Karama na Maajabu ya Sheikh Ramiya yaliyomfanya Nyerere asikauke Bagamoyo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 187

  • @MaulaHussainMaula
    @MaulaHussainMaula 29 วันที่ผ่านมา +42

    MIMI NILIKUA HANDENI SIKU MOJA NIKAMUOMBA MZEE 1 ANIFANYIE DUA AKANIFANYIA DUA ALIPOMALIZA NIKAMWAMBIA KUA MIMI NIMEZALIWA MTAA WA RAMIA NA NIMESOMA KWA SHEKHE RAMIA CHINI YA SHEKHE ABDURAHMANI MWAKA 2000 MPAKA SHEKHE ABDUL KADIR MWAKA 2005 HADI MWAKA 2012. YULE MZEE AKANIAMBIA NINGEJUA UNATOKEA KWA SHEKHE RAMIA NISINGEKUFANYIA DUA NINGEOMBA WEWE UNIFANYIE MIMI DUA .

  • @AllyChambo-c2f
    @AllyChambo-c2f หลายเดือนก่อน +66

    Asalaam aleykum, binafsi natokea maeneo ya mangesani bagamoyo na niliishi na babu na bibi yangu na ni kama mita 60 toka kwa shekh Mohamed Ramiya nilikuwa mdogo lakini niliwakuta wazee wengi na nilisikia mambo mengi kuhusu sheikh na uadilifu,upendo, utu,hekma na makalama ya sheikh na nilishuhudia makundi makubwa ya wanafunzi wakitoka sehemu mbali mbali kuja kusoma dini kwa hakika alikuwa ni mtu mwema sana na ktk historia baba wa babu yangu alilelewa na shekh na mpk akaozeshwa pale kwa sheikh.Allah amuhifadhi na amsamehe dhambi zake(aamen aamen aamen)

    • @kalamuMedia
      @kalamuMedia  หลายเดือนก่อน +8

      Allahuma Aaamin,Ahsante kwa kutuongezea Jambo katika historia hii tamu ya Sheikh Ramia

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 หลายเดือนก่อน +7

      @@kalamuMedia
      KalamuMedia mie ningeshauri mtengeneze APP yenu ili watu tupate vitu 1 kwa moja na katika app hio mnaweza kuweka vitabu, kanzu, mavazi ya kidini na vitu kadhalika ili watu wa mbali tuwe na uhakika wa kupata vitu kiurahisi.
      Allah awatiye nguvu na mzidi kutupa elimu binafsi nimejifunza mengi kutoka kwenu.

    • @kalamuMedia
      @kalamuMedia  25 วันที่ผ่านมา +3

      @@sonnyr1899 Ahsante kwa ushauri ndugu yetu kipenzi

    • @saidseif7469
      @saidseif7469 25 วันที่ผ่านมา +1

      Ameen

    • @LuluMtinge
      @LuluMtinge 25 วันที่ผ่านมา +1

      Amiin😊

  • @issamakau5841
    @issamakau5841 25 วันที่ผ่านมา +8

    Elimu chache ni mtihani sana kwa Umma huu, ndio maana wanaishangaa karama za Sheikh Ramiya Allaah amrahamu,.....wanatakiwa wajue tofauti hizi ili waingie kwenye twaa ya Allaah,....Pana tofauti ya kumfunza mwanafunzi kuitumikia dini na kumfunza mwanafunzi kumtumikia Muumba wake....
    Allaah atuzidishie ilimu yenye manufaa kwa rehma zake Aamiin

  • @inspioneers9527
    @inspioneers9527 22 วันที่ผ่านมา +8

    Nakala imeandaliwa vizuri sana, Allah awalipe na awahifadhi

  • @JafariRashid-pj5vz
    @JafariRashid-pj5vz 7 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah Allah ampe kila la kher shekh ramia historia nzuri sana hii pia mungu awape maisha marefu wote walioshiriki kuitafta historia hii nakutuletea sisi

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 29 วันที่ผ่านมา +10

    Masha Allah Masha Allah Tabarak Rahman 🤲 Yaa Allah atupe Khusni hatma na sisi ln shaa Allah

  • @Lulualshagri
    @Lulualshagri 21 วันที่ผ่านมา +5

    Babu yangu al,marhum shekhe ramia bibi alilelewa pale akaozeshwa pale na watoto aliwazaa pale marehemu mjombaangu shariff abdurahman hassan na mamaangu marehemu bi rahma hassan ambae maarufu alikuwa akiitwa maifu marehemu bibi yangu alikuwa akiitwa halima farijala na ndugu yake noti farijala wote walilelewa na shekhe allah amraham amjaalie kaburi lake liwe miongoni mwa mabustani ya peponi amjaalie awe miongoni mwa waja wake wema watakaoingia ndani ya pepo ya firdaus allahumma ameen 🤲🤲🤲

