DC Sabaya ungejua kwamba ndio mwisho wake unakuja kuteswa kwa kufanya kazi ya Taifa vizuri, bora ungeachana nao hawa watu. Ulijitahidi sana kufanya vizuri lakin hakuna aliyeyaona haya wala anaye yaona haya sasa hivi. Mpka vyombo vya habari wenyewe walio kurecord kwenye matukio mbali mbali ya ujenzi wa Taifa hawakumbuki wala hawaoni. Inasikitisha sana, Mungu akusimamie kwenye kesi yako broh! Binadam sisi sio kitu kabisa!
Asante Mungu nilienda kulipa ada,mi nilikuwa sijui kama Nina bandia noti moja ya elfu kumi,Pale bank walinishtua sana yaani nikawa sielewi kabisa kumbe ndiyo hao,acha serikali ifanye kazi,
Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi katika yote unayotuhumiwa kwayo. Kama ni kweli mlilie Mwenyezi Mungu yeye hajui kushindwa Ila husamehe kabisa. Mwenyezi Mungu tubariki Watoto wa Tz
Fagia mtandao mzima,hatuwezi kuwa na taifa la watu makanjanja Nyakati hizi mtatafutwa popote mlipo Kazi nzr Sana DC Polisi Hii ilikuwa kazi yenu kuchunguza na kuwakamata wote sio kumwachia Dx
DC amefanya kazi ya polisi. polisi wlikuwa wapi? au nao wapo ktk mgawo safi sana DC polisi mjitafakari upya hiyo kazi hamkuifanya hadi kiongozi mwana siasa akanase wezi?
Kweli tulikokua tunaenda ni mbali JPM rest in peace ✌️ sabaya alikua mashuhuri wa kutengeneza kick jamani hakuna bandia hii ni episode inachezwa jitu lilikua jambazi sugu kubaka
Jamani kazi nzuri ya Sabaya kama hii malipo yake ni kubambikiziwa kesi Sabaya au Kuna kingine nyuma ya pazia? Ee mwenyezi Mungu utulinde na watu wabaya. Tumuombee Mama Samia Mungu ambariki na kumtangulia ktk kazi zake za kila siku.
Leo hii magufuli hayupo mnamsimamisha kazi sabaya mnamfunga eti ni jambazi kwayote aliyoyafanya ni bure mfungeni sabaya lkn wote mliohusika kumfunga sabaya mungu anawaona
mh DC umekosea kusema kwenye mtandao hao watengenezaji watakimbia hata kama mtapata eneo husika lakin hutakuta watu,ningeshauri tu next time ni bora kufanya media while kila kitu kimekamilika, lakini pia nakupongeza kwa kazi nzuri
we DC safi sanaa... uchekagi na mtu........ kibano tuuu asante........ wahujumu ao Kama wengine.... waingia.. kutoka hapo ni shughuli... ataharisha huyu
Hii ni nzuri kwamaana mkisema wangefanya kimyaa kimyaa unafikiri wangelizwaa wangapi..... Ikifanyika hivi na sisi tukaona tutaongeza umakini sio tu kwa wanaomiliki mpesa hata pia sisi watumiaji..
Jamani Mungu atupe nini? Kiongozi shupavu kama huyu watu waovu walifanikiwa kumuhujumu na kumtengenezea fitina mbaya kumbe ilikua kutokana na kazi nzuri alizofanya, hakika mimi roho iliniuma sana lkn Mungu ametusikia na kuziondoa fitina zote ongera sana Sabaya tunasubiri upate nafasi ingine kubwa zaidi
Kwa good investigators hamna chilichohalibika cse mobile phone zote zipo registered alafu ata wakikimbia ni powa sana lengo ni kukoma we fikilia kuenda Kenya na hutorudi Bongo may be next 10 years, family, wife, kids, friends 🙀
ila kiukweri serilikali yetu pamoja na majeshi yote yaulinzi wako vizuri sanaaa ila tanzania kunawatu pasua kichwa sana ila chapeni kazi mungu atawajalia
saf sana unajuwa kaz dawa kuwatangaza 2 tuwajuwe nawengine wanaotaka kuingia biashara iyo wajuwe wakikamatwa watapata tabu sana ukifanya kimya uwamaliz WaPo weng ukiwaweka waz watakimbia awarud tena
Daaaah Hawa Jamaa Wana hujumu Uchumi wa Nchi yetu Wanaingiza Makaratasi yao Kwenye Mzunguko wa Soko la Mununuzi. Safi Jeshi la Polisi Kwa Kufichua Huu Uovu Polisi Tanzania Hoyeeeeee
Anaakisi vyema au anaakisi kipuuzi intel kama izo unazihandle vzuri kwa 7bu hao ni wahujumi uchumi sasa yeye anadisclose information kabla hajafika kwenye chanzo cha tatizo ni kwamba hao wenzake niwajinga wamsubiri awaletee polis pale au ..hapo kafeli strategy aliyotumia kuhandle situation ni ya ovyo...
