hata kama nanye ndi muhaya
@@fatmafatu1128ACHA wivu
@@fatmafatu1128Wivu katika ubora wake😂😂😂😂
@@fatmafatu1128katoa inspiration kuna watanzania sasa watajua haya maisha yapo bongo hii na hata wewe ukitaka utaishi
@@fatmafatu1128ulivyokua na akili kisoda video umeangalia ukamaliza na comment ukasoma😂😂😂😂😂
Useless
Dakika ya 19-21. Nilikuwa nasubiri kusikia kwa hamu saana kuhusu music aliyonayo na ameikata kiu yangu nakujua kuwa jamaa ni mtu makini. Hii kitu BOSE LIFESTYLE ni zaidi ya muziki. Bei moto lakini sound quality is a such rejuvenating one. Haina mpinzani
Much respect kwako milard pamoja na cameraman wako mungu akuzidishie kipaji na akupe uvumilivu katika kazi zako
Kazi nzuri broo ayooo tusake pesa na pongez kwako broo mlokozi Mungu akuzidishie mara mia zaidi
Ukiacha "TBC UKWELI NA UHAKIKA" sasa Tuna "MILLARD AYO UKWELI MTUPU"mimi Binafsi nikisikia kuna habari inayotrend mitandaoni kama nisipoiona Kwa MILLARD AYO Wala ata sihangaiki tena kupoteza Bando Langu MUCH RESPECT BRO MILLARD MIMI NI MMOJA WA VIJANA NINAEKUPENDA SANA 🙏🙏
Hongera kwake billionea. mimi humu ndani napotea, si kwa mazingira tu lkn hata na vifaa vyake. lkn pia, namna ya kumanage hii nyumba mpangilio na usafi! Shikamoo Mulokozi
Hongera sana kaka mulokozi hujatuangusha kabisa,you have inspired many of us.
Nyieee shkamoo mulokozi. I'm more than inspired
Jmn kuna watu wanaishi nyie hongera mulokozi mungu akubarikii😢😢
Wallah!sitokuja kukata tamaa katika utafutaji adi siku ya mwisho❤❤
So nice nimependa Sana mungu azidi kukulinda akupe Afya njema na family yako, nimependa tu unapenda watt wako so nice, mngekuwa wa baba wote kama huyu jamaa mkatunza tu watt wenu mngetupunguzia mzigo ma single mother na sie tu kafanya maendeleo kama tujenga ata nyumba ya viumba 3😢
Ni kweli my dear ila nikwambie kitu hao watoto sio mzigo kwako ni baraka hizo mungu amekupa
Hongera kaka wewe si mtu wa kawaida wewe ni ginias .ni mtanzania wa kwanza anae sema kweli hongera
Haki ya mama nitafute pesa...unyama unyama unyama mara trillion..glass house my dream house kbla sijafa must kutimiza ndoto zangu ntakua naangalia kipande kila asbh kunitia moyo lazima nipambane...mulokozi asante uninistua nianze mapambano
Mafanikio ni Siri lkn kufanikiwa sio Siri✍️
Kaka Mulolozi hongera sana kwa maisha hayo pia umetoa elimu nzuri ya kujiwekea akiba nakushukuru sana, mwenyezi Mungu azidi kukubariki nami natamani sana kuinuka ila ndio hivyo mtaji hautoshi hata! Kila siku kuanguka na kuanza upya! Eeh Mungu naomba nisaidie mimi 😢
Mungu akuwekee ufurahie maisha ya dunia ..mana amekubalik
Milard your humbleness will take you higher and higher may God humble you more
Kuna watu wanaishi Jaman Mashaallah Mashaallah hongera kaka umetisha
Wallah tena na kuna sisi tunasindikiza tuu😢
😢😢😢😢
Kuna sisi tumekuja kutembea😂😂😂😂
Yaan hatare tz kama mbele
kuna sis tunaojificha😅
Broo mulokozi hongera sana unatufanya tuzidi kupambana zaidi
Bro millard nafuatilia sana makala zako...NICE sana kaka....hongera snaa ....hii documentary ni ya ubora na viwango vya juu sana ....safi
HUYU ANA PESAAA ALAFU ANA JUA KUCHAGUA VITU VYA KISASA !!! SAFIIII SANAA TANZANIA 🇹🇿 HIYOO UTAZANI NYUMBA YA JAY-Z, I SALUTE YOU!!!!!
Watching live from kenya Nrb kweli pesa sabuni ya roho
Mungu azidi kukubariki Mulokozi usiache kumtegemea Kristo Yeye ndiye kila kitu kwako
Kaka mulokozii kama utabahatika kupitia hizi comment naomba unisaidie milioni mbili tu nimalizie kukarabatii nyumba ya mama anguuu😢😢
Mi ata milango ndio nmekwama
We acha TU ndugu yangu wengine tualala nje Bora wewe una hi ho kianzio
Acha uombaomba
Hongera xana mulokozi
@@letthedeadburythedead2148 Asantee ndugu
Mpka nimetamani baba yake mzazi angekuwa hai,,, naye angekuwa na chumba chake 😢😢,,, Mungu amlaze mahali pema peponi maana kachangia sana kijana wake kufika alipo sasa ❤❤❤
Aisee kaka Mulokozi,Mwenyezi Mungu amekubariki sana,jitahid sana kutoa sadaka kwa watu wenye mahitaj maalumu na yeye atakuzidishia zaid ya hapo
Ibada ya Sadaka Kwa Wanyonge .hofu ya Mungu atupaye yote
Kabisa Mungu kambariki mno
Kwajinsi anavyoonekana ninauhakika ni mtoaji mzuri sana wa sadaka,
😂😂😂😂😂 blazaa toa sadaka wewe Acha kupangia watu na maisha Yao toa Kwanza wewe😅😅😅
Ukitoa wewe sadaka inatosha,acha kupangia watu matumizi pesa zao. Mungu anaweza kumbariki hivo kama hatoi sadaka?😂
Millard ayo umetisha sanaa mtu wangu wa nguvu☑️☑️
Duuh kuna kuishi na kuishia👏👏👏👏👏 hongera sana kwake
Kuishi na kukaa
Kuna wanao ishi duniani na tupo tunao kaa duniani 😂😂😂😂
😂😂
Mwenyezi Mungu azidi kukubariki akuepushe na mahasidi uzidi kufanikiwa zaidi tena na tena akupe na miaka mingi ya kuishi uishi maisha na akujariye uishi maisha ya furaha zaidi
Safi sana hii interview inakutofautisha na wengine....hongera sana
ASANTE SANA EPHRAHIM
Uwatenganishe vyumba hao vijana wa kiume.
Ushauri wa bure
Otherwise unanisha kijana wangu.
Pastor Joel Irunde.
Huu mwaka hee🤝🤝🤝🤝💐💐💐🥀🥀🥀🥀chukua maua yako tajiri