  • @ImanSaid-q4i
    @ImanSaid-q4i หลายเดือนก่อน +7

    Hii historia niliisikia miaka mingi TBC ikisimuliwa lakini sikujua jina la yule shekh Aliye husika na Historia hii Maashaallah ❤

  • @ismailmuna1604
    @ismailmuna1604 18 วันที่ผ่านมา +1

    Allah Subhana Wataala Awasameh Madhambi Na Kuwapa Pepo Hizi Taarikh Zimetupwa Tuwaenzi Wana Wazuwoni Wetu Kwahizi Taarikh Allahkarim Ndio Mjuzi Wayote

  • @MuhammadSharif-s4i
    @MuhammadSharif-s4i 29 วันที่ผ่านมา +5

    mashaallah Allah amuondoshee Adhabu ya kabri amjaliye pepo firdos

  • @carolinemrinji9605
    @carolinemrinji9605 22 วันที่ผ่านมา +1

    ❤ Asante sana mzidi kutupa history za masheikh

  • @AthumanyMvula
    @AthumanyMvula หลายเดือนก่อน +16

    Waisilamu ndio walipigania nchi kupata uhuru lakini ndio wamesahaulika kabisa Nyerere mpuuzi sana pumbafu zake

    • @moahmed3414
      @moahmed3414 หลายเดือนก่อน

      Wamesahaulika au wamejisahau

    • @willenmtafungwa1920
      @willenmtafungwa1920 หลายเดือนก่อน

      Wacha we 😂

    • @NoelChambo
      @NoelChambo หลายเดือนก่อน

      Nikweli ila Waliweka mbele itikadi za kidini hadi ktk maswala ya nchi.

    • @nasserm.nasser5087
      @nasserm.nasser5087 หลายเดือนก่อน +5

      Wakristo walishirikiana na wakoloni kuwahujumu waislamu na nchi. Wakoloni waliwasomesha elimu ya secular wakristo wakati wailslamu waliogopa sana hata kuwapeleka shule watoto wao kwa shule ndio maana waislamu hawakuwa na secular education wakiwa na khofu ya kuritadishwa watoto

    • @lenniefei6710
      @lenniefei6710 หลายเดือนก่อน

      @@nasserm.nasser5087 Hilo sawa, jee baada ya Uhuru mbona wenyewe wasizingatie elimu ya Secular ?!

  • @mariammakoko2126
    @mariammakoko2126 หลายเดือนก่อน +3

    MaashaaAllah. Historia nzuri sana.

  • @Winford-f4l
    @Winford-f4l 16 วันที่ผ่านมา +1

    Stori nzuri yenye kusimumua,natamani haya yote yangeandikiwa kitabu kwa manufaa ya watanzania wote

  • @musakalangahe6876
    @musakalangahe6876 29 วันที่ผ่านมา +4

    Allah amrehemu. Jazakallah

  • @donzein5213
    @donzein5213 15 วันที่ผ่านมา +2

    Tusisahau part ya Shariff abdlrahman jamal layl aliewaambia mashariff kua huyu ramia msimtume huyu walii was mungu.shariff zein Al attas

  • @gaudancesimon7911
    @gaudancesimon7911 13 วันที่ผ่านมา +1

    Bwana ametoa na bwana ametwaa. Apumzike kwa aman

  • @BrightBrain-c7s
    @BrightBrain-c7s 26 วันที่ผ่านมา +3

    Allahumma ghfir lahuu warhamhu maa abii wa ummii

  • @allykitamu4199
    @allykitamu4199 24 วันที่ผ่านมา +2

    Sheikh Mohamed Ramia alikuwa na upendo sana kuna Mwanafunzi wake mmoja ambae alikuwa kaka yangu Mimi anaitwa Sheikh Kassim yeye kidogo alikuwa na upungufu wa akili hivyo kutokana na matatizo yake walipokuwa wakienda kwenye ziara kama vile Misima na kwengineko walikuwa wanamuacha lkn Sheikh Ramia alitoa kauli kuwa huyu msimuache mwende naye,kuna siku walienda kwenye Ziara Kerege walimuacha na matokeo yake yule Sheikh Kassim walimkuta ameshafika na wakashangaa amefikaje.Sheikh Kassim alikuwa mtu wa Mungu sana muda wote yeye ni chuoni tu na alikuwa akitafuta riziki kwa kuzurura mtaani kwa kuombaomba wa wale wanaomjua.Siku ya kifo chake alifariki akiwa ndani ya Swaum ya kwanza Mwezi wa Ramadhan na alipewa heshima kubwa pale zawiyan kwa kuingizwa kwenye Zawiya ndio kwenda kuzikwa.MwenyeziMingu awape kauli thabiti Sheikh pamoja na Mwanafunzi wake na awaondolee adhabu ya kaburi Amin

  • @husseiniddy5094
    @husseiniddy5094 21 วันที่ผ่านมา +3

    Hawa ndo walikua mitume yetu ila sisi tulikumbatia watu watamaduni nyingine na kuwazarau watu tulopaswa kuawaamini na kupata maalifayao kwa manufaa ya jamii zetu na tamaduni zetu.

