MAJAMBAZI WANNE WAKAMATWA ARUSHA, WAKUTWA NA DAWA WALIZOPEWA NA MGANGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 พ.ค. 2020

ความคิดเห็น • 369

  • @dianafyondi9048
    @dianafyondi9048 4 ปีที่แล้ว +39

    Hongereni jeshi la polisi kwa kazi mnazofanya. Mungu azidi kuwalinda kwa kazi mnazofanya.🙏🙏🙏🙏

  • @frankenock3651
    @frankenock3651 4 ปีที่แล้ว +16

    Hahaaaa afande umenifurahisha eti " shikamo mzee na chuma kinaitika" umetisha ,,hongereni sana jeshi la polisi

  • @clememallya4257
    @clememallya4257 4 ปีที่แล้ว +1

    🙏👍Hongereni sana Makamanda wetu kwa kujitoa kwa kulinda usalama wetu kiaminifu. Mungu awalinde na maadui na awabariki sn🙏🙏 tunawaombea usalama wa maisha yenu

  • @belindasteve4749
    @belindasteve4749 4 ปีที่แล้ว +14

    Piga kelele kwa Arusha ake weeeweee!!!!Hongera sana kwa Askari wa A.town.

    • @linamacha7686
      @linamacha7686 4 ปีที่แล้ว +1

      Hongera sanaaaan makamanda kazi nzuri watu tupo kwenye kwenye maombi ya kuomba toba kwa Mwenyezi Mungu wengine ndiyo kwanza wanazidi kumchafua Mungu tutaponaje jamani charaza bakora za kutosha huyo mganga maana hawa ndiyo wale waganga wakuuwa maalibino pumbavu kabisa 👏👏

  • @happysindani6708
    @happysindani6708 4 ปีที่แล้ว +29

    Kazi nzur sana police wetu👏🏽mganga kawaingiza town

  • @josephmadobho302
    @josephmadobho302 4 ปีที่แล้ว +21

    Hawa jamaa noma had nimempenda rpc bigup police

  • @majaliwamsigwa3974
    @majaliwamsigwa3974 4 ปีที่แล้ว +13

    Hawafai kwenye Nchi yetu ya Tz,hongereni jeshi letu

  • @josephinekwaselema5566
    @josephinekwaselema5566 4 ปีที่แล้ว +11

    Hiyo ni sanitizer yao 😁😁
    Big up sana maaskari👏👏👏👏

  • @marymlelwa8471
    @marymlelwa8471 4 ปีที่แล้ว +15

    Shikamoo Mzee na marahaba ni balaaaa😂😂😂😂

  • @stephanojackson8280
    @stephanojackson8280 4 ปีที่แล้ว +29

    Barakoa ya mheshimiwa nimeipenda.

  • @hopekingoftz8208
    @hopekingoftz8208 4 ปีที่แล้ว +19

    Pongezi kubwa kwa askari shupavu. Majambazi noma hao wana mkasi unaitwa shikamoo mzee,

  • @issangyabertha5741
    @issangyabertha5741 4 ปีที่แล้ว +33

    Gari liliwapita kama mshale,,,, ongeren polisi wetu

    • @pericykiko6198
      @pericykiko6198 4 ปีที่แล้ว

      Issangya hahaaaa

    • @hongeramgaya714
      @hongeramgaya714 4 ปีที่แล้ว +2

      🤣🤣 kwa msisitizo

    • @mwanalikhamis9875
      @mwanalikhamis9875 4 ปีที่แล้ว

      hongereni jeshi lpolisi poleni nakazi nnzito mungu atwasaidia

  • @jtheophil5499
    @jtheophil5499 4 ปีที่แล้ว +3

    Mnafanya kazi nzuri sana,ongereni sana jamani

  • @WitnessMwanga
    @WitnessMwanga หลายเดือนก่อน

    Jamn tunaomba wafungwe maisha yao yot, hongeren kwa kaz nzur

  • @shaabaniali9816
    @shaabaniali9816 4 ปีที่แล้ว

    Pongezi kubwa kwa askari wetu kwa ujasiri,uzalendo,ukakamavu wote mlio uonyesha kwa pamoja.tupo tayari kufa kwa ajili ya taifa letu....🤝🏿💪🏿🙏🏿⭐⭐⭐hakika nyie ni wazalendo wa kweli..pongezi kwenu na mungu awalinde pia awajaalie ufaham mkubwa wenye maarifa na hisia kali za kumtambua adui.....never give up