Hii kazi nzuri Ila mbinu za kipelelezi mlizotumia ni kitoto hazitafanikiwa kuarest sana mtandao, vyombo husika viachwe kutumia taaluma yake ili kukomesha haya matapeli.
Pole sabaya shida uliingia kwenye system za watu za madili ndo hao leo wanakuteta akuna aki kwenye letu taifa next time ukipata nafasi ishi kama wao watakavyoo jenga familia yako
Tatizo pesa zetu hazina viwango hazina muhuri madhubuti ni rahis matapeli kuziiba kama zinaweka muhuri madhubuti, wengwshindwa, pia hili tatizo haliwezi kuepukika kwa nchi ambazo ni underdevelopment, nchi maskin, tofauti na nchi ambazo zimeendelea ukienda market unatumia ATM card kulipa, ndani ya restaurant au mahotel kuna ATM, kwa ushauri wangu serikali kuepukana na tatizo hili seikali kwenye maduka, waweke mashine za kulipia bill pia ni usalama zaid, bila ya hivo hili suala halimaliz kutokana na nchi yetu iko na maskini wingi
Pia kwenye mashowroom ya magari wawe na account zao mtu awe anaenda bank kulipa hata sehemu nyengine za biashara kubwa wafanya system hio waacha kulipa cash , nchi nyingi mfumo wa kulipa cash sio sana yote ni kwa kiu salama. ATM ni muhimu kila sehemu yenye mzunguko wa watu. Huo ndio ushauri wangu licha ya nchi yetu kuwa maskin tutoke kwenye mfumo wa analogi twende kwenye digital tutanikiwa , ushauri wa bure huo
IGP bado una kazi kubwa sana ktk kuelimisha mwenyeviti wa kamati za ulinzi za wilaya na Mikoa juu ya elimu ya upelelezi....sioni haja ya taarifa kama hii kuweka hadharani kwa sasa .. bado hili lingehitaji muda
Ili hizo pesa nyingine walizo sambaza wananchi waendee kulizwa nazo? Taarifa kama hizi ni nzuri kwa jamii maana hapo boma kwa kila aliona hii video clip lazima atakua mwangalifu kwenye pesa
Severine Mabirika kiujumla hii inafanya jeshi la polisi kuwa na kz za ziada sana maana kazi zao zinaingiliwa sana kiasi kwamba inapoteza weredi kwa jeshi jambo ambalo jeshi lingefanya kiweredi lkn linaingiliwa kisiasa imradi tu mtu aonekane anafanya kz hii haikuwa kz ya DC alitakiwa yeye kutoa information kwa OCD na OCD ndo ana askari wenye weredi wa kufanya upepelezi kmykmy bila camera namna hii
Tungepata wa kustopisha hawa matapeli kenya tungekuwa majuu..DC kazi nzuri
DC Sabaya ungejua kwamba ndio mwisho wake unakuja kuteswa kwa kufanya kazi ya Taifa vizuri, bora ungeachana nao hawa watu. Ulijitahidi sana kufanya vizuri lakin hakuna aliyeyaona haya wala anaye yaona haya sasa hivi. Mpka vyombo vya habari wenyewe walio kurecord kwenye matukio mbali mbali ya ujenzi wa Taifa hawakumbuki wala hawaoni.
Inasikitisha sana, Mungu akusimamie kwenye kesi yako broh! Binadam sisi sio kitu kabisa!