  • @AishaSaoud-m4i
    @AishaSaoud-m4i หลายเดือนก่อน +4

    MashaAllah sijui ni adhkar gani zakuleta makarama

    • @MudyOmarymohamedy
      @MudyOmarymohamedy 29 วันที่ผ่านมา +1

      Kuacha yote aliyokataza Allah na kufanya aliyoyaagiza kuambatana na kila suna utaupata ualii na kalama utazipata inshaallah

    • @kalamuMedia
      @kalamuMedia  25 วันที่ผ่านมา +1

      makarama yakija utakimbia

    • @AishaSaoud-m4i
      @AishaSaoud-m4i 25 วันที่ผ่านมา +1

      @kalamuMedia hapana kila akiletacho Allah kwa mja wake ni kheri tu nayahitaji hasaa InshaAllah

    • @AlhajiIssa-jb9hr
      @AlhajiIssa-jb9hr 23 วันที่ผ่านมา +1

      Ongeza bidii katika kumcha Allah Kwa Ikhlaaswi.​@@AishaSaoud-m4i

    • @jumannemtawa4535
      @jumannemtawa4535 6 วันที่ผ่านมา +1

      Neno Laa ilaaha illallaah inaleta karama na kujiepusha na baadhi ya mambo

  • @OsmanBey-yy1lq
    @OsmanBey-yy1lq หลายเดือนก่อน +4

    mungu ampe pepo akika arikuwa wali wa mungu

  • @wahidabdul1365
    @wahidabdul1365 20 วันที่ผ่านมา +2

    Mzungumzaji anasema baba yake Sheikh Mohammed Ramia allitokea Kongo kwenye mwaka 1808/1810! Na kisha baadae alisema Shekh Mohammed Ramia amezaliwa 1908.sasa hapo utajiuliza baba yake Mohammed Ramia alikuwa ana umri gani wakati wakati mwanawe anazaliwa? Maana hapo ni miaka mia toka amefika Bagamoyo. Na yeye Sheikh Yahya alikuwa na umri gani wakati anafika Bagamoyo. Mimi naona kamsemaji kakosea kidogo. Nadhani Sheikh yahya alizaliwa kati ya 1860 mpaka 1875 kati hapo. Na utaoni sawa kuwa na, watoto nane ambapo mtoto wa saba kazaliwa 1908.nimefananisha babu yangu ambaye alizaliwa 1905 na mama yake ambaye nilimuona, alizaliwa kwenye 1870 kujana na 80.

  • @hatibunkonga2350
    @hatibunkonga2350 27 วันที่ผ่านมา +4

    Bado hija simuliwa vizuri historia ya Sheikh kwani inaelekea kuna mengi yanayo fichika hapo...

  • @AliMohamed-qe3qv
    @AliMohamed-qe3qv 16 วันที่ผ่านมา +1

    Mashallah.

  • @NayshatShareef
    @NayshatShareef หลายเดือนก่อน +8

    Mawahabi tuacheni na mashkh zetu wachamungu wapenz wa mungu
    Lini mhabi akawa mchamungu danganyaneni tu

  • @KiduoMasimba-p3p
    @KiduoMasimba-p3p 15 วันที่ผ่านมา +1

    Nan kaskia Babu yake dully Sykes Mzee abdi Sykes?

  • @KulwaMgawe
    @KulwaMgawe 25 วันที่ผ่านมา +1

    Mashaallah

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 หลายเดือนก่อน +4

    NADHANI KAMA NI KWELI HIZO NI NGUVU
    ZA VIUMBE VISVYONEKANA KWA MACHO..YAANI MAJINI.

    • @AIF90
      @AIF90 29 วันที่ผ่านมา +2

      Kuna viumbe vingine visivyoonekana zaidi ya majini na malaika,
      Allah anaviumbe vingi sana humjulisha kujua yule anayetaka ajue

    • @AzjaZakwan
      @AzjaZakwan 28 วันที่ผ่านมา +1

      wew jini gani alikuambia kuwa ananguvu hizo?

    • @Zainaabby
      @Zainaabby 6 วันที่ผ่านมา

      ​​@@AzjaZakwanwanazo sana hata hiyo dini ya kiislam ni tamaduni za majini hiyo

    • @Zainaabby
      @Zainaabby 6 วันที่ผ่านมา

      ​@@AIF90hao ni Majini Maana majini na Muslam ni Tamanduni yao

  • @Allyhujjat
    @Allyhujjat 20 วันที่ผ่านมา

    Shekhe mohamed ramiya kiti alichokuwa akikalia kipo makumbusho kanisani mantep bagamoyo habar zake ndefu

  • @aljabrsaleh4378
    @aljabrsaleh4378 หลายเดือนก่อน +6

    Hii ni historia ya aibu ktk uislam maana ikiwa hayo ni ktk makarama na ktk wema inamaana hata mtume anazidiwa wema na makarama na sheykh Ramiya.. kwani hayo mtume wa Allaah hakuyafanya nayee ndoo mbora wa viumbe woote nandoo kiigizo chetu.. sheykh Ramiya yeye kayapata wapi.. yakusimama ktk maji kusafiri mwanza mpk dar kwa kupepo kurusha kitambaa angani kikapotea kisha kikarudi kimeroa na kukamuliwa mvua ikanyesha..

