BILA WOGA FRED VUNJA BEI AFUNGUKA MBELE YA WAZIRI MKUU "TUNAKUFA NJAA, TUFUNGUE MADUKA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 พ.ค. 2023

ความคิดเห็น • 262

  • @emanuelandedela7901
    @emanuelandedela7901 ปีที่แล้ว +17

    Kaka anafaa kuwa waziri wa viwanda na biashara mpeni kitengo hizo data siyo mchezo salute kwake

  • @HamiSCharles-dq7jf
    @HamiSCharles-dq7jf ปีที่แล้ว +21

    Nimempenda bure hajajiongerea yeye tuu mwenye mtaji mkubw bali na sisi weny mitaji mdogo jamn 🤝

    • @alawiali3475
      @alawiali3475 ปีที่แล้ว +1

      Ana hekima na ameongea vizuri big up

  • @RashidMbwebwe
    @RashidMbwebwe ปีที่แล้ว +57

    Kitendo cha kusimama na kuzungumza kero pamoja na wafanyabiashara wenzako imeongeza credit na respect kubwa kwako....Umeongea vizuri sana...Big Up

    • @witnessmmari71
      @witnessmmari71 ปีที่แล้ว +2

      Bigiup fred

    • @cinterproductscinterproduc8606
      @cinterproductscinterproduc8606 ปีที่แล้ว +1

      👏👏👏

    • @fadhilhimid2776
      @fadhilhimid2776 ปีที่แล้ว

      Hakika kabisa

    • @yusuphswai6851
      @yusuphswai6851 ปีที่แล้ว

      Yan walitakiwa watu kama nyinyi mule TRA wenye uzoefu ili ata wakitunga sheria inakuja sheria ambazo azita leta mzozo kwa wafanyabiasha , ebu tuige kwenye inchi za wezet wafanya biashar ndio wanapewa kipaupend kweny mambo ya maendele na kuiongoza nchi kiujumla

  • @abdallahfuko1216
    @abdallahfuko1216 ปีที่แล้ว +124

    Kwa pesa ambayo anayo huyu jamaa alikua na uwezo wa kufunga duka hata mwezi kisha anakaa home akacheki kwenye TV tu ila kaamua kwenda kufight na wenzake sababu hata yeye alianzia chini, huo ndo utu. 👏🏾👏🏾

    • @lupidavid4269
      @lupidavid4269 ปีที่แล้ว +1

      L
      0p

    • @Bensonfrank25
      @Bensonfrank25 ปีที่แล้ว +6

      Jamaa kawa humble sana !

    • @Kizanda_84
      @Kizanda_84 ปีที่แล้ว +5

      Respect

    • @missarepafra3973
      @missarepafra3973 ปีที่แล้ว +4

      Uzalendo ukiwa ndani ya mtu si rahisi kuwaacha wenzie iwe jua iwe mvua. Vunja ni mzalendo na anafaa kuwa kiongozi.

    • @bonifacehamis4088
      @bonifacehamis4088 ปีที่แล้ว +1

      Hakika kafanya jambo la uugwana sana

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly ปีที่แล้ว +30

    Weeeeeuuuuweeeee ongea fred...umewakilisha vizuri

  • @benardethamhela4898
    @benardethamhela4898 ปีที่แล้ว +31

    Vunja bei shikamoo kwakweli ukojuu sana umetusemea vizuri sana mungu akulinde .hongera kwa kusoma .

  • @ONEdreamfilmtz
    @ONEdreamfilmtz ปีที่แล้ว +17

    Umeongea point sana na umeongea kwa kujiamini sana
    Huo ni ujasili wa kiwango cha juu sana maana kuongea mbele ya viongozi wakubwa na mbele ya hidadi kubwa ya watu wengi kama hao sio mchezo . respect sana broo

