Polisi Dodoma ilivyombananisha mkulima wa bangi “Nilienda kwa mganga”
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- Kamanda wa Polisi Dodoma Gilles Muroto alifunga safari hadi katika msitu wa Wotta uliopo kijiji cha Mwanawotta Wilaya ya Mpwapwa mkoani humo na kuendesha Operation ya kufyeka na kuchoma mashamba ya bangi ambapo pia katika tukio hilo Askari walifanikiwa kumkamata mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Julius Luagala mwenye umri wa miaka 51 kwa tuhuma za kujihusisha na kilimo cha zao hilo.
huyo mzee dish sidhan kama liko sawa
kama huwa mnatumia hicho kiungo cha mboga gonga like
Sasa mnachoma bangi mpo hapo c mnavuta na nyinyi😂😂😂😂😂😂
vizuri afande KO mesh a wamezidi
Habily BoyTz ha ha ha watatangulia wenyewe kituoni kujishitaki
+Zainab Boo sawa na ww lima upate tabu
Habily BoyTz kweli kabisa😯😂😂😂😂😂😂
Hapana! Ni mpaka ivutwe jinsi inavyotakiwa.
Mungu akulinge na akuweke kamanda kazi mzr sana piga kazi baba 🙏
KAMANDA WA DODOMA KWA KAZI NI NZURI SANA.👏
RPC murotto hkk unambana mtu ile ile hkk maswali yk nimeyapenda kazi nzuri kamanda nakubari na na mm naunga mkono juu ya hilo
Daah inawezekana Uyu ndie aliyekuwa anamuuzia Wema Sepetu na Rayc maana sio mchezo hizo ni nomaaa
Safi sana kamanda 🙏
kazi nzuri.
mbona huyu mzee hkuna haja ya kumfunga pingu,Tufanye research tujue why watu walime bangi badala ya mazao mengine?
mtanzania mzalendo acha uk... hyo hairuhusiwi.... akalime karanga.. aache upunguani
Best comment ever
Uko sasa
RPC Murotto maswali yako huwa yananikosha sana
Science Arusha Kamanda hata Me namkubali
Science Arusha HANA KAZI....ANAACHA MASUALA YA KIUSALAMA ANAKIMBILIA KESI ZA BANGE??? KWANI JESHI LA POLISI HALINA MSEMAJI??MZEE MSAKA KIKI TU HUYU HANA JIPYA NA SURA YAKE KAMA BUNDUKI
Daah! Inauma xn
Bangi is medicine
Mzee mroto nakukubari sana sana
hongera
Aah huyu kamanda bhana ana sifa sana kwenye mambo yasiyo na maana
Mahouse gelo
Kalima kubwa asee, uo utajiri wake
daaah nani hapo mzee sasa halafu nyinyi mnawakamata hao watoto wakati mapapa mnawaacha wanao uza madawa ya unga
Sample amepatikana dah
Bangi tamu sanaaaa ,Mimi naipenda mno
Juma Shabani acha utaahira wewe sifa za kijinga
😂 😂 Njooni mumkamate uyu ukuuuuuu
Juma Shabani yaani napata kaharufu kwa mbaaalii duuuu utamu Wa bangi banaaaa
😢njoo uchukue cha arusha
Bangi ni Dawa.
Muacheni tu maana hana msaada
Nakubali
Kamanda huyu no safi sana
siasa,,,
Medication
wa mtwara ongera sana jeshi la polic
Polen mungu awape kaz za kufany zipo nying
Ligalise it....... In love with weed from kenya
😁😁😁umze ana nifurahisha sana
Hapo mm ndoo nachoka wangekuwa vijana mnasema vijana umri mdogo kama huu ndoo mnajishilikisha na kulima bangi wawe na mri mkubwana umri mkubwa ndoo unajishikisha na kula bangi sasa walime wa umri gani
Wata pata tabu sana na rudia tena wata pata tabu sana iseeeee hahaaaaaa nakukubari sana mzee Mroto
Kazi nzuri
baba wwatu mumuache kuna vitu vingi sana vipo kwenye jamii mbona hamuvikemei
bangi mimea t kam mimea nyengine mbn wasanii wakubwa hwakmatw n wnvuta bangi kam afande sele
Huyu mzee anamuhojigi muhalifu huku kamshika bega kumfariji mtuhumiwa anaona ataachiwa huru kumbe anaenda jela 😂😂😊
Huyu kamanda ana maswali ya mitego balaa😁😁😁😁
RPC upo vizuri
Jmn siyo poa ivyo ...we kamanda ☹️☹️
watanzania nawambien ukwel hua naumia napowaona wez kama kina tibaijuka,change,nawengine wakitamba mtaani lkn masikini wakifanywa ivo,mungu tuokoe.
Daa! inaskitisha kweli
Ongera Sana kamanda kwalazi unazozipiga lkn angalia wasikuue maana unaokiereere sana
Kwenye kushika bangi namba moja VP wezi na mafisadi walioiba taifa na mnawajua
Polisi ni Kama nyumbu
KAZI. IPO
Huyo gea 8
Dah, shaza zinapigwa moto hadi roho inaniuma
Kwelii kamanda wanakua wamelegea
Ingekuwa dhahabu ingekuwa ya police ila kwakuwa nibangi basi niyako mzee wey weka tu mkono juuh
Hyu kamanda namkubali san 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mtapata tabu sanaaa kipigo chake kitakua nikipigo cha mbwa koko
Wanaharibu hela hawa!
Kilimi cha kawaida mnazuiaa watuu kuuza njee...na bado mauxo ya ndan makodi kibaaoo sa mtu afanyeje sasa..
