Nisawa wanalokwambia wazazi wako pia ktk haki za mke au mama yako kufuata haki za baba yako nikuwa hamruhusiwi kumkaribisha mtu ambaye baba yenu anachuki naye
Assalaam alaykum napenda sana darsa za sheikh Izudin Alwi din...please kwa yule anazo audios au video zake naomba nitumieni kweny whatsapp:+255 654 621 144 kwa faida zaidi in sha Allah
Nahudhuria darasa zako Samahani Sheikh Izudin Alwy Ahmed kofia unaeivaa niyakifalme inayo tengezwa “ 80% hand stitching ” nitaipatavipi ??? huku Pakistan hazinunulike nighali saana kutoka “ Muscut - Oman “ With best regards wishes you long life united, peace, harmony & prosperity. “Free Global Social Liberty Expressions Networks ”. G.Administrator Sheikh Mdhaffar Sulaiman Madinga Email : msm.internetwork@gmail.com Lahore - Pakistan Phone # +92-311-7288983 ZongsAPP +92-302- 4466607 JazzsApp
My favorite sheikh.. Thanks alot
Jazaakaallah shekhe. Zamani mpaka uposewe na wazazi dunia sasa. Imekwisha watu Wanataka ya dunia
Swadakta, kidogo yanifike hayo Mimi sitaki wazee wataka nikasema basi atanioa lkn sitokubali kudarwa mwili hapo ndipo nilipowashinda nguvu
Swadakta, Jazaa kallaahu haira sheikh
Nakupenda sana sheikh wangu
Yh mi pia napenda darsa zake
waaleikum msalam warahma tullahi wabarakatu ustadh Jazakha Allahu kheiri
Shekh mimi nataka kuoa lkn mimi kiwango cha mahar ya siku hizi hizo laki mm siez hicho kiwango
Ma shaa Allah shekh Mwenyezi Mungu Akuhifadhi
Nilifanya hivo kw bint yangu ,lkn nilipofikia kutowafik hakutaka katakata
JazakhaAllah
Asalaam Alaykum mie nime silimu naomba unifunze diin, niliwai kuona huko visiwani Lamu
Hahaha nayo nkweli shukran sheikh izudin uzindi kutuelimisha inshaallah
Asalam aleikum sheikh, je yafaa kumnyonya mkeo matiti alafu maziwa yakitoka ukayanywa pia
Duuuuh
😂😂😂
MashaALLah ,, shekhe uMenifuLahiisha hapO uLipOseMa "sprinG chicken"
shekhe mashaallah kwa mawaidha mazuli kwa sababu ya Allah
Mashallah maudhui mazuri
MASHAALLAH TABARAKALLAH
JAZAKALLAHU KHAIR
A A BOOS
Mashallah
JazakAllah khaira cheikh
mashallaha brakhallah fee
Hapo sawa kabisa
Ustadh nipostie namba yako nnasuala nataka kukuuliza faragha
Hongera kwa Daawa
Mashaallah
Shukran sana sheikh wetu
Mashallah mawidha mazuri. #wengine TV haziwatoshi wanataka projector hahahahah
Swadakta Sheikh,
Shukran sana maalim
Shukrani sana
Hahahaha ati umetwka springchiken umeletewa tracter 😂😂😂😂
Reemii Omar 😂😂😂
Naam sheikh wangu umechambua chuya na chenga
Na mke ninae taka wazazi wakaniposee family yao n yenye kujiweza sjui watanichukulia vipi
Asallam Alleikum.
Je ndoa ya kutaftiwa/Kuchaguliwa mke ni haram au Halal?
Shukran
Haina shida mbona
So long as hujalazimisha kumpenda
Shukra shekh mm
Allah akulipe pepo
Swadakta ya ust
Haahahaaaaa shukraan Maalim
Masha Allah tabarakaAllah
Naomba usaidizi jmn mm nimefikia wkt wakuoleka lkn wazzi wng awataki mume nimtakae nishaongea nao sana lkn bd awataki kunielewa wananipa sabbu ambzo atasizamsingi ety kuna vta vya familia kti ytu na yakina mume. ...je nisawa wafanyavyo.....ustadhi naomba usaidizi
Nisawa wanalokwambia wazazi wako pia ktk haki za mke au mama yako kufuata haki za baba yako nikuwa hamruhusiwi kumkaribisha mtu ambaye baba yenu anachuki naye
Waskize wazazi manake ukilazimisha pia yaeza ikadhuru ndoa yenyu na tofauti kwenye familia mbili
Masha Allah
MASHA ALLAH ALEIK
ma shaa Allah
Mashallah
Mwanaume hukaa EDA?
Daahh
Hahahaha mke sprinchicken
Real Man 😂😂😂😂 #Sprinchicken
Sheikh Izudin Al Awy unamaneno kweli
Assalaam alaykum
napenda sana darsa za sheikh Izudin Alwi din...please kwa yule anazo audios au video zake naomba nitumieni kweny whatsapp:+255 654 621 144 kwa faida zaidi in sha Allah
nitumie meseji wasap nkutymie 0773472978
mashaallah
Hapo pa spring chicken na tractor patamu
Naam
mashallh
Nahudhuria darasa zako Samahani Sheikh Izudin Alwy Ahmed kofia unaeivaa niyakifalme inayo tengezwa “ 80% hand stitching ” nitaipatavipi ??? huku Pakistan hazinunulike nighali saana kutoka “ Muscut - Oman “ With best regards wishes you long life united, peace, harmony & prosperity. “Free Global Social Liberty Expressions Networks ”.
G.Administrator Sheikh Mdhaffar Sulaiman Madinga
Email : msm.internetwork@gmail.com Lahore - Pakistan Phone # +92-311-7288983 ZongsAPP +92-302- 4466607 JazzsApp
Zanzibar n elfu 40 zipo kibao
Mashallah
Mashaallah
Masha Allah
Mashallah