MSAKO USIKU WA MANANE, SABAYA AVAMIA GODOWN HEWA AKUTA MAGENDO, PESA, MAFUTA NA POMBE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya ameongoza Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya, Mamlaka ya Mapato Mkoa wa Kilimanjaro pamoja na Maafisa kutoka Halmashauri kufanya operesheni maalum iliyopelekea kunaswa kwa shehena (Godown) lililokuwa likitumika kuhifadhi vileo feki na bidhaa zingine zikiwemo shehena za mbolea na saruji bila kuwa na vibali halali.
    Msako huo uliofanyika kwa kushtukiza usiku wa manane umemnasa Alex Elibariki Swai na Mkewe wanaofanya biashara hizo bila kulipa kodi, huku stika maalum za TRA zikigundulika baadhi kutokuwa halali na zile halali kuwa katika bidhaa tofauti na zilizoidhinishwa awali na Mamlaka.
    Wafanyabiashara hao ambao pia walikutwa na lita nyingi za Diesel kinyume na sheria pamoja na fedha kiasi kikubwa ndani wamekabidhiwa kwa vyombo vya dola huku DC Sabaya akiagiza kulindwa kwa eneo lote hilo hadi Mamlaka husika zitakapomaliza shughuli zake na kubainisha taarifa zote za muhimu kwa ajili ya hatua zaidi.

ความคิดเห็น • 417

  • @BJMKANGALA1
    @BJMKANGALA1 3 ปีที่แล้ว +3

    Asante na hongera DC Sabaya. Una uchungu na Tanzania. Chunguza TRA kikamilifu kuna ukakasi hapo!

  • @annastaziaikona779
    @annastaziaikona779 3 ปีที่แล้ว +4

    Na umechukiwa nakutumbuliwa kwakufanya kazi yako mungu akonde usikate tamaa baba

  • @karim6964
    @karim6964 3 ปีที่แล้ว +22

    Kumekucha Ss Huu mwaka Mzee Baba Kweli Amesha sema Hapa kazi Tu

  • @mandalorian_4.11
    @mandalorian_4.11 3 ปีที่แล้ว +32

    Eeh (mwenyez Mungu) naomba unisaidie niwe mvumilivu na kushukuru kwa ninachokipata..... kama ipo ipo tu 🙏🙏🙏

  • @hatmampyahalisi4746
    @hatmampyahalisi4746 3 ปีที่แล้ว +6

    Duuu umetisha kiongozi..Hongera sana

  • @AlissonJB_77
    @AlissonJB_77 3 ปีที่แล้ว +14

    Ndo maisha lakin hakuna anaependa kufanya uhalifu bali ni tamaa na kutaka maisha mazuri kwa haraka, ooh God help my life

  • @ombenikazimoto8326
    @ombenikazimoto8326 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole kifaru kwa matatizo ajali kazi mungu akutangulie akupe wepesi WA kumaliza hilo tatizo salama kikubwa uzima mengine badaye Matatizo yaki isha pambana urudishe treni kwenye reli safari iendelee kilalaheri 🙏

  • @mossyfimbo3577
    @mossyfimbo3577 3 ปีที่แล้ว +21

    Jamani yoote haya ni ya nini si bora mlipe kodi tu sasa hii si kifo unakufa kabisa kufilisiwa na kifungo kwa maana hiyo wako wengi

  • @stevenlugojeremia2323
    @stevenlugojeremia2323 3 ปีที่แล้ว +34

    Unapo kuwa boss Jaribu kuheshimu Wafanyakazi wako sio kuwaonea na kuwatimuwa hivyo hivyo...Matokeo yake ndio haya sasa ya kuchomeshwa

  • @olathom7ya756
    @olathom7ya756 3 ปีที่แล้ว +2

    like father like son.much appreciation to you

  • @victorialucas4476
    @victorialucas4476 3 ปีที่แล้ว +5

    Dah! Nimesikitishwa Sana na hiki ninacho kiona, hapa kazi tu

  • @habibaathman7953
    @habibaathman7953 3 ปีที่แล้ว +3

    DC Genius sana,,haulali kwaajili ya Taifa lako..Safi sana..inafaa kuwa Commissioner wa Tra kabisa..uko makini kupitiliza