  • @ashulamusin9811
    @ashulamusin9811 4 ปีที่แล้ว

    Nawapenda sn polic wetu kwa kazi nzuri

  • @marrynyagawa6997
    @marrynyagawa6997 4 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana jeshi la police kwa kazi kubwa mliyoifanya

  • @shailashaila6913
    @shailashaila6913 4 ปีที่แล้ว +6

    Waarabu ndio watu pekee wanalaza gar nje na hakunaga kitu mwiz wala jambaz, walala mageti waz wala mshipa hauwadundi
    Ila Tz bora mtu uwe maskn tyu mpk siku yako ifike ufe kifo ulichoandikiwa 😩

    • @Zainab-sq1tc
      @Zainab-sq1tc 4 ปีที่แล้ว

      Sanaaa ndo mana hatufanikiw awaafica

  • @ababuumwanazanzibar4908
    @ababuumwanazanzibar4908 4 ปีที่แล้ว +33

    Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae JPM Nambari 1

  • @abubakaryomary3985
    @abubakaryomary3985 4 ปีที่แล้ว +1

    Big up"saluti kwa kazi nzuri sana mliyo ifanya jeshi la polis namiombea kila la kheli

  • @jeremiadaudi5780
    @jeremiadaudi5780 4 ปีที่แล้ว +5

    Mungu awalinde polis wetu na ujasiri huo natamani niwe nanyi ila nafasi sina

  • @abdikadirmohamed968
    @abdikadirmohamed968 4 ปีที่แล้ว

    Hongera kwa kazi mliafanya kuwa kukamata wezi hawa bila shida "MUNGU awabariki kwa umri na afya wapolisi wetu". Asanteni sana.

  • @diltondilunga9915
    @diltondilunga9915 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana jeshi la polisi Mkoa Arusha,na ni bidii za rais wetu mpendwa ,ktk kuimarisha uzalendo na uwajibikaji ktk kazi

  • @TheRock-wo6mx
    @TheRock-wo6mx 4 ปีที่แล้ว +2

    Tanzania hoooyeee nawapenda Sana kutoka serikali hadi ulinzi wataifa angalao Kenya ingeiga wangekua mbali Sana lakini wao wanajaza mmatumbo tu kutoka serikali hadi ulinzi ovyo kabisa Kenya I'm from South Africa more love tz

  • @hongeramgaya714
    @hongeramgaya714 4 ปีที่แล้ว +17

    Mbona uyu babu kajiprotect sana kuliko hata wahudumu Wa afya.😂🤣

    • @ichukagaum9732
      @ichukagaum9732 4 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂

    • @asiaokelay8421
      @asiaokelay8421 4 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂

    • @eliaskayegezi3585
      @eliaskayegezi3585 4 ปีที่แล้ว

      Kama kikato cha helmeti

    • @saidmo8392
      @saidmo8392 4 ปีที่แล้ว +1

      Woga wa maisha huo

    • @noxlosingida2369
      @noxlosingida2369 4 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣ana jijali angalia Afande Masoud Mohamed alivyo tutoka ghafla

  • @dissartv4806
    @dissartv4806 4 ปีที่แล้ว

    Hongera kwa majambazi..wanajitafutia..kazi ni kazi bhana.Majambazi ya kalamu hamuyaoni..wapo ofisin wanaibia raia kwa vyeo zao

