BILA UOGA MFANYA BIASHARA AWACHANA MAWAZIRI, SIOGOPI MTU YOYOTE, TRA NI KICHOMI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 พ.ค. 2023

ความคิดเห็น • 23

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 ปีที่แล้ว +8

    Majaliwa ww ni bonge la kiongozi. Mungu pekee akutunze kwa ajili ya nchi yetu. Much respect Papa. Natamani sana kufanya kazi na wewe mkuu

  • @hamisimsosi6237
    @hamisimsosi6237 ปีที่แล้ว +2

    Daa huyu dada amenigusa hapo kwa wachina kweli Hawa jamaa wameipandisha Sana kkoo ni ukweri usiopingika♥️♥️♥️😭😭😭

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 ปีที่แล้ว +3

    Naona Majaliwa rais ajae baada ya mama samia kumaliza muda wake...

  • @summanelson5523
    @summanelson5523 ปีที่แล้ว

    Kodi ni kubwa sana kwenye magari. Na sisi waturuhusu tumiliki vitu. Tunajichanga ndiyo tunaweza kununua!!! Safi sana.

  • @ramadhanikalungwana8377
    @ramadhanikalungwana8377 ปีที่แล้ว +1

    Jamani kweli maendeleo tunataka,ila naona Kuna shida!!! Heb nunua umeme wa tsh 20,000. Kisha uangalie unakatwa shs ngapi!!!

  • @user-zd4sv5pk6q
    @user-zd4sv5pk6q ปีที่แล้ว

    Asante dada kwa sauti yako wanawake wanapuuziwaga wakitoa lalamiko lakini jamani dada ameongea kea uchungu sana

  • @bettymeshack7759
    @bettymeshack7759 ปีที่แล้ว

    Na Sisi waturuhusu kumiliki vitu😂

  • @omarisaid7318
    @omarisaid7318 ปีที่แล้ว

    Mm tunakutegemea Sana malizahayo watoto wakiliya ujuwe kunajambo halihi ya fd machine ikomee viwandani na bandarini wananchi tukadiriwe sababu hatukusoma tumeshidwa na hiyo bishara hakuna nchi inayo jegwa kwa siku moja

  • @masaimollel2525
    @masaimollel2525 ปีที่แล้ว

    Mwigulu anacheka anaona mnapoteza mda wenu na nguvu bure mwisho wa siku anarudi ofisini,kuendelea na uporaji wake kupitia vijana wake.

  • @shizoshop2469
    @shizoshop2469 ปีที่แล้ว +1

    Ndiyo nikishalipa kodi miaka 20 harafu nikifilisika ni sawa na mstaafu kwanini na sisi tusipate kiinua mgongo ?

  • @farajiissa560
    @farajiissa560 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo remote iko msoga

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 ปีที่แล้ว +1

    Wizi wizi...tumechoka...

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 ปีที่แล้ว

    Kwetu kuna afya mazingira levy fire leseni ya biashara na nyingine nyingi...

  • @masaimollel2525
    @masaimollel2525 ปีที่แล้ว

    Enzi za magufuri mgambo walichukua ndizi kule mwanza mgambo akafutiwa cheti chake cha mgambo yale mambo saasaiv hakuna,tena unweza kukuta yule mgambo amesharudi kuwa mgambo tena yaan we acha tuu

  • @victorernest7702
    @victorernest7702 ปีที่แล้ว

    Sasa kikwazo kipo wap kama kuongea ukweli mpk umnyang'aNye maiki .. ndio mnao sabisha migogoro maana kumsema mtoto wa kiongozi kosa

  • @oningoindungai
    @oningoindungai ปีที่แล้ว

    mama unasema ukwel

  • @hassanosman3824
    @hassanosman3824 ปีที่แล้ว

    Mwigulu umeshiba aachaa kazi hujui kitu umeshiba hujali ondoka huoni haya????

  • @farajiissa560
    @farajiissa560 ปีที่แล้ว +2

    Ameweka nne ana minya pumbu tu

    • @missmwayway4704
      @missmwayway4704 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @fatmashaibumkwpo2488
      @fatmashaibumkwpo2488 ปีที่แล้ว

      😂😂😂anakenua tu kama kapakanzwa pilipili ya meno

    • @farajiissa560
      @farajiissa560 ปีที่แล้ว

      @@fatmashaibumkwpo2488 kaz kubana pumbu tu hii mijamaaaa sijui ikoje

    • @marymgimwa
      @marymgimwa ปีที่แล้ว

      Tunaviziana kama wakoloni loooh

  • @DaudNgodilo
    @DaudNgodilo ปีที่แล้ว

    Harafu unakuta kiongozi anakwambia anafanya kazi kwa bidii kumbe wizi tu, hivi kweli magufuli angekuwepo huo uchafu ungeonekana kweli? At the end watu wanasema mama anaupiga mwingi dah