    • @johannesjoseph7051
      @johannesjoseph7051 3 ปีที่แล้ว

      Katka wakuu wa wilay Tz sabaya ni number mojaaaaaa na anapaswa akawe rc

    • @flova7022
      @flova7022 3 ปีที่แล้ว

      @@johannesjoseph7051 kawa RC WA jela

  • @emmanueljsemwaiko1442
    @emmanueljsemwaiko1442 3 ปีที่แล้ว +26

    Wako wapi wale wanopenda kutetea kila kitu cha kipumbavu,hongera DC Sabaya ila ukweli huo mchezo hata TRA wanahusika,wachunguze utanambia

  • @abdallahsaid8157
    @abdallahsaid8157 3 ปีที่แล้ว +14

    Hongera sana mkuu wa wilaya.
    Mola akupe nguvu ili utekeleze majukumu yako! 🙏

    • @sponsor7882
      @sponsor7882 3 ปีที่แล้ว

      Mwisho wake miaka 30

    • @mohammedmhina3973
      @mohammedmhina3973 10 หลายเดือนก่อน

      Jambazi uyo sio muheshimiwa

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 3 ปีที่แล้ว +22

    Na nyie TRA ni bora rais awatumbue wengi wao wanawafungia wafanya biashara wa halali na wanafanya biashara n matapeli.

  • @shamsahassan3666
    @shamsahassan3666 3 ปีที่แล้ว +15

    Yn serikali inavumikia mengi wallah jmaan anatk pesa za mtelemko

  • @josephmonje7998
    @josephmonje7998 2 ปีที่แล้ว +1

    Ndio mana wanamchukia.. wengi. Selekali imemtelekeza pamoja na kufanya kaz kwa nguvu zote. Aise.. sabaya mungu aingilie kati.

  • @saidrajabu9589
    @saidrajabu9589 3 ปีที่แล้ว +6

    Watu wapo kazini nakubari sana DC

  • @edisonpeter3894
    @edisonpeter3894 3 ปีที่แล้ว +11

    Hadi tufikie hatua ya kujua umuhimu wa kulipa kodi itakua ngumu sana. Wenzetu ulaya ukikwepa hata mia umefungwa!

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 3 ปีที่แล้ว +5

    Siku zote ulifanya biashara ya haramu mungu atakuumbua tu aiseeee hii ni noma

  • @AzizKhan-si8cc
    @AzizKhan-si8cc 3 ปีที่แล้ว +3

    Namkubali sana huyu mkuu wa wilaya

  • @nadhiryyusuph8339
    @nadhiryyusuph8339 3 ปีที่แล้ว +4

    Jambo la kawaida sana mzee ni hustling kinyamwez sema nn utajar wakuhuza vitu vya hall upo kwa Allah ila ukitak kuwa Tajir ish kinyume na Serikali

  • @rosenamilia4140
    @rosenamilia4140 3 ปีที่แล้ว +1

    Yapo maduka mengi ya namna hii ambao huficha uhalisia wa biashara wanazozifanya, ili walipe kodi kidogo. Nyuma ya pazia wanauza jumla na rejareja.
    Hongera sana DC wa Hai Mh.Sabbaya kwa kazi nzuri.

  • @annaisaya8330
    @annaisaya8330 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu atamsimamia, Kodi zimekua nyingi ckuhz, hlo contena mpk uje ulitoe bandarini hujui hata utauza sh ngapi huo mzigo.