  • @khatwabmpinga8602
    @khatwabmpinga8602 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi Sana'a vijana kazi nzuri

  • @Dm-yd1tl
    @Dm-yd1tl 4 ปีที่แล้ว +11

    Gongalike kama umesikia sniper wazuri

    • @roseberryhamoud6542
      @roseberryhamoud6542 4 ปีที่แล้ว +2

      Dm sniper ni mdunguaji. Hajakosea. Ulidhani kamaanisha sanitazer

    • @eliaskayegezi3585
      @eliaskayegezi3585 4 ปีที่แล้ว

      @@roseberryhamoud6542 Mwenyewe nimeshangaa like zaombwa kwa kusikia neno sahihi kabisa sniper

    • @mursalseleman2174
      @mursalseleman2174 4 ปีที่แล้ว

      R.P.G aliyo itaja hiyo ndo mwisho wa stori hta ndege inageuka jivu sekunde

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 ปีที่แล้ว +1

    Ooh hongereni sana kwa hili 🙌 Nimeipenda Pigeni kazi

  • @jacksonmalolage9476
    @jacksonmalolage9476 4 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe na waganga wanasanitizer za kienyeji ili kukinga risasi😁😂😂

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 4 ปีที่แล้ว

    Polisi kweli mnafanya kazi hongera kazi si rahisi mungu hawalinde

  • @orestpaul4273
    @orestpaul4273 4 ปีที่แล้ว +4

    Congratulations makamanda!

  • @emmanuelangoi6973
    @emmanuelangoi6973 4 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana kwa kazi mliyofanya,majambazi hayo yabaki jivu

  • @upendovitarlees8140
    @upendovitarlees8140 4 ปีที่แล้ว

    Hongereni polisi kwa kazi nzuri

  • @immawachambuso6772
    @immawachambuso6772 4 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana, big up👊🏾 polisi Arusha,Ila Mh mkuu wa mkoa,sio arusha tu ndio iwe salama zaidi kuliko mikoa yote,kila mkoa tuna haki ya kua na usalama wa hali ya juu kwa usawa,big up once again Polisi Arusha.

  • @vickykwimbere9904
    @vickykwimbere9904 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana jeshi la Polisi kwa kazi nzuri. Mungu awalinde.

  • @ruthleonard2958
    @ruthleonard2958 4 ปีที่แล้ว

    Shkamoo Mzee chuma kinaitika Marahaba....hakika Hongera jeshi la Polisi...

  • @kenybenjiz7850
    @kenybenjiz7850 4 ปีที่แล้ว +14

    Kamanda Shana umetisha na mask hyo hahaha

  • @dismassmariki6985
    @dismassmariki6985 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni sana hiyo ndio maana ya Ulinzi wa raia na Mali zao, Asanteni sana

  • @martinemazoya5700
    @martinemazoya5700 4 ปีที่แล้ว

    Mshana hongera kwa kazi yako unayoifanya Arusha tunakukumbuka mwanza

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 4 ปีที่แล้ว +10

    Amepata sababu hizo barakoa kuziba uso 🤭😷😄

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana. Ninge waona hao askari ninge wanunulia chai . Ila wange wa rarua rarua badala ya ku wa acha wanapumua

  • @ellysilwani9287
    @ellysilwani9287 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni vyombo vya usalama,wanarudisha maendeleo ya watu nyuma majambazi hao..adhabu kubwa inawapasa,..