    • @AYUBUCHAKELA
      @AYUBUCHAKELA 29 วันที่ผ่านมา

      Ujinga nimzigo. Pole sana ndugu

    • @AllyZuberi-h6e
      @AllyZuberi-h6e 29 วันที่ผ่านมา +5

      Allah humpa elim amtakae katka viumbe hata kama c katka mitumee,,,,,, dhul qar nain alikuwa na elim kubwa ambayo nabii mussa hakuwanayoo,,, Allah ndio mjuzi wa yotee

    • @TaqwaOnline12
      @TaqwaOnline12 28 วันที่ผ่านมา

      @aljabrsaleh4378 hivi ulichokiandika unakielewa wewe mpuuzi!!! Mungu akiamua kumpa mtu Jambo humpa kwaakili yako ndogo mtume hakuamua kuzitumia karama bali aliamua sisi umma tufanye mambo madogo sana hayo na huko ni kumkosea adabu mtume yeye alitufundisha sisi akitaka fakhari juu ya hayo waliyo yafanya hao mitume yeye wanafanya wafuasi wake nabii manabii wengi watu wao hawakubahatika kupata karama kabisa ..Pia nikuulize jambo mama maryam mama wa nabii issa alikuwa mtume???mbona alikuwa anakula vyakula vya peponi mpka nabii zakariya mwenyewe hakuwa na elimu hiyo kabisa ...sasa kwa akili yako nani bora hapo usimfananishe mtume na miujiza ya nabii yeyote huna dalili za kutueleza wewe mujassim 😂😂Watu wakipewa mnaroho mbaya nataka uniambie daraja ya Mama Maryam mpaka kufikia kula vyakula vya pepon nakusubiri hapaa....!!!!

    • @YalkinAlkindy-nt2hf
      @YalkinAlkindy-nt2hf 27 วันที่ผ่านมา +1

      Mtume s.a.w hakuongea na Allah na yeye ndio kiumbe bora kuliko wote duniani, hivyo bc! hio sio hoja ya msingi km kitu hujui ni bora unyamaze mn unaweza jikuta unaingia ktk dhambi bila kujua

    • @StickerDoctor-m6f
      @StickerDoctor-m6f 27 วันที่ผ่านมา +1

      Bila ya shak akili yako ipo katika taasisi ya kisalafi na izi ndo akili zenu fupi

  • @saliieking7279
    @saliieking7279 26 วันที่ผ่านมา +1

    Allah amuhifadhi sheikh ramiya

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah Allha 💖💖💖

  • @AishaMkwata
    @AishaMkwata หลายเดือนก่อน +2

    wanao pinga historiyahi akili hawana fikulubihim maradhwa

  • @AbuwNibras926
    @AbuwNibras926 21 วันที่ผ่านมา +2

    Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaahaha ' Masufy ni mtihani katika Uislam niwatu wa kuwaonea uruma sana wapo katika upotevu

  • @CumaEmedi
    @CumaEmedi หลายเดือนก่อน +1

    Sasa utaki au vip uondio kweli wa kristo walikuwa upande mmoja na mabwanazao wakikoloni kuupinga uislam

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 28 วันที่ผ่านมา

    Jsman samahan maharaja ama msjin nfo yalikuwa yakimuongoza

  • @ShabanijumaShebby
    @ShabanijumaShebby หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo letu hatujitambui kwani ?Uhuru ulipatikana kwa bunduki au kwa maneno.Jee waislamu ndiyo waliopewa uhuru au fikra zao ndiyo zilitumika kutoa wazo la uhuru.Aliyepewa mikataba ya uhuru hakuwa muislamu.Na pengine tungedai sisi zingemwagika damu.Kwa hiyo tujifunze tusipende kutumika .Kwa sababu hawatokuwa radhi mbaka mfuate Milla zao.

  • @benyaminhussen7771
    @benyaminhussen7771 27 วันที่ผ่านมา

    Alhamdullillahii RebellAleminnn

  • @WaziriSaid-z7m
    @WaziriSaid-z7m หลายเดือนก่อน +5

    Huyo shekhe alikuwa waliyi siku ya mwisho nyinyi mnaotukana wazee kama hawa mtapata malipo ya kuwatukana mashehe.