  • @echosoundchannel677
    @echosoundchannel677 ปีที่แล้ว +21

    Safi sana Fred Vunja,umeongea point sana 🙏🙏

  • @pendo8082
    @pendo8082 ปีที่แล้ว +6

    Vunjabei interview zake zote anaongeaga point Aisee anajua anajua tena

  • @isaya43.12
    @isaya43.12 ปีที่แล้ว +11

    Hongera vunja bei hakika unakitu kikubwa Sana naona uongozi ndani yako🤲

  • @abeidmhongole9322
    @abeidmhongole9322 ปีที่แล้ว +36

    GOOOOD AND FACTS
    WELL DONE FRED

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 ปีที่แล้ว +4

    Nimesoma nae mzumbe masters, na pia kaka ake pia , nimesoma nae Wana akili balaa
    Na baba Yao ni mfanya biashara wa zamani
    Kwahiyo hii bness issue kwao ipo kwenye damu

  • @abdirizakhtuke2882
    @abdirizakhtuke2882 ปีที่แล้ว +45

    Ulimi ni uchawi.
    Ume- summarize matatizo mengi kwa muda mfupi.
    In short TRA inawachukulia wafanyabiashara biashara kama "mabuzi" badala partner in business.

    • @levinaernest4364
      @levinaernest4364 ปีที่แล้ว +1

      Sanaaaa👍

    • @hermankihwili1095
      @hermankihwili1095 ปีที่แล้ว

      Well said Fred ume ongea short and clear kwa muda mchache sanaaa copied point.Well done

    • @venesteven7457
      @venesteven7457 ปีที่แล้ว

      Very true sijui hawanaga biashara ni kuajiriwa tu sijaelewa.

  • @williamloserian5999
    @williamloserian5999 ปีที่แล้ว +18

    ❤❤❤ Umeongea fact broo....wewe una uwezo wa kufunga duka ata miezi miwili na ukaishi lakini umeamka kuungana na wafanyabiashara wadogo kwa msukumo huu wa ukandamizaji❤❤❤❤hongera sanaa

  • @vinnahjasson5546
    @vinnahjasson5546 ปีที่แล้ว +1

    Very niiice Fred, umeongea point kaka, God Bless U

  • @Bensonfrank25
    @Bensonfrank25 ปีที่แล้ว +25

    Vunjabei pamoja na pesa zote ! Kaamua kujumuika na wafanyabiashara kupinga unypnyaji wa TRA ! ✅

  • @jamesgeofrey8692
    @jamesgeofrey8692 ปีที่แล้ว +24

    Jamani tusomeshe, shule nzuri sana
    Nikimsikiliza jamaa nasikia shule tu.. Ni aki afanikiwe

    • @fatmayussuf1787
      @fatmayussuf1787 ปีที่แล้ว +2

      Yaan kuanzia Leo huyu jamaa namuheshimu.. Ukaongea bila kutoka jasho

    • @nareensaleh4957
      @nareensaleh4957 ปีที่แล้ว +1

      hakuna kitu muhimu kama shule na kuwa naimani yamungu moyoni ukivipata hivi umemaliza

    • @dionnepaul5673
      @dionnepaul5673 ปีที่แล้ว

      ​@@nareensaleh4957 kweli kabisa nakuunga mkono💯💯💯🙏🙏.

  • @ombenimenson
    @ombenimenson ปีที่แล้ว +10

    Safi sana Kaka, Umeongea vizuri saana

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 ปีที่แล้ว +10

    Genius 4real🙏🕊️

    • @nivesterbelili1686
      @nivesterbelili1686 ปีที่แล้ว

      Ameongea kitaalmu sana unajua mtaani kuna madini sana @vunjabei kama elimu ndogo kumuelewa jamaa kazi sana

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 ปีที่แล้ว +1

    Vunja bei katema cheche, safi sana, nimezidi kukuelewa brother 👍 umeonyesha uzalendo mkubwa mno.

  • @IMANWILLIAM-bl2ui
    @IMANWILLIAM-bl2ui ปีที่แล้ว +35

    utajiri ni akili siyo uchawi, hakunaga tajiri ambaye siyo genius

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 ปีที่แล้ว +16

    Vunja bei yuko vizuri katika hoja

  • @jazirajazira8116
    @jazirajazira8116 ปีที่แล้ว +8

    Maa sha allah huyu atakuwa mbali sana

  • @thebushguy5774
    @thebushguy5774 ปีที่แล้ว +17

    Akili kubwa👏

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 ปีที่แล้ว +12

    Yaan huyu vunja Bei alitakiwa kuwa mbunge na mtetezi wa wafanya biashara nchini Yuko vzr kuliko kina Nani...

