Sheikh mi uwa nakuelewa sn mana unaelewesha vizur mno atakama mtu anamasikio mazito namna gan au anasili yauzito wakuelewa ila wew mashaallah hapa anaelewa vizur mno shukran sn shekh wetu🤝🙏 Allah☝🏽 akuhifadhi akujaalie kila lenye kher 🤲🤲
shekh shukran kwa darsa yako nzuri nimeipata na in shaa allah mungu atatusaidia kuwa niiongoni mwa watakaosimama kuswali kyamu llayli nna suali kidogo mimi ni mwanafunzi na mda wangu mwingi wa usiku huutumia kwa kujisomea na kuja kukuta siku zote usiku wa kiyamu llayli wanikuta nikiwa nasoma jee mie kuiswali qiyyamu llayli itakuwa inafaa au ni lazima nilale ndio niamke kuswali
Qiyam layli unasasli baada ya salatul ishai kwa usiku wote kabla ya salatul fajir na tahajud baada ya salatul ishai ulale ukiamka ndo unasali tahajudi kwa usiku wote kabla salatul fajir
Manshallah nimeenjoy kukusikiliza wallah umenisaidia saaana shekhe mambo mengi yalikua yananisumbua🤣🤣Allah akupe umri mrefu na nimesubuscribe channel yenu nina iman nitapata mengi inshallah 💞
Ya Allah Tuzidishie Elimu Na Fahamu Ktk Dini
Ya Allah namie nipe faham ya kuhifadh sura ndefu ili nijiunge katika waja wako wema wanaoamka usiku kuswali suna zako yaarab!!
Maa Shaa Allah!! Nimepewa mnoooo. Allah S.W azidi kukuweka na akuzidishie umri na afya uzidi kutufunza.
Darsa zako zuri mnooo. Maa Shaa Allah
MashaAllah Amiin🤲
Masha Allah shekh izudin Allah barak'allahu kher darasa zur tumeelewa Amin twashukuru sanaaa
Sheikh mi uwa nakuelewa sn mana unaelewesha vizur mno atakama mtu anamasikio mazito namna gan au anasili yauzito wakuelewa ila wew mashaallah hapa anaelewa vizur mno shukran sn shekh wetu🤝🙏 Allah☝🏽 akuhifadhi akujaalie kila lenye kher 🤲🤲
mashallah jazakallahu kheiran
Shukraan Sana sheikh wetu Allah akubariki jazaka Allahu khair
Maasha-allah allah akujaalie kheir tuzid kupata darsa nzur kutoka kwako.
Lllllllll
Mashallah mashallah Allah ukutunze
Mashallah 🙏🏻
Maasha Allah Mwenyezi Mgu azidi kuwapa uwezo wa kuzidi kutuelimisha mambo ya kheir,malipo yenu kwake🤲🏽🤲🏽🤲🏽
Angalia spelling uirekebishe
Aammiyn
Allah akujalie salama na amani
Amiin ❤
Mashallah shukran jazila
Mashaallah
Mashallah ustadh
Maa shaa Allah tabarakallah SHEIKH.Allah akuzidishie umri na Afya utujuze yaliyo mema yatakayotusaidia leo na kesho Akheerah
jazakaallahu kheiran
Shukran
. Masha Allah
Alihamdulilah sheikh sasa leo nimepata jibu nililolitafuta mda mrefu nimeliwazika sasa
Ma sha Allah jazakallah kheir
MashaaAllah sheikh jazakallahu kheiran Allah akujalie jannatul firdhos
Shukran jazzak Allah khery mashaallah ya shekh Allah akujaze khery amen
shukran sheikh jazakallahu kheir
MaashAllah Alhamdulilah
Mashallah
shekh shukran kwa darsa yako nzuri nimeipata na in shaa allah mungu atatusaidia kuwa niiongoni mwa watakaosimama kuswali kyamu llayli
nna suali kidogo mimi ni mwanafunzi na mda wangu mwingi wa usiku huutumia kwa kujisomea na kuja kukuta siku zote usiku wa kiyamu llayli wanikuta nikiwa nasoma jee mie kuiswali qiyyamu llayli itakuwa inafaa au ni lazima nilale ndio niamke kuswali
Kiyamu laili unaswali baada swalatul Ishai na Tahhajud unafaa ulale Kisha uamke Assalam alykum warahmathulah wabarakat
Qiyam layli unasasli baada ya salatul ishai kwa usiku wote kabla ya salatul fajir na tahajud baada ya salatul ishai ulale ukiamka ndo unasali tahajudi kwa usiku wote kabla salatul fajir
MashaAllah! Baraka llau kheir Shekh
MASHA ALLAH
Ammiiin
asante wallah nimeelewa vzr
Jazakallah lkheir amiin
Jadhakum llah haira
Shukran shekh,, nimefaidika
MashaAllah shukran jazillah sheikh Allah akupe umri uzidi kufaidisha umma...
Mashaa Allah, Mola akuzidishie elmu, na kila mwenye kiyu na elmu Mola amjaalie
Amiin
Mungu akubarik Kwan tote pampja and kayla taki akuzidishie kheyr yadunia na akheyra amin
Na
@@khadijamohammed335 amiin
MashaAllah. Alhamdullillah. Barakkallah. 🙌🏽
Shukran
Shuqran maalim jaza yako kwa allah
Khsante Shekhe
Daawah zako nzuri
Shukran kwa mafundisho mazur❤🤲🤲
Shukran Sana
Ustadhi tuambiyee ni ayaq zipii
Jazzakal kheri Qethiraan.
Maashallah
mashaallah,kuna mambo hua hatujui hata kama c c niwasomi vp
Jazak Allah khayran 💕
Jazakalahu kheir .
Manshallah nimeenjoy kukusikiliza wallah umenisaidia saaana shekhe mambo mengi yalikua yananisumbua🤣🤣Allah akupe umri mrefu na nimesubuscribe channel yenu nina iman nitapata mengi inshallah 💞
Shukrn
Shukran
Hahahaha, "Sini Kunguni Juu Mbuu" so funny.
Tanzania
Masha Allah Allah akuzidishie afya uzidi kutuelimisha inshallah
Allah atuwezeshe tuyafuate
Allah akujalie mwisho mwema
Nampenda Sheikh Izudin kwa kufundisha kwa umakini. Allah barik ishaallah
Shekhe tunaomba darala zakatu limali watu watoe zaka izunguzieni sana
@@jumakidesu975 mashara munguakupe uhaimrefu
sheikh huku niliko adhana ya alfajiri ni sa tisa na robo sasa hiyo nitakuwa naswali alfajiri au swala ya usiku naomba nijuze
😂😂😂
Tahajjud ina rakaa ngapi??
Masha Allah
Shukran
Khsante Shekhe
Shukran