  • @saidybhoky-lb7hg
    @saidybhoky-lb7hg หลายเดือนก่อน +2

    hao ndy masharifu sio waleo matapeli tu kila mtu sharifu

  • @OsmanBey-yy1lq
    @OsmanBey-yy1lq หลายเดือนก่อน

    mashallaa ❤

  • @NoelChambo
    @NoelChambo หลายเดือนก่อน

    Nasikia hata yale maneno yaliyosemwa, sisi tunataka kuwasha mwenge juu ya mlima Kilimanjaro ni mashetani yalitamka.

  • @knight6757
    @knight6757 หลายเดือนก่อน

    Kikosi ya wa koloni hawa jawaletea fujo wapigania uhuru wa Tanganyika 🤔🤔

  • @ShabaniRashidi-d2v
    @ShabaniRashidi-d2v 29 วันที่ผ่านมา +3

    Kufru waliofanya wazee wetu ndio inatutatesa waislam mpaka leo,kuna dalili gani kafiri akafungishwa swaumu na kuombewa dua?ilihali ana imani ya shirki na hauamini uislam??au nyerere alisilimu?

    • @TaqwaOnline12
      @TaqwaOnline12 27 วันที่ผ่านมา

      @@ShabaniRashidi-d2v Unajua maana ya kufru ..? Kwahiyo kumuombea Dua asiyekuwa muislamu haifai ???mbona mtume alikuwa akiomba Dua kwa kumtaja hasa sayyidna Umar na khalid Walid kusilimu kwao kuingia katika uislamu hali yakuwa hapo mwanzo hawakuwa Tuache kujibu Masuala ya kidini kwa vurugu na mihemko kwani wewe Leo hiii unapika futari kwako inamana asiekuwa muislamu asije kupata hiyo sadaqa yako kisa sio muislamu ? Na Ni wapi imeandikwa asiekuwa muislamu mfanyeni kuwa adui Uislamu Ni dini inayoambatana na misingi ya kibinaadamu ndio Mana unaona katika kanuni za Allah anatupatia riziki,pumzi na afya hapa duniani kila kiumbe hata Kama anaabudia jiwe Sasa ikiwa mungu muumbaji wa ulimwengu wake hajawabagua popote wewe Nani mpaka ukataze wasifunge??wasifuru nasi tusiwaombee Dua???

    • @ErickJohn-n9i
      @ErickJohn-n9i 14 วันที่ผ่านมา

      nani alizaliwa muislam, au mkristo, hiz siasa tu,yaish yale alituletea musa kutoka mlima sinai,kwa kuzitii amri zile bas mbingu iko wazi.. wengi katika dini tumekuwa kama wanasiasa,tunayoyahubiri cyo tunayoyatenda. jiulize je,dini ipi waumini wote nafsi zao zitafika fridaus,, kama hakuna basi,,,mtumikie mungu mmoja muumba wa ardhi na mbing。mwenye kuwaadhibu watenda dhambi na kuwahifadhi wema wenye kumtii,Usiibe,Usitamani mali ya mtu,Usiseme uongo,Usizini,Waheshim na kuwatunza wazazi wako,Usiue kwa kusudi,usitamani mke asiyekuwa wako,.......kuyashika haya na kuyatii dunia ingekuwa na ustaarabu.

  • @JumaAjali-u5f
    @JumaAjali-u5f หลายเดือนก่อน

    Leo ukisema mashujaa
    Utalia

  • @MuhammedAlmamary-e5t
    @MuhammedAlmamary-e5t หลายเดือนก่อน

    Mwenda omo na tezi hurejea ngamani

    • @saidameir8965
      @saidameir8965 28 วันที่ผ่านมา

      Mwenda tezi na omo hurejea ngamani

  • @DR.SAIFILLAH.5363
    @DR.SAIFILLAH.5363 25 วันที่ผ่านมา

    MASHEIKH KAMA HAWA WAPO WAPI ZAMA HIZI??

    • @allykitamu4199
      @allykitamu4199 24 วันที่ผ่านมา

      Hakuna Sheikh wengi wao sio waadilifu

  • @MuhamedHassan-l5u
    @MuhamedHassan-l5u หลายเดือนก่อน

    Mnao mtukana shekh hapa hapa duniani mtaona msione aibu kuomba radhi.

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 28 วันที่ผ่านมา

    Mimi sijsjua nini masna ndo sielewi ni maharaja ama majin

  • @alisalimo2861
    @alisalimo2861 29 วันที่ผ่านมา

    siwaelewi

  • @chemstry409
    @chemstry409 29 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤

  • @eliudinjoka8698
    @eliudinjoka8698 หลายเดือนก่อน

    Kwa maana hiyo uhuru umepatikana kwa njia ya nguvu za giza

    • @habibushabani2890
      @habibushabani2890 หลายเดือนก่อน

      wakati mwingine ufikirie kwa akili timamu na sio njaa ya kichwa

    • @marcnkwame1835
      @marcnkwame1835 หลายเดือนก่อน

      @@eliudinjoka8698 ndio maana nchi inakuwa ya hivyo kila kukicha

  • @MmohamediPoyo
    @MmohamediPoyo 24 วันที่ผ่านมา

    twayeeb Bab Kwa histor

  • @marcnkwame1835
    @marcnkwame1835 หลายเดือนก่อน

    Hayo mamiziki ya kishamba mnayoweka kwenye background yanaondoa maana. Yanaumiza masikio na inakuwa ni utoto wa bongo muvi