    • @reshinebakery2846
      @reshinebakery2846 ปีที่แล้ว +1

      Tatzo wakifika huko😂

    • @mwasoprince3459
      @mwasoprince3459 ปีที่แล้ว

      @@reshinebakery2846 wanaanza kunenepesha vitambi na hoja za kuringania marekani

    • @justaenglibert3976
      @justaenglibert3976 ปีที่แล้ว

      Anagombea kula za maoni anakosa kwa figisu

  • @nabrycedawood6860
    @nabrycedawood6860 ปีที่แล้ว +2

    Mama anampa ubunge sasa ivi yani fred umetumia nguvu nyingi na pesa kwenye siasa Mungu anaenda kukupa kibali chakuingia bungeni kwa hii speach mm niko mtakuja kunimbia @fredvunjabei

  • @jumaarashid7367
    @jumaarashid7367 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana kaka,Nakuelewa Brilliant Businessman

  • @kakaaignas3675
    @kakaaignas3675 ปีที่แล้ว +20

    Huyu jamaaaa ana akili nyingi

  • @mrben227
    @mrben227 ปีที่แล้ว +14

    Vunja bei ajengewe sanamu kariakoo...very talented 👌

  • @user-nr7gi6ur5z
    @user-nr7gi6ur5z ปีที่แล้ว +1

    Asante sana wafanyabiashara wa Karikoo.nimefuatilia sana hotuba hii.Kwanza nampe hongera Waziri mkuu Mheshimiwa Majaliwa.Niona comment ya jamaa anasema Majaliwa apewe nchi ni kweli.Mheshimiwa majaliwa walinde wananchi wako ambao ni wafanya biashara.Natoa comment zangu toka Malawi.

  • @peterlujuo1640
    @peterlujuo1640 ปีที่แล้ว +18

    Bonge la speech fred 👏 🙌

  • @adoniemanuel908
    @adoniemanuel908 ปีที่แล้ว +9

    hawa ndio wanatakiwa kupewa uwaziri wakina muigulu nchembaa sio wanakaa kuvaa tai yenye nembo yataifa kujifanya niwazalendo nahakuna kitu wanakwamnia kama huwezi kulipa tozo nenda rwanda kweli alie shiba jamjui mwenye njaaaa

  • @zulfasaeed7445
    @zulfasaeed7445 ปีที่แล้ว +19

    Daaah kaka akili nyingi mungu akubariki sana umekuja kutete watu haki angakua mwingine anagetulia home kwenye tv tuu anawachora tuu

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 ปีที่แล้ว +15

    Huyu vunja Bei maongezi yake no dhahiri amesoma biashara Yuko vzr Sana.

    • @gracekenan4665
      @gracekenan4665 ปีที่แล้ว +1

      Yeah huyo ni graduate ....ndio mana ni vizuri kuwa na shule hata usipopata kazi ukajiajiri unafanya biashara yako kisomi

  • @wanyalugendo4776
    @wanyalugendo4776 ปีที่แล้ว +8

    Well done!@Fred

  • @manenohongera7617
    @manenohongera7617 ปีที่แล้ว +4

    perfect speech from intellgnt speaker

  • @naomisanga6980
    @naomisanga6980 ปีที่แล้ว +6

    Vunja bei🙌👏👏👏

  • @dennishyera5448
    @dennishyera5448 ปีที่แล้ว +2

    Asante Kwa kuwa wa kweli.

  • @agneskapwani3484
    @agneskapwani3484 ปีที่แล้ว +4

    Nakuonaga tu ka mpolee kumbe una akili sana safi👏

  • @FranklinMtei
    @FranklinMtei ปีที่แล้ว +2

    Brilliant!

  • @rodneyjaysen1788
    @rodneyjaysen1788 ปีที่แล้ว +65

    Fredy he's damn intellectual

    • @joseecontroversial8720
      @joseecontroversial8720 ปีที่แล้ว +3

      Amesoma uhasibu Mlimani

    • @tanzcanmediatv4473
      @tanzcanmediatv4473 ปีที่แล้ว +3

      Wakinga asilimia 90 wako hivo

    • @alawiali3475
      @alawiali3475 ปีที่แล้ว +1

      @@joseecontroversial8720 kwa hio anaitendea haki taaluma yake na anajua anachokifanya.

