Mungu Akubariki ustadh Wangu Sheikh Izzudin Alwy Ahmed yani bidi Nikwambie Nakupenda kwa Ajili ya Allah, Allah akuhifadhi hapa duniani na kesho Akhera.
Allaahum-ma in-nee astakheeruka bi ilmik wa astaqdiruka bi qudratik Wa as aluka min fadlikal adeem Fa-innaka taqdiru wala aqdir WataAalamu wala aAAlam wa-anta AAallamul ghuyoob Allahuma in kunta taAalamu Anna hadal-amr Khayrun le fee defense wamaAaashee WaAAaqibati amree Faqdurhu lee wayassirhu lee, thumma batik lee feeh Allahuma in kunta taAAlamu Anna hathal-amr sharrun lee fee deenee WamaAAshee waAAqibati amree fasrifhu AAannee wasrifnee AAanh waqdhur liyal-khayra hyathu Jan thumma ardinee bih
Na ndio ilivyokuja katika Du'aa kuwa tunasema: اللّهُـمَّ إِنِّـي أَسْتَخيـرُكَ بِعِلْمِك، وَأسْتَقْـدِرُكَ بِقُـدْرَتِـك، وَأَسْـألُـكَ مِنْ فَضْـلِكَ العَظـيم، فَإِنَّـكَ تَقْـدِرُ وَلا أَقْـدِر، وَتَـعْلَـمُ وَلا أَعْلَـم، وَأَنْـتَ عَلاّمُ الغُـيوب، اللّهُـمَّ إِنْ كُنْـتَ تَعْـلَمُ أَنَّ هـذا الأمْـرَ (وَيُسَـمِّي حاجته) خَـيْرٌ لي في دينـي وَمَعـاشي وَعاقِـبَةِ أَمْـري، عَاجِلِهِ و آجِلِه , فَاقْـدُرْهُ لي وَيَسِّـرْهُ لي ثـمَّ بارِكْ لي فيـه، وَإِنْ كُنْـتَ تَعْـلَمُ أَنَّ هـذا الأمْـرَ شَـرٌ لي في دينـي وَمَعـاشي وَعاقِـبَةِ أَمْـري، عَاجِلِهِ و آجِلِه فَاصْرِفْـهُ عَنّيِ وَاصْرِفْني عَنْـهُ وَاقْـدُرْ ليَ الخَـيْرَ حَيْـثُ كانَ ثُـمَّ أَرْضِـني بِـه. Ee Allaah hakika mimi nakutaka (muongozo) unichagulie kwa ujuzi Wako, na nakuomba Uniwezeshe kwa uwezo Wako, na nakuomba fadhila Zako kubwa, hakika Wewe Unaweza, nami siwezi, Nawe unajua nami sijui, Nawe ni Mjuzi wa ya ghayb. Ee Allaah, iwapo jambo hili kutokana na ujuzi Wako (utalitaja jambo lako) lina kheri na mimi katika Dini yangu na maisha yangu na mwisho wa jambo langu, karibu na mbali, basi nakuomba Uniwezeshe nilipate, na Unifanyie wepesi, kisha Unibariki. Na iwapo Unajua kwamba jambo hili ni shari kwangu katika Dini yangu na maisha yangu na mwisho wa jambo langu (karibu na mbali) basi liepushe na mimi nami niepushe nalo, na nipangie jambo jengine lenye kheri nami popote lilipo, kisha niridhishe kwalo. [Al-Bukhaariy]
Asaalam Alkhum Ustadhi, Aksante sana kwa mawaidha mazuri, kama kuna uwezekano wakuwa unaweka subtitles kwenye Dua unazo tufundisha ilituweze kunote na kujifundisha mara kwa mara. Shukran na Aksante. Wabilahi tawfiq.