  • @sadadololi4545
    @sadadololi4545 4 ปีที่แล้ว +6

    Mungu mkubwa 👏👏🙏🙏🙏

  • @user-un3df1sl2h
    @user-un3df1sl2h 3 ปีที่แล้ว

    Asanteni polisi kwa kazi zuri

  • @cheddykipingu8087
    @cheddykipingu8087 4 ปีที่แล้ว +11

    Huyo mganga mdudu Corona tu amemshinda so wanategemea ndy smg itamkosa.. 🤣🤣🤣

    • @jackboma7129
      @jackboma7129 4 ปีที่แล้ว

      Big up papa

    • @fatmakigula8634
      @fatmakigula8634 4 ปีที่แล้ว

      Huu utawala mwingine mzee magu anamungu uchawi haufai saiv huyu baba mtu wa mungu majambazi bora wakalime

  • @shabansamwi9891
    @shabansamwi9891 4 ปีที่แล้ว

    mnajitahidi sana ck hiz arusha arusha ilikuwa mbay sana hap nyuma walisha fanya ni kichaka chao cha kujificha

  • @sammedia4528
    @sammedia4528 4 ปีที่แล้ว +7

    Kazi nzuri

  • @mtaalamshekidele1661
    @mtaalamshekidele1661 4 ปีที่แล้ว +3

    Kazi nzuri makamanda

  • @joycesagga8131
    @joycesagga8131 4 ปีที่แล้ว +3

    Nmeipenda barakoa ya kamanda

  • @rukiamohammed5031
    @rukiamohammed5031 4 ปีที่แล้ว +1

    Daah hiyo chainiz mwisho wa ck itakuwa spinachi 😂hongeren sn jeshi la police mungu ibarik tz mungu ibariki Africa hiyo barakoa mkuu wa mkoa ni kibakuli au plastiki 😂

  • @bizuwena623
    @bizuwena623 4 ปีที่แล้ว

    Shukran kwa kazi nzuri jeshi la Polisi

  • @rshidmwasa8493
    @rshidmwasa8493 4 ปีที่แล้ว

    Safi saaaana wazee,,tumewasoma maana hao washenzi wanaturudisha nyuma sana

  • @salumumambosasa7446
    @salumumambosasa7446 4 ปีที่แล้ว +15

    Hao majambazi wana roho ya chuma nini? Watu tunaangaika na corona wao wanatuletea majanga mengine

    • @d.a.t3383
      @d.a.t3383 4 ปีที่แล้ว

      Hawaogopi wako hospital ss akiwekwa na mgonjwa wa corona si kajitakia

    • @samiraali5505
      @samiraali5505 4 ปีที่แล้ว

      Hapo sasa

    • @didakassim8666
      @didakassim8666 4 ปีที่แล้ว

      Nandio mana wakaitwa majambazi mana hapo imani ata hawanayo wanajali kaziyao

  • @policejamiimkumbwa9405
    @policejamiimkumbwa9405 4 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri sahihi

  • @elmasroj9712
    @elmasroj9712 4 ปีที่แล้ว

    Asanteni sana kwa kazi nzuri

  • @meshacktimoth1370
    @meshacktimoth1370 4 ปีที่แล้ว

    Kazi njema nchi yetu tunailinda wenyewe . Hongera sana Askari wetu

  • @isdorimadoshi28
    @isdorimadoshi28 4 ปีที่แล้ว

    Kazi nzur mungu aendelee kuwapa nguvu

  • @lucyathumani3247
    @lucyathumani3247 4 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana jeshi la police mungu awalinde sana

  • @frolamazimba465
    @frolamazimba465 4 ปีที่แล้ว +4

    Police fanyeni Kazi vizuri sana

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 3 ปีที่แล้ว

    Mkasi wanaita shikamoo mzeee 1🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @neemasanga3283
    @neemasanga3283 4 ปีที่แล้ว

    Hawatakiwi kutoka hao, wapotelee huko, hongereni sana jeshi la police kwa Kazi nzuri

  • @grandmaempiresecret
    @grandmaempiresecret 4 ปีที่แล้ว

    Hongereni Sana ,jeshi la police📢📢📢

  • @attusanga8210
    @attusanga8210 4 ปีที่แล้ว

    hongereni kwa kazi nzuriiii

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 4 ปีที่แล้ว +18

    MBONA dawa zenyewe Kama sanitizer .

