NAMNA YA KUSWALI SWALA ZA USIKU KWA UTARATIBU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 67

  • @HajraSharif
    @HajraSharif 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yarabby mpe kipenzi chetu maisha maref maaulan hemedi jalala

  • @Suleiman-lz3gd
    @Suleiman-lz3gd 9 หลายเดือนก่อน +2

    Maashaallah Allah akupe kheri nyingi

  • @arafaally2654
    @arafaally2654 2 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah Asante sana Sheikh kwa mafundisho haya. Allah akuzidishie inshaAllah 🙏

  • @zainabmagoga2266
    @zainabmagoga2266 2 ปีที่แล้ว +2

    Manshaallah m/mungu afanye wepesi

  • @sir-lymwethebest1028
    @sir-lymwethebest1028 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mche ALLAH

  • @munirahmed7753
    @munirahmed7753 2 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana mashallah

  • @piliramadan875
    @piliramadan875 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @LeviTreutel-im4op
    @LeviTreutel-im4op 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha allah

  • @sheikhaboumahir3744
    @sheikhaboumahir3744 2 ปีที่แล้ว +1

    الرجال الذي يتربى على مثل هذا فلا خير فيه. ولا يستحق البقاء

  • @kisesaashura5202
    @kisesaashura5202 4 หลายเดือนก่อน

    Umetowa wapi hayo tunakujuwa weye ni shiya

  • @habyalmary8132
    @habyalmary8132 11 หลายเดือนก่อน

    Je hao waku ombewa katika hio rakaa ya mwisho kama hawafiki arubaini itakuaje?

  • @sharifakhamis7423
    @sharifakhamis7423 2 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh nn maana ya kunut nimejicuanganya

  • @SimbaSimba-fo9pd
    @SimbaSimba-fo9pd 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu sheikh si nimshia

  • @AishaAisha-oj1yq
    @AishaAisha-oj1yq 5 หลายเดือนก่อน

    Njis ya kunuia ukiwa unasawli suna za usiku

    • @aishasaid1727
      @aishasaid1727 5 หลายเดือนก่อน

      Swala tahajjud

    • @aishasaid1727
      @aishasaid1727 5 หลายเดือนก่อน

      .Swala ya Tahajjud (Qiyaamul-layl).
      - Huswaliwa rakaa 8 usiku wa manane kwa rakaa mbili mbili na kumalia 3 za witiri na kutimia rakaa 11

  • @user-ql2om7qj3v
    @user-ql2om7qj3v ปีที่แล้ว

    Wewe mshia huwezi tueleza lolote manake mnafki

  • @Zabahan9248
    @Zabahan9248 4 หลายเดือนก่อน

    This shia is talking to himself. No audience.😊

  • @saidisalum1514
    @saidisalum1514 ปีที่แล้ว

    huyu ni chizi kunut inasomwa kwenyewitri

  • @ramadhanirashidi3401
    @ramadhanirashidi3401 2 ปีที่แล้ว +1

    hawa ndio mashia sio?

    • @abuuhuzayl6549
      @abuuhuzayl6549 2 ปีที่แล้ว

      Ndugu yangu Hawa ndio mashi'ah

    • @bilalven1421
      @bilalven1421 2 ปีที่แล้ว +1

      Mashia sio waislamu ni makafiri kwa dalili ya kitabu ya ambayo ni usuul kaafiyy wanasema ya kwamba mtume ambaye khalifah wake ni abuu bakar si mtume wetu { upande wa mashia } na mungu ambaye mtume wake na khalifah baada yake ambaye ni abuu bakar sio mungu wetu na hii inaonyesha ya kwamba ni makafiri na tena mungu wao si allah na maneno kama haya ni mengi ndani ya kitabu chao cha usuulul kaafiy na zenginezo nyingi iliyotafsiriwa kwa kiswahili na kiarabu. na la pili ambayo inawatoa ndani ya uislamu wahaamini kuraan wanatwaan quran wakisema ya kwamba imepunguzwa na imeongezwa na imebedelishwa wakisema imepunguzwa aya ya ukhalifa wa aliyy ibna abii twalib wanaongojea quran yao iko pangoni anayekuja nayo ni imaam miongoni mwa imaam na hawa imaam wao na hawa imaam wote kumi na mbili ni wa ahluss nnati waljamaa wallahu a'alam

    • @nyatya199
      @nyatya199 2 ปีที่แล้ว

      Ndo mashia hawa mtihani kwelikwel

    • @almurajjabuaswabbu250
      @almurajjabuaswabbu250 2 ปีที่แล้ว +1

      Ndio mashia hawa kundi linalofuata Quran na kizazi cha mtume kitwaharifu km maelekezo ya mtume alivyotuachia,ni haq isiyofahamika

    • @abuushaymaatz
      @abuushaymaatz 2 ปีที่แล้ว

      @@almurajjabuaswabbu250 Ndo mashiah makufar na dalili ziko wazi

  • @zaharahassan7873
    @zaharahassan7873 2 ปีที่แล้ว

    Huyu niwazimu2
    Aende akasome Kwa masalafi kwanza
    Ndio awe shekh.

