Soma Dua Hii Katika Sala Ya Istikhara/Haya Ndiyo Majibu Ya Sala Ya Istikhara/Sheikh Othaman Micheal

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • Soma Dua Hii Katika Sala Ya Istikhara/Haya Ndiyo Majibu Ya Sala Ya Istikhara/Sheikh Othaman Micheal
    Mashaa Allah Sheikh Othman Michael akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Soma Dua Hii Katika Sala Ya Istikhara/Haya Ndiyo Majibu Ya Sala Ya Istikhara/Sheikh Othaman Micheal
    tizama mpaka mwisho usisahau kushare
    usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
    Support us DARSA TV
    M-PESA +255 765100906
    Paypal 👇👇👇👇
    paypal.me/Dars...
    Get MORE of DARSA TV:
    ► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
    ► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
    ► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
    Subscribe
    Comment
    Like
    And
    Thanks
    Tu follow katika social media zetu
    Facebook @Darsa tv
    Instagram @Darsatv
    TH-cam @Darsa tv
    TikTok @Darsa tv

ความคิดเห็น • 12

  • @user-bx5dv1pi4p
    @user-bx5dv1pi4p 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akulipe kila la kher shekhe

  • @sharifasuleiman8297
    @sharifasuleiman8297 9 หลายเดือนก่อน +2

    Yanii shekhe mi hua unanifurahisha kweli yani masomo yako ya kirafiki kabisa muda mwengine huchekaga mweyewe2🥰🥰🥰

  • @user-bx5dv1pi4p
    @user-bx5dv1pi4p 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akulipe kheri shekhe weth

  • @fatmamohammed9933
    @fatmamohammed9933 ปีที่แล้ว

    Alhamdulilahi Tunakuomba utupatie CD za dua tupate kuzisoma vizuri hivi kwenye utube hatuzifaidi😊

  • @JohariMussa-bj7ig
    @JohariMussa-bj7ig 11 หลายเดือนก่อน

    Shekhe Othman Mimi Nina mtihani mkubwa kwa watoto wangu wa kiume naomba darsa yako niweze kuwaongoa na mitihani hii maana Moto wagu unapata taabu sana😂😂😂

  • @broumaiyyah8018
    @broumaiyyah8018 ปีที่แล้ว

    Naam Allah ndo kila kitu.ila ndo upange na ziara kutembelea mikoani sio tu nchi za nje.Allah akusimamie kwa hilo

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si ปีที่แล้ว

    In Sha Allah ukweli tulikusubiri kwa hamu kubwa sana tumealika na wasiokujua wenginene tumewapa namba ila Mungu ndio kila kitu tunakupenda shekhe wetu kaka yangu mtanga mwenzangu nikifika tz In Sha Allah nitakuja kukuona ofisini japo last time nilikua tz hukupokea cm

  • @mariamkhamisi9162
    @mariamkhamisi9162 ปีที่แล้ว

    Maa Shaa Allah TabarakAllah

  • @rehemarashidy4588
    @rehemarashidy4588 10 หลายเดือนก่อน

    Jazakalahu khaira

  • @kulthum8335
    @kulthum8335 ปีที่แล้ว

    Mashallah Tabarakallah

  • @animamichael3968
    @animamichael3968 ปีที่แล้ว +1

    jitihada hazishind qudra

  • @user-bx5dv1pi4p
    @user-bx5dv1pi4p 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulipe kila la kher shekhe