    • @malickmakatta6089
      @malickmakatta6089 3 ปีที่แล้ว +1

      Unatetea uhalifu hapo kwake limefikaje

  • @zawadijoel7516
    @zawadijoel7516 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akusimamie Sabaya, Siku zote

  • @atuganilemsomba3028
    @atuganilemsomba3028 3 ปีที่แล้ว +4

    Usitamani maisha ya watu Yana njia ngumu sana

  • @kabongahamisi500
    @kabongahamisi500 3 ปีที่แล้ว +8

    Mipombe hii ndio maana vijana wengi wanaweuka wakinywa

  • @superfredfred9719
    @superfredfred9719 3 ปีที่แล้ว

    Jamani haya hamyaoni kwann mnamfanyia ukatili sabaya mungu anawaona mama samia weww Mungu anakuona

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 3 ปีที่แล้ว +7

    TRA WANAHUSIKA APO NAO WABANANISHWE PUMBAVU AO
    vyuma vimekaza kumbe wao ndo wanavibanisha

  • @emmymaleshi2
    @emmymaleshi2 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana ,nakukubali sana mheshimiwa ,yan nimependa kazi yako jamn wewe ni muaminifu na unafanya kazi nzuri sana .......napenda sana unavofanya kaz yan unajua unafanya nn ....

  • @teddyoscar6876
    @teddyoscar6876 3 ปีที่แล้ว +15

    Hao ndio wanaovikaza vyuma duuh🤣🤣🤣

  • @theresialadislaus3105
    @theresialadislaus3105 3 ปีที่แล้ว +1

    Sabaya nakukubali baba umenisaidia kiwanja changu kilizulumuwa umenisaidia sana nimekipata sasa

  • @neemadominic6
    @neemadominic6 3 ปีที่แล้ว

    Dah

  • @shabiruseiph4897
    @shabiruseiph4897 3 ปีที่แล้ว +10

    Mmhh..! Naipenda KLM YANGU HAI YANGU --BOMANG'OMBE YANGU
    from Dar-es-salaam tz

  • @kelvinmtavangu7701
    @kelvinmtavangu7701 2 ปีที่แล้ว

    MUNGU ATAZIDI KUKUTETEA SABAYA. MAFISADI SASA WANASHEREHEKEA. SABAYA UTASHINDA HII VITA NA KUTOKA UKIWA MZIMA. Ulichapa KAZI sana.

  • @oxyrio1224
    @oxyrio1224 3 ปีที่แล้ว +12

    Wakikuy mshafika Tz maina😂😂

    • @asteriambwei3349
      @asteriambwei3349 3 ปีที่แล้ว

      Tumbua hao t r a ni wasumbufu Sana wanaacha wasiyo waaminifu wanasumbua WA halali

  • @hasinathasan4057
    @hasinathasan4057 3 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaaaaaa wakamatwa na takukuru aisee raha sana hii sabayaaaaaaaaaaaa nadhani asahivi unayakumbuka maneno ya lema malipo nihapa duniani

  • @kurwamkopi215
    @kurwamkopi215 3 ปีที่แล้ว +2

    Vizuri kazi nzuri sana

  • @bmone7393
    @bmone7393 3 ปีที่แล้ว +18

    Sabaya uko vizur we piga kaz mzee tunakukubal sana

  • @marianamontoedi2333
    @marianamontoedi2333 3 ปีที่แล้ว +1

    Chapa kazi sabaya big up

  • @emmamatemu8225
    @emmamatemu8225 3 ปีที่แล้ว +9

    Ukuu wa wilaya sio level yako tena
    Yabidi upandishwe daraja

  • @charzsanga7854
    @charzsanga7854 3 ปีที่แล้ว +1

    Sukuma ndani

  • @leonardmrope9528
    @leonardmrope9528 3 ปีที่แล้ว +4

    Daaah!! Kunawatu bado sana aisee,,,,,Yani MTU anajitoa Ufahamu wkutolipa kodi

    • @asteriambwei3349
      @asteriambwei3349 3 ปีที่แล้ว

      Mbona majizi ni wengi tuu au mnaangaliwa biashara tuu hata wengine ni wezi WA Kura au hamwoni wizi wa hapa tz ni wengi mno yaani wizi uko WA Aina nyingi mno kuna viongonzi WA serikali wanameuza Hadi twiga wakapandishwa ndege wakaenda nje kuna wizi serikalini wamehamisha udongo ukafungwa km biscuit ukapelekwa nje tumeona mengi Sana sijui hata raisi analijua Hilo wizi wa madini tumepigwa mbaya ndivyo vitu muhimu vya kufatiliwa Sana madawa ya kulevya yapo biashara kubwa ya viongonzi au watoto WA wakubwa mbona ni ck nyingi mnawaacha tuu