    • @zuhuramwanga3043
      @zuhuramwanga3043 4 ปีที่แล้ว +1

      Umeona eee. Walikuwa wanajikinga na korona pia

    • @furahatarimo4874
      @furahatarimo4874 4 ปีที่แล้ว

      Itakuwa wameweka kwa bbo ya sanitize

    • @suzanfelix8857
      @suzanfelix8857 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂mwaka wa Mambo huu kumuomba tu mungu atujalie uzima tuzidi kuyaona

    • @naamohamed9964
      @naamohamed9964 4 ปีที่แล้ว

      😃😃😃😃jmn

    • @pericykiko6198
      @pericykiko6198 4 ปีที่แล้ว

      Hahaaaa Vibe

  • @user-ui1qs9yl1n
    @user-ui1qs9yl1n หลายเดือนก่อน

    shikamoo mzee hiyo ni noma

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 4 ปีที่แล้ว +2

    Ngosha kawaingiza jelaaa🤣🤣🤣

  • @mussaabissallamy994
    @mussaabissallamy994 4 ปีที่แล้ว

    Natoa pongezi kwa jeshi la polisi tz hongera jesh la polis kwa kzi nzur mungu awajalie afya na uzima mzid kufanya kazi hongereni sana hongera IGP SIRO hongera na rais wet

  • @maryamabdallah3140
    @maryamabdallah3140 4 ปีที่แล้ว +1

    Mh. Mkuu wa mkoa...barakoa yako...mmmh

  • @mwaswa1899
    @mwaswa1899 4 ปีที่แล้ว

    Hongereni askali wetu ,tunaomba serikali iwapatie siraha za kisasa

  • @alextercisio
    @alextercisio ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣eti Mgaga aliwaeleza hawawezi kamatwa duuh ...ujinga ngani huo

  • @tausilazaro2989
    @tausilazaro2989 4 ปีที่แล้ว

    Mungu awakumbuke maaskali wetu kwakukamata waaarifu

  • @frolamazimba465
    @frolamazimba465 4 ปีที่แล้ว +4

    Peleka jela hao wanaorudisha maendeleo ya watu nyuma bila kutumia jasho lao

  • @rozinageorge1812
    @rozinageorge1812 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali kamanda

  • @ednajeremiah8671
    @ednajeremiah8671 4 ปีที่แล้ว

    Hongera asikari wetu

  • @robertigohe7477
    @robertigohe7477 หลายเดือนก่อน

    Arusha kuna nini mrudieni Mungu Aliye Juu Bwana Yesu 🇮🇱🕎🔥⛪

  • @stephanojackson8280
    @stephanojackson8280 4 ปีที่แล้ว +12

    Serikali makini

  • @lilianwilfred3271
    @lilianwilfred3271 4 ปีที่แล้ว

    Thank you Jesus kwa kuwasaidia polisi kumkamata shetani akiwa kazini na watenda kazi wake

  • @youngyayoo2805
    @youngyayoo2805 4 ปีที่แล้ว +2

    😂😂 eti inaitwa shikamoo mxee

  • @mamakite8506
    @mamakite8506 4 ปีที่แล้ว +1

    Mganga we msenge

  • @cornelmichaelz
    @cornelmichaelz 4 ปีที่แล้ว +2

    MNAKUJA KUIBA KWENYE JIJI LA WAHUNI,ASKARI WENYEWE WAMEPINDA DAKIKA ZERO TU UNAENDA PEPONI.

  • @filbertmushi548
    @filbertmushi548 4 ปีที่แล้ว

    Hongereni makamanda

  • @stevenlugo8195
    @stevenlugo8195 4 ปีที่แล้ว +2

    Hivi Hawa Majambazi Hizi Bunduki Huwa Wanazipataga Wapi? Wakati Hivi Vitu Vipo Chini Ya Utawala Wa jeshi la police??

