KAMANDA ARUSHA ASHTUKIA AINA MPYA YA WIZI, AMDAKA MJUSI WA ARUSHA BASTOLA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 พ.ค. 2019

ความคิดเห็น • 270

  • @allydisi3656
    @allydisi3656 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante munqu malipo ni hapa hapa.leo.umepatikana ss.ccm.imekuqeuka.mzee.baba nashkuru sna laana iwe.juuu yako

  • @athumaniomari2833
    @athumaniomari2833 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana jeshi letu ra polisi kwa kazi nzuri mwenyez MUNGU awazidishie nguvu

  • @ramadhanomar3181
    @ramadhanomar3181 5 ปีที่แล้ว +8

    i admire and respect these tanzanian police commander j shanna he so open to the public and addresses the public openly no hiding of any evidence

  • @abiadhasmassawes3984
    @abiadhasmassawes3984 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana Askari wetu, wanataka kuifanya Arusha yetu pahala PACHAFU, tupaweke Arusha sawa

  • @diltondilunga9915
    @diltondilunga9915 5 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Kamanda na vikosi vyako,hii ndiyo kazi njema kwa mujibu wa katiba yetu,

  • @jeremiaskilian757
    @jeremiaskilian757 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana makamanda kwa kazi yenu nzuli na kupambana na waovu

  • @briankimathi1507
    @briankimathi1507 3 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂. Karibuni kenya. Mirungi uku ni mmea wa kawaida

  • @ahmadimbazi4233
    @ahmadimbazi4233 3 ปีที่แล้ว +1

    Kaz nzuri sanas

  • @barakakhemedi1250
    @barakakhemedi1250 5 ปีที่แล้ว +6

    Anayemiliki hiyo pisto apunguze uzembe kdgo unaibiwaje kifaa cha ulinzi mkuu tena cha kutembea nacho

  • @zuenajohn8325
    @zuenajohn8325 3 ปีที่แล้ว +1

    Hizo pesa semeni vizuri.

  • @nelsonmikenelsonmike2622
    @nelsonmikenelsonmike2622 3 ปีที่แล้ว +1

    Chalii wa chugar
    Full time and
    Must funny Comedy 😃😃😃😃😃

  • @mbereseregerd3315
    @mbereseregerd3315 5 ปีที่แล้ว

    Kamateni MAJAMBAZI-big up sana, mirungi, gongo, waachie wanaojua UTAMU na faida zake

  • @footballkingz5223
    @footballkingz5223 4 ปีที่แล้ว +4

    Duu namwona Daruwesh" Abass Ramadhani Mkindi.Home sweet Home

  • @riphathpeterson6364
    @riphathpeterson6364 5 ปีที่แล้ว +9

    Kamanda Sirro turudishie Rpc wetu mwanza tafadhali

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 5 ปีที่แล้ว +9

    Uko vizuri kamanda, chapa kazi Baba.

    • @shamsakatanga7506
      @shamsakatanga7506 5 ปีที่แล้ว

      Swaum hadi huku hongera

    • @user-rd7jt1vi5x
      @user-rd7jt1vi5x 5 ปีที่แล้ว

      Haaaa haaa haaa nimecheka sana ilitaka awe wapi tena ndugu

  • @UfalmeTV
    @UfalmeTV 5 ปีที่แล้ว

    pongezi sana kwa kazi nzuri

  • @josephpaul3861
    @josephpaul3861 5 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kamanda wetu hukusisi mwanza tumekumic sana

  • @micamathew6433
    @micamathew6433 5 ปีที่แล้ว +4

    Wowww dahhhh safi sana jeshi la polisi, sukuma ndani fasta bila maelezo afu waishie magereza miaka 15

  • @geoffreyzakayo5398
    @geoffreyzakayo5398 5 ปีที่แล้ว +4

    Gongo Ya Arusha Usiombe🙌🙌

  • @michaelmoro4801
    @michaelmoro4801 5 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana wakuu wetu

  • @nasibumaiko3425
    @nasibumaiko3425 4 ปีที่แล้ว

    vry gd kamanda Tupo pamoja nawe

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 5 ปีที่แล้ว +19

    pongezi kwa jeshi la police.

