ona MFANYABIASHARA HUYU Alivyomvunja JPM Mbavu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
  • ona MFANYABIASHARA HUYU Alivyomvunja JPM Mbavu
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli leo juni 7 Amekutana na kufanya mazungumzo na wafanyabiashara wakubwa 1000 ikulu jijini Dar es Salaam na kusema kuwa changamoto za ukwamishaji wa biashara kwa upande wa serikali nikutokana na utitiri wa taasisi za udhibiti.
    Aidha ameongeza kuwa zipo taasisi nyingi za udhibiti ambazo zinaingiliana kimajukumu mfano TBS, NEMC, WAKALA WA VIPIMO, TUME YA USHINDANI, EWURA, SUMATRA, TFDA, OSHA, OFISI YA MKEMIA MKUU, Na kadhalika.
    Jeremiah Mahenge ni mfanyabiashara kutoka mkoani Mbeya ambaye ameamua kuvunja ukimya mbele ya JPM nakueleza jinsi ambavyo wafanyabiashara wamekuwa wakitoa Rushwa kwa baadhi wa maafisa wa Serikali, hali iliyopelekea watu wote kuangua vicheko kutokana na aina yake ya uwasilishaji wa changamoto zake.
    #jpm #WAFANYABIASHARA
    /GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram: globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

ความคิดเห็น • 169