اللّهُـمَّ إِنِّـي أَسْتَخيـرُكَ بِعِلْمِك، وَأسْتَقْـدِرُكَ بِقُـدْرَتِـك، وَأَسْـألُـكَ مِنْ فَضْـلِكَ العَظـيم، فَإِنَّـكَ تَقْـدِرُ وَلا أَقْـدِر، وَتَـعْلَـمُ وَلا أَعْلَـم، وَأَنْـتَ عَلاّمُ الغُـيوب، اللّهُـمَّ إِنْ كُنْـتَ تَعْـلَمُ أَنَّ هـذا الأمْـرَ (وَيُسَـمِّي حاجته) خَـيْرٌ لي في دينـي وَمَعـاشي وَعاقِـبَةِ أَمْـري، عَاجِلِهِ و آجِلِه , فَاقْـدُرْهُ لي وَيَسِّـرْهُ لي ثـمَّ بارِكْ لي فيـه، وَإِنْ كُنْـتَ تَعْـلَمُ أَنَّ هـذا الأمْـرَ شَـرٌ لي في دينـي وَمَعـاشي وَعاقِـبَةِ أَمْـري، عَاجِلِهِ و آجِلِه فَاصْرِفْـهُ عَنّيِ وَاصْرِفْني عَنْـهُ وَاقْـدُرْ ليَ الخَـيْرَ حَيْـثُ كانَ ثُـمَّ أَرْضِـني بِـه. Ee Allaah hakika mimi nakutaka (muongozo) unichagulie kwa ujuzi Wako, na nakuomba Uniwezeshe kwa uwezo Wako, na nakuomba fadhila Zako kubwa, hakika Wewe Unaweza, nami siwezi, Nawe unajua nami sijui, Nawe ni Mjuzi wa ya ghayb. Ee Allaah, iwapo jambo hili kutokana na ujuzi Wako (utalitaja jambo lako) lina kheri na mimi katika Dini yangu na maisha yangu na mwisho wa jambo langu, karibu na mbali, basi nakuomba Uniwezeshe nilipate, na Unifanyie wepesi, kisha Unibariki. Na iwapo Unajua kwamba jambo hili ni shari kwangu katika Dini yangu na maisha yangu na mwisho wa jambo langu (karibu na mbali) basi liepushe na mimi nami niepushe nalo, na nipangie jambo jengine lenye kheri nami popote lilipo, kisha niridhishe kwalo. [Al-Bukhaariy]
Swalaah ya Istikhaarah ni raka'ah mbili na haina Suwrah maalumu na huswaliwa siku yoyote, wakati wowote na mara zozote unapopenda kufanya jambo hadi hilo jambo ujaaliwe kulifanya au usijaaliwe itakuwa yote ni kheri kwani madamu tu umeshaswali Istikhaarah basi umeshamuelekea Rabb wako kutaka Yeye Akuongoze. Kwa hiyo hata ukiswali mara moja tu inatosha kabisa kuwa umeshatimiza Istikhaarah.
Mungu Akubariki ustadh Wangu Sheikh Izzudin Alwy Ahmed yani bidi Nikwambie Nakupenda kwa Ajili ya Allah, Allah akuhifadhi hapa duniani na kesho Akhera.
Amiin
Amiin
MaashAllah, kweli kabisa, Alhamdulilah shukran sana.
Mashaallah sheikh jazakallwahu kheir Allwah akupe umri twawil
Mashalllah 🙏 🤝
Jazaakumullah kheyr
Wa alleykum salaam warahmatulah wabaraqatuu shukraan jazzakah Allahu kheir sheikh barakallahu fikum
Shukran sana sheikh wetu mungu akuzidishie inshaa Allah
Maa shaa Allah shukran aleyk yaa sheikh Izudin jazakallah kheyr
Maasha Allah
ALLAH BARIK MUFTY
Waalaykum salam warahmatullah wabarakatuh shukran sheikh
Aslm alkm ww.,. Jazakallahu kheir Sheikh wetu kipenzi chetu. Allah akulinde akukinge na akuhifadhi.