    • @NassarAlhabsi-gq7jv
      @NassarAlhabsi-gq7jv หลายเดือนก่อน

      اسلام عليكم Daa br sipeke wana tuzunguwa

    • @AkramIbrahim-m6x
      @AkramIbrahim-m6x หลายเดือนก่อน

      Wafahamisheni Hao Wakristo Wa Mshongo Nyerere Mwenyewe Aliombewa Dua Sn Na Waislam Mpaka Ukapatikana Uhuru Kwani Enzi Hz Mapadri Walikuwa Hawapo

    • @selemaniigosha
      @selemaniigosha หลายเดือนก่อน

      Ufahamu wako mdongo​@@AkramIbrahim-m6x

  • @yahyaibrahim4731
    @yahyaibrahim4731 หลายเดือนก่อน

    Watu wa bidah ni washirkna

  • @OmarySalehe-u3y
    @OmarySalehe-u3y หลายเดือนก่อน +6

    Kuna tofauti ya mshirikina na mtu mwenye karama Sufi mtu wa bidaa hawezi kupata karama hata mara kwa hiyo tofautisheni karama na shirk

    • @Yusuphmazohany
      @Yusuphmazohany หลายเดือนก่อน

      Miwahabi inanalana kuwapinga masuf

    • @shafickwaziri7963
      @shafickwaziri7963 หลายเดือนก่อน

      sahihi kabisa

    • @shafickwaziri7963
      @shafickwaziri7963 หลายเดือนก่อน

      @@Yusuphmazohany kasome Mzee ujue uislam vizuri

    • @fatnasaidi3027
      @fatnasaidi3027 หลายเดือนก่อน +1

      Bas karama unayo wewe roho yakichawi.wivu tu

    • @OmarySalehe-u3y
      @OmarySalehe-u3y หลายเดือนก่อน

      @fatnasaidi3027 Sina wivu mie kwenye shirki wakati shirki inakupeleka motoni milele

  • @yahfatmudswiddiq2271
    @yahfatmudswiddiq2271 หลายเดือนก่อน +4

    ila masufi hamchokagi na uongo

    • @kizomontana5918
      @kizomontana5918 หลายเดือนก่อน +1

      Mtoto wa 2000...unabwabwaja upuuzi

    • @KhamisiOmari-yo7jx
      @KhamisiOmari-yo7jx หลายเดือนก่อน

      Mawahabi husuda zimewajaa na la ajabu hamna hata aibu.kwani waongea uongo hao ni walevi ama wavuta bangi ama Wala miraa.ndio maana huezi kuwa wahabi bi ya kukosa kua na adabu na kiburi roho ,chafu, choyo,ulafi,usengenyaji,na kukurupuka😢

    • @khamissehel-jr1cs
      @khamissehel-jr1cs หลายเดือนก่อน

      nyinyi kuna mnachojua ?kazi yenu kusoma uthuli thalatha tu na ndiyo maana hamna jipya

    • @KhamisiOmari-yo7jx
      @KhamisiOmari-yo7jx หลายเดือนก่อน

      @khamissehel-jr1cs qur an ni ile ile.hayo yako mapya ya kimawahabi ya MUNGU wenu mwenye miguu na mikono na anavaa nguo kama nyie na mnagawanya mara tatu.nani afate huo ushirikina wenu wa mambo mapya we mwehu Nini.

    • @khamissehel-jr1cs
      @khamissehel-jr1cs หลายเดือนก่อน

      @KhamisiOmari-yo7jx na ndiyo maana hata elimu zao hazina baraka,na allah amewaondolea nuru, wivu na husda ndivyo vimewajaa na ndiyo maana hakuna sheikh aliyewahi kuwa wahabi akafanya makarama kama hayo,

  • @saidybhoky-lb7hg
    @saidybhoky-lb7hg หลายเดือนก่อน

    ila serekali imewasahau hao watu kabisa

  • @AbdallahMchaga-e5q
    @AbdallahMchaga-e5q หลายเดือนก่อน +3

    Sio karama ila ni uchawi

    • @iddyjohn1032
      @iddyjohn1032 หลายเดือนก่อน

      Kwa hiyo Karama ni nini na uchawi ni nini??na nani wa kuthibitisha hilo??wewe na Mungu vipi ? suala la ucha Mungu ni nani mjuzi