Kazi nzuri sana DC umeamua kufanya kazi ya usalama.Jpm hongera sana kwa kuchagua viongozi wa kuendesha nchi hakika uko makini zaidi Jpm
.....
Kama umekuja hapa baada ya sabaya kukamatwa like
Asante Mungu nilienda kulipa ada,mi nilikuwa sijui kama Nina bandia noti moja ya elfu kumi,Pale bank walinishtua sana yaani nikawa sielewi kabisa kumbe ndiyo hao,acha serikali ifanye kazi,
Airoroki Papa unafanya kazi nzuri Niko sambasha Kijijini kwako ila jkt wanatumaliza huku nyumbani wanabaka wamama kuwapiga watu hatuna amani nyumbani
DC Mh sabaya,hongera Sana.tunataka waongozi kama wewe.Ambao wanajali raia wao
Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi katika yote unayotuhumiwa kwayo. Kama ni kweli mlilie Mwenyezi Mungu yeye hajui kushindwa Ila husamehe kabisa. Mwenyezi Mungu tubariki Watoto wa Tz
Ya kweli hiyo hapi juu ni sinema anajuaje kila kitu chunguzeni kwa makini
Jamani jamaa kafanya kazi nzuri sana ndo maana wamemchongea mabaya hayo mweee Mungu akusaidie
Dogo Sabaya ni Hatari sana ana chapa kazi yuko vizuri Mungu amfutie kesi yake awe huru.
Leo kwa sabaya kesho kwenu mungu nakuomba umsimamie sabaya na wenzake kwenye kesi yakutengenezwa
Maana
Huyu DC anachapa kazi sana
Mungu ambariki!
Fagia mtandao mzima,hatuwezi kuwa na taifa la watu makanjanja
Nyakati hizi mtatafutwa popote mlipo
Kazi nzr Sana DC
Polisi Hii ilikuwa kazi yenu kuchunguza na kuwakamata wote sio kumwachia Dx
DC amefanya kazi ya polisi. polisi wlikuwa wapi? au nao wapo ktk mgawo safi sana DC polisi mjitafakari upya hiyo kazi hamkuifanya hadi kiongozi mwana siasa akanase wezi?
Kweli tulikokua tunaenda ni mbali JPM rest in peace ✌️ sabaya alikua mashuhuri wa kutengeneza kick jamani hakuna bandia hii ni episode inachezwa jitu lilikua jambazi sugu kubaka
Hongera, ila hapo mngekamata wote ndio muilete huku, maana mtandao wote tayari watakua na taarifa.
Mpka kuexpose hivi inamaana tayar mtandao kashaujua so ana create tension kwa wenzake ili na wao waingie kwenye 18..dc sabaya is very smart
Very good. DC, ma Askari wetu hongereni sana. 💪💪💪💪
Drama
Kz nzuri laminitis kumpiga picha kurusha mtandaoni wenzake wakimbia
Hongera Sabaya Ila hii ndoo tanzaniya yetu umefanya mema faida yake ndohiyo ila Mungu akasimame nakuombeya bb***
Jamani kazi nzuri ya Sabaya kama hii malipo yake ni kubambikiziwa kesi Sabaya au Kuna kingine nyuma ya pazia? Ee mwenyezi Mungu utulinde na watu wabaya. Tumuombee Mama Samia Mungu ambariki na kumtangulia ktk kazi zake za kila siku.
Hamna ndugu niroho ya wivuutu nawengine nivigogo waserikali kukataa aibu ndio wakasukumizia jela lakini mungu niwasote yupo huruu
Leo hii magufuli hayupo mnamsimamisha kazi sabaya mnamfunga eti ni jambazi kwayote aliyoyafanya ni bure mfungeni sabaya lkn wote mliohusika kumfunga sabaya mungu anawaona
mh DC umekosea kusema kwenye mtandao hao watengenezaji watakimbia hata kama mtapata eneo husika lakin hutakuta watu,ningeshauri tu next time ni bora kufanya media while kila kitu kimekamilika, lakini pia nakupongeza kwa kazi nzuri
Ongereni sana jeshi la polici hii ni kazi nzuri sana asanteni sanaa
Asante sana kiongoz muwakamate na wamtandaoni
Amen Amen. Siku zotenasema ualifu siyo dili. Acheni. Barikiwa serikali. Amen.
