Muongozo Sahihi Wa Swala Ya Istikhara - Dr Islam Muhammad Salim

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 30

  • @zakhranahamiss-wn7mw
    @zakhranahamiss-wn7mw 7 หลายเดือนก่อน +4

    Allah aniwezesh siku moja niwe mwanafunzi wako sheikh

  • @maryamjey6340
    @maryamjey6340 2 ปีที่แล้ว +4

    Nimejaribu kumtoa mtu moyoni ila nimeshindwa na mda unaenda jmn, ni muislamu anajua sheria na masharti ya dini, ila kila nikiuliza yy hunijibu inshaallah.. Na sio kua twaonana, hupita ata miezi.3 ama 4. Ndio tuonane jmn naombeni ushauri...

  • @hadijamushi8674
    @hadijamushi8674 2 ปีที่แล้ว +3

    Mwenyenzi Mungu akulinde na kila baya sheikh wetu

  • @Alhatmi_
    @Alhatmi_ 3 ปีที่แล้ว +3

    Maashaallah dr. Islam allah akupe umri mrefu

  • @rumaisafadya6299
    @rumaisafadya6299 3 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah Allah akujaaliye kher InshaAllah 🙏🏽

  • @ummusulaish5586
    @ummusulaish5586 3 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah

  • @fayeezomary6563
    @fayeezomary6563 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah Kareem shekh wng, natamn nikuon shkh inshalh

  • @bintihemedmwarundu4615
    @bintihemedmwarundu4615 ปีที่แล้ว +1

    Inshaallah Allah atuitikie dua zetu

  • @takyatupu6839
    @takyatupu6839 3 ปีที่แล้ว +6

    Mimi nilisali mara moja tu nikaota siku ya harusi nimekimbia nimerudi harusi imeisha watu wameondoka na upande wa mume wanasema watanipeleka police nirudishe pesa yao ya mahari. Basi nikasema pengine ndoto tu nikaolewa kuolewa siku hiyo hiyo nimedai talaka sikua na furaha kabisa bwana harusi kweli akataka pesa yk nikamrudishi harusi yangu imedumu siku 3 tu 🙄😒

    • @shailamunis9867
      @shailamunis9867 2 ปีที่แล้ว

      Maa shaa Allah

    • @hamidamnyika5866
      @hamidamnyika5866 2 ปีที่แล้ว

      pole mungu alikujibu...

    • @takyatupu6839
      @takyatupu6839 2 ปีที่แล้ว +2

      Asante kabisa now nimeolewa na mwengine nipo na furaha alhmdulillah

    • @aishasaid4081
      @aishasaid4081 ปีที่แล้ว

      Dah pole sana habbty

    • @zohoraramadan4540
      @zohoraramadan4540 ปีที่แล้ว

      Uliomba kwa kiswahili ama kiarabu.

  • @hailinhelen4675
    @hailinhelen4675 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah akupe khery na afya nimeipenda sana Chanel hii

  • @mubaarakamussa9567
    @mubaarakamussa9567 3 หลายเดือนก่อน

    Assalaam alaykumu warahmatu llahi wabarakaatuh ndugu,,,,,pole na majukumu mengi ndugu,,,, siku izi sipati darsa za sheikh Dr Islam Mohammad,,,,, kuna shida gani?? Au baada ya ramadhaan hajafanya darsa ??

  • @sidratybinkhamis2837
    @sidratybinkhamis2837 3 ปีที่แล้ว

    Ukumbusho masaallah allah akulipe kher

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 ปีที่แล้ว

    Jazakumllah khaira nilikuwa najjua ni mara 1 tu nimepata faida

  • @khalidbajber1581
    @khalidbajber1581 3 ปีที่แล้ว

    جزاك الله خيرا يا شيخ

  • @mussabendera1751
    @mussabendera1751 3 ปีที่แล้ว

    Hafidhuhullah

  • @seminiabdullah1853
    @seminiabdullah1853 3 ปีที่แล้ว

    Naomba muongozo wasala ya istikhara

    • @takyatupu6839
      @takyatupu6839 3 ปีที่แล้ว +6

      Amka usiku saa nane na nusu sali raka mbili na unuie unayo taka alafu rudi kulala utaota hp kama ujaota rudia tena mpaka Allah atakuonesha mimi nimesali mara moja tu na nikapata jibu

    • @aishaally1441
      @aishaally1441 2 ปีที่แล้ว

      @@takyatupu6839Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh
      Ukhty haifai kwa mda wowote mpk iwe usiku baada ya kuamka kutoka usingiz? Tafadhl naomba unijuze na mm

    • @takyatupu6839
      @takyatupu6839 2 ปีที่แล้ว

      Ukilala ndio zuri usiku wa saa nane na nusu mpaka 9 alafu rudi kulala ndio utaoneshwa hp

    • @user-bo1xl6ec6n
      @user-bo1xl6ec6n ปีที่แล้ว +1

      ​@@takyatupu6839jazakallahu khayra

  • @muhrajovic752
    @muhrajovic752 3 ปีที่แล้ว +1

    A.alykum samahan naomba kupata mawasiliano na shekh nasal sana istghara lkn majbu sielewi ndoto zangu

    • @zohoraramadan4540
      @zohoraramadan4540 ปีที่แล้ว

      Kuna hii tv rasmi kwa kufasiri ndoto ingia mtavassy TV uliza ndoto zako .

    • @MulhatAliy-vv8hw
      @MulhatAliy-vv8hw 6 หลายเดือนก่อน

      Istikhara sio lazma uoto unaweza ukaona khafla tu moyo wko umerizk na kitu ama unaweza ukaon khafla tu kile ulichokiomba kinakutokezea lkn sio lazm uote

  • @NasraAbdillah-mb9dp
    @NasraAbdillah-mb9dp 6 หลายเดือนก่อน

    Mdaa sahihi wakuswal swala ya istikhara ni upi?