    • @africanpioner4090
      @africanpioner4090 ปีที่แล้ว +2

      @@tanzcanmediatv4473 ishu sio ukinga ishu ni elimu aliyo nayo

    • @tanzcanmediatv4473
      @tanzcanmediatv4473 ปีที่แล้ว

      @@africanpioner4090 sio elimu tu mimi ndio nakwambia hata mkute mkinga hajasoma hapa akisimama na mwakyembe yeye ndio darasa lasaba.kama hujafanya hako karesearch itakuwa vzr ukikaa kimya

  • @ireneaveline9180
    @ireneaveline9180 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akufanyie wepesi umetutetea wanyoge

  • @henryj3304
    @henryj3304 ปีที่แล้ว +5

    Hongera sana Fred Vunja bei. Hiyo ndiyo faida ya Elimu

  • @mrschilongani8990
    @mrschilongani8990 ปีที่แล้ว

    Umeongea point Sana kaka fredy vunja Bei safi Sana mungu akulinde sana

  • @asnaryissack2582
    @asnaryissack2582 ปีที่แล้ว +10

    Vunja Bei💪💪💪💪💪💪

  • @adamshabanrashidi1003
    @adamshabanrashidi1003 ปีที่แล้ว +5

    🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯freeeeeeed wavunje babaa🙏

  • @fredrickmatiku7783
    @fredrickmatiku7783 ปีที่แล้ว +2

    Yaani ukisoma elimu ipo ukiwa na pesa pia biashara raha sana Kesho akiteuliwa mkuu wa wilaya au mkoa au mkurugenzi TPA msishangae

  • @musarashid-xw1qm
    @musarashid-xw1qm ปีที่แล้ว +10

    Sehemu kibwa ya risit ni feki na tra wAnakula rushwa na samia aliangalie

  • @KhajiRashid-lk6fi
    @KhajiRashid-lk6fi ปีที่แล้ว +7

    Point haswa

  • @DenisThomas-se7db
    @DenisThomas-se7db ปีที่แล้ว

    Upo vizur san bro hongera kwa iro

  • @kalamesikalamesi5292
    @kalamesikalamesi5292 ปีที่แล้ว +20

    We are completely done no country in this world has ever developed through excessive imports over exports. We are all fighting to sell cheap imports at the expense of an export lead economy. 60 years after independence we are almost importing everything into our country?
    Who would come to invest and build manufacturing industries in a country obsessed with cheap imports, inakuwa nchi wachuzi na walaji wa vitu na huduma wasizozalisha, utatokemeza tatizo la ajira kwa kuuza bukta zilizitoka china badala ya kuzalisha wenyewe kupitia viwanda vyenu nchini lkn kama nchi tutakua through industrialisation policies?
    Kodi ya forodha sio reliable and sustainable mithili ya PAYE, akifa mtumishi na yenyewe inakoma, covid19 ikipiga Asia/China au europe na importation inakoma na customs duties na taxes zinakoma. Kodi na uchumi ni chanda na pete. Tunahitaji formation na mpango mzima wa fedha yetu je tunahitaji kujenga uchumi wa namna gani? Kodi na fedha yetu iweje ili kwenda sambamba na aina ya uchumi tunaotaka kuujenga ktk digital age hii? Sisi tunaenda kama kishada tu na kodi yetu iko rigid haiko flexible ili wkt wa hali mbaya au nzuri ya uchumi ibadilike kulingana na mahitaji ya wakati ya uchumi husika. The recent crisis at kariakoo is just a tip of an iceberg.
    Tanzanian macroeconomic policies and our taxation system has more deeply entrenched problems than meets our eye.
    Inequity wafanyabiashara wakubwa sana nchini hawalipi kodi wanayopaswa kulipa na makampuni ya kigeni because of their political connections, wahanga wa kodi ni watumishi wa serikali, wafanyabiashara wa chini na wa kati.
    Uwanja wa kuchezea mpira hauko sawa, ndio tambo na vurugu zinapoanzia kama wafanyabiashara wakubwa wanalindwa hawalipi kodi inavyostahili, linakuja swali why should we pay taxes if others are not paying. Window bricking of shops at kariakoo was in part a clear sign of dissatisfaction and protests against importers inequity treatment by TRA, higher headline tax rates, imprecise laws etc
    Lack of political integrity,na ukosefu wa maadili wa baadhi ya viongozi wetu was killing our country softly, kuua jumla azimio la arusha haukuwa uamuzi sahihi baadhi ya mazuri ilitakiwa yabaki biashara kubwa nchini zinafanywa na viongozi moja kwa moja au kupitia ndugu, jamaa na marafiki hii inaleta conflict of interest kwenye kodi.
    Hatujachelewa, tujisahihishe na tuamue sasa kufikiri sana na kufanya mambo tofauti na yatupasa kutambua migogoro mapema na kuchukua hatua stahiki. Prevention is better than cure, knee jerk reaction haifai na ni hatari kusimamisha uchumi kwa siku hata moja kariakoo.
    Ni maoni na ushauri tu, God blesd TZ