    • @almurajjabuaswabbu250
      @almurajjabuaswabbu250 2 ปีที่แล้ว

      Masafi gani sheeehe hawa wehu au?

    • @abuushaymaatz
      @abuushaymaatz 2 ปีที่แล้ว

      @@almurajjabuaswabbu250 Wehu wao ni upi, Lete dalili kwaajili ya Allah, Bismillah.....

    • @almurajjabuaswabbu250
      @almurajjabuaswabbu250 2 ปีที่แล้ว

      @@abuushaymaatz wehu kwa sababu wao kila kukicha kugawa waumini leo baada kuona wale wanaowaita maghurafi hawashughuliki nao sasa wameanzana wenyewe kwa wenyewe ili kuendelea kuudhoofisha uislamu Sasa si wehu huu au wanatumiwa?

    • @abuushaymaatz
      @abuushaymaatz 2 ปีที่แล้ว

      @@almurajjabuaswabbu250 hio sio Dalili, unajua maana ya Dalili?, Pili unaweza ukataja ambao ni wenyewe kwa wenyewe, make Mimi siwajui, uhalisia ulivyo ni kuwa Salafi wako dhidi ya Kila kikundi ambacho kimepinda, na sio kuwa wanatimiza matamanio yao Bali, ni Dalili za asili ndo zaonesha huyu Yuko sawa na huyu hayuko sawa.
      Tatu Marafidhwa hawawezi shughulika nao sana Sababu Jambo lao liko wazi walillahi lihamdu kwa asilimia kubwa ya watu, nne lengo la kutahadharisha hatari ya makundi na wasimamizi wao kuwaweka sawa, sio kutaka washughulike lengo ni waislamu waelewe kuwa hiyo njia waliopo hakuipitia Rasuul alaih swalaatu wa salaam, Tano kutahadharisha makhurafi hakuwezi Isha Leo hata wasipo ongea, ilihali wanaendelea kuzusha ktk diyni Radd dhidi Yao ni mpaka infinity biidhinillah

    • @almustafamediajamiumosques7951
      @almustafamediajamiumosques7951 หลายเดือนก่อน

      kazi kweli

  • @m.kvideoproduction5271
    @m.kvideoproduction5271 2 ปีที่แล้ว

    Kunnuti sheigh hujaibainisha

    • @allyissa1174
      @allyissa1174 2 ปีที่แล้ว

      Mashia haoo

    • @almurajjabuaswabbu250
      @almurajjabuaswabbu250 2 ปีที่แล้ว

      Kunut fupi hata kusema,Rabanaa aatina fiduniyaa hasana wafilaakhirat hasana waqina adhaaba nnaar

    • @abuushaymaatz
      @abuushaymaatz 2 ปีที่แล้ว

      Hawa ni mashia, ni diyni ya ushia hii sio uislam, hawajawahi kuwa na dalili yoyote ya sawa, hawa ni maadui wa Allah, Mtume wake na waumini

    • @almurajjabuaswabbu250
      @almurajjabuaswabbu250 2 ปีที่แล้ว

      @@abuushaymaatz wacha kuropoka kama sio waislam mnawaruhusu waende hijja mamilion kila mwaka kwa nini? Wakatazeni basi inamaana hata mayahudi na wakristo wakitaka kwenda hijja mtawaruhusu, tumieni akili waislamu msetekwe na propaganda

    • @abuushaymaatz
      @abuushaymaatz 2 ปีที่แล้ว

      @@almurajjabuaswabbu250 mmeenda hija lini na wapi?, Mashia wanaendaga hijja hawawezi kutusi maswahaba, na ibada zao sio za vituko Kama akina jalala, Sasa kwa swala zenu mfano mnavyo Sali, mwaweza Sali na waislamu kweli?
      Pili Huwezi mkufurisha muayyani mpaka asimamishiwe hoja, ndio Ushia ni ukafiri lkn sheria hainiruhusu nikuite wewe awamu asiyejua lolote, anayetapatapa maskini kuwa ni Kafiri, ila Kama Ungekuwa wewe ni kiongozi wa itiqad ya kishia na umesimamishiwa hoja ukabaki na itiqad hiyo, sheria inaruhusu kukuita Kafiri.