DUA YA SWALA YA ISTIKHARA KWA KISWAHILI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 10

  • @SalmaSingano
    @SalmaSingano 4 หลายเดือนก่อน

    Amiin

  • @AishaOmar-l1u
    @AishaOmar-l1u 7 หลายเดือนก่อน

    Shukurn

  • @tallyfa05saeed67
    @tallyfa05saeed67 2 ปีที่แล้ว

    MashaAllah Shukran sana
    Allah akulipe kila lenye kheri 🤲

  • @sumeyahmohammed7717
    @sumeyahmohammed7717 3 ปีที่แล้ว +2

    kiswahili

    • @kuruthummuhsin870
      @kuruthummuhsin870 2 ปีที่แล้ว

      𝐃𝐮𝐚 𝐲𝐚 𝐈𝐬𝐭𝐢k𝐡𝐚𝐫𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐊𝐈𝐒𝐖𝐀𝐇𝐈𝐋𝐈
      "Ewe Allah, hakika mimi nakutaka ushauri kwa ujuzi Wako, na nakuomba Uniwezeshe kwa uwezo Wako, na nakuomba fadhila Zako kubwa, hakika Wewe Unaweza, nami siwezi, nawe Unajua nami sijui, nawe ni Mjuzi wa yale yaliyofichikana.
      Ewe Allah, iwapo jambo hili kutokana na ujuzi Wako (UKIFIKA HAPA UTALITAJA HILO JAMBO LAKO) lina kheri na mimi katika dini yangu,dunia yangu na Akhera yangu basi nakuomba Uniwezeshe nilipate, na Unifanyie wepesi, kisha Unibariki, na iwapo unajua kwamba jambo hili ni shari katika dini yangu,dunia yangu na Akhera yangu basi Liepushe na mimi na Niepushe nalo, na Nipangie jambo jengine lenye kheri nami popote lilipo, kisha Niridhishe kwalo"

  • @AminaSapar
    @AminaSapar 4 หลายเดือนก่อน

    Je Kam nina mambo matatu nitayataja yote aw na nitajuwaj ya kwamb hili ndio la khery aw?

  • @kuruthummuhsin870
    @kuruthummuhsin870 2 ปีที่แล้ว

    shukuran

  • @maryamuomary2082
    @maryamuomary2082 ปีที่แล้ว

    Asalaam alkym

  • @maryamuomary2082
    @maryamuomary2082 ปีที่แล้ว

    Sheikh naomba mawasiliano yako

  • @maryamuomary2082
    @maryamuomary2082 ปีที่แล้ว

    Kwa Kiswahili