  • @barakanguvumali5784
    @barakanguvumali5784 ปีที่แล้ว +2

    Respect Mr Fred

  • @mynambwambo2072
    @mynambwambo2072 ปีที่แล้ว +3

    Big Mind Fredyyyy
    ..

  • @JanethSanga-kt7mn
    @JanethSanga-kt7mn ปีที่แล้ว +2

    Kaka nmekupenda sana mimi nmechoka na selikari hiii jaman

  • @salomewilliam9457
    @salomewilliam9457 ปีที่แล้ว +9

    Hongera vunja bei! Ila next time huhitaji kuongea kama unachana mistari just cool tuliza mikono! Ongea coz point unazotema ni ushawishi tosha

  • @jmc2196
    @jmc2196 ปีที่แล้ว +14

    Waziri mukuu apewe inchi huyu njo anaweza kujitaidi kufanya kazi kama Magufuri 😭

  • @LinusPrimus-zn9ew
    @LinusPrimus-zn9ew ปีที่แล้ว +4

    🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @alidaamur-vp9uj
    @alidaamur-vp9uj ปีที่แล้ว +4

    👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻

  • @tamemahmad9902
    @tamemahmad9902 ปีที่แล้ว +8

    Nina ndoto ya kufungua biashara ila nikisikia haya nguvu inaniishia. Namuona mamaangu anavosumbuliwa na biashara yake. Ila acha nijichange zaidi tutapambana nao.

  • @dinnaemily2727
    @dinnaemily2727 ปีที่แล้ว +3

    Big up vunjaa

  • @EliyaUhaula-ck3pu
    @EliyaUhaula-ck3pu ปีที่แล้ว +6

    Nice

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 ปีที่แล้ว +6

    Safi sana

  • @erickassey6706
    @erickassey6706 ปีที่แล้ว +3

    Kariakoo ilihamia Uganda zamani , TRA wanajua kunyonya tu .

  • @jeremiatitus4414
    @jeremiatitus4414 ปีที่แล้ว +2

    Light bro,mr vunja bei

  • @christophermajumbi6318
    @christophermajumbi6318 ปีที่แล้ว

    Safi Sana Fredy umeongea point🙋

  • @majaliwanassoro7623
    @majaliwanassoro7623 ปีที่แล้ว +4

    Vunja bei kavunja kila kitu apewe usemaji wa wafanya biashara

  • @angelateye9585
    @angelateye9585 ปีที่แล้ว +5

    Elimu haijifichi!

  • @chikusangalala7759
    @chikusangalala7759 ปีที่แล้ว +5

    Akili kubwa. Kamuumiza wazili mkuu atamuita chemba

  • @sporastica7174
    @sporastica7174 ปีที่แล้ว +9

    Makofi na like kwa fred 🙌

  • @brianmani_
    @brianmani_ ปีที่แล้ว +1

    Jamaaaa ni noma sana

  • @homeofvideos8893
    @homeofvideos8893 ปีที่แล้ว +4

    Ndio raha ya kuwa mfanyabiashara alafu umeenda shule

  • @amourperea5889
    @amourperea5889 ปีที่แล้ว

    Umetisha mzee

  • @ibrahimhodabaksh3939
    @ibrahimhodabaksh3939 ปีที่แล้ว +12

    VUNJA BEI UPO SAWA

  • @saketnicholaus9962
    @saketnicholaus9962 ปีที่แล้ว +1

    Money brings confidence

  • @Phones36040
    @Phones36040 ปีที่แล้ว

    Very genius

  • @akh3038
    @akh3038 ปีที่แล้ว

    Well presented

  • @uwezoaman493
    @uwezoaman493 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana mkuu