    • @abdulahijama2308
      @abdulahijama2308 3 ปีที่แล้ว

      Kwajili mumekambwa na sheriya ya raisi na nyinyi mkabe wanyonge ila mwaka zote mlikuwa mnakula nawao leo mugeuke hakuna mnachafanya hata kama mwaweka hazarani nikwajili ya raisi ila kimoyo mnatamani mfanye kuzuluma hata raisi kakosa ngapi hakumu ni mungu

    • @abdulahijama2308
      @abdulahijama2308 3 ปีที่แล้ว

      Msitufanye wajinga zama zamagu zitaisha hi ni AFRICA unajua manake ?????

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 3 ปีที่แล้ว +1

    Tena safi sana

  • @salimamri9488
    @salimamri9488 3 ปีที่แล้ว +11

    Wabongo sijui wanavichwa gani? Hivi kilasiku serikari inaongea receipt receipt lakini bado kunawafanya biashara ambao hawaelewi. Nikama wale wamadini nihivyo hivyo pia

  • @mgongolwajoseph6901
    @mgongolwajoseph6901 3 ปีที่แล้ว +2

    asanteeee sabayaa

  • @MohammedHassan-us3uk
    @MohammedHassan-us3uk 3 ปีที่แล้ว +6

    Nyie mnafikiri kulipa kodi kikamilifu rahic jaribuni na nyinyi muone

    • @martinhinda5233
      @martinhinda5233 3 ปีที่แล้ว +1

      Ni kama kutoa zaka na sadaka ila angelipa hata kidogo serikal isingemfuatilia sema hata mia hajalipa

    • @mbarikiwambarikiwa3988
      @mbarikiwambarikiwa3988 3 ปีที่แล้ว +1

      @@martinhinda5233 😁😁😁kutoa zaka ni ngumu eeee

    • @HASASON
      @HASASON 3 ปีที่แล้ว +1

      Kodi siku zote ni chini ya 7% ya thamani yote kwa ujumla, tamaa ya kutaka kupata chote mwenyewe tu ndio inawafelisha lakini ukikamatwa unatoa mpaka ambayo hukustahili kutoa

    • @MohammedHassan-us3uk
      @MohammedHassan-us3uk 3 ปีที่แล้ว

      @@HASASON huna unachokijua ktk biashara ndo mana unaongea tu

    • @MohammedHassan-us3uk
      @MohammedHassan-us3uk 3 ปีที่แล้ว

      @@HASASON huna unachokijua ktk biashara ndo mana unaongea tu

  • @davidngowo9459
    @davidngowo9459 3 ปีที่แล้ว

    Aiseee nakula hongera sana bado kuna madudu mengi yatapatikana tu kama itaendelea you operesheni

  • @MrMbwelwa
    @MrMbwelwa 3 ปีที่แล้ว

    Hapa Sabaya nimekubali kazi yako

  • @gidionmanwingi9039
    @gidionmanwingi9039 2 ปีที่แล้ว

    Ndoo maripo analipwa kwa kwer saw mungu yupo

  • @erastomgongolwa1356
    @erastomgongolwa1356 3 ปีที่แล้ว +1

    aiseee hapa kazi tuu

  • @jimmyisdory9933
    @jimmyisdory9933 3 ปีที่แล้ว +3

    Am the one

    • @eng.mghashwa4471
      @eng.mghashwa4471 3 ปีที่แล้ว

      wapi hapo

    • @benadakomba1177
      @benadakomba1177 3 ปีที่แล้ว

      Hayo ni baadhi ya matokeo ya vibali vya shilingi 20000 kwa kila anayetaka kuuza chochote na popote .baadhi ya wafanya biashara wamefunga maduka wanagawa mali kwa vijana wengi kutoka kwenye magodown yao.vijana hurudisha pesa baada ya kuuza. Matokeo ushuru hukwepwa na TRA ni vigumu kutambua pia nani yuko wapi kwani barabara zote nyumba zote zimekuwa ni za wáfanya biashara wadogo wadogo.