  • @calvinjoseph
    @calvinjoseph 5 ปีที่แล้ว +1

    Big up my police force

  • @josephmutua3544
    @josephmutua3544 5 ปีที่แล้ว +1

    Mm napenda mirungi sana

  • @husseinmunga9591
    @husseinmunga9591 5 ปีที่แล้ว +9

    kwenye mirungi apo dah,🤣🤣 kenya iyo nikama kunywa maji tu

  • @faridaabdallah7620
    @faridaabdallah7620 5 ปีที่แล้ว

    Asante jeshilapolisi

  • @merymrema420
    @merymrema420 5 ปีที่แล้ว +4

    Hogera sana kamanda
    Ila MUNGU amesikitika kilio cha wengi mjusi alizuru watu sana kwa kivulu cha ccm

  • @elishapaul6882
    @elishapaul6882 5 ปีที่แล้ว +1

    Kenya mirungi ruksa tz marufuku!!! Jumuiya ya Africa mashariki oyeee

  • @nshomamayungu2326
    @nshomamayungu2326 5 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana jeshi la police.

  • @rosemaryobudo6701
    @rosemaryobudo6701 5 ปีที่แล้ว +4

    Nawasalimia wrote wanaotazama ukombozi TV mwanza from kenya

  • @michaelmrema5233
    @michaelmrema5233 3 ปีที่แล้ว

    Kamanda nakukubali sanaaaaaaaa

  • @mandoshy
    @mandoshy 5 ปีที่แล้ว

    Hongera kwa kaz mkuu

  • @gastobruno8779
    @gastobruno8779 5 ปีที่แล้ว +18

    Uko pouwa kamanda

  • @luciansanga5195
    @luciansanga5195 3 ปีที่แล้ว

    Upo vizuri sana Lakini Gongo usi imwage Dawa ya cv19

  • @kyambarungwe4453
    @kyambarungwe4453 5 ปีที่แล้ว

    namukubali sana huyu kamanda

  • @samsonjoseph670
    @samsonjoseph670 5 ปีที่แล้ว +18

    Tunakukumbuka mwanza.

  • @hawaahmed9400
    @hawaahmed9400 4 ปีที่แล้ว

    Dude

  • @thomasnyarusanda2608
    @thomasnyarusanda2608 5 ปีที่แล้ว +2

    Mnapochanganya siasa zenu na maandiko matakatifu ndipo mnapopoteza mwelekekeo wa uadilifu na kupotea kisiasa. Hamueleweki wabunge wetu, mnahubiri dini Au mnajinadi kisiasa....?

  • @emmanuelmogela5871
    @emmanuelmogela5871 4 ปีที่แล้ว +2

    simlikatazwa kuonyesha watuhumiwa bado hamkomi, siro ona yanajirudia

  • @mwalimu1520
    @mwalimu1520 3 ปีที่แล้ว

    Rest in Eternal Peace,

  • @fadhilijohn6905
    @fadhilijohn6905 4 ปีที่แล้ว

    Nimekukubali Afande

  • @chapishainc789
    @chapishainc789 5 ปีที่แล้ว +4

    kwa biti za bongo fleva na jinsi ya kuzitengeneza subscribe kwenye channel yangu

  • @rachellaizer941
    @rachellaizer941 4 ปีที่แล้ว

    Huyu Kamanda ananifurahisha sana kikosi kabambe na gongo ya arusha usiombe 😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😂😂😂

  • @babaanisha2104
    @babaanisha2104 5 ปีที่แล้ว +8

    wamechomwa hao na watu wala sio kikosi chako kamanda

  • @laipazergy7938
    @laipazergy7938 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu RPC sijui kwanini alihamishwa Mwanza?. Kamanda alitufaa sana

  • @loisjackeliakim4339
    @loisjackeliakim4339 4 ปีที่แล้ว +1

    Kamanda pesa kwel hamjakamata acheni ixo

  • @dissasprince
    @dissasprince 5 ปีที่แล้ว

    shukran

  • @valentinamussa4212
    @valentinamussa4212 5 ปีที่แล้ว +12

    Yani huyo dereva kule angeendelea kupiga honi. Wangemfata mjinga

  • @jinaali4370
    @jinaali4370 4 ปีที่แล้ว

    Barakoa ziko wapi?