Jazakallah khayran
Waalykum msaalam waramatulah wabarakatul. Masha Allah tabaraka Allah, shukran jazaakaAllah kheirsheikh wetu.❤❤❤❤
Shukran jazirah
MashaAllah ❤❤❤
Sheik twa waombea na uhkty wako mrudi salama ,na apate shifa.
Jazakallahu kheir kwa mawaidha mazuri ❤
Allaahum-ma in-nee astakheeruka bi ilmik wa astaqdiruka bi qudratik Wa as aluka min fadlikal adeem Fa-innaka taqdiru wala aqdir WataAalamu wala aAAlam wa-anta AAallamul ghuyoob Allahuma in kunta taAalamu Anna hadal-amr Khayrun le fee defense wamaAaashee WaAAaqibati amree Faqdurhu lee wayassirhu lee, thumma batik lee feeh Allahuma in kunta taAAlamu Anna hathal-amr sharrun lee fee deenee WamaAAshee waAAqibati amree fasrifhu AAannee wasrifnee AAanh waqdhur liyal-khayra hyathu Jan thumma ardinee bih
Shukran dear 🤝🏾
Fii Deen wrong typing defense
Walaykum salaam warahmatullah wabarakatuh
Shukrani kwa mafunzo
Shukran, Jazakallahu kheir
Allah akuhifadhi wallahi watufundisha vingi sana ...
Jazak Allah khayran 🥰
Shukraan sheikh wangu ❤❤
Asallam allaykum warahmathulilah wabarakatuh, shukuran sana ustadh Allah akujalie kheiry inshaa Allah
Mashallah Thabaraka Allah
Allahumma Ameen
MashaAllah Allah akuzidishie
Alhamndulillah Alhamndulillah Alhamndulillah Alhamndulillah Alhamndulillah Alhamndulillah Alhamndulillah Alhamndulillah Alhamndulillah Alhamndulillah Alhamndulillah
JzakAllah kheir
Mashallah Jazakallah khaira
Waalykum salaam warrahatullah wabarrakatuh
assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh
ahsante sana sheikh wa jazakallah khayr
Amiina
Shukran sana ust wetu
Aamin inshaalah
Shukran ushaadh
Assalamalaikum warahmatuAllah wabaraktu ustadhi Allah skujalie kheri zaid in sha Allah
Alhamdulillah
Shukran shrkh
Masha allah
mashllh
Mash'Allah
Mashallah shukran Sana ya shekh mana nilitaka Sana hii dua
Na ndio ilivyokuja katika Du'aa kuwa tunasema:
اللّهُـمَّ إِنِّـي أَسْتَخيـرُكَ بِعِلْمِك، وَأسْتَقْـدِرُكَ بِقُـدْرَتِـك، وَأَسْـألُـكَ مِنْ فَضْـلِكَ العَظـيم، فَإِنَّـكَ تَقْـدِرُ وَلا أَقْـدِر، وَتَـعْلَـمُ وَلا أَعْلَـم، وَأَنْـتَ عَلاّمُ الغُـيوب، اللّهُـمَّ إِنْ كُنْـتَ تَعْـلَمُ أَنَّ هـذا الأمْـرَ (وَيُسَـمِّي حاجته) خَـيْرٌ لي في دينـي وَمَعـاشي وَعاقِـبَةِ أَمْـري، عَاجِلِهِ و آجِلِه , فَاقْـدُرْهُ لي وَيَسِّـرْهُ لي ثـمَّ بارِكْ لي فيـه، وَإِنْ كُنْـتَ تَعْـلَمُ أَنَّ هـذا الأمْـرَ شَـرٌ لي في دينـي وَمَعـاشي وَعاقِـبَةِ أَمْـري، عَاجِلِهِ و آجِلِه فَاصْرِفْـهُ عَنّيِ وَاصْرِفْني عَنْـهُ وَاقْـدُرْ ليَ الخَـيْرَ حَيْـثُ كانَ ثُـمَّ أَرْضِـني بِـه.