    • @AbdallahMchaga-e5q
      @AbdallahMchaga-e5q 29 วันที่ผ่านมา +2

      @iddyjohn1032 Kwa dalili na yakurani na Sunna mtume Swalla llahu alaihi wasallam aliwahi kumkamata ifiriti miongoni mwa majini alitaka kumfunga Kwenye kguzo lakini alipo ikumbuka Dua ya Suleiman akamuachia Kwa sababu nabii Suleiman ndo mwenye mamlaka yakuwatumia majini Allah alimpa ufalme huo mtu yeyote atakae muita jini nakumuamrisha chochote au kufanya nae kazi yoyote huyo ni mchawi

    • @AbdallahMchaga-e5q
      @AbdallahMchaga-e5q 29 วันที่ผ่านมา

      @@iddyjohn1032 nakuusu karama mwenye kufanya karama hajijui naasemi kama nataka kufanya jambo Fulani akafanya mfano mtuume mnyima lifti ya gari lako ghafla unakwenda unapokwenda unamkuta aliyakua yy anakijua alicho kifanya huyo ni mchawi mwenye kufanya karama hajijui

    • @AbdallahMchaga-e5q
      @AbdallahMchaga-e5q 29 วันที่ผ่านมา

      @@iddyjohn1032 kuusu uchawi ni kuwatumia majini kufanya mambo yako Kwa mbalimbali huo ni uchawi

  • @hijahamadi5793
    @hijahamadi5793 14 วันที่ผ่านมา

    Historia ya kichawichawi , eti alisimama juu ya maji wakaitwa majini wote wa baharini.
    Ukisoma historia za wanawachuoni watukufu kuanzia wa kisahaba, tabiina, mpaka taabii tabiinaa, hakuna vimbwanga hivyo, hayo nnayoyaita makarama , yana dalili zote za kichawi .

    • @Zainaabby
      @Zainaabby 6 วันที่ผ่านมา

      Kusimama juu maji mbona hata kuna watu wa leo wapo wanaweza kuyafanya hayo na huo sio uchamungu ni sayansi tu

    • @IssaMmeta-h9b
      @IssaMmeta-h9b 6 วันที่ผ่านมา

      Basi wacha Mungu wenyewe hawajui wengi
      Msome Sayyidna Abdul qadir Al jailan

    • @hijahamadi5793
      @hijahamadi5793 6 วันที่ผ่านมา

      @@IssaMmeta-h9b Kwani huyo jailani ni wa karne ya ngapi, na historia yake tushaisoma sana hakuna uchafu huo, ukisoma vitabu vyake utagundua kabisa yeye alikuwa ni mwanachuoni aliyemcha mola wake mlezi.
      Na mambo mengi yanayofanywa na hao wanaojifanya wafuasi wake , Mwanachuoni Abdulqadir Jaylaani hakuwa nayo kabisa. Wanamzulia ili wapate kuhalalisha uchawi wao.

    • @IssaMmeta-h9b
      @IssaMmeta-h9b 6 วันที่ผ่านมา

      @@hijahamadi5793 Kama unamuona wa muda basi
      Msome Sayyidna uweis Al qadiryy
      Al Habib Umar bin sumeit
      Sharif said Al beidh
      Al Habib Ahmad badawy
      N.k wasome

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 29 วันที่ผ่านมา

    Nadhani! bila dini hauna mada ya kuandika!!

  • @leblue4768
    @leblue4768 หลายเดือนก่อน

    Hhhhh😂

  • @selemanikipite3315
    @selemanikipite3315 29 วันที่ผ่านมา +1

    Acheni ujinga mnasimulia jambo mnaweka vinanda vya nini

    • @yussuphsultan1400
      @yussuphsultan1400 27 วันที่ผ่านมา

      Hii channel Sio ya Dini, we jioni, kalamutuz unaijua?

  • @ibrahimaziz-u9z
    @ibrahimaziz-u9z 23 วันที่ผ่านมา

    USHIRIKINA MTUPU

    • @johnpepe980
      @johnpepe980 20 วันที่ผ่านมา

      Kasome kwanza kaka Acha ushabiki

    • @albertlokoya7937
      @albertlokoya7937 18 วันที่ผ่านมา

      Sio ushirikina, ni karama za Mwenyezi Mungu kwa mja wake.

  • @Abbas-fp5mc
    @Abbas-fp5mc หลายเดือนก่อน

    Watu wasikie Historia ilikotokea.Leo watu WANAULIWA kwa ajili ya CHAMA je INAKHUSU?

  • @Mussa-jd6nMussajd6nv
    @Mussa-jd6nMussajd6nv หลายเดือนก่อน

    Huyu baba ana chuki na wakristo, sasa walio piga nia uhuru ni waislamu au watanganyika? Emm angalia nchi za kiislamu kila siku machfuko emm usituletee chuki zako apa sote ni ndugu watanganyika dini ni hiari y mtu kuwa mwislamu haimaanishi ww ni malaika

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 หลายเดือนก่อน

      Kwenye picha za wale waliokuja mbele kupigania uhuru, mkristo alikua anaonekana moja tu, na huyo huyo baada ya uhuru aliwaswaga waislamu.
      Fuatilia zaidi mahojiano ua huyo mzee, waislamu jitihada zao ilikua mpaka msikitini kugawa kadi za TANU, na Sheikh aliyekua akiongoza harakati msikitini kumuondoa mkoloni basi mwisho alifukuzwa, Sheikh Hassan bin Ameir.
      Hapo chuki anakua nazo nani zaidi.