  • @muddymkamba352
    @muddymkamba352 3 ปีที่แล้ว +3

    Enzi za nyuma kabla ya magu,unashangaa ushahidi umepotea na mtuhumiwa yupo town anakula maisha

  • @musaabdiely1644
    @musaabdiely1644 2 ปีที่แล้ว

    Mmasai mmoja kawa kiongozi

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana Sabaya, kama tusingechekeana na kuzalisha wafanya biashara wezi na wasomi wezi toka enzi ya Mwinyi Tanzania 🇹🇿 ingekuwa mbali sana kimaendeleo.

  • @hivemutongore7638
    @hivemutongore7638 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akuongezee nguvu na weledi wa kuitambua haki ya wananchi wako

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 3 ปีที่แล้ว +4

    Mh sabaya hongera sanaaaaa

  • @cleopalema8598
    @cleopalema8598 ปีที่แล้ว

    Nakumbusha tuu hii kesi bado ipo mahakamanii

  • @mabenzimabenzi4348
    @mabenzimabenzi4348 3 ปีที่แล้ว

    Awamu hii iko macho sana jitahdinibkutafuya hela kiuhalali tu

  • @petersanagaya2916
    @petersanagaya2916 3 ปีที่แล้ว +2

    Bwana kiukweli Sabaya unafanya kazi vizuri sana.

  • @willeydavid2108
    @willeydavid2108 3 ปีที่แล้ว +13

    Kuna mtu kachomoa bettry hapa hadi jamaa kanaswa

    • @machintangachibwena5922
      @machintangachibwena5922 3 ปีที่แล้ว +2

      Itakuwa kamfukuza mfanyakaze wake ndio maana kachomwa, wahindi wajanja sana bora wapate mia 500 kwa siku ila wasipoteze haki yao

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 3 ปีที่แล้ว

      Kbs

    • @missangela6720
      @missangela6720 3 ปีที่แล้ว

      Huwezi kuwa mwongo forever. Umesahau ile mithali ya shule ya msingi: Siku za mwizi?

  • @MuhinaCharse-gt7og
    @MuhinaCharse-gt7og 5 หลายเดือนก่อน

    Sabaya lazima wakuchukiee pole sana kamanda Ila utarud kwa kasii

  • @einsteinmboje4730
    @einsteinmboje4730 3 ปีที่แล้ว

    Daaaaaah Yan Mpaka Sasa Hivi Siamini Tuhuma Alizopewa Huyu Jamaa ... 🥺🥺🥺.. He Is So Smart And Real ...Imekuwaje Tena ??

  • @salimsalim8421
    @salimsalim8421 3 ปีที่แล้ว +1

    Hawa wame sahau kuwa sirakali hii ya magufuli hakuna mchezo, mwisho una kamatwa una filisika unakuwa maskini, kwa nini bin adam tunakuwa na tamaa kiasi hikicho, alafu una kaa una laumu ,pole sana, lazima utakuwa chizi kwa kujitakia

  • @J4UPro
    @J4UPro 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimerudi Hapa baada ya Kifungo cha Sabaya miaka 30....

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 3 ปีที่แล้ว +7

    Sabaya ni mkuu wa mkoa wangu kuanzia leo.asante sabaya.nimependa kesho tukutane saa tatu ofisini.mbona watakoma

    • @missangela6720
      @missangela6720 3 ปีที่แล้ว

      Yaan dah

    • @flova7022
      @flova7022 3 ปีที่แล้ว

      Nawewe upo mkoaa WA gerezani au

  • @rajabmlau1668
    @rajabmlau1668 3 ปีที่แล้ว +4

    Jaman mm nimfanya biashara kiukweli nimemuonea huruma sana huyu jamaa atafilisiwa

    • @eliudmaster2175
      @eliudmaster2175 3 ปีที่แล้ว

      Sana bro bora wangechukua nusu ya mali zake

    • @HASASON
      @HASASON 3 ปีที่แล้ว

      Zako Tia maji

    • @khaliphamajid270
      @khaliphamajid270 3 ปีที่แล้ว +1

      Huyo mfanya biashara kajitakia
      Kama angelipa kodi na kufuata utaratibu angekua tajiri sanaaaaaa tu.Lakini anayo akili ya kimasikini ndio umasikini unamtawala.
      Wauza madini wengi ndio wanaakili za namna hiyo.
      Anayo madini thamani Milioni 20 na serikalini inataka kodi ya asilimia saba tu milioni 1 na laki nne jamaa anaona atoroshe ili asilipe 7%
      Serikalini inamtia ndani na mali yote imepotea.
      Ndio Huyo jamaa.Nashukuru wamemkamata maana mapombe yanauwa watu wengi.