  • @benjambesseltdltdt.v.shiny9457
    @benjambesseltdltdt.v.shiny9457 3 ปีที่แล้ว +1

    RIP

  • @jeremiahmwasapilicharlie2926
    @jeremiahmwasapilicharlie2926 5 ปีที่แล้ว +5

    dah hyu kamanda noma

    • @simbayaluka351
      @simbayaluka351 5 ปีที่แล้ว

      Kamanda tunakukubali mwanza tunasalute

    • @alicekathure8703
      @alicekathure8703 5 ปีที่แล้ว

      Kamanda mti ni dawa yako si nyinyi no wavuta Bhangi.

  • @nancesebastian3464
    @nancesebastian3464 5 ปีที่แล้ว

    hapo sawa sio mnakimbizana na boda boda mtaani Alf uhalifu unaendelea

  • @paulbruno5349
    @paulbruno5349 5 ปีที่แล้ว +3

    Gongo si imeruhusiwa jamani afu gongo ni Tarent MTU kupika watafutie kiwanda muwaajili wapike gongo

  • @mwitaibrahimu775
    @mwitaibrahimu775 5 ปีที่แล้ว

    Bongo movie sabrina

  • @robertmliga5690
    @robertmliga5690 4 ปีที่แล้ว

    nawakubali sana jeshi lapolisi mnatisha

  • @leylasaid2616
    @leylasaid2616 5 ปีที่แล้ว +5

    Gongo LA arusha usiombe...hahaaa

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 4 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri lakini huyo anayo we milioni 6 nymbani hajui benki ilipo ni uongo tu

  • @boscoboy573
    @boscoboy573 3 ปีที่แล้ว

    Naiyomba serikali wasamehewe vijana hao kupunguziwa vivungo

  • @hadija846
    @hadija846 3 ปีที่แล้ว

    Eee alieiba bastora na kuzipoteza Laki sita nyumba ndogo mboni hatuonyeshwi? Noma noma Hahaaaahaaaaa🤣🤣🤣

  • @msafirisalum8436
    @msafirisalum8436 5 ปีที่แล้ว

    Pole wajina

  • @shawaribakari1226
    @shawaribakari1226 3 ปีที่แล้ว

    Ww lala salamaa mzeee

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 5 ปีที่แล้ว

    Afande tembelea sana eneo la matejo , ngarenaro na ungalimited. Yani ni ku kamata tu mlevi wa gongo atakupeleka hadi alipo nunulia

  • @petershirima2431
    @petershirima2431 5 ปีที่แล้ว

    Wanashikaje vitu vya r kwaiyo leo sichani???

  • @harmonyzvimba1563
    @harmonyzvimba1563 5 ปีที่แล้ว

    I don't understand the laungage wat is going on there plz help!!

    • @ezekieljacob5795
      @ezekieljacob5795 4 ปีที่แล้ว

      Zepipo hia go steal a.bastola and.6.million polisi kechi zemu anoza kuku gongo the.best in arusha kali sana.my friendi understand now.aaa nawewe bwana jifunze.kiswahili

  • @kingkongmadiba3174
    @kingkongmadiba3174 4 ปีที่แล้ว

    Huyu RPC ana sifa sana japo ana chapa kazi

  • @mohamedisarafi5308
    @mohamedisarafi5308 5 ปีที่แล้ว +4

    Kiki

  • @celestialedward6123
    @celestialedward6123 4 ปีที่แล้ว

    Ningekukubali zaidi kama ungetoa amri mbele ya press anaepiga honi akamatwe mara moja maana hayo mazingira hayamruhusu kufanya hivo alikua akivunja sheria mbele ya dora ilionekana kabisa alikua anakukera

  • @allyduwa9914
    @allyduwa9914 5 ปีที่แล้ว +3

    Mmmmh kwel pambana nao hao wauza mirungi

  • @ewhite2806
    @ewhite2806 3 ปีที่แล้ว

    Hiyo milioni 6 mmmh cjui ngoja ninyamaze tu

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 5 ปีที่แล้ว +2

    Namuona mzee abbas daruwesh kwa mbaali😁😁

    • @marcmakata254
      @marcmakata254 5 ปีที่แล้ว

      Darweesh anafanya nini hapo ?