Ee Allaah hakika mimi nakutaka (muongozo) unichagulie kwa ujuzi Wako, na nakuomba Uniwezeshe kwa uwezo Wako, na nakuomba fadhila Zako kubwa, hakika Wewe Unaweza, nami siwezi, Nawe unajua nami sijui, Nawe ni Mjuzi wa ya ghayb. Ee Allaah, iwapo jambo hili kutokana na ujuzi Wako (utalitaja jambo lako) lina kheri na mimi katika Dini yangu na maisha yangu na mwisho wa jambo langu, karibu na mbali, basi nakuomba Uniwezeshe nilipate, na Unifanyie wepesi, kisha Unibariki. Na iwapo Unajua kwamba jambo hili ni shari kwangu katika Dini yangu na maisha yangu na mwisho wa jambo langu (karibu na mbali) basi liepushe na mimi nami niepushe nalo, na nipangie jambo jengine lenye kheri nami popote lilipo, kisha niridhishe kwalo. [Al-Bukhaariy]
Asaalam Alkhum Ustadhi, Aksante sana kwa mawaidha mazuri, kama kuna uwezekano wakuwa unaweka subtitles kwenye Dua unazo tufundisha ilituweze kunote na kujifundisha mara kwa mara. Shukran na Aksante. Wabilahi tawfiq.
Na ndio ilivyokuja katika Du'aa kuwa tunasema:
اللّهُـمَّ إِنِّـي أَسْتَخيـرُكَ بِعِلْمِك، وَأسْتَقْـدِرُكَ بِقُـدْرَتِـك، وَأَسْـألُـكَ مِنْ فَضْـلِكَ العَظـيم، فَإِنَّـكَ تَقْـدِرُ وَلا أَقْـدِر، وَتَـعْلَـمُ وَلا أَعْلَـم، وَأَنْـتَ عَلاّمُ الغُـيوب، اللّهُـمَّ إِنْ كُنْـتَ تَعْـلَمُ أَنَّ هـذا الأمْـرَ (وَيُسَـمِّي حاجته) خَـيْرٌ لي في دينـي وَمَعـاشي وَعاقِـبَةِ أَمْـري، عَاجِلِهِ و آجِلِه , فَاقْـدُرْهُ لي وَيَسِّـرْهُ لي ثـمَّ بارِكْ لي فيـه، وَإِنْ كُنْـتَ تَعْـلَمُ أَنَّ هـذا الأمْـرَ شَـرٌ لي في دينـي وَمَعـاشي وَعاقِـبَةِ أَمْـري، عَاجِلِهِ و آجِلِه فَاصْرِفْـهُ عَنّيِ وَاصْرِفْني عَنْـهُ وَاقْـدُرْ ليَ الخَـيْرَ حَيْـثُ كانَ ثُـمَّ أَرْضِـني بِـه.
Ee Allaah hakika mimi nakutaka (muongozo) unichagulie kwa ujuzi Wako, na nakuomba Uniwezeshe kwa uwezo Wako, na nakuomba fadhila Zako kubwa, hakika Wewe Unaweza, nami siwezi, Nawe unajua nami sijui, Nawe ni Mjuzi wa ya ghayb. Ee Allaah, iwapo jambo hili kutokana na ujuzi Wako (utalitaja jambo lako) lina kheri na mimi katika Dini yangu na maisha yangu na mwisho wa jambo langu, karibu na mbali, basi nakuomba Uniwezeshe nilipate, na Unifanyie wepesi, kisha Unibariki. Na iwapo Unajua kwamba jambo hili ni shari kwangu katika Dini yangu na maisha yangu na mwisho wa jambo langu (karibu na mbali) basi liepushe na mimi nami niepushe nalo, na nipangie jambo jengine lenye kheri nami popote lilipo, kisha niridhishe kwalo. [Al-Bukhaariy]
@@abdullahhamed2197 Maa shaa Allah
masha allah shukran
Shukrani sana
Shekhe lzzudin.naomba ile namba yakujiunga wasapu.pls nimepoteza mm🙏🙏
Shukurani shekh
Mashaa Allah
Maasha Allah
@@user-ws9ek8dj5n upo Zed muda sijakusikia
@@ashuashu3843 Alhamdulillah niko dadaa sijui ww???