    • @stevenlugo8195
      @stevenlugo8195 4 ปีที่แล้ว

      Zina pita kwa njia gani Wakati Kuna mipaka?? Na hiyo mipaka inalindwa na jeshi la police..

  • @huseinmkindi9779
    @huseinmkindi9779 4 ปีที่แล้ว

    Hongera Kamanda

  • @tausilazaro2989
    @tausilazaro2989 4 ปีที่แล้ว

    Afande mungu akupe miaka 200000

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 4 ปีที่แล้ว

    SAFI SANA MAKAMANDA KAZI NZURI BIG UP

  • @abasanjayusufu7266
    @abasanjayusufu7266 4 ปีที่แล้ว +2

    Et inaitwa shikamoh mzee hahahahhah

  • @kenybenjiz7850
    @kenybenjiz7850 4 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha Shana comedy sana hahah

  • @papayatnzania1005
    @papayatnzania1005 4 ปีที่แล้ว

    Hivi vijambazi ushuuzi kuma sana hii ni awamu ya tano sio ya yule mzee wa vijembe eti umwambafaa polisi siku nyingine wapigeni na bunduki wafe kabisaa hao ni maadui wa watanzania na taifa kwa ujumla

  • @albertchamafwa9368
    @albertchamafwa9368 4 ปีที่แล้ว

    Hongera jeshi letu

  • @mfalmewanyika2804
    @mfalmewanyika2804 4 ปีที่แล้ว +1

    Kama ni mganga kweli, si angetibu Corona ili apate hela kuliko kuiba mtaona cha moto sasa mnaenda ozea jela

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwani mkuu wa police inaulazima awe na mtumbo mkubwa ivyo wakati yeye iwe mfano wa kuwa na tumbo dogo umbo la kimazoezi ndio inapendeza zaidi asanteni jeshi la police

  • @oswardosward2019
    @oswardosward2019 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana Askari

  • @esterjackson4387
    @esterjackson4387 4 ปีที่แล้ว

    Hongeren sana jesh LA polis

  • @UzalendoNaUtu
    @UzalendoNaUtu 4 ปีที่แล้ว

    Mzee baba kasema hata RPG itatumika 😂😂😂 na hata zaidi ya hiyo duuuh, hahah nmecheka sana. Kweli wangekutana na ambushi moja hatari ni vita muraaa

  • @ayunramadhan3104
    @ayunramadhan3104 4 ปีที่แล้ว

    🙌🙌🙌shikamoo mzee hahaaaaa

  • @madamloveness7274
    @madamloveness7274 4 ปีที่แล้ว +3

    Piga kelele kwa barakoa yakeeeeee RPC🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @suhailaali4175
      @suhailaali4175 4 ปีที่แล้ว

      Imeregea iyooo! Sijui ameshaivaa Mara ngapi?

    • @mariammussa2540
      @mariammussa2540 4 ปีที่แล้ว

      Upendo Enock upo huku😂😂

  • @issackchalahani1235
    @issackchalahani1235 4 ปีที่แล้ว

    Vizuri kwa kazi nzuri iliyofanywa, lakini sio Arusha pekee unatakiwa kuwa samala kuliko mikoa yote ya Tanzania! Sio sahihi bali Tanzania nzima inapashwa kuwa salama.

  • @mwajumajumamwajuma6400
    @mwajumajumamwajuma6400 4 ปีที่แล้ว

    Majambazi ni wanatuludisha nyuma nibora ata mchawi yani hongereni sana policy kwa umoja wetu

  • @jumandutu2275
    @jumandutu2275 4 ปีที่แล้ว +8

    Shikamoo mzee

    • @agiasaidi5294
      @agiasaidi5294 4 ปีที่แล้ว

      Marahaba 🤣🤣🤣🤣

    • @jumandutu2275
      @jumandutu2275 4 ปีที่แล้ว

      @@agiasaidi5294 😂😂😂😂 daah ule mkas noma