Kazi nzuri Sana, huu ujumu uchumi. Ipatikane Hao watu wengine na mahali wanatengeneza pesa.
Kazi nzuri Mweshimiwa DC 👏🏻👏🏻👏🏻😔
Safi sana DC.hata me nilishapewa elfu 10 bandia,na chenji nikarudisha
we DC safi sanaa... uchekagi na mtu........ kibano tuuu asante........ wahujumu ao Kama wengine.... waingia.. kutoka hapo ni shughuli... ataharisha huyu
Ndo mahana wamekufungulia mashitaka hivo juu ulikuwa unafatiliya mambo ya ma boss Sana
Hii ni nzuri kwamaana mkisema wangefanya kimyaa kimyaa unafikiri wangelizwaa wangapi.....
Ikifanyika hivi na sisi tukaona tutaongeza umakini sio tu kwa wanaomiliki mpesa hata pia sisi watumiaji..
Barack Shao asante kaka ushauri wako ni wakuzingatiwa watanzania ni wazito kuelewa
Jamani Mungu atupe nini? Kiongozi shupavu kama huyu watu waovu walifanikiwa kumuhujumu na kumtengenezea fitina mbaya kumbe ilikua kutokana na kazi nzuri alizofanya, hakika mimi roho iliniuma sana lkn Mungu ametusikia na kuziondoa fitina zote ongera sana Sabaya tunasubiri upate nafasi ingine kubwa zaidi
Jamaa SIJUI KWANINI AMESHIKILIWA NA POLISI KWA MSURURU WA MAKOSA.... JAH PROTECT SABAYA ONLY IF ANASINGIZIWA.
Kwa good investigators hamna chilichohalibika cse mobile phone zote zipo registered alafu ata wakikimbia ni powa sana lengo ni kukoma we fikilia kuenda Kenya na hutorudi Bongo may be next 10 years, family, wife, kids, friends 🙀
good job mh. DC ila next time usiende kwenye tukio halafu uite polisi baadaye. u better go with them
Kweli kbs
Mungu akulinde sana maana huo ukanda umekuwa Wa mambo Mangu msaidie watu wanyonge
Huyu ndiye anaitwa Jambazi leo sijui kama ni sahihi Basi Mungu anajua
Pole Sana leo unaonekana unawaonea Wana nchi du watanzania tuna kwama wapi
Tena wakifika kwamakala wanajifanya wanaharaka sanaaa.....safi sanaaaaaa
Sabaya unaweza uogozi yaani chapa kazi bro karbia utakuwa mkuu was mkoa yaani
Afande noma hatali interagency supa 💪💪💪🙌🙌👍
ila kiukweri serilikali yetu pamoja na majeshi yote yaulinzi wako vizuri sanaaa ila tanzania kunawatu pasua kichwa sana ila chapeni kazi mungu atawajalia
Mimi binafsi namkubari sana sabaya, keep it up,brother.hata ukitaka urais nitakuchagua bila shaka.
Huyu bro big machine saana
Kazi mzuri polisi kwa kuwazuia wahalifu na matapeli nawabaliki
Asate sana sabaya chapa kazi baba
Big up police ni kazi nzuri Sana.
Jitaidi ndg yng utapanda cheo kupitia ujasili wako nyie ndomtakaoiokoa tz yetu safi sana nakupenda bure yn unanifulaishaga yn nakufanishaga naMagu
Alhamdulillah kwa uwajibikaji D.C.
saf sana unajuwa kaz dawa kuwatangaza 2 tuwajuwe nawengine wanaotaka kuingia biashara iyo wajuwe wakikamatwa watapata tabu sana ukifanya kimya uwamaliz WaPo weng ukiwaweka waz watakimbia awarud tena
Daaaah
Hawa Jamaa Wana hujumu Uchumi wa Nchi yetu
Wanaingiza Makaratasi yao Kwenye Mzunguko wa Soko la Mununuzi.