Hiyo ni dawa ya degedege. Mkakamate wauwaji na watekaji. Konyagi ina madhara kuliko bangi.
Wangapi mnafurahishwa na kamanda muruto kwa mikato yake,, ya kuuliza maswali
Deey Salvado mm nampongeza
Deey Salvado 😂😂😂 watapata tabu sana
Deey Salvado i
Deey Salvado mm
Deey Salvado mi binafsi nape da maswali ya Rpc
This commander should come to kenya n we see if he got the guts😂😂
Ajira hakuna jamani akiiba nizambi napia bangi ndo inamfanya endeshe maisha yake chaku ishauli selikali kama wamekata bangi napia hawataki aendelee na kulima bangi inabidi wampe mtaji ili aweze kuendesha familia yake maana kwa umli alio fikia hawezi kufanya biashala nyingine zaidi ya bangi mazao hayana faida napia hakuna bei lasmi ya mazao
Ila apo kunamaafande wanavuta mkuu
Hii ni Dodoma sehem gani inatoa kijani kibichi hivi na Dodoma ni jangwa
Bangi ni mbaya kwakwel
Huyu babu ni muigizaji kweli kweli yaani kanikumbusha majuto marehemu
Amen and Amen jesus
Mngekuwa mnawakamata nawanao kula hela za umma zingependeza
unafeli kamanda bangi tam mnoo mwachie tu. jaman a MWe. we kamanda misifs
jamani bangi sio mbaya mbn gamaika wanatumia mfano bob male ilikuwa anavuta bangi na kacha history kubwa duniani tufanye uchunguz kubain bangi pengine ni tiba
Watapata tabu sana..
Nasema watapata tabu sana😀
Bangi hiyalalishwe n ipande beai uwone km watu watatumia
Nambn sijawahi muon mtu aliye haribik kwakuvuta bangi
Huyu dingi namkubali sana, Tanzania maafisa wote wawe na moyo wa kulipenda Taifa kama alivio basi, kwa kila MTZ atapata amani.
Mh anailima kabisa bila woga hatar sana
Ila mheshimiwa Raisi ameshakataa Polisi wake kwenda kukata bangi
Bangi ni dawa isipokuwa wengi hufanya mambo ndio wasifiwe , lkn mbn Askari wachome mali ya mtu na baadaye utawaona wakinunua hizo bangi
Katazeni sigara,ruhusuni bangi,Bangi Haina madhara yoyote,tafuteni daktari yeyote awaambie,bangi haina madhara
Afande mbona na ww kama una vuta bangi nikiona sura yako
Kwetu mpwapwa kwa bangi hatujambo 😁😁
Huyo Atapata tabu saaana,😂😂😂😂
Mwachen
Apo dodoma sehem gn mbn kun kjan kbch sana duh
mzee acha kuuliza maswali mengi huyo ni mzee mwenzio
Ifanywe zao la biashara
Hiii mbna dodoma tu
subscribe kwenye youtube channel yetu kupata kipindi kipya kinachokujia karibuni kinachohusu mapenzi na namna ya kumnasa mpenzi anayekusaliti
Dodoma mtapata tabu saana maana huu moto wa RPC wenu sopoaaa!!!
Bangi dawa ya wtoto mulize bangine mboga
Hawa jamaa si walikatazwa kuchoma na kung'oa bangi wakiwa na sare za jeshi.
Muacheni tu kwani sibola akarime bangi bila kuiba
Bangi haina tatizo bhanaaa 😂😂😂😂
Mbona nyinyi polisi mnazivut hizo bangi kulikon
Hapanakabisa kamanda katakabis hatari hio
izi ndizo mambo za kudanganyana eti kacha bani kumbe kawa muzaji
Sio vzur kumzalilisha huyu baba masikin mbona matajir wanaouza madawa ya kulevya hamuwasubui na wengine ni wafanyakaz serikalin au Kwa sababu Sheria inabagua inatekelezwa Kwa masikin tu, kama angekuwa kigogo asingedharirishwa
Bangi haina mazara yoyotee
Mh raisi aliagiza askar wake wasifyeke bangi.kamanda kamata kijiji chote vitu vngne haviitaji huruma afande mtoro
yaani imestawi mpka natamani,il hapo kapata hasara kweli
Muroto go Back to school na ufanye reseach,Bangi ni Dawa! Wazungu wanawadanganya wakati huku ulaya ndio Bangi wanatengeneza dawa,nakuja kuwauzia, Hao washamba kama Muroto! Nenda Uganda wanalima Bangi kwa ajili da dawa!
Mwenye nchi kakataza askari kufyeka badala yake kijiji ndio kifyeke
Hivi hii tabia kwa polisi kufyeka na kuchoma bangi si ilishakatazwa na rais! Au hii video niya siku nyingi mimi ndo nimeiona leo
😂😂😂jaman mtapata tabuuuu
Na pombe nayo wangekuwa wanafanya kama wanavyofanya kwenye bange nchi ingesonga mbere maana pombe baya kuliko bangi
chomeniiiiii mkesha choma na nyny wenyewe mtakua tyr mshavuta maana huo mzigo c mdg ..jiangalieni apo 😃😃😃😃
Kwan mmesahau maaagizo ya JPM ya kuacha kukata bangi wakate wenyew..
huu ni uonevu madawa ya kulevya una yaacha. nyinyi ndo eaingizaiji bangi ndo munajitia mupo makini
Hivi Rais alisema askari wasikate bangi au nilisikia vibaya...amedharau amri ya mkuu wa nchi
juzi raisi kasema asikari msikate bangi alielima na wanakijiji wa sehemu hiyo ndo wazikate