    • @marcmakata254
      @marcmakata254 5 ปีที่แล้ว

      Darweesh anafanya nini hapo ?

  • @sazafsuma7542
    @sazafsuma7542 5 ปีที่แล้ว +2

    Sasa pesa mbn hajakamata

  • @mkendag
    @mkendag 5 ปีที่แล้ว

    Kwa uimara huu wa Jeshi letu la polisi hata wasiojulikana lazima wajulikane.

  • @maintenancews4200
    @maintenancews4200 5 ปีที่แล้ว +3

    Duh!,kweli kabisa jeshi la polisi lenyewe lina uwezo mkubwa wa kufanya kazi zake pale inapokua halijaingiliwa na AMRI ya kutoka JUU.

    • @Elecovid
      @Elecovid 8 หลายเดือนก่อน

      Saf sana

  • @emmanuelbonaventura4258
    @emmanuelbonaventura4258 5 ปีที่แล้ว +4

    Sirro turudishie rpc wetu mwanzaaaa

    • @bettynjossa8457
      @bettynjossa8457 5 ปีที่แล้ว

      Kweli

    • @user-rd7jt1vi5x
      @user-rd7jt1vi5x 5 ปีที่แล้ว

      Aje afanye nn mwanza tena kashatoka huko sasa yupo arusha japo na mm cyo mtu wa arusha piga kazi kamanda

  • @ahmedstza2900
    @ahmedstza2900 5 ปีที่แล้ว

    Bungen tunataka tupitishe Bang e

  • @Unclerammaschannel
    @Unclerammaschannel 5 ปีที่แล้ว +2

    Awadhi wazungu wote sio waweke zaji kwa hiyo Acha ushamba wa kuabudu wazungu na fkra za kiko loni kupenda kutawa liwa na wazungu

    • @nelsonnmwaipaja6980
      @nelsonnmwaipaja6980 5 ปีที่แล้ว

      kabisaaaa

    • @ezekieljacob5795
      @ezekieljacob5795 4 ปีที่แล้ว

      Kwani mkoloni hasa ni.nani???? Kwani nikiwa na wanyamwezi 7 shambani kwangu wanalima, hivyo na mimi ni mkoloni ???

  • @grnifamgeni1309
    @grnifamgeni1309 5 ปีที่แล้ว

    Shukurani zikuende shemeji yangu

  • @adamally8791
    @adamally8791 5 ปีที่แล้ว +1

    Ila mzee Baba sialisema hii kitu cha valuer cpoa kuzalishwa au ckuwa nimemuelewa vizuri ba Jescha

  • @selemanmaulid5223
    @selemanmaulid5223 5 ปีที่แล้ว

    Kazinzuli afande

  • @nyarinkya6102
    @nyarinkya6102 5 ปีที่แล้ว +1

    Milion 6 mmepiga afande haiwezekani

  • @bwakilamychanel5951
    @bwakilamychanel5951 5 ปีที่แล้ว

    wameuzwa hao jamani daaah

  • @rajabunchimbi2842
    @rajabunchimbi2842 3 ปีที่แล้ว

    sasa mkishaikamata hiyo mirungi mbona hamtuambii mnaipeleka wapi? Mbona hatujawahi kushuhudia mkiichoma hadharani

  • @shadowlights7280
    @shadowlights7280 5 ปีที่แล้ว +1

    Safiiii

  • @minyalisaingorie6695
    @minyalisaingorie6695 5 ปีที่แล้ว

    Jamani pongez kwa polisi

  • @pablozuu7446
    @pablozuu7446 4 ปีที่แล้ว

    Mukuu tuonyeshe jumanne mjusi tumjue cyo hao mirungi mbona kawaida ilo la bunduki ndio hatari