  • @GadaffiGadaffi-gt5iw
    @GadaffiGadaffi-gt5iw ปีที่แล้ว

    Hongera xana

  • @mwanduelizabeth2282
    @mwanduelizabeth2282 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana Fred vunja bei umeongea pointi Sana

  • @ZuberiNguhuni-ch9tk
    @ZuberiNguhuni-ch9tk ปีที่แล้ว

    Asanteee vunja

  • @robsonlotyloy5678
    @robsonlotyloy5678 ปีที่แล้ว

    Point kali sana.

  • @zainababudalla8063
    @zainababudalla8063 ปีที่แล้ว +7

    Mfanya biashala msomi

  • @rubensaitoti6839
    @rubensaitoti6839 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kaka

  • @estermwakatundu3028
    @estermwakatundu3028 ปีที่แล้ว

    Vunja bei big up Sana kiukweli hawa tra Wana nini sijui huku mikoani tunajuta saijui tuljmage Tu emagine Una mtaji wa milion mbili, unakadiliwa Kodi lak 4 na point huendi hata dar kufunga mzigo unaokota okota mitaan tra nyie imekua Kero sana

  • @yvonnemashuda3004
    @yvonnemashuda3004 ปีที่แล้ว

    Yupo vizuri, akili kubwa....

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 ปีที่แล้ว +3

    Kodi TRA isisumbue raia. Kumbe raia ndo hawajui wanasiasa

  • @ponellahmbugi6907
    @ponellahmbugi6907 ปีที่แล้ว +1

    Mkinga kaongea 👏

  • @fatimahants1526
    @fatimahants1526 ปีที่แล้ว +2

    Naimani ukipewa kipaumbele utawasilisha kero nyingi zinazo wakumba wafanya biashara ya kuburuzwa na watumishi wasio waadlifu kwenye majukum TRA, mimi walinitiya hasara dukani kwangu kibaha niliumiya sana siwezi kusahau kbs .

  • @kennymakunja405
    @kennymakunja405 ปีที่แล้ว

    Well done

  • @johngibson3089
    @johngibson3089 ปีที่แล้ว

    Umeeleza vzr bro

  • @malandodeogratius8193
    @malandodeogratius8193 ปีที่แล้ว +1

    Yaani ukiwa na hela na Elimu naona kama unakua binadamu uliebalikiwa saana. Yaani nasikia Elimu yenye hela inavyo flow vzr facts.

  • @fadhilhimid2776
    @fadhilhimid2776 ปีที่แล้ว

    Haongei Pumba yupo vizuri sana

  • @sanauswahilimovies
    @sanauswahilimovies ปีที่แล้ว

    Bonyeza hapa kutazama filamu mpya za bongo movie

  • @mariamjohn1758
    @mariamjohn1758 ปีที่แล้ว

    Hongela sana hata huku kwetu yalisha tokea

  • @shabarauty
    @shabarauty ปีที่แล้ว +2

    nikweli

  • @consolatamedard6593
    @consolatamedard6593 ปีที่แล้ว

    Safi kaka

  • @venancephilbert9397
    @venancephilbert9397 ปีที่แล้ว

    Umewakilisha. Vzr

  • @AllyAmini-me8xg
    @AllyAmini-me8xg ปีที่แล้ว

    yeah

  • @dhamiirrashid6175
    @dhamiirrashid6175 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nashauri kila miez 3 au sita 6 angalaw wafanya biashara wawe na kikao na waziri mkuu kutoa malalamiko na maendeleo ya bishara zetu tanzania ikiwezekana hivo. Yani tusisikilize bunge au serekali sheria zinabadilika vp na kodi za biashara wakat wahusika niwafanya biashara wenyewe bado hutujazijua changamoto zao

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u ปีที่แล้ว +1

    Hakuna ulipajikodi yaserikali kiholela hivyo karunehii yatekinolojia lila my anakusanyahelakiholela hivyo .helanyingi inspires bure naikokwenye mikonoyahaowatumishi.