  • @shukurumgaya5950
    @shukurumgaya5950 3 ปีที่แล้ว +3

    Duuuh saiz kwel tumekwama ila kwel hakuna anaepnda

  • @oscarkasalile8442
    @oscarkasalile8442 3 ปีที่แล้ว +2

    Sasa huyu mtu mbona ni mzalendo kwann mnamtesa sabaya.

  • @mariamgodfrey53
    @mariamgodfrey53 3 ปีที่แล้ว +1

    Safiii mbona mtaipata mpk miaka 5 iishe mtakiona cha moto

  • @evaristjames9845
    @evaristjames9845 3 ปีที่แล้ว +4

    Inapaswa serikali iangalie hili Jambo hiyo ni kazi ya jeshi la police lakini Hadi DC anafanya uchunguzi na kubaini hayo huwa jeshi la police linafanya nn?

    • @wardamzuka3997
      @wardamzuka3997 3 ปีที่แล้ว +1

      Mkuu wa wilaya ndo mkuu wa majeshi kwa wilaya yake

    • @martinhinda5233
      @martinhinda5233 3 ปีที่แล้ว

      Police wakienda wanapewa gongo wanarud

    • @aminimushi6945
      @aminimushi6945 3 ปีที่แล้ว +1

      Polisi hawafanyi kazi za kipolisi, wanafanya kazi za kisiasa zaidi,kumbuka matamshi ya Ocd Hai wakati wa kampeni.

    • @evaristjames9845
      @evaristjames9845 3 ปีที่แล้ว

      Shida ya police rushwa imewatawala mno kumbuka Ile dhahabu ilikuaje Hadi wakafukuzwa na kuwekwa ndani

  • @asiaokelay8421
    @asiaokelay8421 2 ปีที่แล้ว

    Leo ndo anafungwa kweli

  • @wastambuli8039
    @wastambuli8039 3 ปีที่แล้ว

    My royal model keep it up

  • @josephjohnmagesa8256
    @josephjohnmagesa8256 3 ปีที่แล้ว

    Mkuu wa wilayaaa uyoooo angekua mkuu wa mkoaaaa ingekuaje🤣🤣🤣🤣🤣

  • @shailamunis9867
    @shailamunis9867 3 ปีที่แล้ว +2

    Shkamoo Tanzania🙄

  • @kibonaamenye6878
    @kibonaamenye6878 3 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema tuu,, hata sasa ametenda,, wapo wanao waza kulisaidia taifa na wengine wanawaza kurihujum taifa,.
    Taifa letu. ni wimbo ambao unazungumzia namna ambavyo inapaswa tuliombee taifa letu irituelekee kule liliko tabiriwa na Mungu

  • @emmanuelkubambala1998
    @emmanuelkubambala1998 3 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa Wilaya sio size yake kabisa!

    • @winniekayanda8255
      @winniekayanda8255 3 ปีที่แล้ว

      Jamaa apewe mkoa au.....??

    • @missangela6720
      @missangela6720 3 ปีที่แล้ว

      @@winniekayanda8255 tena mitano: Dar, Mbeya, Mwanza, Arusha na Kilimanjaro

  • @ntogadeviv7342
    @ntogadeviv7342 3 ปีที่แล้ว

    Dah msema kweli hapendwi jaman

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 3 ปีที่แล้ว +9

    Acheni nioshe vyombo vya Warabu tu

  • @linkreuben5804
    @linkreuben5804 3 ปีที่แล้ว

    Dc Sabaya anachapa kazi!

  • @hassanmsofe4910
    @hassanmsofe4910 3 ปีที่แล้ว +2

    Huu utaratibu wa kuwasearch watu bila warranty umekaaje kisheria .