  • @japhetisraelsmafie997
    @japhetisraelsmafie997 4 ปีที่แล้ว

    Hizo pesa zifatiliwe kuanzia mwanzo mpaka mtumiaji wamwisho kupitia hicho kikosi zitapatikana

  • @annassuleiman4508
    @annassuleiman4508 5 ปีที่แล้ว +1

    huyu siyo kamanda wa arusha bali ni kamishna mkuu wa operesheni nchini tanzania. anazunguka nchi nzima bila kipingamizi

  • @jeremiahmoshi160
    @jeremiahmoshi160 5 ปีที่แล้ว

    Hela ndioo ..

  • @delsonandrea5223
    @delsonandrea5223 5 ปีที่แล้ว +3

    Hahaha gongo ya arusha usiombe

  • @justinlyimo9863
    @justinlyimo9863 3 ปีที่แล้ว

    Arusha kuna wizi wa pikipiki uliokithiri watu wanakufa mara kwa mara na hilo pia tusaidiwe vijana wanajeruhiwa na kuuwawa tunaomba vikosi vitumwe kuwabaini hao maharamia wanaotafuta pikpik kwa nguvu

  • @ezekielngarega5142
    @ezekielngarega5142 5 ปีที่แล้ว

    Tanzania wizi ni cash crop

  • @emmanuelmushi2774
    @emmanuelmushi2774 5 ปีที่แล้ว +1

    Mju ni kada tena green guard

  • @barryryoba1489
    @barryryoba1489 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Sana Makamanda Kwa Kutumia Masaa 48 Tu Kumkamata Mwizi Pamoja Na Mali Alizokua Ameiba..
    LAKINI PIA, KIPINDI KILE LISSU AMEPIGWA RISASI KWANINI HAMKUTUMIA MASAA 48 KUWAKAMATA WALE WASIOJULIKANA.. KAMA MLIVOFANYA LEO KUKAMATA HAWA VIBAKA?!

    • @immamlowe7151
      @immamlowe7151 5 ปีที่แล้ว

      Barry Ryoba Lisu sialipigwa na wenzie ili apatie kiki?

  • @selemaniswaleh5058
    @selemaniswaleh5058 4 ปีที่แล้ว

    Kangaroo

  • @user-ng6yt2od7l
    @user-ng6yt2od7l 3 ปีที่แล้ว

    Maisha magumu babaaa kumebana mzeee toto yote yataka Kula ugali hamna ajira hamna

  • @erickkagisa3470
    @erickkagisa3470 4 ปีที่แล้ว

    Ma RPC wengne nashauri acheni kupenda kamera,,,,kama mmefanya kazi hakuna haja ya kutangaza kila kitu,,,,mengine yaishie huko axee!!! Arusha, Dodoma, na mwanza !!em jirudi ,,,hata IGP alishawambia

  • @yt-nu4tm
    @yt-nu4tm 5 ปีที่แล้ว

    Mbona siku hizi watanzania tunaitana kwa makabila? Is there any relevance kusema jamaa ni mpare?

  • @hodanaliyussuf1988
    @hodanaliyussuf1988 5 ปีที่แล้ว

    Mkitaka kutokomeza usaji wa miraa waulizeni hao vijana mahali wametoa na wanampelekea nn sababu hiyo miraa siyo yao ni oda wamepewa waisafishe.

  • @georgeisdory9998
    @georgeisdory9998 4 ปีที่แล้ว

    Kenya wanafanya biashara sisi tunazidi kulala tukisthuka Bei imeshuka au Haina soko dhaaa watanzania......... Cha ajabu kwenye dawa za binadam inahusika Sasa sijui uwa mnanunua wapia...... Kama amjui inapolimwa au mnafata jamaika

  • @rumbachigamba8836
    @rumbachigamba8836 5 ปีที่แล้ว +2

    Hio nyo kali