Tashahudii ndio nn hapaa sijaelewaa
🙏🙏
Assalam aleikum Ninaomba tufunze na swalatul haja shukran
Wa alleykum salaam warahmatulah wabaraqatuu
Ndugu kwani inatofauti na swala hii anayotuelekeza?
Ndio nimeuliza nipate kujua kama ni same ama iko tofauti nipate kujua
Assalam Alaikum you were missed terribly
Wa alleykum salaam warahmatulah wabaraqatuu
Allah abariki
Sheikh naeza kupata No yako ya simu, niko na maswali naomba kukuliza
Mm Nina swali kama una mambo yako3 utaswali swala1 utaomba mambo yote au Kila jambo utaswali swala yake
Slm/alaykum naomba shekhe hii dua uiandike ili tuisome mpaka ikae kichwani
اللّهُـمَّ إِنِّـي أَسْتَخيـرُكَ بِعِلْمِك، وَأسْتَقْـدِرُكَ بِقُـدْرَتِـك، وَأَسْـألُـكَ مِنْ فَضْـلِكَ العَظـيم، فَإِنَّـكَ تَقْـدِرُ وَلا أَقْـدِر، وَتَـعْلَـمُ وَلا أَعْلَـم، وَأَنْـتَ عَلاّمُ الغُـيوب، اللّهُـمَّ إِنْ كُنْـتَ تَعْـلَمُ أَنَّ هـذا الأمْـرَ (وَيُسَـمِّي حاجته) خَـيْرٌ لي في دينـي وَمَعـاشي وَعاقِـبَةِ أَمْـري، عَاجِلِهِ و آجِلِه , فَاقْـدُرْهُ لي وَيَسِّـرْهُ لي ثـمَّ بارِكْ لي فيـه، وَإِنْ كُنْـتَ تَعْـلَمُ أَنَّ هـذا الأمْـرَ شَـرٌ لي في دينـي وَمَعـاشي وَعاقِـبَةِ أَمْـري، عَاجِلِهِ و آجِلِه فَاصْرِفْـهُ عَنّيِ وَاصْرِفْني عَنْـهُ وَاقْـدُرْ ليَ الخَـيْرَ حَيْـثُ كانَ ثُـمَّ أَرْضِـني بِـه.
Ee Allaah hakika mimi nakutaka (muongozo) unichagulie kwa ujuzi Wako, na nakuomba Uniwezeshe kwa uwezo Wako, na nakuomba fadhila Zako kubwa, hakika Wewe Unaweza, nami siwezi, Nawe unajua nami sijui, Nawe ni Mjuzi wa ya ghayb. Ee Allaah, iwapo jambo hili kutokana na ujuzi Wako (utalitaja jambo lako) lina kheri na mimi katika Dini yangu na maisha yangu na mwisho wa jambo langu, karibu na mbali, basi nakuomba Uniwezeshe nilipate, na Unifanyie wepesi, kisha Unibariki. Na iwapo Unajua kwamba jambo hili ni shari kwangu katika Dini yangu na maisha yangu na mwisho wa jambo langu (karibu na mbali) basi liepushe na mimi nami niepushe nalo, na nipangie jambo jengine lenye kheri nami popote lilipo, kisha niridhishe kwalo. [Al-Bukhaariy]
Asalam Aleikum inaruhusiwa kuswali Kwa siku ngapi?