    • @godblessjrtz.8652
      @godblessjrtz.8652 3 ปีที่แล้ว

      Serikali ndio inatoa warrant na hii ndio serikali yenyewe

    • @wardamzuka3997
      @wardamzuka3997 3 ปีที่แล้ว

      Atajua mbele ya safar kama yy hakutumia sheria juu ya biashara yake

  • @hamidjaka9720
    @hamidjaka9720 3 ปีที่แล้ว +1

    Duh

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 2 ปีที่แล้ว

    Eti mtu Kama huyu apendwe... Asichukiwe... éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz

  • @kisurangusa554
    @kisurangusa554 3 ปีที่แล้ว

    Hakuna kitu hapo?

  • @amiryhamza1984
    @amiryhamza1984 3 ปีที่แล้ว +4

    hawa ndiowanangamiza taifa

  • @tereseamasawe8111
    @tereseamasawe8111 3 ปีที่แล้ว

    IKIWEZEKANA SABAYA AWW HATA WAZIRI MKUU.MUNGU AKULINDE MWESH SABAYA.

  • @eliudmaster2175
    @eliudmaster2175 3 ปีที่แล้ว +2

    Kama naww unamhurumia huyu mfanyabiashara gonga like hapa

  • @donaldtadeodontado9991
    @donaldtadeodontado9991 3 ปีที่แล้ว +1

    Haoo walioachwa kulinda hapoo sijui kama hawajanywa hivyo vitu hapoo ni nomaaaa

  • @wilbartwilliam
    @wilbartwilliam 3 ปีที่แล้ว +4

    Watu wale wapi mbona mali zenu amzionyeshi mnaona za wengine acheni kunyanyasa watu nchi mmeiyalibu wenyewe kumbuka mishahara yenu inategea hao hao wafanya bihashara.

    • @HASASON
      @HASASON 3 ปีที่แล้ว

      Mishahara ya wafanyakazi wote lazima ikatwe kodi, ninyi msipolipa kodi mnawadhulumu wafanyakazi sababu mnafaidi miundombinu iliojengwa kwa jasho lao wakati lenu mnalitafuna wenyewe, acha mkomeshwe kabisa

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 3 ปีที่แล้ว

    Tanzania Atukua Na Matajili Bali Waliokuako Enzi Izo Wakwepa Kodi

  • @beaugosseadam6831
    @beaugosseadam6831 3 ปีที่แล้ว +4

    Hii awamu sio ya Kikwete jamani!!
    Badirikeni, bila hivyo mtaumia sanaaa.

  • @navynathan4510
    @navynathan4510 2 ปีที่แล้ว

    sijaon kosa lake3 ilaaa uteuzii wakee ndio changamoto

  • @kabongahamisi500
    @kabongahamisi500 3 ปีที่แล้ว +1

    Mmmmmh

  • @clevalupakisyo7460
    @clevalupakisyo7460 3 ปีที่แล้ว

    Hii hazina hii kichwa, basi tu majungu mengi

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 2 ปีที่แล้ว

    Mungu ndio anayejua ukweli au uwongo kuhusu kesi za mtu huyu!!!

  • @sharifabdul6085
    @sharifabdul6085 3 ปีที่แล้ว +7

    Ni kugawana majukumu tu wengine wizi wa kura wengine wizi wa kodi baba mwizi mtoto mwizi,ukianza kupekua mambo haya utakuta hata taasisi za serekali nazo baadhi ni madudu tu

    • @martinhinda5233
      @martinhinda5233 3 ปีที่แล้ว +2

      Kweli aseee watu ni wezi mnoo..ila acha tumuunge JPM

  • @prospermushi1562
    @prospermushi1562 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu humlipa kila mmoja kwa ujira wake sasa sabaya onja na wewe

  • @paulcharles5749
    @paulcharles5749 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli Sabaya Mungu akubariki na kukufanya kuwa shujaa wa watu

  • @agreykombe6835
    @agreykombe6835 3 ปีที่แล้ว

    Kuuza bithaa feki ni halali
    Kwa alie sikia like zangu