    • @rajabumsuya-hg8jd
      @rajabumsuya-hg8jd 28 วันที่ผ่านมา

      😅😅😅😅nchi za kiislam zinamachafuko nani anayapeleka? Kwanini wanaupiga uislam? Ulishawahi kujiuliza? Ni nchi gani hazina ukimwi duniani? Nchi gani hazina bank duniani? Ni nchi gani hawana riba? Unafikiri mabepari watapenda hiyo? Kwanini walimpiga gadafi? Kuna mtu alikua masikini libya? Huna kazi unalipwa!! Kwanini uingereza na ujerumani makanisa yakua misikiti? Kwanini wazungu wanasilimu na kua waislam kwa wingi? Soma ndugu yangu,,soma na muombe mungu akuoneshe njia sahihi amka usiku muombe mungu atakuonesha..

    • @rajabumsuya-hg8jd
      @rajabumsuya-hg8jd 28 วันที่ผ่านมา

      Sasa huyu anakabidhi mtu kwa majini huyu ni shekh kweli?

    • @rajabumsuya-hg8jd
      @rajabumsuya-hg8jd 28 วันที่ผ่านมา

      Hakuna karama hapo ni uchawi? Karama anapata mchamungu sio mchawi

    • @ahmedmpimbi9684
      @ahmedmpimbi9684 19 วันที่ผ่านมา

      Hzo nchi za Uislam ambazo zinavurugu imesababishwa na nn, hem msimezeshwe vitu ovyo, tafuteni ukweli wa mambo

  • @muhmahahmshaibrahim3109
    @muhmahahmshaibrahim3109 หลายเดือนก่อน +1

    Mh,uongo mtupu wallah

    • @mwinyihamisi3369
      @mwinyihamisi3369 หลายเดือนก่อน +1

      Unaapa Kwa Nina la ALLAH Kwa jambo usilolijua.Hebu type ukweli basi.

    • @KhamisiOmari-yo7jx
      @KhamisiOmari-yo7jx หลายเดือนก่อน +2

      Yani Hadi unahapa ni kwa vile humjui ALLAH umezoeya kuabudu miungu mitatu ya rububia na uluhia ndio maana hata ukifa badili ya kutamka kalima utakua wasema rububia rububia ambao ni ushirikina mtupu.jua we wahabi wapo Wacha MUNGU ALLAH Ali wajaali karama.😢

    • @MiriamAziz-z5t
      @MiriamAziz-z5t หลายเดือนก่อน +1

      KHABARI KUBWA YA MARHUM SHEKH RAMIA....MCHAMUNGU WA DARAJA....ALLAH S.W. AMWEKE MAHALI PEMA AKHERA NA PEPONI SIKU YA KIAMA.

    • @KhamisiOmari-yo7jx
      @KhamisiOmari-yo7jx หลายเดือนก่อน

      @MiriamAziz-z5t Amiin

    • @yussuphsultan1400
      @yussuphsultan1400 27 วันที่ผ่านมา

      Kasome, vitabu vikivyoandikwa baada ya tafiti vipo. Soma!

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 หลายเดือนก่อน +2

    Uongo mtupu

  • @FelixMurishi
    @FelixMurishi หลายเดือนก่อน +1

    Waislam wafuga majini,hawana lolote,mtalalamika hadi akhera,eti mulileta uhuru hiyo akili muliipata lini????????

    • @fatumahamisi-m1e
      @fatumahamisi-m1e หลายเดือนก่อน

      Sawa,akili unayo wewe mfuga misukule

    • @bahameking4878
      @bahameking4878 หลายเดือนก่อน +1

      Kufuga kiumbe ambacho hakionekani sio kazi ndogo,jaribu na wewe kama rahisi,vp hayo ya makabisani ya Kila siku ni ya akina nani

    • @faisaloaljabry6400
      @faisaloaljabry6400 หลายเดือนก่อน

      Hakuna anaye lalamika bali hiyo ni historia tu.
      Kwa chuki zako hutaijua haki mpaka atakapo taka muumba wako na wetu

    • @faisaloaljabry6400
      @faisaloaljabry6400 หลายเดือนก่อน

      Hakuna anaye lalamika bali hiyo ni historia tu.
      Kwa chuki zako hutaijua haki mpaka atakapo taka muumba wako na wetu

    • @faisaloaljabry6400
      @faisaloaljabry6400 หลายเดือนก่อน

      Hakuna anaye lalamika bali hiyo ni historia tu.
      Kwa chuki zako hutaijua haki mpaka atakapo taka muumba wako na wetu