Safi Jeshi la Polisi Kwa Kufichua Huu Uovu Polisi Tanzania
Hoyeeeeee
Bora wananchi watengeze pesa zao maana za serekali mnakula pekeenu watu waserekali maisha kila siku dhiki bora watengeze zao bwana
sabaya tatizo lililo mfungisha kuharibu mipangilio ya vigogowa siopenda nnchi hii
Saf Sana Dc. Unaakisi vyema kasi ya mh.rais Jpm
Anaakisi vyema au anaakisi kipuuzi intel kama izo unazihandle vzuri kwa 7bu hao ni wahujumi uchumi sasa yeye anadisclose information kabla hajafika kwenye chanzo cha tatizo ni kwamba hao wenzake niwajinga wamsubiri awaletee polis pale au ..hapo kafeli strategy aliyotumia kuhandle situation ni ya ovyo...
Naamin kabisa OLE SABAYA ana mabaya yake na mazuri yake pia
Richi jamani umekuwa Ivo kweli 😢😢😢😢😢
Hii kazi nzuri Ila mbinu za kipelelezi mlizotumia ni kitoto hazitafanikiwa kuarest sana mtandao, vyombo husika viachwe kutumia taaluma yake ili kukomesha haya matapeli.
Nakusalimu Kiongozi mkubwa. Hongera mno. Iasita esiai sidai oleng'. Njoo kirrip Enkai olalashe lai
Ila usinge mweka adharani mpaka uchunguzi ungefanyika ili matandao wake ungepatikana...!!!
DC nimependa kazi yako soon kwa kasi hiyo mkuuu wa mkoa sikufichi upo njiani usimuoneee mtu fanya kazi
Mkuu wa wilaya stay blessed 💕
Hongera sana ila ungemaliza upelelezi wooote kabla ya makamera. Wengine watakimbia
Daaah siamni macho yangu anyway time is tell
Huyu jamaaa alikua smart hata kama naye kakosea Mungu anasaidie
Pole sabaya shida uliingia kwenye system za watu za madili ndo hao leo wanakuteta akuna aki kwenye letu taifa next time ukipata nafasi ishi kama wao watakavyoo jenga familia yako
Uyu ndoa dc mjinga kuliko wote
Asante sanaMungu wangu yaani sitaki kuamini matapeli wamjini khaa wanaliza watu Mungu kawaumbua😂😂😂
Mimi sijawahi kuona video yeyote ambayo amefanya vibaya huyu jamaa. Sasa duuuh!
Jamani besti yangu wewe wa meridiani kipindi icho
Safi lakini kwa uhalifu kana huu ni kuwakamata kimya kimya vinginevyo watakimbia.
"Get Rich Or Die Trying" a real soldier dies on battle field.
Jidanganye
Better to die for something than die for nothing
@@eliaichihenry9010 true to my self
You are all "WASENGE"
@@jumakapilima5674 Relax brother
DC nimekuelewa mh.rais anajuwa vijana mnaweza kazi
DC. Sabaya Mimi huwa nafuatilia sana habari za utendaji wako upo Vizuri sana wew unafaa kuwa Mkuu wamkoa kabisa.
piga makofi kwa dc wakeeee jamaa kawa mdogo kama sindano ya kushonea nguooo🤔🤔
Tatizo pesa zetu hazina viwango hazina muhuri madhubuti ni rahis matapeli kuziiba kama zinaweka muhuri madhubuti, wengwshindwa, pia hili tatizo haliwezi kuepukika kwa nchi ambazo ni underdevelopment, nchi maskin, tofauti na nchi ambazo zimeendelea ukienda market unatumia ATM card kulipa, ndani ya restaurant au mahotel kuna ATM, kwa ushauri wangu serikali kuepukana na tatizo hili seikali kwenye maduka, waweke mashine za kulipia bill pia ni usalama zaid, bila ya hivo hili suala halimaliz kutokana na nchi yetu iko na maskini wingi
dc bishoo kala zake cheni😃😃😃
Jamani, DC huyu leo Mei, 2021 ameitwa jambazi!?!?. Ametumbuliwa!?.
Mbonapemunafatilia vizurisana watekaji wanamishindaje kamasionjama tu
Uyu sabaya angekuwa ata wazr wa mambo ya nje ingependeza sana maana dah anaweza uyu jamaa
Pia kwenye mashowroom ya magari wawe na account zao mtu awe anaenda bank kulipa hata sehemu nyengine za biashara kubwa wafanya system hio waacha kulipa cash , nchi nyingi mfumo wa kulipa cash sio sana yote ni kwa kiu salama. ATM ni muhimu kila sehemu yenye mzunguko wa watu. Huo ndio ushauri wangu licha ya nchi yetu kuwa maskin tutoke kwenye mfumo wa analogi twende kwenye digital tutanikiwa , ushauri wa bure huo
Sijui mm lakini sio kama baada ya kukamata ndo wangetangaza coz awo wanotengeneza siwanakimbia sasa washajua kimenuka
Kwann wamemsingizia Hutu dc
kweli tukubali sabaya ana mazuri kama kiongozi asafishwe na kupewa madaraka mengine .....Mungu ni mkuu
Huyu mwamba dc namkubali Sana
Sasa hata hujakamata mtandao wote wewe umeliweka hadhalani 🙌 cjui hao wengine mtawapataje
mmeshamwonyesha hadharani wenzake lazima watakimbimbia,wangefuatilia kimya kimya wangewapata kirahisi sana
Wenye hela wameungana kukuita mnyang, anyi Sabaya sabaya 😅😅
anayeangalia video hii 2021 gonga like
Usikute DC ndo mzigo wake huo uyu sabaya simuamini hata kidogo
Kiki nyingi sana mh. Upelelez haufanywi na makamera we wawapi bro
MBONA BROO UMEIINGIA CHA KIKE UTAKOMA KUISHI MAISHA YA KISANII ; HAPO BABA OOOOOOOHOOOO!!!¡!!
dc hongera kwa kuwa police unafaa
Akuna Watu Hatari Kama Watengeneza Pesa Za Bandia Duniani
Hai ndio home najua kila kitu mm picha lenyewe lil ishia hapohapo
AISEE MASAWEEEEEEEEE...............Mwabie Manka ile ishu imebumbulibumbulika kweli.......
hahahaa
Huyu dogo DC anasauti ya kiume kweli kweli alafu ya kijasiri
IGP bado una kazi kubwa sana ktk kuelimisha mwenyeviti wa kamati za ulinzi za wilaya na Mikoa juu ya elimu ya upelelezi....sioni haja ya taarifa kama hii kuweka hadharani kwa sasa .. bado hili lingehitaji muda
Ili hizo pesa nyingine walizo sambaza wananchi waendee kulizwa nazo? Taarifa kama hizi ni nzuri kwa jamii maana hapo boma kwa kila aliona hii video clip lazima atakua mwangalifu kwenye pesa
Nyie mnaopenda usiri bp mtukakamatwa na noti
Nakubaliana na wewe, lingehitaji muda kidogo ili kukamilisha kuwanasa hao jamaa na mtandao wao!!
hyo ina rahisisha kwa wananchi kuwa makini na pesa wapokeazo kwakupata taarifa hyo
Severine Mabirika kiujumla hii inafanya jeshi la polisi kuwa na kz za ziada sana maana kazi zao zinaingiliwa sana kiasi kwamba inapoteza weredi kwa jeshi jambo ambalo jeshi lingefanya kiweredi lkn linaingiliwa kisiasa imradi tu mtu aonekane anafanya kz hii haikuwa kz ya DC alitakiwa yeye kutoa information kwa OCD na OCD ndo ana askari wenye weredi wa kufanya upepelezi kmykmy bila camera namna hii
Tatzo na ww Dc umuachii Jama ajieleze nikama unafahamu ishu nzima
Sasa DC anajua huyo atajieleza uongo
Yaaani Mambo ni mazuriii sanaaaa natama ningekuwa mm ningewakamataaaa mngekojoa dagaaaa
Mchapa kazi huyu DC,harafu amesimamishwa kazi etiii
Nchi hii sekta zote waizi ni wachaga mpaka kupora viwanja ndio wanaongoza, TRA ndio has Tanzania haiko salama kwa wachaga
Huyu akitoka mm sio rogath😂😂😂😂😂
Ashatoka
Huyu jamaa namfahamu fresh nina miaka kama miwili simwonagi kumbe siku hizi Ameshajiingiza kwenye hela bandia Duh!!